May God lead you in every way of your life live Long our sheikh ❤❤❤❤❤ jazakallakher.may God reward you Jannah. Me nimeshona viatu watu wakawa wanacheka mwanamke kushona viatu ila nilipendwa sana na nikawa na castomer .ila Bado kwa yote nashukuru Mungu .
Assalam alaykum warahmatullahi wa barkkatuhu Sheikh Athman Michael. Nakupenda kwajili ya Allah. Sijaona Sheikh kama weye anafundisha wazi njia za kufanikiwa . Haufichi Elimu kwa hio naomba Allah akupe kila la kheri duniani n'a Akhera.
Asalam aleikom mimi ujifunza mambo mengi sana na shekh wetu ninge penda sana kumwona naishi canada insha ALLAH nikija africa kwa uwezo wa ALLAH ninge penda kukuona shekh
Mii ndo maisha napitia hasadi imenizidi mpaka naendea kumaliza mtaji nilikuwa nsomesha watoto sasa hivi nashidwa niikuwa na akiba nimeimaliza nisaidie nahisi kufunga ata hii biashara yangu
Assalamaleykum sheikh Mimi pia napitiya chagamoto katika maisha Nina mume pia mambo yake hayapo Sawa je nifanyeje nikidai talaka najuwa sio Sawa dhambi je nifanyeje miaka 3 sasa bwana hujafaulu kazi 😢😢😢😢😢😢
Acha uongo rizki ilishafunguliwa na allah mtoaji.sasa unaposema kufungua rizki nani kafunga na nani kampa uwezo aliyefunga.huu si ndo ushirikina na ushenzi tu.rizki zetu zimeandikwa na allah tukiwa tumboni alafu unatudanganya kufungua ulizifunga wewe.
@@omarjr1791 nijibu swali moja tu hiyo riziki iliyofungwa imefungwa na mwamba gani mwenye uwezo zaidi ya allah aliyeandika kwetu na akaahidi tutapata na kweli akatupa nijibu hapo tu.
@@omarjr1791 we uliyemsikiza vizuri swali langu nani kafunga hiyo riziki make allah mtoaji hajatuambia nitafunga riziki bali alituahidi ataturiziki ndo maana alituumba
Unaweza ukawa umeandikiwa rizki na mola ila ukawa una llaana za allah za ukoo ndoman tukaamlishwa tumuombe Allah ata kijiko cha chai basi ujue allah ni mkubwa sana ukitaka adhina ya mfalme lazima unyenyekee kwaiyo usiseme hivyo