Тёмный

FULL MATCH HIGHLIGHTS | YANGA SC 1-2 USM ALGER | CAF CONFEDERATION CUP FINAL MATCH .| 1st LEG TV3 

TV3 TANZANIA
Подписаться 307 тыс.
Просмотров 696 тыс.
50% 1

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn
#Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 228   
@Fridajhn
@Fridajhn Год назад
Yanga bgiup mpaka kwa yesu mechi ya juz mmbwa wale walikua walefu wakawazd yanga ndomana wakafunga na hali ya hewa ilikua mbaya yanga wakapata balidi mwalim so walishndwa kujizuia na balidi mayele my 💘 wangu hongela kwa BAO ulilopata lilitusismusha wananchi lilitupa vibe sio la kitoti nakulove sana mayele mmmmmwaaaaaaaaaaa💯💯💯💯💯❤️
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Kwani urefu unahusiana nn na kufungwa? Na kuhusu baridi kwani waarabu walikuwa wamevaa majaketi?
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 Год назад
Utopolo oyee!
@abdoumgn8982
@abdoumgn8982 Год назад
Usma Grandée 🖤❤️
@AbdulSalim-wu8wo
@AbdulSalim-wu8wo Год назад
Never kama Mayele🙏🙏🙏
@PcanLover26
@PcanLover26 Месяц назад
Nice goliiii
@issalodimba2631
@issalodimba2631 Год назад
Young is great team They’ll definitely do better in the second leg .
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Год назад
Futa hayo mawazo. Mizoea timu DHAIFU juu ya DHAIFU. Hapo katimu kadogo tu AMBAYO munalingana mzani mupo na maneno mengi
@PabloPablo-vw3bu
@PabloPablo-vw3bu Год назад
viva USMA United
@MarcoFikiri
@MarcoFikiri Год назад
Asante mungu maneno yamepungua
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 Год назад
Inaelekea unaroho mbaya Sana Ww
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Год назад
Tutalala maana usiku ni kelele tu wakibishana wenyewe kwa wenyewe huko nje
@jamesokello9812
@jamesokello9812 Год назад
Defence, defence of Yanga.
@thabitbakari6733
@thabitbakari6733 Год назад
Hii itazamwe sana na washabiki yanga, yanga haijawahi kucheza na tumu bora afrika hata moja tangu yanga kuanza mzunguko wa kwanza mpaka kufikia fainali hii, mtambue hapo ndipo mtajua timu yenu bado kiwango cha soka la kimataifa, hapa ndipo mtaamini simba ndiye tumu bora kutoka tanzania, hongereni pia wananchi
@cr7tz770
@cr7tz770 Год назад
Usituletee swaga za kikuma ungekua unajua mpira ungekua kocha ,,,hivi kwatumwenye akili unawezalinganisha tim Iko final natim Kila mwaka robo alafu ndani imekosa makombe yote,,,amakwer makolo wengiwao niwajinga,,,
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Год назад
@@cr7tz770 matusi ya nn huo ndo ukweli mmeifunga timu ipi iliyopo hata top 10 Africa mmefunga vitimu hata havijulikani mngekua mmefika final ya champion ningewaelewa hapo naona Giza tu, mshinde hilo kombe msiposhinda narudia tena Tupo hapo kuwakosesha amani😎😎
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
@@barbiepixie92 mautopolo hayana akili aisee,, timu lao bovu kama gari la mkaa
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
@@cr7tz770 Acha matusi dogo,,, kweli mmekutana na matimu mabovu, hata Ihefu angefika fainali
@thabitbakari6733
@thabitbakari6733 Год назад
@@cr7tz770 taja tumu moja bora afrika ulichezanayo tangu mnaanza mzunguko, acha panic jua mpira kwanza mtoto mzurieeeee
@justinefelis2071
@justinefelis2071 9 месяцев назад
TULIO Kuja baada ya bongo ZOZO kutua Simba naomba like tfdhr
@jordanbarweta3429
@jordanbarweta3429 Год назад
Tumefurah sana 😄
@ZakaliaPeter
@ZakaliaPeter Год назад
Raha sanaaa jamaaaa
@Fridajhn
@Fridajhn Год назад
Yanga nawapenda sana nawaombea mkienda kweny maludio mkashnde mungu awe nanyi 🤲🤲🤲🤲🤲
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Dua zako Mungu kazitupilia mbali
@Cosanostra90
@Cosanostra90 7 месяцев назад
لقد ذهبوا الى جهنم في الحقيقة الم ترى الجماهير هناك 🤣​@@ismailabbas4197
