Тёмный

Gaza Ft Madee - Nanii ( Official Video) 

Madee Seneda
Подписаться 116 тыс.
Просмотров 515 тыс.
50% 1

#Madee #Nanii #NgommaTz

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 411   
@baddestsmartdaddy8966
@baddestsmartdaddy8966 6 лет назад
Kama ume muona dr shika weka coment yako hapa
@witholupenza4261
@witholupenza4261 6 лет назад
yaap gaza kaza ushatoka,ila uc anze dhalau kama wakina naniiiii.
@rizikinash5187
@rizikinash5187 6 лет назад
Viongozi wanavuta Nani ?kamba aahaha wanavuta, Naniii Ngoma kali mistari safi sana mtuyangu. unamjuwa Nani wewe ?
@shayoleeshy1958
@shayoleeshy1958 6 лет назад
hiving nanii unamjuwa nanii. 😘 nimehipenda
@shairanibrah7609
@shairanibrah7609 6 лет назад
kama unamwelewa madee gonga like apa
@shairanibrah7609
@shairanibrah7609 6 лет назад
wacha kubana s umepewa na nanii nataka kutumia shuka moja u and me noma sana madee umerud tena zile
@gamechangerstz257
@gamechangerstz257 6 лет назад
tunataka hit powerful kama hiz wabongo. sema Madee umevuka xana maadili kuendana Na umri wako hapo kwenye kutukana ungemwachia dogo "usiku mmoja nikakunanii
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 года назад
Wanangu ambao madee katuteka kaa nananiiiii
@Nakasinge_Mugarula
@Nakasinge_Mugarula 6 лет назад
madee unamdisi nanii, haujui kama ana nanii kubwa ka nanii
@bjchanza3133
@bjchanza3133 6 лет назад
nani haimbi nanii hapa namuona Roma nimekusoma nani..
@naseebkanick4116
@naseebkanick4116 6 лет назад
hiv naniii skuiz aimbi naniii tatizo walimteka alaf wakamnaniiiiiiiiiiii
@hansmedia9767
@hansmedia9767 6 лет назад
madee! aiseeeeeeeeh sina usemi kwangoma hii duuuh mmetishaaaaaaa. bila kusahau pale kati Dr:Shika katiiiii. Ety Unaitwa madeeee mambo ya kushinda na akina nanniii hufagiliii Duuuuh! goma qaliiiiiiih broo, AM SO HAPPY MUCH
@aydidally4778
@aydidally4778 6 лет назад
Sichoki kuisikiliza hii ngoma.. Shikamoo Madee
@isackisack6703
@isackisack6703 6 лет назад
ahaaahaaaa ivi weewe unamjua nanii alinaniiiiiii
@oyay2821
@oyay2821 6 лет назад
Naona wamsikiza Nanni wanawake hawajavaa nanni
@andreiusgoodboy8990
@andreiusgoodboy8990 6 лет назад
viongozi wanavuta naniiii "Dr shika"- kambaa. no ni naniii
@breackychangwe5887
@breackychangwe5887 6 лет назад
Viongozi wanavuta naniii,, hapo nimewaelewa
@MrReeval
@MrReeval 6 лет назад
...hahaha...kamba?
@judithnyagawa4197
@judithnyagawa4197 6 лет назад
Naniii yan nimewaelewa kama naniiiii kwahy baada ya kwichkwich alimwagiaga mananiiiiii
@stephanokikoti2081
@stephanokikoti2081 6 лет назад
baada ya kwikwichi alimumwagiagaa manani ndiyo maanaa ana naniiiiiii GAZA BR NAKUELEWA KINYAMAAAAA
@mwanaurukarisa829
@mwanaurukarisa829 6 лет назад
Hivi nani mbn hip nyimbo nzuri
@katakemohammed8726
@katakemohammed8726 6 лет назад
Nouma xana Kama unaikubali hii ngoma hebu fanya ku like hii
@alidyaya4512
@alidyaya4512 6 лет назад
Tatizo walimteka afu wakamnaniii...
