Hamna kiingilio wahi mapema ila uvae suti ya rangi nyeusi na ndani shati la rangi ya gold usipovaa hivyo huingii au suruali nyeusi na shati la rangi ya gold
@@RichardRutembesa-ns1kn nyinyi watu masikini mulibalikiwa kua na matusi wewe unapoteza muda wako wa kutusi mutu alie kushinda maisha wewe na family yako yote alafu umeanza kutumia smartphone ukubwani shoga sana wewe
Harmo kk yang unaonekana ni mtu mwenye nidham na hio inasab bishw na imani fanya urudi kw Allah sbb yy husamehe kwkila mweny makusudio yakurud kbla hajachukua amana yake me nakupenda sn kk yngu
konde is my hero ataingawa me si mwanamziki nakubali konde sababu ni example setter and the main reason is he is hard working and he is a hard core 💪 in terms of fighting against discouraging and immovative competition and life challenges, wishing you all the best konde we love you you have a bitter story to tell about your success thats why I now know that no pain no gain🔥💯
Kond boy yani sijuwi niseme nini maana natamani nishike mkono wako tu ima nikae pembeni yako maana unanipa raha sana natokea BURUNDI naaa tunakupenda sana god bless you for inthing
Mimi waku sema kond amishaa kosa damu ndani ya mwili wake alafu watu washaa kataa toa damu kwake mimi nipo tayari n'a maananisha kond ndiyo damu yangu n'a roho ya nakupenda Toka CONGO Goma
Hii setting ya E fm ya kiwaki sana yani. Watu walio mbele ya muongoza kipindi wanapata shida kuzifikia mic, mbali na hivyo meza ya pembe nne haina mvuto kabisa.