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Hata mwaka 1993 simba inafungwa 2 na stela wapo waloshangilia mimi nilikuwepo mtoto kipindi kile
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
Love you yanga💚💛💚💛
@enockabumba7513
@enockabumba7513 Год назад
Pore Sana baby kwa matokeo ya juzi lkn ndio mpira
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
@@enockabumba7513 Asante pole na wewe🙏
@enockabumba7513
@enockabumba7513 Год назад
@@hamidayanga8224 Asante bby
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
@@enockabumba7513 💚💚
@chazedward-zf9si
@chazedward-zf9si Год назад
Ahsanteni sana waarabu Algeria kapigeni kirito cha mbwa mwizi
@NeemaDaud-zb3dd
@NeemaDaud-zb3dd Год назад
Kwendraa mikiaa
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Год назад
We nakulinganisha na mbwa, hamia Algeria basi
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
😂😂😂 piga kabsa kipigo cha kifo
@victormbugobola802
@victormbugobola802 Год назад
Ata ww n Andaz kwl 😂
@teophilymoyo1575
@teophilymoyo1575 Год назад
Waarabu wezngu salamalekoooo🤣🤣🤣🤣🤣
@agnesskimu5591
@agnesskimu5591 Год назад
Naami kwa Mungu kwenye marudio tutashinda🙏🙏💛💛💚💚
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Ndio ikawaje?
@officialfredoo3549
@officialfredoo3549 11 месяцев назад
Labda njaa😂
@jameskifaru-nx9wf
@jameskifaru-nx9wf Год назад
Aziz ki anazingua anacheza Kama sio mchez mkubwa katika ligi kubwa Kama hii
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Unafki mmbaya na wala unafki hupaswi kudanganya Mm binafsi nimefurahi sana tena sana Yanga kufungwa kwa sababu Yanga hawana adabu na mpira, kwa ufupi Yanga wana zarau
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Год назад
Tulia mwaka robo hat sis tulifurah san mlipotolew mapemaa na bado tuna raha
@emmanuelmbelenzi3077
@emmanuelmbelenzi3077 Год назад
Mtu mwnyw aitwa J4 atatwambia nn
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Fei totoooooo wanguu😂😂😂😂
@AfidhiAbasi
@AfidhiAbasi Год назад
Hongereni.wana yanga.kwa.ushindi.wa.bao.2.kwa.moja
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
Yaani Yanga uwezo wa kufunga magori matatu na kuendelea ulikuwepo,ila papara zilikuwa nyingi sana.
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 Год назад
Hta USM wlikuwa wna uezo wkufunga Zaid ya magoli mnne ulikuepo
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
@@albinusnyaiyo2614 Makolo mnambo,haya bhana poa endeleeni kushangilia kombe lenu la kukosa kila kitu.
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
@@sosomacharles9920 Acha makasiriko mmepigwa nyumbani, na mkaenda away mmeambulia goli moja na kombe mmelikosa
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
@@ismailabbas4197 Kwani nyinyi Raja aliwafanyeje,c aliwapiga mbele na nyuma au umesahau.
@PaulAnita-e4e
@PaulAnita-e4e Год назад
Polen watani
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Ndio hvo mkome tena 😊😊😊
@salimmomba-dq4hq
@salimmomba-dq4hq Год назад
Daaaaa mayel nakubal but haikuw baht yet
@user-yz5xf7ll1c
@user-yz5xf7ll1c Год назад
Yap mayele. Anajua
@emmanuelsanareemmanuelsana9137
Bora ili tupate kupumua Sasa 😂😂😂😂kula chuma bwana kivumbi 😅
@NdilaBalos-zc9ji
@NdilaBalos-zc9ji Год назад
Big up Kwa mayele analijua lango👏👏👏
@keranynsabimana785
@keranynsabimana785 Год назад
Insh'allah
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v Год назад
I love you so much yangaaaaa damuuuuu
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Utooooooo polooo ooooooooooooooooo😂😂😂😂😂 utooooooo polooo ooooooooooooooooo
@chrissg4026
@chrissg4026 Год назад
Hili kombe mlilidhiahaki mkaliita kombe la waliofeli! Bado mkamtukana na mgunda! Pigeni goti kwa mwenyezi Mungu awasamehe huenda mkapindua meza!
