Тёмный

EXCLUSIVE:MZEE YUSUPH Narudi MJINI kwa KISHINDO/MSINIPANGIE/NYIE SIO MUNGU/Nilifulia/NILIKUWA FUKARA 

Carrymastory
Подписаться 478 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Mfalme wa Taarabu Mzee Yusuph amepiga stori na Carrymastory amewaambia watu waache kumuhukumu kwa kuamua kurudi kuimba Taarab.

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 года назад
Katika madhambi makubwa ni kurudi katika uovu baada ya Allah kukunusuru, mzee baba kuna kaburi, kuna malakal maut, kuna moto na kuna Pepo. Allah atuhifadhi. Ameen
@asia9930
@asia9930 4 года назад
Rudi baba mfalme mzee yusufu😘😘😘😘😘😘😘😘😘acha waseme mungu ndio anaeukumu kwani wangapi wanatubu alafu wanaludia makosa
@ibranassoro8465
@ibranassoro8465 4 года назад
Anae kwambia njoo mjini hakupenda mzee acha kumwasi mungu enderea namatendo bola bwana
@sparks7158
@sparks7158 4 года назад
Subhanallah walai ujielewi kabisa Allah alikuongoza lakini shikio la kufa hasiki maji
@ridhwansaad5017
@ridhwansaad5017 4 года назад
Mzee mche Allah tunajua unakujkuimb qaswida asante.
@ramosjohn3793
@ramosjohn3793 4 года назад
Mjini hafukuzwi mtu Mungu akujaalie kuja kwako mjini uje kwa wema INSHAALLAH
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 года назад
Mzee anataka kutoa kaswida kwaajil ya ramadhan kwahyo now anatafuta kiki wala harud kuimba taarabu
@saidmabrouknassor4229
@saidmabrouknassor4229 4 года назад
Nakubaliana na wewe 100% ni qaswida tu tunawajua wasanii kwanza wanatafutaga kiki
@mkwenyachristopher9310
@mkwenyachristopher9310 4 года назад
Karibu mzee twakusubiri kwa hamu.....Kama dhambi kila mmoja ana zake
@zubedaseif2950
@zubedaseif2950 4 года назад
Mwijaku njoo mzee Yusuf huyu hapa maana interview yako ya mwisho ulisema wamtafuta
@rr3247
@rr3247 4 года назад
Alhamdillah mungu amemungoza
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 4 года назад
Tusitefute ushuru wowote nyimbo nikatika mojawapo utakusanya Waume na wake watafanya mabaya nakila atakae fanya sababu shauri yako ALLAH HSBUNALLAH WANEEMAL WAKIL
@abuuabuu5482
@abuuabuu5482 4 года назад
Unapindisha pindisha aha we mzeee ww mungu anakuona umenda kuhiji makka ulikua unajonesha kama ww muislam kumbuka ww mzee nilikukuta msibani ukatoa dawa aya rudi mjini lakni safar bado tnayoo kuna Maisha ya bardhagh ukienda mijin shamba mwisho wa siku tnaenda huko
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 года назад
Alokuroga kafa ww ni mnafiki kati Ya wanafiki rudi utajuwa mwenyewe ulikuwa unamtania mungu pole wala. Hujaelekea kuyasema hayo pole Sana umefeli hujijui tu
@mariamsuleiman437
@mariamsuleiman437 4 года назад
Hili silipendi lilimtoa chiku kafara bahada yakutoka kwa shetani kumbe litarudi chiku pumzika pema peponi in sha allah
@sulesule9439
@sulesule9439 4 года назад
naamin pumzi zinakuhangaixha kweli ulikoxea uka2bia half warud tena xaw allah ndie muhukum 2muachie yey
@marymusi8235
@marymusi8235 4 года назад
Huyu anakuja kuimba kasida sio nyimbo jamani. Mie siamini mpaka nimuone anaimba
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 4 года назад
Hata kama anaimba kasida, asiweke vinanda
@Tiffany340
@Tiffany340 4 года назад
Mmh yaani mtu anakohoa we unaendelea kummuhoji tu sikuizi corona haina !wenyewe,
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
😃😃😃
@mnllyboy_tz9107
@mnllyboy_tz9107 4 года назад
Hakuna wa kukupangia mzee njoo utuburudishe kila mtu hali ngumu hawajui tu pa kuanzia wanaokusema sie tunakusubir mashabiki wako
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 4 года назад
Umeona ee aje tu tena tutampokea pale dar live kwa kishindo kikubwa
@saidmabrouknassor4229
@saidmabrouknassor4229 4 года назад
Huyu jamaa anarudi kuimba qaswida tu hakuna namna anaficha lakin maneno yake yanaelekea kwenye qaswida
@salehalkindy321
@salehalkindy321 4 года назад
SUBHANNALLAH SASA MTIHANII JUU YA MTIHANII CORONA HUYO KASHABLOKII SASA JEE TUTAIELEKEZA NAFSI YETU WAPII??
