Тёмный
No video :(

Fahamu Sifa za Samsung S10 plus 

Vedasto Makota
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Tunakuletea maelezo yote unayohitaji kujua kuhusu smartphones na laptops pia tunaonyesha namna ya kupata programs tofauti tofauti free!!
Subscribe ili upate notification pale video mpya itakapotoka.
Kwa Ushauri zaidi kuhusu simu pamoja na laptops unaweza kutupata kwenye account zetu za instagram pamoja na Facebook (vedasto makota)
Video nyingine za laptop na simu:
Hp Pavilion x360:
• Laptop Nzuri kwa Wanaf...
Xiaomi Redmi Note 8 & Note 8 pro:
• Fahamu Sifa Za Xiaomi ...
Laptop nzuri kwaajili ya wanachuo:
• Laptop Nzuri kwa Wanaf...
Samsung galaxy Tab A:
• Fahamu sifa za Samsung...
Email: vfmakota@gmail.com
Instagram: vedasto_makota
Facebook: Vedasto Makota
Kwa wale wanaohitaji Simu pamoja na laptops Na mahitaji mengine wasiliana na Perfect Store kwa namba:
Whatsapp: 0652088223 / 0683286700
Email: njabhatz@gmail.com
Video Courtesy Content of:
Samsung: • Video
Qualcom Snapdragon: • The Qualcomm Snapdrago...
ETMars Gaming: • Samsung Galaxy S10+ Co...
Music Used:
Ongoing Thing (feat. Oddisee): • Ongoing Thing (feat. O...
20syl: / @20syl
Fasion - No Cry: • Fasion - No Cry
Epedemic Electronic Chill: / @epidemiclounge

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@monucamwambanje3128
@monucamwambanje3128 2 года назад
Kaka kiukweli nakuelewa sana unatuelewesha sana jaman ubarikiwe sana jaman be blessed uwe unauza simu tuwe tunanunua kwako big up bro
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Asante sana🙏🏽, ubarikiwe na wewe pia
@brownabely3259
@brownabely3259 3 года назад
Inapatika kwa shiling ngap
@salminiabubakari3939
@salminiabubakari3939 2 года назад
OK bro unajua San kuelezea perfect
@EnosMsafiri
@EnosMsafiri 2 месяца назад
Vip me nataka kujua Bei ya Samsung s10 kwa Sasa 2024
@joelmchl4
@joelmchl4 2 года назад
Hongera kwa kustep up ila ongeza energy kwenye video zako unaongea kinyonge sana
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Asante sana.
@adilthabit6487
@adilthabit6487 2 года назад
Saiv zinapatikana kwa bei gan maana nimesikia kuwazimeshuka kidogo
@allenmdulla7818
@allenmdulla7818 3 года назад
Tunaomba uongelee Mi series, redmi phones ...MF: mi 11 lite, mi10t.. Maana hawa jamaa wanatishia Amani ktk ubunifu wao
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
Sawa kaka video inakuja
@barakajosephmwangalika2603
@barakajosephmwangalika2603 3 года назад
Safi sana mwanangu 🔥
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
Asante sana kaka
@khalfanhamad1677
@khalfanhamad1677 2 года назад
VIP hali yako. Nisaidie ndugu yangu nimenunua simu samsung not 8 line 1 haikus na . Tatizo lolote baadae nikataka simu Kamara hiyo not8 kiowa no line 2. Tatizo linakuja eti haifungui app za mitandao kama tigo pesa nmb crdb nisaidi nifanyeje.
@chillhouse8457
@chillhouse8457 3 года назад
🔥🔥🔥🔥this is lit
@charlesjohn4518
@charlesjohn4518 2 года назад
Kubwa kuliko💪🏾
@salemedy3922
@salemedy3922 2 года назад
Awesome
@veemoney5692
@veemoney5692 2 года назад
kaka kazi nzur sana..a53 na s10plus ..n ipi nzur zaid? na bei zake zmekaaje?
@user-je3ye8vk7m
@user-je3ye8vk7m 10 месяцев назад
Owa big naulizia Bei ya 14iphone. Used from dubai
@stanslaussanga3532
@stanslaussanga3532 3 года назад
Safiii jombaa😎
@bakali101
@bakali101 Год назад
Samsung s10 inauzwa kiac gan
@user-uq1zm9oz1e
@user-uq1zm9oz1e 4 месяца назад
Vip kuhusu OPPO Reno 10
@luluelisante9658
@luluelisante9658 2 года назад
Ni Kali sn lkn naomba utuambie cm ya mwaka 2021,2022
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Sawa video zinakuja
@fatuma577
@fatuma577 Год назад
Samsung A32 iyo
@judithmassawe2548
@judithmassawe2548 2 года назад
Tangu nimenunua hii cm 2019 ilivyotoka ndio nimejua leo naweza charge cm nyengine😂😂😂😂Eeeeeh ushamba huu asante kaka ivi na hii Bixby kazi yake nini
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Ni sawa na kusema Siri feature iliyopo kwenye iphone. Karibu dada yangu.
