Mkuu nimekuelewa Sana Mana hizo PPR zasifiwa Sana Kumbe hazina maana Mimi napata michongo ya kurekebisha PPR zenye linkage IPS #Itaendelea kuwa Bora Ila wangetuwekea na elbow za 45 na tee cross na zile elbow ndefu wangetusha
Mtaji haunaga kiwango maalum kinachotakiwa nikuangalia eneo unalotaka kuweka biashara yako ni vitu gani vinauzika ndio utajua uanze na mtaji kiasi gani