@saidahamisi6404
@saidahamisi6404 4 года назад
Innalillah wainna ilyhiraajiuun
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 года назад
Mzee Yusuf sisi hatukupingii. Wewe ni Alhaj unataka kurudi kwenye Ushaitwan. Leo unafagia njia urudi kwenye Taarab? Makubwa? Hakuna anaekulalamikia ila tunakushauri tu unapotoka halafu ww ushazeeka na Taarab hailipi. Bora utafute Shughuli njema ya kufanya.
@mariamsuleiman1638
@mariamsuleiman1638 4 года назад
Ww usicheze na mungu. Kiboko chake hukiwezi
@muagulejr1989
@muagulejr1989 4 года назад
umeuzalilisha uislam na waislam kwa ujumla
@hishamally4846
@hishamally4846 4 года назад
Ucha mungu umeishia wapi tena
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 года назад
Unaoneka kushindwa kuvumilia ulifikiri toba haluwa sasa usipochunga utaharibikiwa.
@safiasaid2770
@safiasaid2770 4 года назад
Usirudi kuimba taarabu bora kasda
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 4 года назад
Sawa firaun yuko wapi kama unalijua hilo from Oman kondoa kwetu
@yahyaally9876
@yahyaally9876 4 года назад
Tumche Allah dunia ni starehe za mda mchache na sisi sote tutarejea kwa Allah tulipwe kwa tuliyoyatenda.
@salmaabduli700
@salmaabduli700 4 года назад
Ww ndoumireta koron kwa mamb yako umiend kuacha maov kish umiirudiy ten
@salmaabduli700
@salmaabduli700 4 года назад
Ushazekaa mashav yashashuk hay achaa mamb ya duniy
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 4 года назад
Mzee imba tuuuu,Marsha magumu
@om6147
@om6147 4 года назад
Edit video zako bro unarudia rudia na hapo alipokua anakohoa ungefuta
@hermankajiru2778
@hermankajiru2778 4 года назад
Dunia ina kazi na wenye kazi ni wanaDunia.....
@sarastephano3409
@sarastephano3409 4 года назад
Daaaaah kweli amepungua adi huruma
@sabrinakimei8701
@sabrinakimei8701 4 года назад
Mungu ndio anajua kulichopo moyn mwako sisi yetu masikio
@skinnergullam2967
@skinnergullam2967 4 года назад
wakati kama huu ni wa kutafuta pepo ili corona ikikupata uwe ushajisafsha na makosa ila wew unajiingiza pabaya zaidi ili ukipata corona ufe na moto wako....huo unaitwa ujinga uliokubuu
@khadijayazidu3512
@khadijayazidu3512 4 года назад
Tatizo watanzania wanahitaji tittle tu habari wanaitengeneza wenyewe, hajasema mjini anafata nn,bora kuwa na subira
@muagulejr1989
@muagulejr1989 4 года назад
chizi mmoja
@khamismaulid6839
@khamismaulid6839 4 года назад
Ohaaa wageleka
@mymunajabiri5796
@mymunajabiri5796 4 года назад
Hicho kikuhozi vepe 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣
@kulwapaul2721
@kulwapaul2721 4 года назад
Corona
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 года назад
Qaswida za music ni haraam ni sawa na taarab, hiyo subra isiwe kama alozungumza marhum sheikh nyundo subra ya madhambi,
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 4 года назад
Uharamu wake nini naomba unifahamishi ndugu yangu
@razackmfilinge5794
@razackmfilinge5794 4 года назад
Mm nmemuelewa....harud kuimba taarabu kama mwanzo......itakuwa kama kina mahrzein.....Qaswida
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 года назад
Majoo umeyaweka vizuri? Utakapo taka kuludi tena hija usianze kuyatafuta.
