Тёмный

GB64 ADAI CHAMA KUISHITAKI SIMBA NI KUTAFUTA KIKI, AELEZA CHAMA ALIKUJA YUKO HOHE HAHE LEO ANATAMBA 

Kaje Tv
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

#ahmedally #yanga #alikamwe #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #hajimanara #simba #azamfc #azamtv #azam

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@JosephAlex-pm7rp
@JosephAlex-pm7rp 3 месяца назад
Jamaa yuko sahihi maana chama tulitegemea aondoke bila mbwembwe za kesi Kwa SIMBA
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 3 месяца назад
Leo umetoka na suit! Umependeza sana.
@IsackAyoub-l8m
@IsackAyoub-l8m 3 месяца назад
Bangi sio nzur we jamaa mnafiki sana
@jaydenkaleshi
@jaydenkaleshi 3 месяца назад
Kwaiyo hata kama Chama amekosea aangaliwe tu? Anaanza kuichafua timu aangaliwe tu.
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 3 месяца назад
😢😢😢 Chiz ww, maamuzi anafanya moo pekee yake acha ujinga, boys ww,
@MamboMbuli
@MamboMbuli 3 месяца назад
Chama ni kupe tu,,,🎉hawa waandishi hawana Cha kusema Kila SIKU chama😢😢tumemchoka sana
@AbdulHamiss-pm4qz
@AbdulHamiss-pm4qz 3 месяца назад
Acha upumbuvu were gb64, nilikuwa nakukubali sana Ila kwa hili LA chama umejishusha bwege wewe
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 месяца назад
Ni Mshamba yule alikuwa anasaliti Timu kwa vihela vya Pembeni..Acha aondoke Duka yule
@Ministerlucasfelicks
@Ministerlucasfelicks 3 месяца назад
​@@AbdulHamiss-pm4qzkaka hujamuelewa gb wewe ni utopolo
@dicksonmwita9263
@dicksonmwita9263 3 месяца назад
Jamaa mnafiki Sana Si alikuwa anamkubali chama mpk akasema akihama ataacha kushabilia Simba
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
Bendera faya upepo huyo!
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 3 месяца назад
Mikila siku nawaambia hili jamaa matumizi mabaya ya bangi
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 месяца назад
​@@emanuelpetro9591kabisa anavuta bangi sana huyu jamaa
@IssackMvumbi-r7m
@IssackMvumbi-r7m 3 месяца назад
Hamna kazi hapo hanaga point
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 3 месяца назад
siyo kwel hayo yote nimatokeo ya maumivu ya huyo mchezaji hahahahaaa...!
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 месяца назад
Mchezaj au mzeee
@shabanabdalatupa
@shabanabdalatupa 3 месяца назад
Ongea kiswahili kiingereza chenyewe hujui
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 3 месяца назад
Mlevi😅😅😅 ww hujui ww kaa kimya!!!!!
@kenedytheonest2798
@kenedytheonest2798 3 месяца назад
Hapo nimeelewa course ya EA mambo ya Forecast, planning and Sucessesion plan
@GaspaMwamlima
@GaspaMwamlima 3 месяца назад
Chama ninani aendeeeee
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 месяца назад
Yanga wanadhani simba wanahabari na wakina chama
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Gb 64 mwamba kwerkwer chama tulisha msahau mda kwani bado yupo tz
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 3 месяца назад
Nipale mwanamke unaempenda akikuacha lazma uwongee maneno yakila aina
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 3 месяца назад
Na wewe ni mmoja kati ya hao wanawake
@raymondmilanzi
@raymondmilanzi 3 месяца назад
Mwanamke anaachwaaa ww
@KalondaWilondja
@KalondaWilondja 3 месяца назад
Uyooo GB64 anatumiya bangi sana uyooo amesha lewa uyoooo
@selemankajonjo1638
@selemankajonjo1638 3 месяца назад
Kumbe jamaa ni chizi namna hii anaongea hovyo kweli duh.
