Тёмный
No video :(

Faida za kulima kilimo cha pilipli za kisasa au (mwendokasi) 

ELISANTE CHANJARIKA
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Mpendwa mtazamaji wetu Elyan investment inakuletea mfululizo wa vipindi vyetu vinavyo lenga kukuelimisha kuhusu kilimo cha kisasa .Katika video hii tutaelezea kuhusu faida utakazo zipata kwa kulima kilimo cha mwendokasi
kwa video nyingine zaidi endelea kutufuatilia na unaweza kuwasiliana na sisi pia kupitia namba za simu na watsup 0752176777

Опубликовано:

 

20 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@davidoffngulukulu5826
@davidoffngulukulu5826 4 года назад
huyu mzee nimeangalia video zake hajui hata kuelezea bidhaa yake..hasemi ndoo shs ngapi bei ikishuka au ikipanda..yuko excited zaidi kwa kuvuna pilipili
@mrSemoki
@mrSemoki 4 года назад
Yupo sahihi wewe tu ulikuwa unataka kujua bei tu, ili upige hesabu na bei inatofautiana soko na soko,
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 4 года назад
amsema ndoo unauza tsh elf 10, 20, 30 nakuendelea inategemea na hali ya soko
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 Месяц назад
wakulima hatuwazi hela tunawaza kuvuna tu. wanaowaza hela ni wale wanaochungulia ktk kilimo then wanatoka baada ya bei kua chini
@Babawamapaka
@Babawamapaka 2 года назад
Ok
@user-tu2bn1wy3t
@user-tu2bn1wy3t 8 месяцев назад
Uwe mkweli kaka, pilipili unavunwa miezi sita tu matunda yenye ubora.
@Papaahansmo
@Papaahansmo 2 года назад
Safi kaka
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 2 года назад
Nahitaji niche ya mwrndokasi..
@Babawamapaka
@Babawamapaka 2 года назад
Nauliza kak ivi zile mbegu za pilipili unaziroweka pindi tu unapo zitoa katika pilipili au hadi zikauke kidogo
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 года назад
No. Zenu za simu please.
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 2 года назад
Kiongozo naweza pata no yako.
@kurusumumbongo7883
@kurusumumbongo7883 Год назад
Vipi soko lake
@elisantechanjarika1531
@elisantechanjarika1531 Год назад
Solo lipo la kutosha
@tendwajohn7785
@tendwajohn7785 4 года назад
Mnapatikana wapi nataka pilipili kwa bei nzr ya jumla
@elisantechanjarika4341
@elisantechanjarika4341 4 года назад
kigamboni 0752176777
@shabanulomi9623
@shabanulomi9623 4 года назад
Vp kuhusu soko
@vpvthefarmer
@vpvthefarmer 4 года назад
Kwasasa bei yake ikoje kama soko likiwa baya inakuwa shingapi ? Na je unaweza sema azina hara ata ukiuza bei ya chin hivi unafikiria garama ambazo ni fixed kama maji ,vijana wakifanya pariz nk unazilipaje na wew uweze kula hapo hapo ?
@elisantechanjarika1531
@elisantechanjarika1531 4 года назад
hata kama itakuwa elfu tano kwa ndoo ambayo itakuwa ni bei ya chini mno bado inalipa na hela ya kula utapata na wafanyakazi utalipa.bei zake zinabadilika pilipili ikiwa nzuri inauzwa mpaka hata 40 elfu
@vpvthefarmer
@vpvthefarmer 4 года назад
Kwahiyo kwa watu walio lima na hawana masoko ya uwakika unaweza ukatusaidiaje na sisi
@paschalsangija1576
@paschalsangija1576 3 года назад
Uko wap mm nahitaj pilipil
@vpvthefarmer
@vpvthefarmer 3 года назад
@@paschalsangija1576 kaka mimi nipo mkuranga ila pilipili bado ndogo saiv may b nikisaidie kuuliza kwa jamaa zangu je unaitaji kiasi gani ? 0625000950
@paschalsangija1576
@paschalsangija1576 3 года назад
Hupatikan kwny nmbr yko..nahitaj nying sana ht tani 200
@tendwajohn7785
@tendwajohn7785 4 года назад
Wekeni no zenu basi
@elisantechanjarika4341
@elisantechanjarika4341 4 года назад
Mbona No ziko hapo juu ni 0752176777
@Papaahansmo
@Papaahansmo 4 года назад
Uko wapi
@elisantechanjarika1531
@elisantechanjarika1531 4 года назад
tuko kigamboni MWONGOZO SIMU NO 0752 176 777
@rahmarahma6259
@rahmarahma6259 4 года назад
Je mnapatikana wapi?
@elisantechanjarika1531
@elisantechanjarika1531 4 года назад
kigamboni mwongozo
@lolylameck7310
@lolylameck7310 4 года назад
Kuhusu mafunzo inakuwaje
@elisantechanjarika4341
@elisantechanjarika4341 4 года назад
piga 0752176777
@petermmassy2626
@petermmassy2626 4 года назад
Ni kweli pilipili inakuwa shamba milaka mitatu?
@elisantechanjarika1531
@elisantechanjarika1531 4 года назад
ni kweli hata zaidi ukitaka mwenyewe kwa kuitunza vizuri
Далее
How the UN is Holding Back the Sahara Desert
11:57
Просмотров 13 млн
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Просмотров 576 тыс.
PILI PILI HOHO NYEKUNDU
29:41
Просмотров 15 тыс.
Habanero Pepper Plant.....
3:07
Просмотров 13 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 463 тыс.
Uwoteshaji wa pilipili za mwendokasi
4:25
Просмотров 6 тыс.
Kilimo cha kisasa
7:45
Просмотров 16 тыс.
MAKALA YETU-05  |  PILIPILI MWENDOKASI
9:07
Просмотров 3 тыс.