Тёмный

FUSE NDINGA! DJ Sma anakuonesha unyama wa Marcedes Benz M-Class 350 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@lambertpatrick1841
@lambertpatrick1841 6 часов назад
Hizo button tatu 1,2,3,M za mlangoni kwenye dakika 3.08 sio level za joto ni memory seat. Unaweza preset seating position za watu wa tatu tofauti na steering position uka save kwenye memory ya gari ukiwasha tu gar kama dereva ukabonyeza memory 1 inakusettia position ya seat na steering etc.
@IssahMohammed-o2l
@IssahMohammed-o2l 18 часов назад
Dah noma, twende AudiA7 2017
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 17 часов назад
Uchambuzi wa middle east hapo pia kwan uchambuzi wenu ni hatareeeee
@pmctv787
@pmctv787 17 часов назад
Smah 255 umekuwa mvivu sana kuwasanua watu mambo ya maana na ya kujenga na kuwafanya waafrica weng ubongo ufanye kazi piga kazi taranta unayo ila unailaza sana kaka
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 9 часов назад
Mzee wewe huoni? Hii video anapromote Biashara hela iingie ayo mengine yanatime
@rahimchardluck
@rahimchardluck 13 часов назад
NIKITU KIZURI KUTUPA ELIMU KUHUSU MAGARI MAZURI KAMA HAYA.ILA HAPO KWENYE MEMORY SEAT UMESEMA NI JOTO LA GARI.HAPO UMEKOSEA BRO.1,2,3 NI MEMORY YA POSITION YA KITI UNAPOTAKA KIKAE ( KWENYE DK 3:06 )
@bignation9892
@bignation9892 Час назад
1,2,3,M sio za joto hizo ni buttons za memory seat
@hamzahuseni2555
@hamzahuseni2555 10 часов назад
Tunataka Gps dj smaa
@elishahenry9257
@elishahenry9257 19 часов назад
Kaka tunaomba review ya mashambulizi ya Iran kwa wayaudi
@FreedomKasonso
@FreedomKasonso 18 часов назад
Umeona ndinga mda wote Vita man ujue maisha Yana enderea
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 18 часов назад
🇹🇿 🇹🇿🇹🇿✌
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 8 часов назад
Hakuna Cha review hapa ni kipigo tu Yemen,kipigo Lebanon Kipigo Gaza Kipigo ..wapeleke motoooooo hawa waarabu mpaka wakaishi kwenye Maji
@fastking3177
@fastking3177 8 часов назад
We jamaa miyayusho sana😂😂
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 4 часа назад
Utakufa wewe utawaacha warabu kama uliwaumba wewe au waizraili mngesha wamaliza zamani wao wanakufa kila siku wanaficha siri tizameni na channel zingine muone ukweli unasifis a nini wewe mwenyewe umetawaliwa na hao bora waarabu wasiotaka utumwa
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 18 часов назад
Mimi mwalimu naweza nunua hii??
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 10 часов назад
Waulize walimu wenzio
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 9 часов назад
Unamuuliza nani wakati ela ni zako??
@maxiellmillian
@maxiellmillian 7 часов назад
Usitoe kafala watoto wetu tafadhali sana
@nelsonsilayo2049
@nelsonsilayo2049 44 минуты назад
Mwalimu wa nn?
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 31 минуту назад
@@nelsonsilayo2049 atakua mwalimu wa ngoma za asili
Далее
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,5 млн
TUMCHANE
12:05
Просмотров 4,8 тыс.
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Просмотров 20 тыс.
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,5 млн