@rahmahabibu4727
@rahmahabibu4727 Год назад
Ulinunua Sh ngap ?
@chalzsamkim6972
@chalzsamkim6972 2 года назад
Je naweza kununa s10 plus kwa huu mwaka nikatumia bila kuzingua izo updates za software
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Ndio unaweza, ni nzuri sana hata ukiwa nayo mpaka mwakani
@salumalswawafy9701
@salumalswawafy9701 2 года назад
Kati ya Samsung s20 plus na Samsung a72 ipi nzuri
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
S20 plus ni nzuri zaidi, lakini zote hizo mbili bado ni nzuri
@kyflavour
@kyflavour 2 года назад
Ebu tupe ubora wa tecno camon 18 premiere na samsung s 10.ipi ina faa kwa camera apo
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Sawa nitaelekeza
@stepheneaugustine6764
@stepheneaugustine6764 3 года назад
Ahsante kwa kazi nzuri. Natamani kupata ufafanuzi zaidi kwenye line mbili hapo. Maana samsung nyingi hazina double lines. Je, hiyo ipoje?
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
Nitatoa ufafanuzi. Karibu sana
@AblyJuma
@AblyJuma Месяц назад
Bro mpka saiv io sim bado ya faaa
@samwelileonard3424
@samwelileonard3424 Год назад
Ni namna gani unaweza kuongeza android version kwa Samsung s10 kavu
@asharajab1844
@asharajab1844 2 года назад
Ebwana sory nilikuwa nauliza iphone x na samsung s10 ipi kali ninunue?
@salemedy3922
@salemedy3922 2 года назад
Mimi nauliza S10+ from dubai used sinaingia maji au haziingii maji
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
S10+ hua haziingii maji haijalishi ni ya wapi as long as haikai kwenye maji kwa muda mrefu sana
@salemedy3922
@salemedy3922 2 года назад
Asante sana kaka nitakuwa pamoja nawe nimekukuba sana wanikusubscribe
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
@@salemedy3922 Asante kaka🙏🏽
@enockfred7937
@enockfred7937 2 года назад
Inauzwa shingapi kiongozi kwa mwaka huu 2022
@annurjuma5743
@annurjuma5743 2 года назад
Hyo Samsung s10+ yenye ram ya 12gb naweza pata wapi??
@HamisKafula-rk7qb
@HamisKafula-rk7qb 4 месяца назад
Nataka simu samsung s10
@idah8874
@idah8874 Год назад
Vedasto
@VedastoMakota
@VedastoMakota Год назад
Naam
@afreyghp34
@afreyghp34 3 года назад
Oppo find x2 pro
@salumalswawafy9701
@salumalswawafy9701 Год назад
Tunaomba uchambuzi wa Samsung s22 PLUS
@nabiisaya6721
@nabiisaya6721 2 года назад
Bei gan saiz
@starwidetv7326
@starwidetv7326 Год назад
kioo chake iyo s10+ complete kubadili bei gn
@VedastoMakota
@VedastoMakota Год назад
+255 743 983 646 Nicheki whatsapp
@kretoskim8555
@kretoskim8555 2 года назад
Oyooo
@peterdeogratias5655
@peterdeogratias5655 2 года назад
Mbona hujaelezea nguvu ya battery
@winifridamachche2271
@winifridamachche2271 2 года назад
Hii Bei Gani Kaka
@Rais__772daughters
@Rais__772daughters Год назад
Hello kaka hii simu bei yke tafadhali🙏
@maryamathumani2736
@maryamathumani2736 2 года назад
Naomba utufahamishe kuhusu Samsung s10 5g
@ayoubumuhdini9012
@ayoubumuhdini9012 Год назад
nataka kufahamu uwezowa. samsugs20+
@hemedmadaya6371
@hemedmadaya6371 Год назад
What's the prize in Tanzania
@drckibondo8235
@drckibondo8235 2 года назад
Ina bei gani pamoja na discount,
@Barakaliganikiwia
@Barakaliganikiwia 4 месяца назад
Shingapi kwani?