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Год назад
Nyie ndio mnatakiw mpige goti kwa Mwenyezi Mungu awaondolee balaa la kila mwaka kuishia robo hulioni hilo Ila sisi katubarik san mwaka mmoja katufikisha fainali tunashukur kwa kweli mlikuw mnatuchek san lakin katuinua na akipenda tutawashangaza wanaodhan imeisha kwan yey ni mpangaji wa yote akiamua ubingw tutachukua.
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Год назад
@@seciliamchalo5627 fainali ya kombe la losers 😂😂😂😂😂 msijipe moyo sisi tunacheza robo za champion kaeni tu na kombe lenu huko si hatuna hata mpango nalo
@Novaa.Gm777
@Novaa.Gm777 Год назад
i like it
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 Год назад
Hivi Kisinda alianzishwa kufanya nini kwenye mechi muhimu kama hii??
@agathamatambula538
@agathamatambula538 Год назад
Nasubir marudiano tutashnda inshalah
@mgayan1222
@mgayan1222 Год назад
WHAT A DAY
@IbrahimSahar-i3z
@IbrahimSahar-i3z 5 месяцев назад
Viva USMA
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Asante Mungu
@AbdulSalim-wu8wo
@AbdulSalim-wu8wo Год назад
Yanga 2023❤️
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Humu ndani kuna vitoto vingi hivi hata mwaka 1993 simba inafungwa taifa fainali ya kombe la kaf hawakuwepo mi naona juzi hapa kumbe wao hawajazaliwa
@suzypaul4559
@suzypaul4559 Год назад
Uwiiiiiii tutapumua sasa maana ilikuwa sio poa dah kila Conner ilikuwa ni wao jaman hatupumui
@NeemaDaud-zb3dd
@NeemaDaud-zb3dd Год назад
Tulishika pua zenu sio
@pavlovdeking3725
@pavlovdeking3725 Год назад
Umewahi shuhudia timu yako ikicheza fainal?
@leonardjoni1795
@leonardjoni1795 Год назад
Ni kwel maan
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
@@pavlovdeking3725 sasa fainali ndio mafanikio? Na kombe mmelikosa utopolo nyie 😂
@InocentGalinoma-dq6hl
@InocentGalinoma-dq6hl Год назад
Mkubwa atukanwi mdogo wetu Ally komwe...😅😅😅😅😅
@hastatz
@hastatz Год назад
Adabu hana huyo kijana sisi ni watan ila unaangalia na mtu rika lake wew kijana unatania baba zako hadi matusi aisee
@aminnoour4788
@aminnoour4788 Год назад
Jezi za yanga ina logo gani ? Adidas au puma au Nike , naona wenzie jezi zao logo yake ni Kappa
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz Год назад
Wewe c ulifongwa 3 na Ukagongwa kwa penalt funga domo kolo mwaka huu utavaa Shanga
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Год назад
@@hamadeddymaclayz ilishapita hiyo sasa hivi in zamu yako kukandwa tulia kikuingie😂😂😂
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
@@hamadeddymaclayz mmekandwa na kombe mmelikosa.... Sasa tukana kwakuwa matusi jadi yenu,, na msipomuomba msamaha Juma Mgunda mtajuta
@championtv255
@championtv255 Год назад
Ahkamooooo mwarabu.inchi imekombolewa kwa jasho la muarabu.duh tulikua hata hatujambi?
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Waarabu sio watu wazuri 😂
@kisurangusa554
@kisurangusa554 Год назад
Utopolo amekula chuma
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Год назад
Nyie mlikula vyuma vingapi mwaka robo bwana wanajifariji
@NdilaBalos-zc9ji
@NdilaBalos-zc9ji Год назад
Jitu limekufa dar mwisho wa safari wa yanga mlizoea watoto mmekutana na k o ya mtu mzima,,,,hii singida bg star 🤪🤪
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
Tuna fainali nyingine pia kipindi unatuponda sisi tunatafuta makombe kuhu
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 Год назад
Ni kweli ndio mwisho hakuna mechi zingine baada ya hizi. Kwa hiyo yanga wamefika mpaka mwisho wa mechi.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Год назад
Eti wanasubiri kupindua meza
@augustinomasanje6
@augustinomasanje6 Год назад
Yaan hii mechi bado haijaisha. Inaweza enda extra time kabisa
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Ndio imeisha sasa
@deoodp1893
@deoodp1893 Год назад
yanga anauwezo wa kupindua matokeo
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Haya twambie matokeo yapi wamepindua? Mlidhani hao Tp mazembe au marumo?
