Тёмный

FULL MOVIE | MDADA ANATONGOZA WANAUME KISHA ANAKUJA KUJUA RAFIKI YAKE ANAMPENDA | PLAYERS 2024 

Amrahul
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@KhabilMtumwa
@KhabilMtumwa 5 месяцев назад
Wakwaza mm leo nipeni like zangu 200
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
UMETISHAAAA
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
ASANTE KWA WOTE MNAOTEMBELEA PAGE HII.. MUNGU NA AKAFANYE UKUU WAKE KWENU NA KWANGU PIA NA HATA MILELE DAIMA..
@caydenofficialtz
@caydenofficialtz 5 месяцев назад
Uwe unafanya hivyo hivyo piga movie nzima hapo sasa utafanya uingie kwenye ushindani maana Kuna wengi wanaibuka na wanakupiga gap watu wengi wanapenda iwe mpk mwisho hao wanaosema unaspoil ndio wanakurudisha nyuma hata mm Leo nimeicheki hii kwa vile nimeambiwa ipo mpk mwisho uwe unafanya hivi km upo na nia ya kukua kwa haraka natumai utalifanyia kazi
@caydenofficialtz
@caydenofficialtz 5 месяцев назад
Niseme tu ukweli watu wengi wa karibu yangu wameamua kutosapoti kwa vile unaishia katikati wakati mtu ana angalia preview kwa Leo la kujua movie yote so endelea kutoa full zote utanishukuru kwa kweli
@Teacher_Hassan_Lemunje
@Teacher_Hassan_Lemunje 5 месяцев назад
Bless
@kizaziogtv3486
@kizaziogtv3486 5 месяцев назад
Bro unajuwa sana
@qamnwas
@qamnwas 5 месяцев назад
Leo umetisha, uwe unamaliza km hiviii mzeeee
@user-ow1ck1re2b
@user-ow1ck1re2b 5 месяцев назад
Leo nimefurahi sana ujatuacha kwenye maswali umetutafsilia movie nzima ❤ huwe unafanya ivyo jamani
@RamaZuberi
@RamaZuberi 5 месяцев назад
Nimependa kuimaliza na zingine uwe unamaliza pia👍👍👍👍👍
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
SAWA SAWA TUKO PAMOJA
@khassimkombo4172
@khassimkombo4172 28 дней назад
we msenge unajua mpaka unakela yan ... kuna jamaa nilikuwa na mkubali ila daaaaah we noma sana mzeee
@amsaraideramaider8144
@amsaraideramaider8144 5 месяцев назад
leo kwel hudaiwi mdhee nimepnd kz yako mkuu amrahul 🙌🙌
@Abraahfx30
@Abraahfx30 5 месяцев назад
Nakubali leo umesimulia hadi mwisho 🎉🎉🎉
@brackhunter8585
@brackhunter8585 26 дней назад
Ukimaliza move inakua ww nizaidi ya 🔥🔥🔥
@tejalamapenzikindua779
@tejalamapenzikindua779 5 месяцев назад
Nakubali sana Mwanangu una full convising power ya kufanya nifatilie kile unachonihadithia Kwa ufupi so talented mwanangu keep it up
@user-mw8ig8nd8x
@user-mw8ig8nd8x 5 месяцев назад
Like zangu jamniii😂😂
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NAKUBALI
@user-hi5qg5um4r
@user-hi5qg5um4r 5 месяцев назад
​@@amrahul inaitwaje hii movie
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 5 месяцев назад
Yah Fanyaga Hivi Daily Wengne Tuna time ya Kuchek RU-vid TU kuanza tena niitafute movie muda Sio rafiki Ko unaturahisishia Kutupa uondo ili nasisi Tukiwa na Crew zetu zinazojua movie hatuwi nyuma kuzielezea
@sirstill946
@sirstill946 5 месяцев назад
We n mnoma sana ,naongea kwa niaba ya watu wote ,tunapenda kazi unayofanya ,na tunapenda uwe unatoa back to back ...na zote ziwe znasmuliwa znaisha Kwaniaba ya mafani wako saut ya shabk kindak ndak wa rahul naongea
@RamaZuberi
@RamaZuberi 5 месяцев назад
Ndio
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
SHUKRANI SANA BRO BARIKIWA SANA NA NIMEFURAHI KUUPATA UJUMBE WAKO HUU
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
​@@RamaZuberi PAMOJA
@lilianhhangali1370
@lilianhhangali1370 5 месяцев назад
Tangia nmeanza kukufatilia leo ndio nmeenjoy bro yaan movie mwanzo mwisho ❤
@ezekielerick511
@ezekielerick511 5 месяцев назад
Kama umeskia Pacome Yao Yao kama mm naomba like tujuane😂😂
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
