Sawa nimekuelewa mkuu swali langu kwasasa bei ya mafuta ipo juu sana, nimafuta gani ambayo naweza tumia yalio na bei nafuu kidogo Swali la pili je naweza kutumia Yale mafuta ya kula ya kasuku maana yenyewe yalisha gandishwa Toka kiwandani
@@raimamagairaimamagai3482 kitabu kipo kwenye mfumo wa softcopy, nitakutumia kupitia whatsapp yako ukishalipia sh.5000 kwa mpesa no.0754745798-Pius Muliriye. Wasiliana nami whatsapp kwa maelekezo zaidi. 0754745798