Тёмный

Fix You: Jinsi ya kuishi na Mume/Mwanaume anayelalamika sana - Na Deo Sukambi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@MisheckSiame-si1yo
@MisheckSiame-si1yo 7 месяцев назад
Yangu nimeanza kukufatilia najikuta nakua msomi bila kusoma❤❤❤❤❤❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Kipindi kizuli da irene,naomba kipindi chako kiendelee, nakupenda Sana da irene ❤️
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
❤❤
@KoudraAbdoul
@KoudraAbdoul Год назад
Hongereni kabla sjasoma ima kutizama kipindi kitakuw bomba from Burundi 🇧🇮 we love him
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 Год назад
hii session so poa...hongereni sana SNS nimeenjoy!
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Asante sana somo zuri ❤
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Irene pendeza sana na hair style.
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Год назад
Irene big up nimecheka hd raha
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
😂
@robertmanyerere7660
@robertmanyerere7660 2 месяца назад
Jibu la msingi sana. Ukiamua kufanya pande zote mbili furahia tendo mengine ni ya ziada!
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Год назад
Ongera sanaMUNGU anawaona,
@gloryleon4187
@gloryleon4187 Год назад
Irene is very beautiful woman
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
NILICLIKI TU NISKIE 😃,NIKAMALIZA DAKIKA ZOTE,,,UKO MWISHO MWISHO KUNACHEKESHA SANA,UKIBUTULIWA BUTUKA 😃😃
@romes-tz7323
@romes-tz7323 Год назад
Leo wagonjwa wote wa mapenzi watakuwa wamepona😂😂😂
@aquilineanthony1115
@aquilineanthony1115 Год назад
Kamwe usielezeee udhaifu wako. Pambana kuushinda udhaifu 😊
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Год назад
Nafikir iki ni kipind bora kw 2023 cha mausiano
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Год назад
Anko wangu alimwambia mtt wake wa kiume amuache mkewe alikuwa mzur sana tena sana
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Год назад
😂😂😂 kwa kweli bora iwe hivyo tuu gubu sio zuri jamani tena linakondesha gubu la mume😂😂😂
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 Год назад
Napenda elimu kuelimika
@alexmarwa941
@alexmarwa941 Год назад
Jitaidi kumwalika Mara kwa Mara maaana unatupa TIBAA
@luciamsani
@luciamsani Год назад
Huyo mwanaume ni mbinafsi kwahiyo anataka bajeti ibaki vile kama alivyokuwa pekeyake wakati kashaongeza familia aache uchoyo........
@hellen1323
@hellen1323 10 месяцев назад
Dada mtangazaji ulikua ukipendeza sana uvyokua unanyoa na ulikua hupaki mafuta makali ulikua mzuri sana lakin sasa.
@BizimunguAdolphe-vp7xp
@BizimunguAdolphe-vp7xp 9 месяцев назад
Irene mbona wa alika ma pastors na hawaombi?
@susans4490
@susans4490 Год назад
Pastor hajasema kama kamwambia achague,kamtaarifu tu kwamba ana tatizo
@NasraNasa-mp7mf
@NasraNasa-mp7mf Год назад
Pia unakuta mwanaume anapenda kuhisi kila muda anaongerewa vibaya kila ukiongea na mtu kwenye cm anataka kujua ulikuwa unaongea nanani na ni nin.mlikuwa mnaongerea..na nani.
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Год назад
Tunaweza kumuita doctor sukambii?? maan wengne tunatibiwa kiakili bila kujijua... Umenifunza kit kaka MUNGU akubariki unatufunzaa vingi vijana wako
@tusekonga3030
@tusekonga3030 Год назад
😂😂😂😂asanteni sana
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
😂😂😂
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Assumption is the weakest kind of knowledge. Uuwii
@NasraNasa-mp7mf
@NasraNasa-mp7mf Год назад
Mim mumewangu akianza kulalamika a anyamazi kila cku analamika atakama ukikubali kosa sio lako bado anaenderea kulalamika tu
@ashireydaimu3148
@ashireydaimu3148 Год назад
Kuna ile mtu anakwambia sisi kwetu kuna sikoseli au kuna pumu. Sasa na mimi nataka kukuoa je uko tayari nikuoe? Unakuta unampenda ila ukifikilia kizazi chako uwenda kitapata sikoseli hp unakuta unamkubali huku unamkataa
Далее
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Просмотров 73 тыс.
NAFASI YA MAMA NA BABA KULEA MTOTO
31:29
Просмотров 5 тыс.
"Mawazo" Sehemu Ya 1 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian
29:06
HII NDIO DAWA YA MWANAUME MWENYE GUBU (HUBBUL HALAL)
23:22