😀😀
@francepaul7711
@francepaul7711 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 4 месяца назад
Nimerudia mara nyingi nying nikajua labda nimesikia vibaya
@tunumponda4060
@tunumponda4060 5 месяцев назад
First ❤😂
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
BARIKIWA TUNU
@tunumponda4060
@tunumponda4060 5 месяцев назад
@@amrahul 😂🙏
@StartSmall
@StartSmall 5 месяцев назад
E bhana e! Umetisha kinyaaaaaaaama nakupa 💯 sana unaweza kazi
@user-ii7cg3xd4l
@user-ii7cg3xd4l 4 месяца назад
Umefanya vizurii saana leooo ❤
@modestervictor2284
@modestervictor2284 5 месяцев назад
Uwe unafanya hivi Rahul...i love it❤
@MuraniSalim
@MuraniSalim 4 месяца назад
Napenda sana #amrahul unavyo dondosha review 5:48 ❤
@andemathew6151
@andemathew6151 5 месяцев назад
Leo hudaiwi kabsa,,umetisha sana
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
ASANTENI SANA MBARIKIWE
@caydenofficialtz
@caydenofficialtz 5 месяцев назад
​@@amrahulhata mm namuunga mkono toa full utakuwa na mashabiki wengi mara dufu ya sasa
@paltenkaprima3968
@paltenkaprima3968 5 месяцев назад
​@@amrahulhii moves
@paltenkaprima3968
@paltenkaprima3968 5 месяцев назад
Inaitwaje??
@jacksonpiuc3379
@jacksonpiuc3379 5 месяцев назад
Asante sana kaka 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@MeddyMeddy-y5i
@MeddyMeddy-y5i 2 месяца назад
sema we msenge unaswagaaaa dah 😂😂😂😂😂
@Celastian3
@Celastian3 5 месяцев назад
Honestly am gladly Leo umetoa review yot kak Hun bayaa
@athumankunambis9990
@athumankunambis9990 5 месяцев назад
Umetishaaaaaaa💯
@SalhiyyaJassam-fg1sw
@SalhiyyaJassam-fg1sw 5 месяцев назад
Aiseee endelea kutupa mzigo mzima inapendeza wallah 😊
@yusuphmatabi3086
@yusuphmatabi3086 5 месяцев назад
Umetisha sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@sadikimrisho5082
@sadikimrisho5082 5 месяцев назад
Nakubal brother
@allymachejo2996
@allymachejo2996 5 месяцев назад
Pacome.yao yao nenga.sungurachibudenga yan burudaaaa....? 🙌 Hii ni noma
@user-zm4jo6yv8n
@user-zm4jo6yv8n 5 месяцев назад
Apo swadapta kabisa kaka uwe unatum full movie umetisha boss🎉
@johnjulliusntwenya4713
@johnjulliusntwenya4713 4 месяца назад
nimesikia kipacome yao yao 🤣🤣🤣🤣🤣 ila we jamaa unajua sana mwanangu
@HassanBakari-sb6ls
@HassanBakari-sb6ls 5 месяцев назад
Mzeee unajua🔥🔥🔥🔥
@josephpawa1475
@josephpawa1475 5 месяцев назад
Mzeeee you can narrate vzur sana.. Congats I wish channel ifike 100k soon
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 4 месяца назад
Daa mkaka unajuwa kuongea aisee🤨🥰🥰😂
@misheckslider7333
@misheckslider7333 5 месяцев назад
Leo umetisha mkuu
@giftmarlow1847
@giftmarlow1847 5 месяцев назад
Leo umenifurahisha asee umepunguza speed
@user-tx3ks8ov3n
@user-tx3ks8ov3n 5 месяцев назад
Wakwanza leo🎉🎉🎉
@StartSmall
@StartSmall 5 месяцев назад
E bhana unafaa kukaa studio moja ivi kalii na kuuubwa! Hivyo tafuta kipindi redioni mwamba, uwezo wako ni high Sana, tafadhali
@PurityUchi
@PurityUchi Месяц назад
Movie tamu
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 5 месяцев назад
Noma Sanaa
@user-ef7hs4sb7w
@user-ef7hs4sb7w 5 месяцев назад
Umetisha kk
@witymazubu2977
@witymazubu2977 5 месяцев назад
Umetisha
@salummohd-wz8mt
@salummohd-wz8mt 5 месяцев назад
Ni Bora kwa ss mashabik zako kutumalizia 🎉utatisha zaid ya hapo
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
ASANTE SANA SANA BARIKIWA
@user-wc5ri2mq1e
@user-wc5ri2mq1e 5 месяцев назад
😂😂😂 nimependa apo wait whaaaaaaaaaat ila unajua mzee chukua maua yako😂😂😂
@mussamtembezi8876
@mussamtembezi8876 5 месяцев назад
Keep it up bro
@marianicodemas5696
@marianicodemas5696 5 месяцев назад