@dottomaganga2837
@dottomaganga2837 3 месяца назад
Nilikuwa nakuelewa sana kwa point zako zilikuwa na mashiko ila leo nakukataa nikiwa na akili timamu! Hauna ueledi kwenye tasnia ya Soka!
@MasumbukoKilunga-mf7sg
@MasumbukoKilunga-mf7sg 3 месяца назад
Ukiwa na akili timamu Unamkataa nimeungana nawewe
@raymondmilanzi
@raymondmilanzi 3 месяца назад
Amekushika pabaya
@DeogratiusAthanazi
@DeogratiusAthanazi 3 месяца назад
Amekugusa Kwa ukweli wake😂😂
@BensonMpomo
@BensonMpomo 3 месяца назад
usiongee sana yule chama kakuzidi kipato atakulia mke ubaki unalua
@yustusmalende9263
@yustusmalende9263 3 месяца назад
Sasa makasiriko ya nini..😅😅😅 acha makasariko.
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 3 месяца назад
Hajakasilika no sauti yake ,huwezi kumnyamazisha Gb, chama kalelewa simba. akitoka asitafute kiki
@IssaOmary-r7h
@IssaOmary-r7h 3 месяца назад
Ukimaliza kuongea jua chama anacheza yanga acha yakutoke inauma sana
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Wandishi nao tumewachoka Kila siku chamachama situlisha msahau kwani bado yupo
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 3 месяца назад
MBONA MNATOA MAPOVU BANA, NYIE SUBIRINI MTAPIGWA 20. DUH! INATIA HUZUNI WATU WAMECHANGANYIKIWA.... MH! POLENI.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 месяца назад
Mama yakoo ni mpige BAO 20??
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 месяца назад
Nenda kampige mama yako bao 20
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 3 месяца назад
Huyu jamaa ni jinga sana
@Allymzaki
@Allymzaki 3 месяца назад
Usipoelezea ujingawako upo wp. Tunaona wew ndo mjinga.
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 3 месяца назад
Jinga ndo wewe imekuuma kuma wewe acha ikuingiee
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 3 месяца назад
@@sebastiankatalle2732 Na wewe ni bomu kweli
@nicholasmwaipyana8512
@nicholasmwaipyana8512 3 месяца назад
Chama alishindwa kutulia kakurupuka
@mlaumusic2507
@mlaumusic2507 3 месяца назад
Huyu tako ajielewi yeyote anae muhoji GB 64 nayeye hajielewi
@MariamRuben-i8t
@MariamRuben-i8t 3 месяца назад
mh jamani inauma hiyo ndio maana unaongea wivue huo
@husseinchalamila2624
@husseinchalamila2624 3 месяца назад
Jb chizi
@SaidSammedia
@SaidSammedia 3 месяца назад
Gb nilikuwa nakukubali ila sasa naonacha umeshakuwa choko hufai tena
@shukuruiddi82
@shukuruiddi82 3 месяца назад
nchi hii ni simba na yanga tu, ukiondoka moja kati ya timu hizi lazima ukubali unashuka tu. chama aende yanga akacheze asitafute hizi shida na mashabiki na wapenzi wa mpira, atafeli mazima kucheza kwasababu hakuna mapenzi kwa mchezaji zaidi ya timu
@IhsaanKhalid-zr8rn
@IhsaanKhalid-zr8rn 3 месяца назад
Sasa maneno mengii yaninini
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 3 месяца назад
Ko vip hapa unataka afanyaje chama abaki tu simba au
@allymakele2076
@allymakele2076 3 месяца назад
Mwandishi yoyote akijanaswalalachama juaametumwa nauyouyochama
@ZaharaniMisso-ke4dy
@ZaharaniMisso-ke4dy 3 месяца назад
Sasa mbona bado munamng'ang'ani mwacheni basi
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 3 месяца назад
Wewe unashindwa kutofautisha feitoto na chama, pia simba na yanga, sisi hatumng,'anganii
@abdulzinga5878
@abdulzinga5878 3 месяца назад
Followers wake wakishuka yanga tunamfollow tu, kwan what's a big issue.
