Mafunzo Kwa Wanamitandao Ya Ardhi juu ya namna ya Upatikanaji na Umilikaji wa Hatimiliki. Wanamitandao hao waliishukuru Tamwa kwa kuwapatia Mafunzo hayo na kuahidi kwenda kutoa mafunzo hayo kwa wanajamii ili kuwasaidia wanawake wengi kutimiza ndoto zao za kumiliki Ardhi yao wenyewe. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Tamwa Tunguu Zanzibar.
7 сен 2024