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 4 года назад
Haaaaa haaaaaaaa nicheke mie
@nawwafomar4518
@nawwafomar4518 4 года назад
msiba mkubwa huu
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад
Mmmmh,siamini ninachokiona wala kukisikia
@christinamagasi625
@christinamagasi625 4 года назад
Ladymasha Allah I like u a advise Hamsini 😀😀😀😀😀😀😀😀
@mrjeyjamal6288
@mrjeyjamal6288 4 года назад
Hiii muongo uyo video yake nnayo kakataza mshenz mkubwa laaana sumaka
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Kawa kama Z Anto kila interview anaunya unya tu hasemi ukweli, haya sisi tunasubiri
@msalikemedia
@msalikemedia 4 года назад
Hahaha
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
😃😃narud mjin
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 4 года назад
mzee unapotea
@ukhtyhalimatz9121
@ukhtyhalimatz9121 4 года назад
Dawa za Leyla zina fanya kazi
@samirahassan3212
@samirahassan3212 4 года назад
Fisadi ww ulimpeleka ww kwa mnganga nyooooooooo
@queensjuma1832
@queensjuma1832 4 года назад
Vaa sanitizer 😂😂. Unarudi kwny music🚶🚶💆💆.. 😲
@kidawakindamba2434
@kidawakindamba2434 4 года назад
Ila kaz yamtu nikaz yamtu kikubwa amjue allah kuswar na kutoa swadaka na zaka kunamatajili wangap wanapata aeamjui mung ila kaz ya mzik nikaz yake mwachen jaman nibola atafute rizik kuliko kuiba bola afanye kaz ya mikono yake
@yusuphkimwaga1114
@yusuphkimwaga1114 4 года назад
Hatuwwzi kuacha mambo yetu kuanza kuwa na shauku atafayanya nn yeye nani
@aleefaruu1539
@aleefaruu1539 4 года назад
Huyo chizi hana akil
@KhadijaKhadija-uc2uw
@KhadijaKhadija-uc2uw 4 года назад
Toba
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 4 года назад
Watu wanaomba mwisho mwema ww unakimbilia tena kwenye maasia..tumia huo mdomo wako kusoma quruan unaimba nn
@AhmedAhmed-ph3wq
@AhmedAhmed-ph3wq 4 года назад
Ww Mnafiki kama utaimba nyimbo kwa kweli
@aminamwanakombo2097
@aminamwanakombo2097 4 года назад
Sasa unafiki wake uko wapi muacheni yeye namungu wake
@AhmedAhmed-ph3wq
@AhmedAhmed-ph3wq 4 года назад
@@aminamwanakombo2097 itakuaje arudi kwa mmung then aseme anaenda kuimba Tena??
