Тёмный

EXCLUSIVE NA AY: KULALA KWENYE KONTENA, KUSHINDA NJAA HADI KUMILIKI NYUMBA MAREKANI 

Dozen Selection
Подписаться 230 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Rapper mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa Bongo #AY amezungumza na #Bdozen kupitia Dozen Selection na amesimulia historia ya Maisha yake EXCLUSIVE kuanzia Kufanya Kulala kwenye Kontena Hadi Kumiliki Nyumba Marekani.
Follow Us Instagram - / dozenselection

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 5 лет назад
Uwa namfananisha na p.didy wa bongo!big up bro!you are big inspiring person to the society!
@davidone4705
@davidone4705 5 лет назад
Ongelaaaa sanaaa... A. Y... Ila ninaswali kwa a. Y.... Lini. Ata kuja huku... Kwao.... Mbeya,, wilayan,,kyela.. Kijijin. Ipinda.?????????
@geeva99
@geeva99 5 лет назад
Respect sana, hii type ya hustle sio mchezo kabisa
@shamsaismail7707
@shamsaismail7707 5 лет назад
Ktk maisha mtu hufaai kukata tamaa aisee hongera Ay
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 5 лет назад
Kuwa na nyumba au apartment marekani rahisi kuliko Kuwa na nyumba bongo,marekani nyumba unakopeshwa unakua unalipa mortgage kila mwezi..hakuna mambo ya kununua cash au eti kujenga kwa hela zako from the scratch ,unalipa morgage mpaka unaingia kaburini,hakuna anaemaliza,labda ufike miaka 80 ndio utakua umemaliza deni,ni wachache sana Tena vibabu na vibibi vizee vya kizungu ndio utakuta vimemaliza deni
@directorinyangeadriano5031
@directorinyangeadriano5031 5 лет назад
Haji Mnubi Wa bongo chuki tuu..na wew unay hio nyumba Marekani unavyo semea na rahisi?
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 5 лет назад
Ndio mana nikaiongelea, unadhani naongea tu kufurahisha baraza,ninayo naendelea kulipia mkopo
@annayvonne5248
@annayvonne5248 5 лет назад
mbona we huna km ni rahisi
@annayvonne5248
@annayvonne5248 5 лет назад
awap usitujaze apo, tulia tu brooh usikatishe watu tamaa
@mbishkulala567
@mbishkulala567 5 лет назад
AY umefanana Sana na Rico Single Hata kwenye Collabo yenu huwezi kumjua Ni yupi AY yupi Rico Proof of that angalia Shampein ya AY na Rico Single
@babalaotv612
@babalaotv612 5 лет назад
AUDIO | SANKAWILA Ft. SHEBBY LOVE - SIO RAHISI Download LINK>www.djmwanga.com/2019/07/sankawila-ft-shebby-love-sio-rahisi.html
@beastmc6663
@beastmc6663 5 лет назад
🔥🔥👏👏 namkubali Sana Ay Yuko real na smart
@kalistimarley1924
@kalistimarley1924 5 лет назад
much respect to prezo mpk support yako IPO kwa A.Y
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 5 лет назад
Interview imetulia kuna baadhi ya vitu dozen kauliza ambavyo vipo kwenye interview alofanya Ay na Skywalker mwaka 2015😊
@swalehemhando6921
@swalehemhando6921 5 лет назад
Nimekuwa Kwa kwanza kutizama...👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@KiooNetwork
@KiooNetwork 5 лет назад
Nmependa professional transition na composition ya shots za hii show... Dozen selection you've improved
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 5 лет назад
huyu jamaa anafanana nawatu wa majuu asee , hp bongo kazaliw kwbahat mbaya ilibid azaliwe hukohuko marekan kbs
@reymasenya6450
@reymasenya6450 5 лет назад
Nice Kaka
@mwinyiadno9495
@mwinyiadno9495 5 лет назад
Dozen ya such a genius mzee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 лет назад
Humble
@seifmatimbwa4379
@seifmatimbwa4379 5 лет назад
AY a real iconic figer in Tz
@reinhardmichael8317
@reinhardmichael8317 5 лет назад