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 месяца назад
acha ujinga miguu imekaa ivi ulimfundisha mpira acha upuuzi wee laana wee mamaake mzazi umpe laana izo dua zakuku
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 3 месяца назад
Mashabiki baadhi wanashindwa kutofautisha msimamo wa simba na yanga, sisi hatumkatazi mchezaji kuondoka akiamua ,wachezaji wanajua hilo, tofauti na wengine mpaka rais aingilie kati. na mpaka wamtumie mobeto (msanii) kumludisha mchezaji asiondoke. Simba siyo shida zao. So acheni kuwatumia wachezaji walioachwa simba kwa kiki zenu 😊
@AnethKauzen-yz1ws
@AnethKauzen-yz1ws 3 месяца назад
Alie kwambia kabwaga nani mkude huyooo
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 3 месяца назад
Kumbe huyu jamaa ni bonge la bogaz
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 3 месяца назад
Mpeni barua sasa mnang'ang'ania nini? Maneno ya kelele hayo na broken English ya kufoji vyeti
@IddiHassan-mr3sb
@IddiHassan-mr3sb 3 месяца назад
Na kwa nini midia zinapanga kuongea na walevi kosa la chama nini hapa
@JosephAlex-pm7rp
@JosephAlex-pm7rp 3 месяца назад
Si anashitaki Simba
@AffectionateBaseball-ib8dv
@AffectionateBaseball-ib8dv 3 месяца назад
Ww ndio ulimpa hilo jina alipewa na baraka mpenja viatu nyumba amevipata Kwa uwezo wke muimbei jobe basi
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 месяца назад
Ww hicho kizungu chako cha kikramu kuhifadhi kiishie huko Horohoro ulisoma wapi?
@abdalahhassan5759
@abdalahhassan5759 3 месяца назад
Chama ameshakuwa shoga tena kila mtu anaona mjinga simba wana akil sana
@ExecutiveHouseKeeperElewana
@ExecutiveHouseKeeperElewana 3 месяца назад
Huyu Jamaa Gb64 ni always speak nonsense. Jinga kweli hili lijamaa.
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 3 месяца назад
Kama kweli Chama ameishitaki Simba Sc kwa kitu hicho tu atakua hana nidhamu kabisa na anaweza laanika.
@Ally-zz2hv
@Ally-zz2hv 3 месяца назад
Natoka sana mapovu
@SalehJotham
@SalehJotham 3 месяца назад
Uyu GB 64 Hana elimu ndio maana uelewa wake Mdogo Sana,,,,Mpira Sio vita ata ukimchukia Chama aulei family yake Wala Yeye alei family Yako...!
@OmariBwagizo
@OmariBwagizo 3 месяца назад
Wewe unaelimu gan kakq
@AlbertNshunju
@AlbertNshunju 3 месяца назад
Acha hasira kaka mchezaji kashawabwaga. Subirini uwanjani
@kilemilekilemile
@kilemilekilemile 3 месяца назад
Ww hama tu timu usione aibu ulitamka utaenda Azam chama akihama simba
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 3 месяца назад
Kumkashifu Chama sio poa! Amefanya mengi makubwa akiwa Simba Sports, hata kama ameondoka kwa kiburi haipaswi kumtolea maneno mazito kiasi hiki! Muache aende kwa kuwa umri wake unaenda na anachotafuta k
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 месяца назад
Kashfa ndio mbaya kuongea viungo alivyoviumba mwenyezi MUNGU, sasa unapoongea laaaana ww unaitafuta kwa uumbaji wa MUNGU 😢
@allymakele2076
@allymakele2076 3 месяца назад
Achananae unampaumaalufu chamakamawachezajiwenginetu
@Ally-zz2hv
@Ally-zz2hv 3 месяца назад
Bwege tu ajui mpira
@JosephAlex-pm7rp
@JosephAlex-pm7rp 3 месяца назад
Kwani huyu chama ni nani Hana lolote tumekiwa naye misimu mingap aende mwache ss ndo tumemkuza uyo ndo ukweli
@Ahamadahaidary
@Ahamadahaidary 3 месяца назад
ww sikuizi ushakuwa mpumbavu
@IddiHassan-mr3sb
@IddiHassan-mr3sb 3 месяца назад
Watu hua hawamalizianeno
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m 3 месяца назад
kwani simba dini mpaka usiondoke
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m 3 месяца назад
tatizo nini kuondoka simba
@EmmanuelMpangala
@EmmanuelMpangala 3 месяца назад
Jamaa huyu njaa inamponza
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
Saaana! Na ana njaa kweli..
