Тёмный

FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 18) 

kicheche
Подписаться 461 тыс.
Просмотров 320 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@abubakarmahsan877
@abubakarmahsan877 6 месяцев назад
Sitaki like lkn nampongeza kicheche Kwa kazi yake nzuri...katika series zote huu mwaka hii number Moja kwangu
@pastatz7531
@pastatz7531 6 месяцев назад
Sema atoe ata epsod 3 kwa wiki
@danielhumble4292
@danielhumble4292 6 месяцев назад
Matusi mengi huwezi kuangalia na watoto arekebishe
@djallaby
@djallaby 6 месяцев назад
kweli aisee wametumia akili sana
@constantineantony4679
@constantineantony4679 6 месяцев назад
Alieona kimkono kwenye kochi tujuane😂😂😂
@EnfridaManyama-xs5ub
@EnfridaManyama-xs5ub 6 месяцев назад
Nimeona kwakweli
@hassansaleh9730
@hassansaleh9730 6 месяцев назад
😂😂😂
@alvohslizer254
@alvohslizer254 6 месяцев назад
Baasi hii ndio comment nilikuwa natafuta😂😂😂 hila wabongo mwajua kuingiza❤🎉
@KendyGroly-v1k
@KendyGroly-v1k 6 месяцев назад
Nimeona na mm
@minaelsamson5352
@minaelsamson5352 6 месяцев назад
😅
@MoTalentTz
@MoTalentTz 6 месяцев назад
Ila zinduna the best sana chief malangalila kayakanyaga apa😂😂😂😂😂😂😂
@watisonywatisony7659
@watisonywatisony7659 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@kibibimlaula2526
@kibibimlaula2526 6 месяцев назад
Ameingia msitu wa vibwengo😂😂😂
@gabonmaseru2686
@gabonmaseru2686 6 месяцев назад
Sana,
@johnmajiulaya
@johnmajiulaya 6 месяцев назад
Vibwengo anaanza kuviona 😂😂😂😂
@FatmaMoha-o6e
@FatmaMoha-o6e 6 месяцев назад
Ameyatimba 😂😂😂😊
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 6 месяцев назад
Tomboy kweli kanyooka mapenzi shikamoo 😂😂🙌
@lambertnicepypa7560
@lambertnicepypa7560 6 месяцев назад
Kicheche ww ni kielekezo chang I support you my guy♨️♨️♨️
@alfredymalata269
@alfredymalata269 6 месяцев назад
kudadadeki mke mdogo kiboko mpaka chief mwenyewe kachoka mamaee😂😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
😂😂😂😂 kakutana na mwanga mwenzie
@Apnana-gb2gq
@Apnana-gb2gq 6 месяцев назад
Watching from South Africa Johannesburg nawapenda sana
@hamadfakhi3195
@hamadfakhi3195 6 месяцев назад
Pmoja
@k.o.n.g8925
@k.o.n.g8925 6 месяцев назад
Mzee wangu aliwahi kusema Mapenzi ni upumbavu 🙏
@salmasalam3268
@salmasalam3268 6 месяцев назад
Wow ambao atujalal hadi mda huu tujuane🎉🎉
@HellenMathias-b8n
@HellenMathias-b8n 6 месяцев назад
Tom boy wangu Leo umenikosha sema tembea ndo bado 😂😂😂
@NajmaSalim-x2y
@NajmaSalim-x2y 6 месяцев назад
Wa kwanz leo 🥰
@jukes-26
@jukes-26 5 месяцев назад
Mbn uyu mke mdogo wa mwisho nimempenda bureeeeee😂😂😂😂
@masiniemmanuel150
@masiniemmanuel150 6 месяцев назад
unachelewesha sana mzee kicheche
@abuukombe9700
@abuukombe9700 6 месяцев назад
Uko vizuri,bwana kapipi ila unachelewa kupost,,alafu bibi harusi anaonekana mzoefu WA Kula nyama za watu
@Mchomejr
@Mchomejr 6 месяцев назад
Kicheche uko juu bos 😮😮
@JustinaGodfrey
@JustinaGodfrey 6 месяцев назад
Wanaomkubali mke wa kwanza wa chief malangalila tujuane kwa like
@pascalkomba8574
@pascalkomba8574 2 месяца назад
Namkubali Sana uyo dada
@SualeheDali
@SualeheDali 6 месяцев назад
Chief kukutana na mwanga mwenzie😂😂😂
@raheematanzania2816
@raheematanzania2816 6 месяцев назад
Tena kapatikana😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@mariammohamed8499
@mariammohamed8499 6 месяцев назад
😂😂😂
@PiliSalehe-lt9ul
