Judges mmeyumba kado kaonyesha uwzo, amefloo styles tofaut tofauti na kapunch lines pia, lakn Stan amefloo style moja tu. But kaz nzur ila next time muwe makn
Round 1-3 Stan alitakiwa awe kashapigwa chin. Majaji walizingua. Lkn baada ya kuongezwa ya 4 stan kaua game Lkn Kado ndo the best in town ktk izi freestyle buttle haina ubishi
Stan ni wa home kabisa kibena njombe town lakin hata kado kintengo ni noma daaaaah wote wana tisha sema majaj wamezingua ilikua droo jaman angalien kwa makin na wasikilize hao wajomba vizuri
CRB TUFIKE IZI HATUA... TUTAFUTE HATA WAFADHILI TUFANYIE HIZI SHOW ZA KIBABE SEHEMU ZA UKWELI, NA WATU WAFAHAMISHWE KUHUSU HIZI COMPETITION... TUIPANDISHE HIP HOP YA BONGO JUU
Proverbs 13:1-13 A wise son heeds his father’s instruction, But a scoffer does not listen to rebuke. A man shall eat well by the fruit of his mouth, But the soul of the unfaithful feeds on violence. He who guards his mouth preserves his life, But he who opens wide his lips shall have destruction. The soul of a lazy man desires, and has nothing; But the soul of the diligent shall be made rich. A righteous man hates lying, But a wicked man is loathsome and comes to shame. Righteousness guards him whose way is blameless, But wickedness overthrows the sinner. There is one who makes himself rich, yet has nothing; And one who makes himself poor, yet has great riches. The ransom of a man’s life is his riches, But the poor does not hear rebuke. The light of the righteous rejoices, But the lamp of the wicked will be put out. By pride comes nothing but strife, But with the well-advised is wisdom. Wealth gained by dishonesty will be diminished, But he who gathers by labor will increase. Hope deferred makes the heart sick, But when the desire comes, it is a tree of life. He who despises the word will be destroyed, But he who fears the commandment will be rewarded.
Kwa asili hip hop ni mziki ulitoka mtaani na mara nyingi hutakiwa kuonyesha ukakamavu yaani uanaume na hiyo ndo hip hop kwaiyo kwenye hiphop ukaambiwa unamambo ya kike ni tusi kubwa kwani inamaanisha si mwanahip hop ambayo ndo sifa ya kiume