Atumia, atumia, atumia achaneni na hii kitu inaitwa deliverance, please learn to pray for yourselves and have patience,siyo lazima ukiomba mungu saa hii atende saa hii,learn to wait he will finally do.
Shindwe katika jina la Yesu,wakwa nindatunyirwo no kuhurwo na kuhutangio reke nemwo.akurinu rita riri kai ni inyui muraria. Kanitha anga riu ni waganu na biashara
Hakuna wacha kutasfiri maandiko kishetani ukisoma maandiko wapi shetani alifukuzwa na mafuta ama kuwa na mashetani ni ugonjwa wacha wewe .Huu ni ushetani kinyume na maandiko
Kupaka mafuta kwani Bibilia imesema kwa private parts??????If you are truly annoited for deliverance,you can do it without all that dirty touching.Jesus never did such acts.
But si Hata mganga uwa anapaka tu hivyo mbona uwa mwanyamaza? Mganga anachanja Hadi ndani ya mkundu chanjo saba🤔 na wainama tuuu! Lakini huyu kupaka tu mafuta lol😂😅