@PiliSalehe-lt9ul 6 месяцев назад
😂😂
@Ahmedali-fb2dy
@Ahmedali-fb2dy 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 6 месяцев назад
😂😂😂chief kapatikana na vai naye sai ataona thamani ya madaftari ❤❤❤❤
@Angela0765
@Angela0765 6 месяцев назад
Aweeeeeeeh wangap tulikua tume imiss kicheche unaupiga mwng❤
@mahmoudyunus5913
@mahmoudyunus5913 6 месяцев назад
Chief kayakanyaga 😂😂😂😂, waliopenda Chief kuletewa mitihani na yeye like hapa
@kichecheBurund
@kichecheBurund 6 месяцев назад
Léo nimejitaidi ❤😅😂😊😂😊❤nimekuja mapema😅liké zangu mm kama copie kichecheburindi
@gracekiwelu9123
@gracekiwelu9123 6 месяцев назад
Chief Malangalila Kayatimbaaa😂😂
@Queen_of_love_2020
@Queen_of_love_2020 6 месяцев назад
Wakwanza from Usa 🎉🎉🎉
@TheeShann
@TheeShann 6 месяцев назад
hello
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 6 месяцев назад
Nyote wa kwanza aya Mimi wa mwisho naomba tusalimiane team furus team WiFi team kupambana nawapenda team kicheche
@HawaaMoureen
@HawaaMoureen 6 месяцев назад
aseee hii ya leo mot sanaa❤❤❤ kwa chief kumenoga,kwa vai napo 😮😮😮😮dibweee nae 😂😂😂 ila anamfany tom boy kuwa pc😊😊😊 af nilimmis san chapombe😅😅😅😅😅😅
@abrahamwanjala5812
@abrahamwanjala5812 6 месяцев назад
Wakati mnapo shooti director kidogo na camera man walianzia .. kuna mkono pale kwenye kiti sijui kama mme uona ....✌️✌️✌️ Ila kazi safi hio
@zulfamohamedy-n1t
@zulfamohamedy-n1t 6 месяцев назад
asa kila mtu ni wa kwanz jaman bac me wapili leo nipen like zangu wapendwa tunaofuatilia familia ya kichehe gonga like apa🎉❤
@hadijazabayo841
@hadijazabayo841 6 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ElizabethJulius-h1n
@ElizabethJulius-h1n 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤
@amourmbagoo3322
@amourmbagoo3322 6 месяцев назад
kwenye hiko kipande cha kuwapa pessa wake zake chief kuna mtu katokeza mkono hapo kicheche kua makin na makosa madogo madogo
@BiyayaJuniour
@BiyayaJuniour 6 месяцев назад
Kkkkk
@BiyayaJuniour
@BiyayaJuniour 6 месяцев назад
Mi sjw wangap guyz nimechelewa nimetoka mbali Malawi kkk my likes guys
@CK-ri1mo
@CK-ri1mo 6 месяцев назад
Kudadek kwa huyu bi mdogo chief amepatikana!!!!! 😅😅😅
@kingfocustzog
@kingfocustzog 6 месяцев назад
Sema mwamba anazingua sana mtu umekalibishwa ñdani ila bado unaleta ubishoo
@MwanaidiChambwe
@MwanaidiChambwe 6 месяцев назад
Me mwenyw namshangaa km taila
@ahmedbreeezy7414
@ahmedbreeezy7414 6 месяцев назад
kabisa yan msaada lakin anajifanya muhucka
@mr_akily_og
@mr_akily_og 6 месяцев назад
Watu hawafananiiii...hiv unaamin kuma kuna watu wakifumaniaa wakee zao.. Hawaongeii. Wanaondoka eneleo la tukio.....😂😂😂
@mrpmrp5841
@mrpmrp5841 6 месяцев назад
Kicheche Mzee uko juu tu sana more love wapi likes za mkenya
@MarthaMkasi
@MarthaMkasi 6 месяцев назад
Tom boy kapendeza ila sasa midundiko mwendo😂😂
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 6 месяцев назад
😂😂😂
@LearntowinLTN
@LearntowinLTN 6 месяцев назад
😂😂😂
@SophyJay
@SophyJay 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@johnstonejunior6304
@johnstonejunior6304 6 месяцев назад
Wakwanza toka Kenya nipeeni maua yangu
@boniphaceisohe-fm6di
@boniphaceisohe-fm6di 6 месяцев назад
oooooh wane2 kicheche chupa lipo fresh sema nini unazingua mwane2 unacherewa Sana pacha😮😮😮 oooooh mwanangu kicheche ,,, rispect for you 🎉🎉🎉❤❤❤
@VYATWONAGROUP
@VYATWONAGROUP 6 месяцев назад