Wow thank u❤❤❤❤❤
@cosmaskissoro9730
@cosmaskissoro9730 5 месяцев назад
Umetisha mkuu
@user-el7tc9tu5o
@user-el7tc9tu5o 5 месяцев назад
Ivo ndo tutakuwa nakusapoti Kama wangine wanakuwaga wana tutafsiriya mwanzo wa film mpaka mwisho wa film Ila nakupongeza manishi Ubelgiji🇧🇪
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
PAMOJA SANA NDUGU YANGU NIMEFURAHI KUPATA UJUMBE WAKO
@jaden6d
@jaden6d 5 месяцев назад
Umetishaaaa
@Kisyeri
@Kisyeri 5 месяцев назад
Leo unyama sana sasa views zitapanda adi 100k😊
@zamanjohn4612
@zamanjohn4612 5 месяцев назад
Nice🎉
@director_jadu1
@director_jadu1 5 месяцев назад
Umepoa leo kuna test imepotea simamia ulipo wamekijua kwakupitia test yako wanaokupinga wanataka udondoke mzee yaleo kali ila haujacheza kama unavyochezaga🎉🎉🎉
@user-vg4lr3wq7g
@user-vg4lr3wq7g 5 месяцев назад
Leo safi ❤
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NAKUBALI SANA
@davisrichard5529
@davisrichard5529 5 месяцев назад
Simulia yoke 👊👊
@KallaK-ee6st
@KallaK-ee6st 4 месяца назад
aaaahaha...unaswaga sana mzee
@hassanidrisankingilea8827
@hassanidrisankingilea8827 5 месяцев назад
The pacome yaoyao😂🙌🙌🙌
@user-qx6hg8xr7e
@user-qx6hg8xr7e 5 месяцев назад
Nzur
@selemanismail4241
@selemanismail4241 5 месяцев назад
Khatar San kaka🔥
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NOMA SANA
@OriginalSource1
@OriginalSource1 5 месяцев назад
Kweli bwana imeishia na maandishi
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NAKUBALI NAKUBALIII
@user-is5ds7gp1n
@user-is5ds7gp1n 5 месяцев назад
Umetisha Mzee wa vina😂😂😂
@hamismbura2544
@hamismbura2544 5 месяцев назад
Lets giriiiiiiiii😅😅😅😅😅
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
😀
@babamiltonkyando
@babamiltonkyando 5 месяцев назад
Like u bro
@user-pj1mo5et4k
@user-pj1mo5et4k 5 месяцев назад
Nakubari sana bro
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
PAMOJA SANA NDG
@CharlzKapyuku
@CharlzKapyuku 5 месяцев назад
Ndy hvy unajua kutafsil movie . Ila unacho niboaga aumalizi movie . Me shabiki Yako nakuomba uwe unamaliza movie
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 5 месяцев назад
Nilisha wai date na mtu nilie mchukia sana kila saa tulipo onana ilikuwa ugonvi na tulikuwa ni razima tuonane coz tulikuwa tunafanya kazi pamoja mbaka ma boss watu wote walijua mm na yy ni paka na panya ila badae mm nilisafiri so nikaacha kazi so tukapotezana miaka 4 now tunakutana kwenye kazi nyingine kampuni moja tena ila kabadirika sio yule wa zamani jamani mapenzi ata sikuelewa nili mpenda sana na yy alinipenda kwaiyo love ata kama unamtu munachukiana uwezi jua au mtu munapendana mukachukiana kinoma from India dj nakubari move zako tupo pamoja
@yaduniapeter
@yaduniapeter 5 месяцев назад
Leo umeua brother
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
THANKS MAN
@Lyman001
@Lyman001 5 месяцев назад
Hivo ndo vzr
@trommyx
@trommyx 5 месяцев назад
mzee leo umetisha sana isee unaachaga movie kwenye utamu rakin leo good job pacome yao yao 😂 jeshi
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
😀😀 PAMOJA SANA
@djkfive4901
@djkfive4901 5 месяцев назад
Uko pouwa mzee baba una kaubunifu furan ivi kwenye maneno
@boscopeter6183
@boscopeter6183 5 месяцев назад
Endelea kutuletea nyingi za style hzi yani full movie umetisha mzee 👊
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
PAMOJA SANA BRO
@user-qn7ft2wo6k
@user-qn7ft2wo6k 5 месяцев назад
@user-rg6ig3bu7h
@user-rg6ig3bu7h 5 месяцев назад
❤❤❤
@SuleymanAlly-fg3yw
@SuleymanAlly-fg3yw 3 месяца назад
Movies gn hii
@HadijaRajabu-pr9di
@HadijaRajabu-pr9di 5 месяцев назад
😂😂jamani.