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Huyo kadi yake ya uanachama hawa halipii.
@soniimedia2440
@soniimedia2440 3 месяца назад
Saido chama baleke mkude morson n.k wakowapi?
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
NYIE ENDELEENI NA PROTOCAL ZENU,JAZIBA ZA NINI?????????ONGEA TARATIBU
@LangoimiagieLangoi
@LangoimiagieLangoi 3 месяца назад
Kwani kwao mmejuaje kama hakua na jina
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 месяца назад
Wape wape mpe mpe washamba hao
@ElizabethEmmanuel-nj1oi
@ElizabethEmmanuel-nj1oi 3 месяца назад
Anataka sofa tu Chama yee aende tu
@AlbertNshunju
@AlbertNshunju 3 месяца назад
Mbona una hasira kaka????
@msamiseleman4255
@msamiseleman4255 3 месяца назад
wanikoshaa😂😂😂😂
@RayMyonga
@RayMyonga 3 месяца назад
Dyuu kweli mke akikuacha ukiwa unampenda hakika inauma sana Yaani ww GB ni mpumbavi tu tenah mbwa zungumza mpira unaanza kumchambua chama ww na familia yako yote mnalingana namaisha ya chama peke ake hata robot hamufiki mjinga tu ww
@jameskivelege6721
@jameskivelege6721 3 месяца назад
Mpeni barua yake basi,acheni story. Release letter yake basi
@MoshiMrisho-e6m
@MoshiMrisho-e6m 3 месяца назад
Angekuwa ajapewa balua yanga mngemtambulisha Kwan ?
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m 3 месяца назад
mkude yupo yanga usidanganye
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 3 месяца назад
ila we jamaaa 😂
@elinisafiminja3049
@elinisafiminja3049 3 месяца назад
Duuh makasiriko
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Hii ingekuwa kesi ya Yanga ingeisha leo Lawi ni Simba na Simba ndio mwenye haki. Chama babu yule acha akafie CCM ile sio team ni Serikali kudadeki. Huwezi kuwa na akili timamu ukadharau taasisi ilokupa maisha. Mkude na Chama ni wasaliti na watakiona ktk maisha yao. Kama hawajajifunza kwa Morison na Balotel waduanzi. Kule kafata hela na dharau
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 3 месяца назад
Kwani huyo chama kawakosea nn mbona amewapa faida hivo lkn mnamtukana mbona nyie hamjalaaniwa na mama zenu mlivokosea na hiyo milaana hampati ng'ooo mtalaanika nyie wenyewe madebora nyie
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 3 месяца назад
GB64 wee ni kiboko wambie hao wasio jierewa wapuusi kabisa 🎉🎉
@lutiak7618
@lutiak7618 3 месяца назад
Mimi ki ukweli Chama atuache
@KalondaWilondja
@KalondaWilondja 3 месяца назад
Unamzarau chama wewe kama nani wewe GB 64 tumia bangi ya kiheledi wewe muhache chama nyiye mandunduka makolo 🎉
@SiliviaJoshua-gd3xd
@SiliviaJoshua-gd3xd 3 месяца назад
Gb64 unaongea kama mtoto wa darasa la tatu (b) hata watukuelewi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Kachupa kadogo kameshaingia,, Magu aliona mbali sana.