Jamani ivi mumemuona muendesha ibada alivyoshangaa😂😂😂😂😂😂
@victoremanuel29
@victoremanuel29 6 месяцев назад
Yan kapatikana
@MwanakheriAbdallah
@MwanakheriAbdallah 6 месяцев назад
Ila Hapo kwa Msomi Wamebungi co kweli Mtu kwako na Akupangie Masharti Cjawai Onaaa Kwakwel😅😅😅
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 6 месяцев назад
Kwasababu anampenda vai😅
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 6 месяцев назад
Ujinga tu ukalibishe unipangie maish
@AsnatLikangamotto
@AsnatLikangamotto 6 месяцев назад
Yule ame0g0pa kumwalibia kwa ajir aliye ndan
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 месяцев назад
​@@AsnatLikangamottoumeona
@EnessiSosten-gd7yy
@EnessiSosten-gd7yy 6 месяцев назад
Sana wanaboa
@SitaniRongo
@SitaniRongo 6 месяцев назад
Tom boy kwisa habr
@naifatshafii2504
@naifatshafii2504 6 месяцев назад
Huyu mdada afadhali atamnyoosha chief nimeipendaa
@KhadijaJuma-lz8ej
@KhadijaJuma-lz8ej 6 месяцев назад
Kabisa kabisa
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 6 месяцев назад
Tena sana 🔥🔥
@malikiopondo
@malikiopondo 6 месяцев назад
Malangalila kakutana na malangalila mwenzie😂😂
@UpendoMwandelile
@UpendoMwandelile 6 месяцев назад
ARSENAL KWISHA HABARI YAKE😂😂😂😂😂😂😂😂
@dastopadady2402
@dastopadady2402 6 месяцев назад
Kafugwa na bayan🎉
@UpendoMwandelile
@UpendoMwandelile 6 месяцев назад
@@dastopadady2402 😂😂😂😂
@3malis
@3malis 6 месяцев назад
Washika ukuta 😂😂😂😂
@hemedwalid6570
@hemedwalid6570 6 месяцев назад
na man City naye kwisha habar yake😅😅😅😅
@anthonylister754
@anthonylister754 6 месяцев назад
City nae kwaheri
@DavidBulali-vx9ln
@DavidBulali-vx9ln 6 месяцев назад
Mzee kicheche upo vzr Sana ni mbunifu na unaelimisha jamii big up kwa mwaka huu unastahili maua yako
@edwardmichubu3078
@edwardmichubu3078 6 месяцев назад
Wakwanza 🎉🎉🎉
@fabianlucas3594
@fabianlucas3594 6 месяцев назад
Chief Malangangalira amepata wakufanana nae. Mwanamke mjuaji😂 Anyway nipo nasubiri Epsode ya 19 hii tayari. Iko vizuri
@HawaaMoureen
@HawaaMoureen 6 месяцев назад
asanten san ila mnachelewesha jamniii❤❤
@TheeShann
@TheeShann 6 месяцев назад
hi ❤
@ARNOLDMAKORA
@ARNOLDMAKORA 6 месяцев назад
😂😂kwanini umupende asiye kupenda? Natokea goma ville rdcongo
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 6 месяцев назад
Huyu marangarira kayakayagaa😂😂😂😂😂 bibi mdogo wasai nilwale wachawi wakula nyama 😂😂😂😂😂
@HamisaMbaka-eh4dl
@HamisaMbaka-eh4dl 6 месяцев назад
Sanaa
@naomikambua239
@naomikambua239 6 месяцев назад
Nawapenda sana nazidi kuwafatilia ❤❤❤ kazi nzuri 🔥🔥🔥 i can't wait to see episode 19
@danielwambua8412
@danielwambua8412 6 месяцев назад
ooh my God, am addicted to this, kila inapoisha inatuacha kwa suspension
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 6 месяцев назад
Kicheche toa vichekesho hii imekataa
@AshuraMduma
@AshuraMduma 6 месяцев назад
Mie wa mwisho,Yan sinaga swags kbs
@YasiniJuma-qp1jh
@YasiniJuma-qp1jh 2 месяца назад
Jmn chief Malanga kayakanyaga ukoooooo😅
@pastarastaoriginal9147
@pastarastaoriginal9147 6 месяцев назад
Number one nipeni like zangu 😎✌️
@PropheteSamuelMbinguwazi
@PropheteSamuelMbinguwazi 6 месяцев назад
🎉🎉🎉 from Congo lakini ule anamupenda musomi leta likéb😂😂😂
@gregoryemanuely633
@gregoryemanuely633 6 месяцев назад
Leo nimewahi mapema tyuuu😅😅
@NoelaKasili
@NoelaKasili 6 месяцев назад
