Тёмный

Flavour na producer Masterkraft watua Dar, watu nyumbani kwa Diamond, collabo nyingine? 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 3 года назад
Yaan hakuna collabo duniani inayonivutia kama collabo ya Simba na Flavour , Omg!!!!! can't wait!!! WCB4LIFE
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 года назад
Huwa iko sawaaa
@paulineonkoba1196
@paulineonkoba1196 3 года назад
Pple are busy abusing Diamond and his answering them with work ! Bravo
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 3 года назад
Apa kazi tu diamond platnumz ni next level kabisa msani namba moja duniani simbaaa baba lao chibu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 года назад
Kwenye mziki wa bongo frever hua nasikiliza nyimbo nyingi lakini kiu ya mziki ili ishee kabisa baka nisikie wimbo wa diamond platnamz mpya hua najisikia rahaa sanaaa Wcb4life
@Mrtop-we7co
@Mrtop-we7co 3 года назад
Daah pamoja sana bro
@samygilman2553
@samygilman2553 3 года назад
Umetishaa Broh
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 года назад
@@Mrtop-we7co ukweli wa moyo wangu ndugu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 года назад
@@samygilman2553 ukweli wa moyo wangu ndugu
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 года назад
Hongera simba
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 3 года назад
long live Simba in Flavor's word....yeah huo wimbo kuna sauti ya mondi...ni ngoma kali sana
@mukaplatnumz2313
@mukaplatnumz2313 3 года назад
Mwaka huu kutakufa jitu yaani aliye mchokoza MOND awai kupiga goti na Kumuomba msamaha bila hivyo watajua AWAJUI.💥🦁👑
@Pratnumzsimba
@Pratnumzsimba 3 года назад
Kwel kabsa😃😃😃
@fidianishimwe4035
@fidianishimwe4035 3 года назад
@@Pratnumzsimba yani umejuwa kunicekesha 😂😂nimekupenda bure🥰🥰
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 года назад
....EVERY DAY WE CELEBRATE .....WCB WASAF everYday is the party 👏👏👏
@xtarkidz5923
@xtarkidz5923 3 года назад
Ilo beats hatari natamani niachiwe muda huu wakat #inama kule inafikisha 90mil na #waah ndio inaenda 70mil sasa ndio unajuwa miezi 6 diamondplatnumz alikuwa anafanya nn😅😅🎊🎊🎊 sisi uku wcb_wasafi unasubir BET yetu na mikwaju ndio hiyo sasa mbona watatubu namalizia mwaka huu hatumpi mtu kiki😅😅
@barakadaudi1186
@barakadaudi1186 3 года назад
Simba tuuweee👊👊👊👊👊no one like him we trust on your skills creation if believe it let's like
@frankonuchukwu7557
@frankonuchukwu7557 3 года назад
Congratulations Diamond
@jordanjeremy-l1k
@jordanjeremy-l1k 3 года назад
Yeah we going down, everyday we celebrate like.... HATARI kwelikweli
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 года назад
H BABA Shikamooo sema basi na Hili Bado tu UMEGANDA Akili hata kama wewe ni CHAWA mda MWINGINE JIONGEZE MONDI SIO SAIZI YA WAMAKONDE
@mwajumamakokha1600
@mwajumamakokha1600 3 года назад
Yani acha itokeeeeeeeee👹👹👹👹👹🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@samuelibky8989
@samuelibky8989 3 года назад
Diamond plantumz ❤️❤️❤️
@abaskisongo5439
@abaskisongo5439 3 года назад
Dah! Kwakweli anayemchukia Diamond hana akili. "Kazi yake kumpanga mwenzake majina ya ajabu ajabu eti SADALA." Tatizo watu wanachuki binafsi tu. Diamond peperusha Bendera bro waache na vinyongo vyao.
@fotbolltvpatrick8634
@fotbolltvpatrick8634 3 года назад
🔥🔥🔥🔥
@taraagire6176
@taraagire6176 3 года назад
I am really looking for this Album mr sky 🤣🤣🤣and The Album is gonna be one of the best from Tanzania 👏🏽👏🏽remember to the world 🌍 guys I can’t wait 2 see this Albuem u know me Team wasafi wasafi👍🏽🤣🤣🇸🇪
@emanuelwidimielnkya9222
@emanuelwidimielnkya9222 3 года назад
Wakiambiwaga wasimchokoze simba hawaelewagi chibu kama messi ukitaka ona balaa lake mkasirisheni kwa faulu ndio mtakiona cha moto uwanjani. Balaa laja
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 3 года назад
Hiyo sound ni kali. We are ready to conquer the world.