@user-ui8ex1yl9k
@user-ui8ex1yl9k 7 месяцев назад
Mupo sehemu gani sasa
@khairatmasoud1403
@khairatmasoud1403 3 года назад
Anco n shingap niyo Samsung S10 na Samsung S 8 na S9
@40kstore
@40kstore 3 года назад
Google's pixel 4 xl
@fabianimussa8746
@fabianimussa8746 Год назад
Na s10
@mohamediomari2570
@mohamediomari2570 2 года назад
Inauzwa shingap iyo samsung
@ismailchongera9812
@ismailchongera9812 3 года назад
Vipi kuhusu m31
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
nitaiongelea
@vinny.morales
@vinny.morales 3 года назад
MKBHD 2.0 😂😂🙄
@saiddysadiwani9036
@saiddysadiwani9036 3 года назад
Samsum s10 inauzwa bei gan
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
1M
@judithmassawe2548
@judithmassawe2548 2 года назад
@@VedastoMakota imeshuka sana mimi nilinunua 2.4M
@rashidmashaka1264
@rashidmashaka1264 Год назад
Bro hiyo simu niya inch gani
@godsonrugazama4040
@godsonrugazama4040 Год назад
Naihitaji samsung galaxy not 10+ naipataje bro?
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Год назад
Zanzibar zipo kali tu kama unahitaji just contact
@johnnjau4879
@johnnjau4879 3 года назад
Bei gan
@faustinnzyungu5714
@faustinnzyungu5714 2 года назад
bei yake kwa tz
@ramadhanfaisal9441
@ramadhanfaisal9441 2 года назад
Tusaidie na bei zake kwa mpya na used
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Used sijajua bei yake kwa sasa ila inapatikana kwanzia laki nane na nusu kwenda juu kwa mpya
@veemoney5692
@veemoney5692 2 года назад
6 na nusu k used
@aljowewerema1115
@aljowewerema1115 3 года назад
Vp sa kuhusu Bei mbma hujatwambia
@edwinmpangala990
@edwinmpangala990 2 года назад
NAITAJ IPHONE 7PLUS SIFA NA UBORA WAKE
@ramadhanfaisal9441
@ramadhanfaisal9441 2 года назад
Bei
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Kwanzia 850,000 kwenda juu unaweza kupata mpya
@jumamushi5488
@jumamushi5488 2 года назад
bei gan
@yahayahussein8240
@yahayahussein8240 3 года назад
Vp kuhusu Samsung galaxy s8, s8+, s9 na s9+
@hmdijitalsports
@hmdijitalsports 2 месяца назад
S8+ Iko vizuri sana hasa camera
@sopetersakas8907
@sopetersakas8907 2 года назад
Shilingi gap kwasasa
@selemwandua1214
@selemwandua1214 Год назад
Bei yake
@dc4543
@dc4543 2 года назад
Kiongozi hii update Android ni ngapi mwisho
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
Android 11
@dc4543
@dc4543 2 года назад
@@VedastoMakota Asante shukrani
@asiakibali1253
@asiakibali1253 3 года назад
Shi ngapi inauzwa
@VedastoMakota
@VedastoMakota 3 года назад
1.5M
@trancechange8869
@trancechange8869 2 года назад
damn u got addd
@user-wd5tg6ne7r
@user-wd5tg6ne7r Год назад
inabeigani hiyo kaka
@msuo7215
@msuo7215 2 года назад
S9 na a31 ipi mzuri
@VedastoMakota
@VedastoMakota 2 года назад
S9 ni nzuri zaidi ingawa software version yake ni ya nyuma
@samwelraphael7909
@samwelraphael7909 Год назад
Bei yake shingap?
@samwelraphael7909
@samwelraphael7909 Год назад
Shingp inauzwa
@khalfanhamad1677
@khalfanhamad1677 2 года назад
VIP hali yako. Nisaidie ndugu yangu nimenunua simu samsung not 8 line 1 haikus na . Tatizo lolote baadae nikataka simu Kamara hiyo not8 kiowa no line 2. Tatizo linakuja eti haifungui app za mitandao kama tigo pesa nmb crdb nisaidi nifanyeje.
@AblyJuma
@AblyJuma Месяц назад
Bro mpka saiv io sim bado ya faaa
Далее
IJUE SAMSUNG S10 NA MAAJABU YAKE MATANO
12:22
Просмотров 10 тыс.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 14 млн
Simu bora duniani na bei zake (2023-2024)
15:07
Просмотров 2,5 тыс.
SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS VS SAMSUNG GALAXY S10 PLUS
7:56
Samsung Galaxy S10 Plus vs iPhone XS Max
7:42
Просмотров 1,1 млн