Mimi sio mkamba ni (mkisii)lakini nyimbo za ukambani sana sababu massage iko sawa na hakika, sauti tamu kwa kupitisha ujumbe wa Mungu, movement inathiirisha uhai wa Bwana yesu, dressing inathibitisha utukufu wa Mungu hongela waimbaj wetu Mungu hawabariki.
Faith nikwenda muno....weta wenda umenwe....but you are so humble niweetya pole kethiwa niwakonga vo...veery educative song my dear. Listening yr ministry from Spain. I bless you.
Aki faith nyimbo zako zanibariki sana Tena wAkati naziskiza ama na ziangalia zinanifanya nitoe machozi kwa sababu naona hali ambayo ulipitia ndio hata mm niliyoipitia na shida yenye ulilelewa nayo faith hata mm ndio niliolelewa nayo😂