Тёмный

GAMBO AKASIRIKA VIBAYA "LAZIMA TUKEMEE" AMTAJA MAKONDA HADHARANI, LEMA AHUSISHWA NA JAMBO 'TATA' 

Uhondo TV
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 3 месяца назад
Pambana Makonda....Viva Makonda vivaaaaaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Mhuuuuuuuu Gambo Makonda yuko wapi
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 месяца назад
Inasikitisha sana madini yanachimbwa Tz, lakini upatikanaji wake ni bankoko, alafu mnakaa mnasifiana hapa
@aristideskilawe5024
@aristideskilawe5024 3 месяца назад
Dr. Nchimbi SEMA! SEMA usiogope SEMA sisi Wana Arusha hatuogopi wala rushwa SEMA. Tuko nyuma yako kaka yetu Nchimbi. Hakika unanikosha Dr. Nchimbi, msimamo wako na kusimamia HAKI na BUSARA ZAKO. TUNA HITAJI WAZEE KAMA WEWE NA VIJANA WAJIFUNZE MAMBO MEMA KUTOKA KWAKO.NAKUTAKIA KILA JEMA DOKTARI❤
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno 3 месяца назад
Jamani
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 3 месяца назад
Tatizo mafisadi wengi wamejazana wakionekana wamevaa kijani
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 3 месяца назад
Makonda anafanyakazi nzuri sana. Mawaziri na wakuu wa mikoa wangekuwa wanafanya kama Makonda naamini rushwa ingepungua na ukiritimba ungeisha. Hiyo pesa iliyopo huko zaidi ya bilioni 20 ndo zijenge stand
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 месяца назад
Mhuu Mimi sisemi ila nakuonea huruma gambo yajayo
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 месяца назад
Mmmmh!! Mbona JPM alijenga bila kusafiri nje na mikopo yaliyopitiliza? Tatizo mnatuona sisi mazezeta
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 месяца назад
Tuelewesheni vizur, mnaposema ametujengea, kwani kachukua hela yake mfukoni? Na je ni lini alienda Saite kujenga, au anatimiza wajibu wake, mnakaa kumsifia kinafki hapa.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 месяца назад
Ukweli kuongea tu mko vizur, ila utelelezaji ni changamoto, mtaanza miradi kijanja, na uchaguzi ukiisha tu baaaaasi, kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
@user13375
@user13375 3 месяца назад
kwan hasafir 😮😮
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 месяца назад
Huyo mjomba mwacheni, mlimshindwa sasa mnaanza chokochoko, ongeeni maendeleo acheni majungu, eti yule mjombaangu, ulitaka asikimbie ummalizie au?
Далее
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.