@saidabdually486
@saidabdually486 4 года назад
Umefeli wewe
@ramamussa5915
@ramamussa5915 4 года назад
Mnafiki mkubawewe kwadhihaki hiyo chamoto utakiona njaa inakutesa kafiri mkubwa wewe khabis liamal mkubwa
@munaibrahim8829
@munaibrahim8829 4 года назад
😂😂✋
@tababdulla2877
@tababdulla2877 4 года назад
Wee hata kofiya leo hana mtihani
@hussenissa5092
@hussenissa5092 4 года назад
Sijajua Analudije mjini daa dunia,Tambala bovu kweli
@ahmedaliahmedahmed3003
@ahmedaliahmedahmed3003 4 года назад
Mbona wakohowa sana kunani tena
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Leo hii ndiyo anaonekana muovu wakati siku zote nyie ndiyo mmekuwa mashabiki wake
@arkaniramba2616
@arkaniramba2616 4 года назад
Mzee yusuphu acha kuyumba bax
@mujahidalinaseem6213
@mujahidalinaseem6213 4 года назад
nahisi tu labda mzee yupo ktk sapraizi tofauti kwa namna tunavyodhani ila km kweli mzee anarudi ktk taraab atakuwa moja ya binaadam majasiri wasio na khofu na maisha ya akhera mungu aepushie mbali wallah viapo alivyotaja kwa majina ya mungu ni masikitiko makubwa mola aiongoze nafsi ya kaka yangu huyu.. inshaallah..
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 года назад
Allahumma Amin
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 года назад
Allah atustiri lkn waja mupunguze uzushi
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
Mwacheni bwana kuokoka mchezo maisha magumu ana family kila mtu apambane na hali yake
@joynkungu7630
@joynkungu7630 4 года назад
Amina Kawawa ,Hahahaaaa Duuuuuuuuuuu ,Wokovu ni lazima ujikane balaa,,dunia isha mbeba ndugu Yangu kumrudisha Misri tena,hatumhukumu sisi,ila kwenye ukweli,lazima tuseme eboooooooo.
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
@@joynkungu7630 hahaha majanga
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 года назад
Maneno maneno ni mengi hebu tusubirini mwisho wake itakuwaje?
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 года назад
Hata tukisubiri hayo anayoyasema tu basi hayafai hata kama hajaimba lakini pia mkewee mpka leo anaimba nayeyeee ndo msimamizi wa mkweer pia anazibeba
@sijalisijali8602
@sijalisijali8602 4 года назад
Unaongea kwawepesi nipambana na allah allah unawezakupambananae
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 года назад
Shetani ananguvu?ujuwe mungu hataniwi ,na mnafiki alama zake.nitatu .
@rizikiali8149
@rizikiali8149 4 года назад
Innallillahi wainna ilayhi ALLAH pia hakua radhi na unafiq wako utaongozwa na lela jannah au nnar
@rizikiali8149
@rizikiali8149 4 года назад
Innallillahi wainna ilayhi ALLAH pia hakua radhi na unafiq wako utaongozwa na lela jannah au nnar
@sihambasheikh6517
@sihambasheikh6517 4 года назад
Huoni.mungu hataki urudie umekuja wakati starehe zote zimfugwa hicho kishindo dalili hiyo
@fatumaseleman1579
@fatumaseleman1579 4 года назад
Ume ferry kaka bola huuze nyanya
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 4 года назад
Swadakta mzee yussuf👌👌👌
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 года назад
Hapo alipo sinui kama hana korona kumkoholea maeziweee
@christinejohn9551
@christinejohn9551 4 года назад
safi uncle bora urudi home kulipoa
@selfplanet3880
@selfplanet3880 4 года назад
Pengine anarudi mjini kuimba kaswida...ebu punguza maneno juu yake!!
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 года назад
Kuna moja ktk Interview zako nakumbuka kuna mwanamke alikwiita Mfalme, ukasema Subhana-llah, mm sio Mfalme, Mfalme ni mmoja2 Ambae Allah Lkn naona uyo jamaa kakwita Mfamle ukafurahi mwenyeo..
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 4 года назад
HUYU ANAMTIHANI ILAA MUNGU AMSAMEHE HAYUI ALITENDALO WALA ALIFANYALO NJAA MBAYA HANA ATA AIBU
@yusuphkimwaga1114
@yusuphkimwaga1114 4 года назад
Mtu mwenye akili timamu ni yule ambaye anafanya mambo yatakayomsaidia baada ya umaut" sio maneno yangu mimi ibn kimwaga
@yusuphkimwaga1114
@yusuphkimwaga1114 4 года назад
Ye nan ktk dini mpk tuanze kuwa na shauku kiasi hiki ameshasema na akamaliza kwamba laa ikraha fi ddiyn sasa ina maana anajua zaidi. Imma shaakiran waimma kafuura basi.
