Hikibazi kazi yako kwa mungu uzidi kusonga mbele nakuombea kwa mungu hakuinue katika viwango vikubwa sana ubarikiwe sana kija kumtumikia mungu Kuna faida kubwa sana ubarikiwe
Kongole Ndugu nimeipenda Huduma uliyo nayo na tena kwetu ni Nzuri.Hudumani kunayo mengi kisafari basi wetu Yesu akutie Nguvu.Wimbo uliosheheni uhalisia nao ubora wa kwetu kweli ndiye Mstaarabu Bwana wa Milele wetu Yesu.Asiyeweza kubadilika ila Wanadamu hawapaswi kwenye hilo kufahamika Maana kutwa wao wataishi wakibadilika.Endelea Ndugu na hiyo Neema ikazidi kudumu.Yesu pamoja na Utawala wake wakakuepushie Magumu nawe uje ukayafurahie Matunda yako yenye Wokovu ili uishi unapodumu.Majina yangu ni WILLIS na ndivyo ninavyofahamika basi hata mwenyewe nimepewa Kibali lakini Bado namngojea Bwana aliyemweza akayatimizie Yeye.Ubarikiwe Kaka na mimi ninavyohisi utazidishiwa makuu mpaka wakushangae wenye Dosari hadi ukakubalike mwao uweponi Yesu anapowadhalilisha Maadui zako Wenyewe.Pambana ila ninachotaka ukitambue Vibali Havifanani hata Makanisani vivyo usijilinganishe kwao wale Wapakwa Mafuta Wenzio na kile alichokupa Mfalme wako Mkombozi anayewapa wao.0794302958.