Dozen Fanya interview na nyandu tozi plz
@lightnessmungaya3280
@lightnessmungaya3280 5 лет назад
Good interview 👍👍👍
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 5 лет назад
Endelea kupambana Ay
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
Ktk Interview hii Dozen umekuwa Na Discipline kulikooooo
@mussakassim299
@mussakassim299 5 лет назад
Anachek na mtu anae muhoji
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
Mussa Kassim Nikweli kaka,ametuliaaa na Amebehavu
@mosesmkoma6882
@mosesmkoma6882 5 лет назад
Dozen uwa anajuwa kuoji siyo kwa AY tu,
@nasonibrahim
@nasonibrahim 5 лет назад
Cha muhimu connections tuu
@nyatkanyat9470
@nyatkanyat9470 5 лет назад
Aminia brooo hukoseagi kwenye kazi yako
@carlosmzena548
@carlosmzena548 5 лет назад
The first Tanzanian went international was mtoto wa dandu nadhani
@daimonmalekano6086
@daimonmalekano6086 5 лет назад
mzena hadi huku
@carlosmzena548
@carlosmzena548 5 лет назад
@@daimonmalekano6086 😆😆 yeah am q universal 😂
@daimonmalekano6086
@daimonmalekano6086 5 лет назад
malekano hapa
@carlosmzena548
@carlosmzena548 5 лет назад
@@daimonmalekano6086 😆😆 asee hatari sana kaka
@ibhalajathomas6813
@ibhalajathomas6813 3 года назад
gd sana ay
@gogolamavi
@gogolamavi 5 лет назад
Namu kubali sana Ay
@sakinaomar2090
@sakinaomar2090 5 лет назад
Bravoo
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 5 лет назад
AY kwanini usitowe kitaabu ambacho kwa kitabu hicho hicho kinaweza kuandaliwa movie yake. Hii ya kontena imenikumbusha ile movie ya will smith ya The Pursuit of Happyness. Will Smith alifika kulala kwenye vyoo vya public ... Kwa sababu ni mtu mwenye pirika nyingi kwa hiyo inawezekana hujaiona, naomba uitafute ikisha utanuja kuniambia. Tanbihi: will smith ni muigizaji tu.
@salumjumah4820
@salumjumah4820 5 лет назад
mzee wa commercial AY
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 5 лет назад
Nyumba kwa US hata Canada au UK uhitajii green card au resudence permit, kinyume chake, kumiliki nyumba ndio inakipa residence
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 лет назад
Connection...!!! Ni kitu muhimu katika maisha. Karibu Subscribe channel yetu na sisi tutafanya hivyo kwako. Ahsante.
@mvungigaming
@mvungigaming 5 лет назад
Nisha subscribe... Fanya na kwangu....
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 лет назад
Tayari mkuu
@mvungigaming
@mvungigaming 5 лет назад
Mandy Online Tv 🙏
@CSWafrica
@CSWafrica 5 лет назад
muendelezo uko wapi?
@ramabendera8183
@ramabendera8183 5 лет назад
Play ya chini utaiona muendelezo
@beninganajumo3136
@beninganajumo3136 5 лет назад
Nyumba marekani na Hana mbwembwe .ay bonge la mtu aisee
@hamisiyassini8249
@hamisiyassini8249 5 лет назад
Viwanja tumevipima
@davidone4705
@davidone4705 5 лет назад
Ili,, aweze kusaidia, vijana hukukijijin,, ipinda
@davidone4705
@davidone4705 5 лет назад
Kusaidia
@onyaman7336
@onyaman7336 5 лет назад
Baab kubwa pia hulivyokua una muibukia Mchizi wako masaki harafu unakula visheti pale Kwa genge la nyoka
@hamiswawa5872
@hamiswawa5872 5 лет назад
tunamuomba na falsafa
@willamsigwa740
@willamsigwa740 5 лет назад
Lazma kweli na binamu ahojiwe
Далее
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
Просмотров 2 млн
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 8 млн
WALIOMUUA MFANYABIASHARA NDAMBO WAKAMATWA
7:37
S2KIZZY: DIAMOND AKIWA KATIKA STUDIO ZA PLUTO/
3:17
Просмотров 29 тыс.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
Просмотров 2 млн