@telesiakija7157
@telesiakija7157 4 года назад
Hv unamjua naniii
@faridahatibu6858
@faridahatibu6858 6 лет назад
Niluyule asogonga mpaka apake naniiii......
@amanijolam4140
@amanijolam4140 6 лет назад
Madee umetisha sana,viongozi wanavuta nanii,Dk shika eti (KAMBA)
@jandaboy3273
@jandaboy3273 6 лет назад
nimekua wa59kuitazama🔥🔥🔥🔥🔥🔥nimemuwah mpka nani
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 6 лет назад
daaaaa
@abdulraheemgalambo332
@abdulraheemgalambo332 6 лет назад
kidiabaa
@deekiwonyi4395
@deekiwonyi4395 6 лет назад
Hili ni balaA HONGERA MADEE
@fahadhamisi3650
@fahadhamisi3650 6 лет назад
Millady ayo mpaka jesh umekubal
@jozeytv8357
@jozeytv8357 6 лет назад
uyu cy AYO account feki
@ramadhanimagomba7395
@ramadhanimagomba7395 6 лет назад
Millady ayo noumaaa
@saidmandet8955
@saidmandet8955 6 лет назад
Bab kubwa
@trackmusic8002
@trackmusic8002 6 лет назад
Gaza akimaliza me naskip Gaza✨
@shayoleeshy1958
@shayoleeshy1958 6 лет назад
hivi nanii unamjuwa nanii. full kuwapenda. 😜
@janethmwema5928
@janethmwema5928 6 лет назад
viongozi wanavuta naniii kamba? daaah ile naniii haaaaahaaaaahaaaaa
@patriciathomas4180
@patriciathomas4180 6 лет назад
aliemuona dokta shika agonge like 😂
@emmaenkwabi9268
@emmaenkwabi9268 6 лет назад
patricia Thomas htr
@patrickjohn6506
@patrickjohn6506 6 лет назад
Umeuaaaa blaza naniiiiiiii ni lazma utoke kinaniiiiiiii
@abdullmessi2742
@abdullmessi2742 6 лет назад
Eeeeh sure dr shikaa unacheza na chura sio wapi like kwa madee na gaza
@ndilabuzizili898
@ndilabuzizili898 6 лет назад
huyu Br,,,ana nanii kweli mpaka so poa
@shebankenya4913
@shebankenya4913 6 лет назад
Hii ngoma ya nanii,iko nanii
@mwanaurukarisa829
@mwanaurukarisa829 6 лет назад
Hio nyimbo iko poa nanii
@mohammedseyf6531
@mohammedseyf6531 5 лет назад
Uyo dogo anajua kama maarifa madee hatari sana
@erickhaule8680
@erickhaule8680 6 лет назад
bonge la ngoma lakulia ugari hili na mlenda
@chrissmollel98
@chrissmollel98 6 лет назад
naniiiiii ipo vzr
@nelmisana919
@nelmisana919 6 лет назад
Uyu Gaza anaflow mamaaake anatamka maneno vizuri hadi raha,.. Karibu have seat in Bongo flava umetisha Gaza..Madee Umeitendea haki nyimbo Safii
@samuelkafula3722
@samuelkafula3722 6 лет назад
loh, nanii imetisha balaaa
@yusuphasenga8192
@yusuphasenga8192 4 года назад
nasikia dg janja kamuowa nani
@jamesjjoseph5908
@jamesjjoseph5908 6 лет назад
Mtu mwenye wana mnaniiii
@selemankhatib1519
@selemankhatib1519 6 лет назад
kwan na nii anao watungia hawa naaanii
@odamanbarnaba6582
@odamanbarnaba6582 6 лет назад
Hivi nanii umemwona dk nanii akishka nanii
@marrymarry462
@marrymarry462 5 лет назад
Madeee ww n naniiiiii
@joxxi2068
@joxxi2068 6 лет назад
Dem wangu ana k kubwa ka nanii
@shaibmahamudu8622
@shaibmahamudu8622 6 лет назад
so yule nani.,... hahaaaa noma sanaaaaa
@asteriashija2697
@asteriashija2697 6 лет назад
nahisi kama kampa dongo ROMA...2.04,TWASUBIRI JIBU KWA ROMA..HAIWEZEKANI
@TamuzaKale
@TamuzaKale 6 лет назад
Huyu dogo wa kuitwa Gaza ana floo kali sana. Nimependa jinsi anavyojiamni katika kazi ambalo watu wengi wanafeli!