@marymusi8235
@marymusi8235 4 года назад
Ila namshauri kasida za vinanda pia haramu labda anasheed
@veronicambaga9995
@veronicambaga9995 4 года назад
Rudi babuu tulikumis njo na ngoma mpyaa
@AhmedAhmed-ph3wq
@AhmedAhmed-ph3wq 4 года назад
Ww Mnafiki Sana kwa kweli
@aminamwanakombo2097
@aminamwanakombo2097 4 года назад
Wewe pia jaribu uende makkah nawewe ukathubu bac
@fatmaali4921
@fatmaali4921 4 года назад
Mmh mtihan kwa kweli nilikuwa nasubir huyu ahojiwe nione mambo yake yakoje?
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 года назад
Ww acha unafik mungu hataniwi utakufa jukwaan
@otiliafrank9621
@otiliafrank9621 4 года назад
Rudi baba tumekumisi wao sio mungu
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 года назад
Wewe bado hasa kinafs mana bado dunia unaipenda hebu acha upuuzi wa kuhojiwa hojiwa kuhusu mambo ya kidunia ya mizik na mambo ya zaman uliyofanya . Na vipi ushapima korona
@aishamkumba9857
@aishamkumba9857 4 года назад
haji abdalla 😀😀😀😀😀😀😀😀corona teeena
@mohammedalnabahan.4127
@mohammedalnabahan.4127 4 года назад
Allah amese kwahakika wanafiki wana maneno mazuri na yamenyooka kama boriti, kwaiyo muacheni
@janethmunisi5024
@janethmunisi5024 4 года назад
Karibu wapezi wako tumekumiss sana
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 года назад
Mtihani huo
@timaosthman2304
@timaosthman2304 4 года назад
Umemiss kukata viyuno fala wewe
@aishajuma6611
@aishajuma6611 4 года назад
😭😭😭😭😭😭
@fatmaali4921
@fatmaali4921 4 года назад
Mzee nimekuelewa ss naona umekuja kutupa kasda sio nyimbo eeh
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 года назад
Hata mimi nimemuelewa
@saidinawaja5813
@saidinawaja5813 4 года назад
Tunakusubiri
@asia9930
@asia9930 4 года назад
Ludi uchangamshe taarabu mwaaaaa😘
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 4 года назад
Kabisa arudi achangamshe jiji
@didakassim8666
@didakassim8666 4 года назад
Mh
@queensjuma1832
@queensjuma1832 4 года назад
Narud mjini 🚶🚶🚶🚶🚶🚶😎twakusubiri d. r. wa malavidavi.. 🤠.. Kila mmoja apambane na hali yake sasa hv,, maisha magumu kila mtu ana kichaa chake na kila mtu anatakiwa aheshimu wazimu wa mwenzake... 🚶✌️karibu mjini mzee baba. 💕💕💕💕...
@rosaliakamkanda3057
@rosaliakamkanda3057 4 года назад
Kila binadamu hapa duniani anaishi kwa njia aliyopangiwa na mungu basiiii muacheni toka aache mziki kuna mtu yeyote alie kaanda kwake kumpa hata pesa ya chakula acheni hunafki watanzania maisha tunayoishi kila mmoja ana njia yake ya kupata ridhki muacheni!...na akitoa ngoma musisikilize wanafki nyinyi!
Далее
11 ming dollarlik uzum
00:43
Просмотров 279 тыс.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
Просмотров 763 тыс.
MBOWE, NA MWANAE WAACHIWA NA POLISI
3:56
Просмотров 390
11 ming dollarlik uzum
00:43
Просмотров 279 тыс.