Тёмный

Gen Z waingia tena barabarani, Nairobi panatisha, Wabeba Majeneza, Mombasa magari yachomwa moto 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@trizereve3386
@trizereve3386 3 дня назад
Mtangazaji yani ukitangaza hizi habari nategasikio kweli kweli asante
@Elybwayz
@Elybwayz 3 дня назад
Usipomuelewa uyu sky we ndio bas tena yuko sawa
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 дня назад
Na mimi pia
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 дня назад
Ruto mungu hajafurahishwa na uongozi wako toka tu 😂
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 3 дня назад
Ruto must go
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 3 дня назад
Thursday and Sunday maandamano lazima RUTO AJIUZULU
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 дня назад
Mmmh kwer wakenya wamevurugwa ..mungu wasaidie ndugu zetu wakenya wapate aman..mana aman ndo Kila kitu..
@felixefeza6783
@felixefeza6783 День назад
Hapa Kenya hata tume ya kupigana na ufisadi pia wao ni mafisadi hata ruto ni fisadi
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 дня назад
Ruto bora uondoke tu madarakani plz
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 дня назад
😢haezi ana roho ngumu kaa chuma
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 дня назад
Hao tena wana lao tuu, hata ruto akiondoka ajae akikosea padg tu basi wanaingia tena barabarani 😢
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 дня назад
Kweli naomba watu wasave hii comment yko.
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 2 дня назад
Sabab ya ukosef wa ajira wakipat mtu akiwafadhil kidog.shida inaanzia hapo.
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 3 дня назад
Sasaivi naona awo nimagaidi tu wanataka waanzishe vita wanaitaji kuangamiza watu wakenya wanatakiwa kuwa makini
@abdulmustafa5113
@abdulmustafa5113 3 дня назад
𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐤𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐡𝐮𝐤𝐮 𝐬𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐜𝐜𝐦 𝐭𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐩𝐮
@bree254
@bree254 3 дня назад
😂😂😂😂Love my country 👏👏👏👏
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 3 дня назад
😂😂😂😂😂Gen Z Wa 🇰🇪 Nawapenda sana❤
@hallykanze6693
@hallykanze6693 3 дня назад
Ruto must GO 🇰🇪🇰🇪
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 дня назад
Huko Kenya kimenuka.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 дня назад
Ruto must Go
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 дня назад
Thanks SNS
@chapuztv3040
@chapuztv3040 3 дня назад
Hapo sawa alishidwa kuisaidia Congo akasapoti M23 😂😂😂😂 ba mtoe alikua anaongea kingeleza wakati Congo wanakupfa wanalia Ruto muster goooo
@NasibuAbduli
@NasibuAbduli 3 дня назад
Niatari😢😢😢😢
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 дня назад
Zakayo must go
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 2 дня назад
vilio vya wananchi havipaswi kupuuzwa kwa sababu madhara yake huwa ni mabaya sana,miundombinu kuharibiwa,watu kuumizwa na wengine kuuawa.
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 3 дня назад
Wa Tanzania Vile Hatujui English hapa ndio sehemu Pekee ya kuelewa yanayiendela kenya😢😂
@user-rf9mx7cu5r
@user-rf9mx7cu5r 2 дня назад
😂😂😂😂😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 2 дня назад
😅😅😅😅
@roseliku531
@roseliku531 2 дня назад
😂😂😂😂
@DewGroupTech
@DewGroupTech 3 дня назад
TUNAOMBA TAARIFA ZA MABADILIKO YA MANUNUZI YA LUKU
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 3 дня назад
Ruto must go nawunga mukono alafu mkimaliza twendezetu kwa chakwela Malawi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 дня назад
Ala Kenya bhana ,kwahyo wanataka nchi eendeshwe na Hawa vijana wa hovyoo
@felixdestroyer4039
@felixdestroyer4039 3 дня назад
Tumechoka na uongozi wa ruto
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 дня назад
Kama unaamini Hawa vijana ni WA HOVYO LIKE HAPA
@jumashedafa
@jumashedafa 2 дня назад
Ni wa hovyo kwa kuwa huon ugumu wanaopitia
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 2 дня назад