@happymakusi5728
@happymakusi5728 6 лет назад
hongera mwanangu,malamba mawili moja nakupata swaiba nakuombea utoboe
@michaelalphons1970
@michaelalphons1970 4 года назад
Bonge la song
@visionsafaristanzania2019
@visionsafaristanzania2019 6 лет назад
We noma unaimba kama nani
@Omarionaire
@Omarionaire 6 лет назад
Duh. Bonge la ngoma aisee
@daudm1558
@daudm1558 6 лет назад
Mzee wa Mia tisa itapendeza.....katisha shavu jingine... Amakweli.. Manzese music 🎶 baby 👶
@saidussi5539
@saidussi5539 6 лет назад
Duuuuuu dr.shika nae kwa wowowo mbayaa
@raymondizukanji7243
@raymondizukanji7243 6 лет назад
Hahahaaa
@elishaadolph6768
@elishaadolph6768 6 лет назад
Dr shikaa mtamuuwaa na hawaa maduu wa dar jamn mpkaa kaanzaa kuwaspnk daaa!! Centre of gravity iiisheee duniaaa ikae
@chacha-255
@chacha-255 6 лет назад
ama kweli mnajua kuzitumia fursa za dr shika.....so creative
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 6 лет назад
nyimbo kali,ila jna gaza au blood gaza tunalo ktk kund la BOB CLICK kwann msitumie jna lingne
@xaznizzlexadlepe2635
@xaznizzlexadlepe2635 6 лет назад
sijamjua bado nanii. Shikamooo madee mumetisha nadhanii hii ndio funga mwaka
@mellancheyo5936
@mellancheyo5936 6 лет назад
Tatizoo walimtekaaa ......wakamnaniii
@rojasnamponda1434
@rojasnamponda1434 6 лет назад
Dk Shika Viongozi wanavuta kamba Ahahaha a atareeeee
@pundetv6144
@pundetv6144 6 лет назад
Bonge moja la nanii
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 лет назад
Nzuri lakini Nanii Nani zimezidi.
@nalianjorzee3722
@nalianjorzee3722 6 лет назад
Kama imebamba bonyeza naniii😇
@juliethpoul8526
@juliethpoul8526 6 лет назад
Ngoma Kali kinyama
@abdullmessi2742
@abdullmessi2742 6 лет назад
umeuwa madee muko juu makamanda team chafu namjua Yule Nani mwakee
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
mara ya mwanzo nmeiskia kwny daldal leo nkwaza "kw iv iendavyo nna waswas inaitwa nanii hem niichk youtube mida ya bdae" xax kuingia tuu nakmbna nayo nampenda xannaaa madeee na kazz zke
@lukiamfinaga7791
@lukiamfinaga7791 6 лет назад
Mnamjua nanii
@yasiniyasini4207
@yasiniyasini4207 6 лет назад
safiiiiiii madiiiiii
@peterrichard1397
@peterrichard1397 6 лет назад
Umetisha naniii
@petersevere6272
@petersevere6272 6 лет назад
Dr shika kushika matako ya wanawake ni udhalishaji
@lightnecndelwa9083
@lightnecndelwa9083 6 лет назад
achana nae mtu mwenyw wanamnaniii @kichupa kikali
@kasangamrisho3405
@kasangamrisho3405 5 лет назад
Nanii Nifrani
@thequeenprincessthequeen1619
@thequeenprincessthequeen1619 6 лет назад
Iyooooo kaliii sana madee
@prosperwilly4470
@prosperwilly4470 6 лет назад
😁😁😁😁😁eti kambaaaaaa
@revinamussa7320
@revinamussa7320 6 лет назад
Nipo libya,sielewi kiswahili,ngoma Ni Kali kinoma nomaa Ni motoo madeee
@sharifajanqabari4731
@sharifajanqabari4731 6 лет назад
namjuaa nanii bbu yangu nani
