Тёмный

Fatwa za Kielimu Kwa Wanao Jiita Masalafi |Sheikh Abdul-Kadir Al-Ahdal 

ALI FAZA
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Darsa Kamili
Fatwa za Kielimu
Hukmu za Kisheria
Sunba na Uzushi Katika Dini
Sheikh Abdul-Kadir Al-Ahdal

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@mtopelwamlanzi-gx2nz
@mtopelwamlanzi-gx2nz 7 месяцев назад
Mashekhe chukueni mfano wa cheke abdulqadr fatua zakujenga uislam imara jakallahu khaira
@abuufarha6562
@abuufarha6562 7 месяцев назад
Yanihawa wanaowasapoti ukiwaona hata ibada hawafanyi watu wamtaani ndio wanawaona ni mashekhe, mcheni Allah,
@AhmedMohamed-un4zh
@AhmedMohamed-un4zh 7 месяцев назад
Utaulizwa kwa kila usemayo na utasimama mbele ya mola wako
@AthumaniIbrahim-h8y
@AthumaniIbrahim-h8y 7 месяцев назад
Kwani wewe huulizwi sheikh yuko sawa
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h 7 месяцев назад
Masha allah sheikh twashukuru umetutoa mashaka wanao kunut na wasio kunut wote ni waislamu hakuna matatizo..
@omarsuleiman2944
@omarsuleiman2944 7 месяцев назад
HATA MTIUME ALUSEMA KTK HADITHI SAHIHI KUA KUTAKUA NA MAKUNDI 73,YOTE MOTI ISPOKUA MOJA,HAYO 72 NI WAISLAMU PIA
@AbdallaBadi-kx4yz
@AbdallaBadi-kx4yz 7 месяцев назад
@@omarsuleiman2944 hadithi hii imedhoofishwa c sahihi
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 7 месяцев назад
Hilo moja ni lipi?​@@omarsuleiman2944
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 6 дней назад
Radio imani hamujaona mashekh wa kuwaita kuwahoji mbona huyu shekh anapotosha sana umma ni shekh wa kwenda na matamanio ya watu hawafati dini yey na mdogo wake wanekuwa ni watu wanaojinasibisha na sunnah lakini mtihani mtupu fatuwa zao
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 6 дней назад
Huyu ni msufi aloficha usufi wake kwenye sunnah.
@AbdulkarimManguli
@AbdulkarimManguli 3 месяца назад
Allah ampe umri mlefu wnye manufaa aamin❤❤❤❤❤
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 7 месяцев назад
Sasa Hawa wanaojita salaf wajiulize huyu sheikh wao qaasim mafuta na imaam shafy rehemahullahu nani mwenye ilimu na nani salafy wakweli
@zaidechafim2613
@zaidechafim2613 7 месяцев назад
Huyu nisheikh waukweli wallah wengine wajingatu wanataka kupoteza umma eti wasema salafi pooooora
@isihakamgeta5433
@isihakamgeta5433 7 месяцев назад
HUYU NA NYIE NJIA YENU NI MOJA SO HATUSHANGAI
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 7 месяцев назад
Njia ipi?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 7 месяцев назад
​@@husseinsaid8021ya watu wema
@AhmedMohamed-un4zh
@AhmedMohamed-un4zh 7 месяцев назад
Vichwa vibovu utavijua , toa dalili hapa sheikh katoa dalili
@AbuuzuhairMuhammad
@AbuuzuhairMuhammad 4 месяца назад
Barak allah
@halidijuma1884
@halidijuma1884 7 месяцев назад
Mawahabi njooni huku wazee wa RADDI
@AbdulaziziPacha
@AbdulaziziPacha 7 месяцев назад
Acha ukhanithi weye unaelimugani ya kumbeza sheikh abdul qadir na ndogowake hiyo lugha pia huijui unapatawapi nguvu ya kuwasema halafu weye sie unae andika ibada za waja wahabiweye
@MohamedSharifumussa
@MohamedSharifumussa 7 месяцев назад
Makundi yanaendelea bado hayajaisha wakati Dunia haijaisha
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 3 месяца назад
Tutarajie mengine mengi tuu
@abusumayyah3112
@abusumayyah3112 7 месяцев назад
Usalafi unawauma sana kwa kule kuchagua kwenu uhizb, kana kwamba mwafanya amali kwa ajili ya watu, hamkulenga kutoa elimu.