@rahelmkondya5946
@rahelmkondya5946 5 месяцев назад
Yani leo umepigaje apo maaana ni raha😊
@babyibrahim7747
@babyibrahim7747 5 месяцев назад
Balaà tuko pamoja mpk utuue😂 Rahul
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
DAAAAHH NIMECHEKA SANA😀😀 PAMOJA SANA MY
@AmanMayala-mb8mk
@AmanMayala-mb8mk 5 месяцев назад
Bro bro tunataka hivi sisk
@noeledward2899
@noeledward2899 5 месяцев назад
Nmemsikia had yao yao na pacome 😂😂😂😂
@user-ut6to2st4v
@user-ut6to2st4v 5 месяцев назад
Kila sik uwez iv jmn ❤
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NITAJITAHIDI
@FredrickRedy-yy6qg
@FredrickRedy-yy6qg 3 месяца назад
Ou7
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 5 месяцев назад
Pacome yao yao
@aizakali2797
@aizakali2797 5 месяцев назад
Hahhhhh😂😂 pacome yao yaoo 😂😂😂😂😂😂😂
@Ammarloliso
@Ammarloliso 5 месяцев назад
🎉🎉
@achantyyahya4290
@achantyyahya4290 5 месяцев назад
Tufupi sana Amrahul 😢
@user-oe7ui9td3l
@user-oe7ui9td3l 5 месяцев назад
Tutumie na majina
@KelvinMgisha-fn5yt
@KelvinMgisha-fn5yt 5 месяцев назад
Uyuu jamaa si niwa AMELCAN GO TARENT
@Keymolin
@Keymolin 5 месяцев назад
Nipo huku bwana 😂😂😂
@paulwilliam9478
@paulwilliam9478 5 месяцев назад
Jamaa kanikosha sana kuimaliza movie yote
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
THANKS MAN
@Pemba680
@Pemba680 5 месяцев назад
Bro kma utakuwa unasumulia move nzma kma iv utatisha kinouma nouma
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NDO NIMEANZA NA ITAENDLEA KUWA IVI SIKU ZOTE INSHAALLAH
@fakihassan9021
@fakihassan9021 5 месяцев назад
Leo mwamba nimekuelea
@EdgarMaximillian-or7lq
@EdgarMaximillian-or7lq 5 месяцев назад
Uwe unasimulia nusu tu asa ww umemaliza uondo wote jahu hiyo😂
@reginaldsangawe8808
@reginaldsangawe8808 5 месяцев назад
Leo umetishaa kutupaaa fully Movie Review endelea hivyo hivyo🔥🔥
@MuhdharMaulana
@MuhdharMaulana 2 месяца назад
PLAYERS, Movie name.
@Mak_Makhado
@Mak_Makhado 5 месяцев назад
Pacome Yao Yao 😂😂😂
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
😀😀😀
@bensonjonas1437
@bensonjonas1437 5 месяцев назад
Sio pow😅😅😅😅
@saadaperec2706
@saadaperec2706 5 месяцев назад
haya ikiisha ramadhani tuungane tuunde group letu😜.........(jokes)
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
SAWA MAHI DIHA WANGU
@magdalenapaulo1776
@magdalenapaulo1776 5 месяцев назад
Leo umetukosha wengi
@Ms_judy
@Ms_judy 5 месяцев назад
Hey makenzi😂😂
@Shukutu
@Shukutu 5 месяцев назад
Movies izi ziko pw ila mna peleka movie araka araka mpaka mtu ahelewi tuwe slow bro
@meennahmtey8001
@meennahmtey8001 5 месяцев назад
Wait what
@tripple22moviestz21
@tripple22moviestz21 5 месяцев назад
Pacome yao yao what the 😂😂
@edwardballige1568
@edwardballige1568 5 месяцев назад
Hapa sasa ndo umetisha kati ya sku zote ulizosimulia
@amrahul
@amrahul 5 месяцев назад
NASHUKURU SANA BRO EDWARD
Далее
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 4,5 млн