@gabrielsixtus1718
@gabrielsixtus1718 6 лет назад
tatizo walimteka wakananii haah
@daddiemanwacoastizonmusic8266
@daddiemanwacoastizonmusic8266 6 лет назад
Madee ..hivi unamanisha Roma walimNANII..hahah tatizo walimteka halafu wakamNANII
@husseinally8894
@husseinally8894 6 лет назад
Ngoma kalii
@jrmbunda9414
@jrmbunda9414 6 лет назад
Eti nanii unamjua nanii Tisha xaaàaana 🔥🔥🔥
@dijaj4130
@dijaj4130 6 лет назад
siyule nanii aliye naniiii
@lucasmsafiri5941
@lucasmsafiri5941 6 лет назад
Imemchoma nanii
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 6 лет назад
Ngoma Kali saana
@shamojunju4657
@shamojunju4657 6 лет назад
Duh kariiiii sana
@happnessmkumbo3728
@happnessmkumbo3728 2 года назад
Wewe hatar nakuaminia
@husseinmtama1771
@husseinmtama1771 6 лет назад
nimekumbali tena sana zaidi yasana
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 лет назад
NICE SONG... #Gaza kazingua kumDiss #TrueBoy/Nay sijapenda kabisa kama msanii chipukiz nakuanza kutafuta maKIKI... Sio Fresh Kuhusu Dr_Shika mmechelewa..ila fresh
@watsonilivebenisoni9994
@watsonilivebenisoni9994 6 лет назад
Saf xaaana
@epainethowanjara6546
@epainethowanjara6546 6 лет назад
nimeikubali hyo ngoma big up madee ila ungesema tu aliyemteka nanii
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 лет назад
Dr.shika umewashika wabongo hatari kutoka kibamia hadi nanii😂😂kma umemkabali rais wa manzese gonga like hpa
@erickkamugisha342
@erickkamugisha342 6 лет назад
Naniiiii nomaaa
@stephenbarnaba5061
@stephenbarnaba5061 6 лет назад
Kali sana
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 лет назад
ivi Nani unamjua nanii
@dangotesam9845
@dangotesam9845 6 лет назад
'Hivi madee, kati yako na nanii, nani rais wa manzese CEO ka nanii?' Haha.. ngoma nimeikubali..
@thegreat308
@thegreat308 6 лет назад
Iko pw sana
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
Nanii ckuizi siokiongoz
@rehemadaniel6382
@rehemadaniel6382 6 лет назад
Ila nanii ni kali yani ni tamu kama nanii
@mohammadkhalid371
@mohammadkhalid371 5 лет назад
Madee uko juu
@mcnyota
@mcnyota 6 лет назад
Mombasa tupo... noma sana Madee😃
@piasonimsokwe4529
@piasonimsokwe4529 6 лет назад
aaaaaah mm mwenyew kidog nipite bila kugonga like aaah ngoma kal iy ivi nan eeeh
Далее
Madee - Pombe yangu (Official Video)
4:19
Просмотров 202 тыс.
Madee -  Hela (Official Video)
3:23
Просмотров 491 тыс.
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Gazza - Sana(Official Video)
3:51
Просмотров 30 тыс.
Madee ft Nandy - Sema (Official Video)
4:06
Просмотров 2,6 млн
Madee - Vuvula
4:25
Просмотров 138 тыс.
Madee ft Tunda Man -  Pesa
4:19
Просмотров 1,6 млн
MADEE - JOKA LA KIBISA (Official Video)
3:25
Просмотров 239 тыс.
Paulina -  Madee ft Raymond  (Official Video)
4:28
Просмотров 534 тыс.
Dogo Janja - Kidebe (Official Video)
3:40
Просмотров 2,7 млн