Тёмный
No video :(

#Exclusive 

BENTV MEDIA
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@hassaniabdi3991
@hassaniabdi3991 Месяц назад
Upo vizuri sana kwa uchambuzi wako
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup Месяц назад
Zuberi hongera sana tunahitaji wachambuzi kama wewe 🌹🌹
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Simama katika haki mamelod wenyew walionesha dhahili kumtaka kama Belous dady walipokea 4 bila hivo ni lazima walitaka kuibomoa Yanga
@emmanuelkimotoli1939
@emmanuelkimotoli1939 Месяц назад
hhh😮hhh𝓵𝓳😮𝓷 😊𝓳 0:17 😮
@brownmasai774
@brownmasai774 Месяц назад
Well done, Eng. Hersi! Engineering always depends on Facts and Figures. Do it right, and the first time - guess work - (TQM).
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Mie nimeelewa kuwa Yanga SC wamekua hatari zaidi kulingana na maelezo ya huyu coach
@alexmosses3608
@alexmosses3608 Месяц назад
Mchambuzi mzuri lakini anaangushwa na redio aliyopo...namkubali sana
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 Месяц назад
Aisee katika wachambuzi wa nchi ii wewe ni one nomber
@perepetuajohn
@perepetuajohn Месяц назад
🙏🙏🙏🙏. Haswaaaa pokea 🎉🎉🎉🎉🎉
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga Месяц назад
Ila jamaa linajua kuchambua vikosi.
@prince783
@prince783 Месяц назад
Sawa umeelekweka mkuu. Sisi kikubwa kabaki
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Месяц назад
Uko vizuri kaka huna mbambamba
@MasanjaMasanja-mz3ll
@MasanjaMasanja-mz3ll Месяц назад
Tanzania yupo fabrizio romano ni hans rafael
@leonardluhende1103
@leonardluhende1103 Месяц назад
Na domick salamba yupo vzr sana
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Mnaongea sasa kwa kuwa amesaini
@williamchamriho8786
@williamchamriho8786 Месяц назад
Jamani tukiacha propaganda za ushabiki wa uyanga na usmba yanga wako sawa kabisa kuanzia usajiri mpaka wachezaji yanga nawapa ubingwa wa 2024-2025.
@RojaGonga
@RojaGonga Месяц назад
Safi sana umeongea shule sana
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
GOLI 21 YA TIMU
@halfankipande9903
@halfankipande9903 Месяц назад
Nimependa hii diwani
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Месяц назад
Ila m hambuzi uliwahukumu Yanga kuwa wamefukuzwa Avic town kwa vile wanadaiwa, sikuipenda ile clip yako, ulidanganya, Yanga wapo ssna Avictown, unaikumbuka ile clip yako?.
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
Alikuwa amelala fofo
@josephlorri431
@josephlorri431 Месяц назад
Walikuwa wanasubiri za wadhamini ili walipe...baada ya kupokea mabilioni yao...mambo yameisha
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
@@josephlorri431 mangungu 🤣 amethibitisha ?? Au umejiropokea tuu ??
@josephlorri431
@josephlorri431 Месяц назад
@@mwanangusana ukiona picha story unatengeneza mwenyewe
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
@@josephlorri431 🤣🤣🤣 apo sawa kk
@alexmosses3608
@alexmosses3608 Месяц назад
Mchambuzi mzuri lakini anaangushwa na redio aliyopo...namkubali sana
Далее
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 20 млн