@Hassanali-ck1wu
@Hassanali-ck1wu 3 года назад
apo tusubiriee mripukooo wa Vulkanoo tu mna hit zaidi ya hit
@hellenalex9541
@hellenalex9541 3 года назад
Awwww💕
@andrewnyasuru2917
@andrewnyasuru2917 3 года назад
Sema hilo beat kali, dadeq....kama liachiwe kesho yaan
@romakoko2292
@romakoko2292 3 года назад
These are the best
@shukamartine2765
@shukamartine2765 3 года назад
Fire
@alainsypamuhindo1450
@alainsypamuhindo1450 3 года назад
Simba babalaooooo 🔥🔥
@salomemrema8783
@salomemrema8783 3 года назад
Moto utatuwakia mamaae niiiyoooo bet ndani
@smartnyengo725
@smartnyengo725 3 года назад
Sims to big song no grudges at all team konde gang for life
@strong8534
@strong8534 3 года назад
#swahilination. Probably YES
@leahally4618
@leahally4618 3 года назад
Mwaka huu watakunyaaa😂😂😂😂😂
@andrewnyasuru2917
@andrewnyasuru2917 3 года назад
😂😂😂 ww sio vzr ujue, tumia tafsida bas
@leahally4618
@leahally4618 3 года назад
@@andrewnyasuru2917 wanaboa saaana 😂😂😂
@aishakhamis8270
@aishakhamis8270 3 года назад
Nimoto
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Diamond akiamua kutengeza kitu kipya anamaanisha tutarajie makumbwa napenda saana flovar wakiwa na simba .
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 года назад
Ok nasubili,💪
@meislive5234
@meislive5234 3 года назад
Yes swahili Nation
@meislive5234
@meislive5234 3 года назад
That song it 's will be big song
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 3 года назад
Simbaaaaaaaaa💪💪💪💪🔥🔥🔥🤒🤒🤒
@janetahmed6948
@janetahmed6948 3 года назад
Achia jamani
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 года назад
Hii itakuwa ni mripuko mkubwa Duniani
@shabanymwanahewa1776
@shabanymwanahewa1776 3 года назад
simba noma wew
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
❤️❤️❤️❤️💯
@ahmedmahamudu4140
@ahmedmahamudu4140 3 года назад
Noo sizani kama Jina litakuwa swahiliNation hilo lipo too loco sky
@Kal-Mary
@Kal-Mary 3 года назад
Ni bala
@chuwagoodgood3524
@chuwagoodgood3524 3 года назад
Daaah tumechoka kusubiri kila siku matangazo ya albamu
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 года назад
💣
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🙌
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 года назад
Baada ya kuchukua BET Trophy 🏆 utasikia collaboration na Wiz Khalifa
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 3 года назад
Leo au kesho utamuona Jeshi nae akifanya hivo. 🤣🤣🤣
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 года назад
😂😂😂😂😂😂kamselelekoo
@estermathias8354
@estermathias8354 3 года назад
Yan mond apo hana papara kbs lkn Kuna watu kawanyima usingiz
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 года назад
Itakua ya motoo💥💥 Sana
@zulfakibwana6193
@zulfakibwana6193 3 года назад
🔥 fire baba te na nillan
@pasleemnyama8548
@pasleemnyama8548 3 года назад
Iyi itakua kali sana #album jina ndo hilo #swahilination
@magomayetu5768
@magomayetu5768 3 года назад
Simbaaa
@neliommydavid9878
@neliommydavid9878 3 года назад
🙆‍♀️🙆‍♀️
@gasperkabeta6066
@gasperkabeta6066 3 года назад
🆗🇲🇿
@athmaniidd437
@athmaniidd437 3 года назад
💥
@truthnafact9081
@truthnafact9081 3 года назад
Mnakumbuka mziki wa Nana nyie?
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 3 года назад
Qaaaaali mnooo.. wadondoshee goma turuke nalo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@stlastila952
@stlastila952 3 года назад
🔥🔥🔥💯🇰🇪🇰🇪
@meislive5234
@meislive5234 3 года назад
🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
@dula8819
@dula8819 3 года назад
Naona s2kizzy na lizer wapo pamoja na mnyama
@debest4164
@debest4164 3 года назад
Chiiiiiii ii #SWAHILINATION #WCBFORLIFE
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 3 года назад
🔥🔥🔥
@mwanaishiaomar5695
@mwanaishiaomar5695 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
Далее