Congratulations faith from nothing to something Mungu Amekubariki kweli✅️✅️✅️💯💯💯 Sasa niwewe mama Abelene❤️❤️❤️❤️ ALL glory be to God🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Maswali ya hyu muema sio professional...unawezaje uliza mtu ati uliongea baraka gani kuhusu mtoto after kuzaliwa,,, hyo ni siri ya mtoto na wazazi wake
Mama Abelene nakupenda sana & çongrats for joining us in this chapter of marriage, ungekua my sister n ningefurahi sana , furaha imekujaha kila wakati ,pongezi pongezi pongezi
msichana hanga kiburi, wah. na anaongea ukweli kabisa, so heartbreak is real kama faith alishapatana nayo...enwei congratulations , napenda songs zako sana. i will link my sister with you soon akianza kurecord umsuport.
Faith ur being blessed bcz 1. Uknows God, 2. Very humbled ad submissive to to ur hubby. Basi nalichukua fursa hii niutamkie uzao watumbo yako baraka, watoto wenu wote wakakue wabaraka, wakapende mungu zaidi kamaville mlivyo in Jesus name God will do Amen.