This is a great video but the editing umetumia Leo(HGL) aki mtu hawezi watch Kwa TV just check ata on your side. Iko poa tu Kwa simu lakini mtu anawatch Kwa tv hawezi ona it's too bright ata hamuonekani...please consider watu tunawatch Kwa tv when editing. For today I'll pass this one juu hii brightness inaweza fanya nipotee macho 😂
Finally house tour❤❤❤keshi wachana na hiyo dera yako ona vile unakaa mali safi, you have a nyc shape wow❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana, alafu biko napenda kicheko yako💙💙