@RaymondKahindi-qi8if
@RaymondKahindi-qi8if Год назад
Tutashinda kwao uwezo huo upo kwa yanga hii
@JohnsonJeremiah-v3h
@JohnsonJeremiah-v3h Год назад
😂 njaa or
@user-it2fr4of7q
@user-it2fr4of7q Год назад
Poleni
@JohnsonJeremiah-v3h
@JohnsonJeremiah-v3h Год назад
Njaa or
@SwaabirMuhammad12
@SwaabirMuhammad12 Год назад
Mechi Naona bado sn...Yanga wanauwezo WA kwnd kufny maajabu
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Maajabu yapi wameyafanya?
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Mtangazaji sio baliki ni bariki, sio kalibu ni karibu sio zahili ni dhahir,,dah 😢siku hizi hatuna watangazaji
@stephanokalisti9107
@stephanokalisti9107 Год назад
Msameh ban
@officiallcoolest_khid3223
@officiallcoolest_khid3223 Год назад
@@stephanokalisti9107 😂😂😂
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Aziz kazngua bwana
@user-cl5gi4ik1v
@user-cl5gi4ik1v Год назад
Kwel siku nyingn anachez kam mchezaj wa namung anavyokuwag
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 Год назад
Mm ushauli wang wajitaid sn yanga kurud na kusaidia beki cyo wanajisaau adi tunafungwa jamani
@laurentjohn4727
@laurentjohn4727 Год назад
Elya
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Год назад
Anzeni kusaka goalkeeper
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Год назад
Huyu Azizi ki mshahara wake na kiwango chake tafauti ‘Fei Toto mara 20 ana kiwango kizuri lakini mshahara wake ni wa aibu hatusporti vya kwetu.
@isackyohana2707
@isackyohana2707 Год назад
Mchukueni nyie mmlipe ml 20,,
@jobelanyukudumba1482
@jobelanyukudumba1482 Год назад
Mbaya kwa yanga mzuli kwa Simba hao yanga ni wapuuzi mnoo
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
Aziz K siyo mchezaji wa kukupa matokeo kwa mfululizo,anaweza akakupa leo matokeo mazuri lakini siku zinazofuata anapotea kabisa.
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Год назад
ni kwel ila nabii anamponda kisinda
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
@@halimatanzania7869 Da! mm kwa kweli Aziz K msaada wake ni mdogo sana,yaan Yanga pale namba kumi imekosa mtu kama Fei,ndo maana Mayele ukiangalia magori yake mengi juhudi zake mwenyewe.
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Год назад
@@sosomacharles9920 kwel namba kumi hatun haswa sijuw kwa nn walimuacha yacoub
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 Год назад
Huna kaziii
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Год назад
@@asyashariffu7717 unawashwa au uwo ndo ukwel hata mwenyew kasema naona wewe unaropoka tu
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Tangaza vizuri goli la mwarabu mbuzi wew wanapata bao ndo nini
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@edgaredward3490
@edgaredward3490 Год назад
Goli la pili uzembe wa Diarra kaacha kupiga mbali anapiga pasi fupi
@tatusaid-fm3jt
@tatusaid-fm3jt Год назад
Kwanini mayele kamkimbilia golikipa nakumshika makalio 🙄
@officiallcoolest_khid3223
@officiallcoolest_khid3223 Год назад
😂😂
@mariamjames5462
@mariamjames5462 Год назад
Mlikomeshwa kihelehele kimeisha
@laurentjohn4727
@laurentjohn4727 Год назад
ELYA
@paulsamwel1144
@paulsamwel1144 Год назад
Aija Isha bado
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 Год назад
Mnaenda kufanya nini ? wanapinduaga meza ??! Si mtamwaga vyakula ugenini ninyi ,tutatia aibuuu he'😢
@officiallcoolest_khid3223
@officiallcoolest_khid3223 Год назад
Meza Ina pinduliwa kwao
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Waarabu hawatumii meza wanatumia mazuria na mikeka😂
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Yani serikali badala hizo nguvu zote waweke Kwa Simba wanawekea utopolo
@ifrahashery2289
@ifrahashery2289 Год назад
Hawajaamini macho yaooo😁😁
@user-zl8lo5ct2h
@user-zl8lo5ct2h Год назад
Duuh😭
@mrpopulartz5995
@mrpopulartz5995 Год назад
Watani mmeula wa chuya
@user-nl8qe1om5l
@user-nl8qe1om5l Год назад
Wasirudie kuwaidiwa mambo makubwa make wanabaaa
@omarymmasa4105
@omarymmasa4105 Год назад
KWAMBA DUNIA NZIMA
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 Год назад
uwezo wa aziz ki haujabadilika,kilichotoea ni kwamba,akikitana na team ya mpira wa wanaume huwa haonekani,ila akikutana na team zinazoshuka daraja ndio anaonekana anaujua mpira.Tumieni akili kwa kutulia mtapata majibu
@zakariaaggrayaggray
@zakariaaggrayaggray Год назад
Jana angekuwepo fei totoooo pangeeleweka
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 Год назад
Kati ya maumivi ya mvua na maji ya kuwasha na kufungwa kipi kinauma
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Na kombe yamekosa mautopolo 😂
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Sasa tumefungwa nakujipa wakati mgumu sana wa damu na jasho ooh timu mbovu kwafainali?!
