Тёмный

FEROOZ - Maji ya Shingo ndo Mzizi wa Bongo Fleva (Bongo Project Interview - Part 1) 

Bongo Project
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

Ferooz anakuwa ni msanii wa pili kwenye mfululizo wa vipindi vyetu vya Bongo Project. Katika sehemu hii ya kwanza Ferooz anaelezea chimbuko lake kabisa la muziki na mwanzo wa kikundi chao cha Daz Nundaz mpaka kurekodi nyimbo ya kwanza na kushirikiana na maproducer maarufu Tanzania kama vile P-Funk na Mika Mwamba.
#ferooz #daznundaz #bongofleva #bongoproject #bongomusic #feruzi
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
www.bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@shadyrich2143
@shadyrich2143 2 года назад
Sajo yupi akina sajo wengi siku mtuletee Sajo
@RichardPriscilla-e5e
@RichardPriscilla-e5e Год назад
Tatuteni sehemu yenye utulivu hizo kelele zinaboa
@SalimSalim-bv3wb
@SalimSalim-bv3wb 2 года назад
Kazi safi brooo
@emmaemma3654
@emmaemma3654 2 года назад
Nice interview bro,keep it up!!
@bongo_project
@bongo_project 2 года назад
Thanks a lot.
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 года назад
🔥🔥🔥🔥
@angedizzle1
@angedizzle1 Год назад
Walikua wadogo kiumri, ila zile nyimbo zilikua mbele ya muda
@bongo_project
@bongo_project Год назад
Uko sahihi kabisa.
@EBMSCHOLARS
@EBMSCHOLARS 2 года назад
Safi sana, great interview, 👏🏾👏🏾👏🏾
@bongo_project
@bongo_project 2 года назад
Shukrani sana Mr. EBM
@aronboyclassic2978
@aronboyclassic2978 2 года назад
Hongera interview kali nainjoy sana!!
@hezekiahelbertonline6831
@hezekiahelbertonline6831 2 года назад
You're doing great 🙏🙏🙏👍👍
@bongo_project
@bongo_project 2 года назад
Thanks. We appreciate it.
@almasrwamiye5042
@almasrwamiye5042 2 года назад
Bavuga Jr lini utafanya interview na 20%?
@bongo_project
@bongo_project 2 года назад
Shukrani. Wasanii karibu wote wa Bongo watakuja meza ya Bongo Project. Tutamtafuta. Endelea kufuatilia...
@bongo_project
@bongo_project 9 месяцев назад
Huyu hapa mzazi: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-CgvBPqQfDaQ.html
Далее
MHE. TEMBA - Full Interview na Bongo Project
1:12:30
HIKI NDO CHANZO KAMILI KIFO CHA MANDOJO.
9:09
Просмотров 2,1 тыс.
Jua Kali Leo Jumapili Usiku 06-10-2027
20:02
Просмотров 3,7 тыс.
Ferooz - Wema Umeniponza ( Official Video)
6:09
Просмотров 331 тыс.