Amin Amin, mubarikiwe sana , nyimbo nzuri sana kweli kweli, Mungu ni mwema kila wakati.... Ushauri kidogo : kitu mulichokosea kwenye huu wimbo ni party za wanawake, wanaume mbona wamevaa vizuri why wanawake wamevaa hivyo jamani? Mkiwa kama lengo lenu ni kumuimbia Mungu vivyo mujitaidi muwe nature , maana Mungu aliwaumba na uzuri wenu wa asili, wala msitumie vya dunia hii, ninyi kama waimbaji was a nyimbo za Gospel mujitaidi mujitenge na mambo ya dunia hii, maana ninyi pia ni mfano wa kuigwa, sasa ninyi mkivaa vivyo kweli watu wa dunia hii tutawashauri nini? Si watasema angalieni waimbaji choir ndo hao wanavaa nguo mbovu,,, So tafadhali, tunawapenda sana, lakini kwenye project zinazokuja, mujitaidi muvae vizuri , maadili ya ki africa, musitumie vipodozi vyovyote maana hivyo vyote vinatokana na shetani, Kwaiyo jitaidini tafadhali musivae skirt fupi wala nguo za juu za kuwabana na kuonyesha maongu yenu , Nguvu za Bwana zitende kazi kwenu, na Roho matakatifu awaongoze katika jina ka Yesu kristo ili mpate kufanya vizuri katika next project , In Jesus name , I Pray , Amen 🙏 Naitwa Maurice from Houston Texas , jirani yenu, ukiwa na swali lolote nitafute Facebook kwa jina la Grevis Vete nami nitakukubalia urafiki na tuta hubiri zaidi na zaidi
Duuuh mubarikiwe sana gonga like apa adi mchoke coz nikitu chamaana sana walichokifanya daaah nililikuwa naisubiri kwamakini saaaana daaah I love tha song 💟💟❤❤❤❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝🤝🤝💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
nyimbo ni nzur lkn sketi walizovaa hazina heshima. nguo zimebana mpaka maumbile? hapo si mahali pa kuonyeshana shepu na umbo na mahips ni kama wanatafuta wanaume wa kuwaoa. kwan hakuna sket za heshima? kwanza hizo sket zinabana had step hazichezwi kwa uhur. hakuna lolote ni kuonyeshan mashepu tu. tutakutana kwenye kiti cha hukumu kisicho na ubaguzi, tutajua mengi siku hiyo.
Nimeanza kuwasikia Mwezi June 2020 ktk wimbo wa Mimi siogopi kupitia Rabbi TV inayofanya majaribio yake hapa Tz kabla ya kuwa hewani rasmi. Nimewapenda na ninawapenda sana,hivi Choir yenu iko Tz au USA? na ipo ktk kabisa gani? Kama Ni USA mpo huko kwa makazi au kwa shughuli gani?.......Sichokj kuwaangalia mko vizuri, very smart guyz. Kee it up.