@maalimhemedsalumu
@maalimhemedsalumu 7 месяцев назад
Unaongea kishapiki😂
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 7 месяцев назад
Unawatesa.sana
@msabahaali758
@msabahaali758 6 месяцев назад
huyu shekhe haileweke kama mtu wa sunna au hizbi
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 3 месяца назад
Ni muislam
@alfaroukshabani6445
@alfaroukshabani6445 3 месяца назад
Huez muelewa sabab unaendekeza ushabki
@saadallah6287
@saadallah6287 6 месяцев назад
Du kula chakula cha sherehe ya nakafir huoni kama unabarik sikukuu zao?
@MohamedSharifumussa
@MohamedSharifumussa 7 месяцев назад
Acheni upuuzi wenu nyinyi ni masahaba au wafuasi washetani mnagawa watu kwa vipimo gani
@abuufarha6562
@abuufarha6562 7 месяцев назад
Hawa namdogowake kishki wanajifananisha na watu wa sunna lakini ni masufi wanazaka kumridhisha kilamtu fatu zao hazieleweki ziko baina wabaina mcheni allah acheni uzushi,
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 7 месяцев назад
Jaaahil muraqqab
@SalumSeif-w5y
@SalumSeif-w5y 3 месяца назад
sunna sio ya mtu au yakikundi fulani sunna ni ya waisilamu wote. waislamu wote duniani ni watu wa sunna.lakini kabla ya kumwambia mtu sio mtu wa sunna kwanza ujue nini maana ya sunna kilugha na kisheria naujue na ujue nini hukmu ya kusema fulani sio mtu wa sunna utumie vigezo vya kisheria
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 6 дней назад
Matendo na Akida yake ndo utajuwa huyu mtu wa sunnah au so mtu wa sunnah ukisema waislamu wote duniani ni wasunnah hata mashia nao ni wasunnah siyoo sunnah ya kutukana swahaba hiyo au sunnah ipi masufi nao ni watu wa sunnah pia
@AthumaniIbrahim-h8y
@AthumaniIbrahim-h8y 7 месяцев назад
Allah akubariki muono wako mkubwa
@Kzm-c9u
@Kzm-c9u 7 месяцев назад
Huyu mzee bora anyamaze tu 😅😅
@khamisothman1154
@khamisothman1154 7 месяцев назад
Kwa nini unakimbilia kukata simu
@muhsinimohammad58
@muhsinimohammad58 7 месяцев назад
حفظكم الله ورعاكم
@hassankiloba217
@hassankiloba217 7 месяцев назад
Asanite sana❤❤❤❤
@MohamefMullah
@MohamefMullah 7 месяцев назад
Eti usalafi unawauma, hii ni kutokujua maana sahihi na tafsiri sahihi ya salafi, waambieni maana sahihi ya salafi ni waja wema waliopita, na sio kujipachika jina la usalafi na wewe mwenyewe ukabweteka kwa kujiona ni mja mwema, Nyie munaojiita masalafi kwa sasa ni kama vile munatafuta Kiki na umaarufu lakini hamna kitu, hili kundi ni pote tu limeanzishwa na uwasili wake ni uwahabiya yaani mawahabi, munajificha mgongo nje, eti sisi salafi yaani munachukuwa jina la waja wema munaojiita
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 7 месяцев назад
الجواب: الدعاء في صلاة الفجر دعاء القنوت ليس بمشروع، إلا للأسباب إذا كان هناك أسباب وهي: تسمى أسباب النوازل، يعني: إذا كان هناك نازلة بالمسلمين مثل حرب نزلت بالمسلمين عدو هجم عليهم أو على بعض قراهم يدعى عليه، أو عدو قتل منهم بعضهم كما دعا النبي ﷺ على من قتل القرَّاء، ودعا على أهل مكة لما أمعنوا في الكفر، هذا يقال له: القنوت في النوازل هذا مشروع. أما القنوت في الفجر دائمًا فالصواب: أنه غير مشروع؛ لأن سعد الأشجعي سأل أباه فقال: يا أبت! صليت خلف رسول الله ﷺ وخلف أبي بكر و عمر و عثمان و علي أفكانوا يقنتون في الفجر؟ فقال أبوه: أي بني محدث وهو سعد بن طارق الأشجعي رواه الخمسة إلا أبا داود بإسناد جيد. فهذا يدل على أن القنوت في الفجر غير مشروع، إلا للنوازل خاصة كما تقدم، وأما رواية أنه كان يقنت في الصبح حتى ما زال في حياته عليه الصلاة والسلام، هذا ليس بصحيح بل هو ضعيف، في بعض الروايات عن أنس أنه كان يقنت حتى فارق الدنيا عليه الصلاة والسلام، ولكنه لو صح لكان واضحاً، لكنه حديث ضعيف الإسناد، وقال بعضهم: لو صح معناه أنه كان يطيل الوقفة بعد الركوع؛ لأن طول القيام يسمى: قنوت، وليس معناه القنوت المعروف، بل معناه أنه كان يطيل القيام بعد الركوع عليه الصلاة والسلام ويسمى قنوتًا، ولكن الحديث مثلما تقدم، ليس إسناده بصحيح ولا يعتمد عليه. فالصواب: أنه لا يشرع القنوت في الفجر على صفة دائمة، وإنما يشرع فيها إذا كان هناك نازلة بالمسلمين أو في المغرب أو في العشاء لا بأس أو في الظهر والعصر إذا كان هناك نازلة قنت فيما شاء من الصلوات الخمس، والأفضل في الفجر والمغرب. نعم. المقدم: جزاكم الله خيرًا.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 7 месяцев назад
@@abuurayaan3902 vipo vita baina waislamu na haki za binaadamu watu wasagane, Yatosha waislamu kuleta qunuti.
@nduwimanahijja4448
@nduwimanahijja4448 7 месяцев назад
Assalam alaikum warhamatullah wabarakatuhu.Allah awazidishei kila lakheir ninaitwa hijja mkaazi wa Rwanda nawapenda sana
@OmaryTambi
@OmaryTambi 7 месяцев назад
Kumbukeni umaut alhikma kaeni upande mmoja tuwaelewe acheni janjajanja
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 7 месяцев назад
Umefundwa chuki na husda
@NdiyembukeJr
@NdiyembukeJr 7 месяцев назад
Elimu za hawa masalafy ni ndogo sana
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 7 месяцев назад
Wewe unataka upande au unataka hoja za maimamu?. Upande chagua wewe. Huku ni elimu tu inatuongoza
@alshabiialshabii
@alshabiialshabii 7 месяцев назад
Uwaelewe wew kama nani kwani wew ndo una miliki thawabu
@alshabiialshabii
@alshabiialshabii 7 месяцев назад
Hizo ni husda
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 7 месяцев назад
Wewe acha kupoteza watu
@alshabiialshabii
@alshabiialshabii 7 месяцев назад
Wew nenda ukawaongoze unaye jua acha husda
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 7 месяцев назад
Apoteza watu huyu wewe elewa
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 7 месяцев назад
Kujiwekea eda yakunuti hii bidah
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 7 месяцев назад
Watu wapumbavu sana, wanajiita masufi, mashia, nk hawasemwi lolote kwa kuwa wanakubali maulidi. Watu kujinasibisha na salafi (sunnah) kelele nyingi
@abuufarha6562
@abuufarha6562 7 месяцев назад
Hawa namdogowake kishki wanajifananisha na watu wa sunna lakini ni masufi wanataka kumridhisha kilamtu fatua zao hazieleweki ziko baina wabaina mcheni allah acheni uzushi,
@IbrahimuYahya
@IbrahimuYahya 7 месяцев назад
Hilo ni jiwe limerushwa gizani we ndo umepiga kelele sisi twajua ndo limekupata ndo mana
@dinocastico8495
@dinocastico8495 7 месяцев назад
Leta hoja zako uje na dalili ili uwe mkweli
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 7 месяцев назад
Naam haswaa
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 7 месяцев назад
Kwani huyu si ni Sufi Mama yao alipo kufa Si walisoma Khitmah na kuchoma ubani tangu lini mtu wa Sunna akafanya Uzushi??
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 7 месяцев назад
Alafu ukijua ni watupu mbona hawataji marajii za kielimu na qauli zenye nguvu kama walivyo elezea Wanachuoni
Далее
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
DAXSHAT!!! Avaz Oxun sahnada yeg'lab yubordi
10:46
Просмотров 515 тыс.
DUA ZINAZOTAKIWA KUOMBWA BAADA YA SWALA
1:15:07
Просмотров 213 тыс.