Malangalila kaya kanyaga sasa kwa zinduna😅😂😅😂 patamu hapo leten mwendelezo fasita
@Touss_b
@Touss_b 6 месяцев назад
Nimekuwa wakwanza kupata hiyi muvi munipeni lik zangu
@MkorinoWaochii
@MkorinoWaochii 6 месяцев назад
Kicheche uko on fire much love from kenya❤❤❤
@youngkmweusiwareba
@youngkmweusiwareba 6 месяцев назад
Nimekuwa wakwanza leo dakika mbili mani ❤❤❤❤ towa from texs
@ezekielbkuyeko5241
@ezekielbkuyeko5241 6 месяцев назад
Good job kicheche, nakuombea muendelezo wote uwe na maadili yaani itazamwe na watu wote wa lika zote, najua hata huyo wa pombe siku moja ataacha kama dada yake alivyoacha u-jike dume but all in all👏since episode 1
@AmBOKOKOSIMPLE
@AmBOKOKOSIMPLE 6 месяцев назад
Kicheche mnifollow jameni 1st one
@didamseto8280
@didamseto8280 6 месяцев назад
arafu bi mkubwa wa chef nimemuelewa anajua tena kwa kistalabu
@MirollsJusley
@MirollsJusley 6 месяцев назад
Mimi namukubali sana kicheche na kundi lake nzima kama na ww una wakubali usipite bila ku like comenty yangu❤
@Samwelmagita-jb1so
@Samwelmagita-jb1so 6 месяцев назад
Wakwanza Leo naomba like zangu jmn...@
@abduljoaomajirajoaomajira6777
@abduljoaomajirajoaomajira6777 6 месяцев назад
Tirtyy7777777
@abduljoaomajirajoaomajira6777
@abduljoaomajirajoaomajira6777 6 месяцев назад
Damasio
@CAFE_DRC
@CAFE_DRC 6 месяцев назад
Niko wa kwanza leo ❤❤
@ShaaMedy-it6ro
@ShaaMedy-it6ro 6 месяцев назад
Kwani uyu zinduna wanapenda kumchezesha uchaw uchaw jaman😅😅 na kanafanania ila all in all mnajua sana 🎉🎉🎉mauwa yenu ayo
@OZWIMsabato
@OZWIMsabato 6 месяцев назад
Wakwaz kutok 🇧🇮 Tunawakubar saaaaaaan kwakaz nzuuuuuuur❤
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 6 месяцев назад
Tom boylawa demu leoooooo😅
@rophinashayo9943
@rophinashayo9943 6 месяцев назад
Na mimi nmekuwa wa kwanza leo naombeni like zangu hapa
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 6 месяцев назад
😂😂😂😂Chief malangalila 😂😂😂😂😂😂😂zinduna kiboko ya chief
@michaelspencer-uw6wu
@michaelspencer-uw6wu 6 месяцев назад
Kicheche kazi nzuli kaka
@vailethfundi8708
@vailethfundi8708 6 месяцев назад
😂😂😂 ila tom boy
@YaziduJuma-lq1ty
@YaziduJuma-lq1ty 6 месяцев назад
Wamwisho jamani uwiiii 🎉🎉🎉
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 6 месяцев назад
Aliyeuona MKONO umetokea kimakosa kwny scene ya wake watatu ile tukusanyike hapa😂😂
@RafikiBaseme
@RafikiBaseme 6 месяцев назад
Big UP wa kwanza kutoka Congo naomba like zangu tafadhali
@RamadhaniKaduri
@RamadhaniKaduri 6 месяцев назад
Yani ww kicheche noma sana huna baya🎉🎉 chukua mauayako bahn❤
@AllyKhamisi-lt6gd
@AllyKhamisi-lt6gd 6 месяцев назад
Wa kwanza leo like 10 tu jaman
@Doreenamos
@Doreenamos 6 месяцев назад
Hongera sana kichech jmn wewe pekeako ndy unawashiriki wengi kwenye tamthiria Yako na wote wanafanya vzr kwenye nafasi zao😂😂🎉🎉🎉
@AugustinDaniel-vd3gb
@AugustinDaniel-vd3gb 6 месяцев назад
Nawafwata 5/5 je suis en RDC nord Kivu
@AbiTech96
@AbiTech96 6 месяцев назад
Unachlewesha mzeee, hadi tunaanza kusahau! Nikonawe begz kwa bega depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Busanani
@Busanani 6 месяцев назад
Mimi hapa wakwanza kicheche umbwa wewe😅😅
@Abaah-et5hc
@Abaah-et5hc 6 месяцев назад
Wakwanza leo abaaah
@bennettbennett2915
@bennettbennett2915 6 месяцев назад
Mnachelewesha kazi Sana mpaka mnaboa sasa,,,,,Mnajitahidi sana ila ndoivo mnachelewesha
@winiemwalongo8779