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 месяца назад
Hana cheti
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 3 месяца назад
UNAJIELEWA KWELI WEWE?HAIJAPITA HATA MWEZI ULIKUWA UNASEMA CHAMA AKITOKA SIMBA UTAACHA KUSHABIKIA SIMBA LEO HII UNAONGEA USENGE MTUPU
@JumaMwilima
@JumaMwilima 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 3 месяца назад
Kama mtu awaumizi kwann anakua midomoni mwenu na kumtolea maneno machafu km ayo ila majibu yako na yenu atawajibu uwanjani ili uumie zaidi papasi wewe
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 3 месяца назад
Na nyie yanga mnanongwa sasa je angeanzia kwenu huyu chama Nazani angewatia vidole kila mshabiki wa yanga na kwa umbumbavu wa yanga wangevua hizo suruali,
@elibarikioffical
@elibarikioffical 3 месяца назад
Mpeni barua yake asepe GB64 you talking nonsense
@MirajiShaban-m7c
@MirajiShaban-m7c 3 месяца назад
Subilli tarehe 8 wewe ndo tukukande ili uongee vizuri
@OmarJoho
@OmarJoho 3 месяца назад
JB unaongea ww ira wengine wanaumia xn
@IddiHassan-mr3sb
@IddiHassan-mr3sb 3 месяца назад
Hivi mwaandishianachoongea mtu huyu anakielewa?
@IddiHassan-mr3sb
@IddiHassan-mr3sb 3 месяца назад
Wssi wasi wako ndio umaskini wako
@LinusKyando
@LinusKyando 3 месяца назад
MBONA HUJAHAMA??????
@ErickJeremiah-ww3ez
@ErickJeremiah-ww3ez 3 месяца назад
Ila Gb64 ni mwanaume fake sanaa, kwanza nshamdeleete uyu Baba hana hoja yeyote.😂😂 Tuachie Simba yetu wewe
@Japhethmwakasege-j4k
@Japhethmwakasege-j4k 3 месяца назад
roho ya mtu kichaka kaka
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 3 месяца назад
Bodi Kwa kufuata katiba Gani ? Wakati katiba ya mabadiliko bado
@RayMyonga
@RayMyonga 3 месяца назад
Unajikosha kolo wewe ndiyo muache wew hapo unamaisha gan njaaa tumbwa ww
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 месяца назад
a😂😂😂😂😂😂
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Nafikiri mashabiki wa simba mmeshamwona huyo wa chupa ndogo.
@AffectionateBaseball-ib8dv
@AffectionateBaseball-ib8dv 3 месяца назад
Mkude umemuacha ww mkude Yuko kambini matako
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 3 месяца назад
Msenge wewe gb
@BensonMpomo
@BensonMpomo 3 месяца назад
uyu afanyiwe vipimo mana tangu awekwe ndani sijui walimgusa make anaongea ujinga t
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l 3 месяца назад
ukweli huo sema wajinga hawawezi kukuelewa
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 месяца назад
acha upuuzi wewe simba simba kwiho
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 3 месяца назад
huna la kuonge bila kuitaja yanga
@RomanOptaty
@RomanOptaty 3 месяца назад
Akiliuna wewe
@errydeo8865
@errydeo8865 3 месяца назад
Yaan CHAMA atafute kiki! Are u kidding me? Simba wanawazuga mashabiki wao kwasababu wanajua usajili wameboronga! Huyu huwa hajui akiongeacho! Who needs thank you!? Kingereza chenyewe cha mchongo! Just STFU
Далее
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
Просмотров 10 тыс.
Теперь DOOM пройдёт каждый
00:17
Просмотров 282 тыс.
Теперь DOOM пройдёт каждый
00:17
Просмотров 282 тыс.