Тёмный

Gachagua anamtaka Koome kutoa mwelekeo kabla ya bunge la seneti kujadili kesi ya kumbandua ofisini 

TV47 Kenya
Подписаться 387 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Naibu rais rigathi gachagua kupitia mawakili wake amemwandikia jaji mkuu martha koome kuunda jopo maalum la majaji kusikiliza kesi yake inayolenga kusimamisha kubanduliwa kwake mamlakani na bunge la seneti. Hii ni baada ya mahakama ya juu kuwasilisha kesi hiyo kwa jaji mkuu ikisema masuala yaliyoibuliwa na gachagua ikiwemo jinsi alivyobanduliwa na bunge la kitaifa pamoja na shughuli ya kukusanya maoni ya wakenya inaibua masuala mazito ya kikatiba.
__
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
About TV47
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: www.tv47.digital/
Facebook: / tv47ke
Twitter: / tv47news
Instagram: / tv47ke
TikTok: / tv47_ke
Telegram: t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 2 часа назад
Hii inaangushwa
@samsonmuisyo6990
@samsonmuisyo6990 48 минут назад
Mlima has collapsed forever.. This is the same Gachagua who insulted Justice Esther Maina? May be magic 🪄🪄
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 Час назад
Haendi mahali mtaona
@tonnybrillian8835
@tonnybrillian8835 2 часа назад
Gachagua is all over crying for help.😂😂😂😂
@a.k.a-2134
@a.k.a-2134 Час назад
😂😂
@nakedtruthtv_ke
@nakedtruthtv_ke Час назад
Mulima iko imara kama chuma cha pua period.
Далее
🔴 NTV LIVE | October 2024
Просмотров 836