@winiemwalongo8779 6 месяцев назад
Wa kumi jamn like ata 100 tuu naomben🎉
@Enocky-pv5ui
@Enocky-pv5ui 6 месяцев назад
Oy kicheche anaweza sana tumpe mauwa yake jamani yani tanzania hii kwasasa ambae anafanya vizuri kicheche ✍️✍️✍️✍️❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@almasiactivateprinceofpeac6737
@almasiactivateprinceofpeac6737 6 месяцев назад
Wa kwanza Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EdwardNyaroche-vm7pf
@EdwardNyaroche-vm7pf 6 месяцев назад
Ila hii muvi kila scene kali, kali kila actor anaigiza reality 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Skylightchessclub
@Skylightchessclub 6 месяцев назад
Leo Mimi ndio wa kwanza, likes zangu ...!!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@IsmailAbdi-mq7nz
@IsmailAbdi-mq7nz 6 месяцев назад
Kunamkono nimeuona apo wamezingua dkk ya 13
@dalalimrembo
@dalalimrembo 6 месяцев назад
Oyooooooooo Hivi madaftari haelewagi 😅😅😂😂😂 ngoja nimalize kutizama afu nirudi ku comment
@Marcus92378
@Marcus92378 6 месяцев назад
Chifu Kaya kanyaga😂😂😂😂😂
@EvaristeKahighana
@EvaristeKahighana 6 месяцев назад
Pokea like zangu kutoka Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mzee kicheche
@EliasMahalah
@EliasMahalah 6 месяцев назад
Move kali kinoma ila unachelewa kuachia miendelezo unatunyima uhondo pumbavu zako 🐕 kicheche 😂😂😂
@Lastborn005
@Lastborn005 6 месяцев назад
Wakwanza 😅😅😅🎉🎉
@jorgecesilio8862
@jorgecesilio8862 6 месяцев назад
Inachelewa sana kutoka, mwisho ushindwe kama PESA NA MATATIZO.!!!!
@UpendoMwandelile
@UpendoMwandelile 6 месяцев назад
MAN CITY ANAKUFA LEO😂😂😂😂😂
@FeisalJuma-c1v
@FeisalJuma-c1v 6 месяцев назад
Kashakufa tayri😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 6 месяцев назад
😂😂😂
@HalimaHassan-i5r
@HalimaHassan-i5r 6 месяцев назад
Ameshakufa teali😂😂😂
@Amina-i4r
@Amina-i4r 6 месяцев назад
Chifu malangalila kayakanyaga jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂zinduna kz nzuri sana 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GriphineJonesGriphine
@GriphineJonesGriphine 6 месяцев назад
Cjui kama Kuna wakenya wanafwatilia huyo mwamba nione kwa likes ❤❤❤❤❤
@JenniferNasimiyu-d3c
@JenniferNasimiyu-d3c 6 месяцев назад
Tupo hapa
@Wamapozofficial
@Wamapozofficial 6 месяцев назад
😂😂😂Yani jameni humu ndani watuu wawili ndo wamenibamba 😂 tom boy n,a mlevii 😂😂😂😂
@NewtonAlonso
@NewtonAlonso 6 месяцев назад
Wa kwanza kutoka kenya naitaji likes zenu
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 6 месяцев назад
Kazi nzuli ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂 ila Tom boy kaua 😂😂😂😂😂😂 mtembeo na gauni😂😂😂
@suleshjuniormgaya8057
@suleshjuniormgaya8057 6 месяцев назад
Mtoto wakike nae mwanga huyo
Далее
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 19)
18:02
Просмотров 327 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode  /54/ #love
27:41
Просмотров 85 тыс.
LAMBA LAMBA (Part 01)
11:55
Просмотров 1,8 млн
DUNIA (Ep 11)
23:09
Просмотров 181 тыс.
KIBENTEN (FINAL)
18:31
Просмотров 1,1 млн
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
Просмотров 2,6 млн
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 20) FINAL
25:41
Просмотров 387 тыс.
DOGO SELE NA BOSI KIMARO UTACHEKA DALALI WA MCHONGO
13:26
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 5 млн
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 178 тыс.