@RachelThomas-ox3jr
@RachelThomas-ox3jr Год назад
Kwel mwarabu we ni mtu kat ya watu
@phoebembwambo2763
@phoebembwambo2763 Год назад
Sasa Azizi k
@user-pf4op7rz1k
@user-pf4op7rz1k Год назад
@abelyjoseph3440
@abelyjoseph3440 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 mkienda kushinda kwao nipo paleeee
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v Год назад
Sisi ndo yangaaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Hivyo watangazaji siku hizi hamuendi shule? Hizo L na R yaani mbaya saaana
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 Год назад
Alafu kama ofside usisimame adi lefalii apige filimbi matokeo yake ni hayo jamani
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Год назад
Chinja kama mlivozoea kuchinja
@ackimshebbe-ue6nz
@ackimshebbe-ue6nz Год назад
Yanga wakapambane, lakini wawe wanaipa simba heshima yake, dharau waache, wange waauliza simba nini cha kufanya, mechi ya jana wangeshinda.
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp Год назад
Ushauri gani ungetoa we mwenyewe yenu yamewashinda Ata kombe moja hujaambulia😂😂😂😂😂😂😂
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Год назад
Looo mngeishia robo unaota wew
@asifusuleiman108
@asifusuleiman108 Год назад
Naona simba yenyewe inawazalau yanga inajiona ipo juu wao ndo wanaojua mpira haisapot yanga ndo mana timu hiz zinazarauliana kwa hapa timu ilipofka si pakukaa ivyo sote iwe nikitu kimoja
@abdaljuma-wk4dg
@abdaljuma-wk4dg Год назад
Angalia ukweli uko wp
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Год назад
Yanga tunajivunia kuwa na Mayele mayele ni mwamba wa Africa
@kokuandrea6516
@kokuandrea6516 Год назад
Ok
@emmanuelnono8080
@emmanuelnono8080 Год назад
Manara anasemaje kwani, akiambiwa achague kuku na andazi atachagua Nini?
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Kipigo cha yanga na kukosa kombe , unaambiwa manara anachekea chooni saiv😀
@SHABANILAITI-cw6rt
@SHABANILAITI-cw6rt Год назад
UsmA piga mbwa hao 🤣🤣🤣🤣
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Год назад
Azizi K wamteme tu hana msaada kabisa.
@emmanuelmbelenzi3077
@emmanuelmbelenzi3077 Год назад
Ila kuna mechi zilizotangulia alituamulia mechi tukashinda mpaka kufuzu, Ila namuonaga km mzuri akitokea benchi
@salhahazaly8042
@salhahazaly8042 Год назад
Piga nyau hao😂
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Yanga Ilichukulia mchezo mechi maana matatizo yalianza kwenye mazowezi!!.ukiona wanalembalemba basi hata kwa simba alitupiga 2!
@EliasSampa-wt1cz
@EliasSampa-wt1cz Год назад
Furaha ilikua inakuja inakata 😂😂
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 Год назад
Da jana ile ilikua ofside tumebaniwa jamani
@harubujuma7777
@harubujuma7777 Год назад
Fei nimuhim kwenye hii timu
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul Год назад
Hii n bahati mbaya ila yanga wamecheza pili mayele akupata chance nyingi kama azizi ki ata mabao ya Alger n ya kitoto
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Eti mabao ya kitoto,, Yani umekandwa nyumbani bado unasema mabao ya kitoto
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 Год назад
Hakika nmefurahi sana kuona kwenye chumba cha VAR wameweka raia wa rangi tofautix2 ,ushauri wangu umezingatiwa,nilipost kwenye page yao kuwa naenda kuwashitaki FIFA,kwasasa wameboresha
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 Год назад
Acha bangi😂😂😂😂😂
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
@@kijanamatata7135 kweli aache bangi aiseee kwaiyo anataka kusema wamemuogopa 😂😂😂😂
Далее