Utakuwa ni mtu mjinga Sana wewe kupindukia.... Watu wanaopigana Maisha yao ktk nchi yao ili wapate Maisha nafuu wao na vizazi vyao unawaita wa hovyo?! Wakitoa Kura zao sio wa hovyo ... Ila wakifuatilia malengo ya utoaji Kura zao kwa mtu ili yatimizwe ndio wanakuwa wa hovyo?! Una Akili za kipumbavu Sana. Ili maandamano yasiwe na vurugu ... Lazima polisi wasichokoze maandamano hayo na waandamanaji ... Vurugu inaanza kwa polisi na lzm waandamanaji wajibu ukiwachokoza. Tanzania maandamano polisi hawachokozi waandamanaji ndio maana huoni vurugu huko... Kote Duniani polisi ikichokoza Raia ... Wata react
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 дня назад
Niwalewale wapumbavu na wajinga
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 2 дня назад
Hata kama maisha ni magumu vijana ni wa hovyo kabisa ,shenzi kabisa hawa vurugu za namna hiyo za hovyo
@bree254
@bree254 3 дня назад
Mwambie atupe till tulipe China wenyewe
@Benlaurence99
@Benlaurence99 2 дня назад
Dah..! Mlipe loan wenyewe et!😂
@surusuru1994
@surusuru1994 3 дня назад
Ndo tatizo lakusuma katiba siasa 😂wasomi hao kaka nahukuru tz walizuia kinamnaingine wallah
@Qqambaa
@Qqambaa 2 дня назад
Mi ni mkenya na naona itakuwa fazari kama tutamwachia 2 alafu tupatane 2027 maanake pia kw ule mswada kuna v2 wakadha amezingatia tukubali 2 na nchi isongee mbele
@bdmacrame254
@bdmacrame254 2 дня назад
Ruto must go 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KatabaroCleophace
@KatabaroCleophace 3 дня назад
😮Tanzania tukiwashe, mmh au bas nimeuliza Tanzania tuna amani Kenya pole sn
@denismasele4130
@denismasele4130 3 дня назад
Mwanasheria wako ana ujasiri😂😂😂
@roselynealima3618
@roselynealima3618 3 дня назад
Hamjui katiba yenu laiti mngejua sai mngekuwa barabarani 😂😂
@PUTINN365
@PUTINN365 3 дня назад
Kweli nakiona kitu cha pekee kwa putin yan wapinzan wote nyumbani kwao kuna maandamano ruto alipoke mbolea kwa urusi akamsalit haijapita hat mwez amekiona na raiya hawamtaki
@albertmallya4192
@albertmallya4192 3 дня назад
June 15 aliiongelea vibaya urusi, leo atakua anajuta sana. Kete aliyoigusa ni mbaya
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 дня назад
Mmmmh nilijua yameisha Hooh lord waponye keny’s
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f День назад
Magaidi ao
@motive_8kenya
@motive_8kenya 2 дня назад
BBC yanapaswa kuwa wamekutafuta kwa ubora huu.
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 дня назад
Mwendo
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 6 часов назад
Kuchoma na kuharibu nchi yenu huo ni upuuz andamaneni kwa amani sasa mtakatwa kodi mbaka Mali mlizoharibu za serekali zijengwe upya
@sharonvugutsa969
@sharonvugutsa969 3 дня назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 дня назад
Hiyi ya kuchoma moto magari na kuvunja na kuiba maduka na kubaka ndio huwa inakera kwa waandamanaji. Inabidi waandamanaji wawe wakipinga uharibifu wa mali za watu.
@Omosh003
@Omosh003 3 дня назад
Ona chanzo kilicho pelekea wachome boss
@blessingsmary
@blessingsmary 3 дня назад
Group ya ruto ndio imepanga na kulipa wahuni wezi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 дня назад
@@blessingsmary Basi kumbe hatare kweli
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 2 дня назад
Sns serikali ya ruto umeongeza mishahara mikubwa kwa wabunge,mawaziri, speaker wa bunge la kitaifa na senate mca na wengineo sasa huyu ni Kiongozi kweli
@amoursaid4589
@amoursaid4589 3 дня назад
Nakuelewa fredict nakupata Sana kutok emirates
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 3 дня назад
Karibu tz tukiamshe na ss😂😂
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 дня назад
Hii sauti ndio hua naitaka😋
@mdl6463
@mdl6463 3 дня назад
RUTO aisee kumuongoza mtu ni kazi weka mkazo
@user-gi9di6lv3i
@user-gi9di6lv3i 3 дня назад
This is now politically issues behind... coz that's the country ..and yes people in country so He must deal with everything.. so now My fellow Brothers and sisters they want to stay like that country which got minerals and diamonds 😢😢 pls my Brothers and My sisters kenya ni inchi ambayo tunaichukulia kama innchi imeendel2eya in Africa.. but if u want that 100% peace u will die hunger
@SaidiMohammed-ge5ot
@SaidiMohammed-ge5ot 3 дня назад
Kubaya
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 дня назад
Vijana wa hovyooo
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 3 дня назад
ruto achia kiti
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 дня назад
Akiondoka nani atakuwa anafaa?
@sponsor7882
@sponsor7882 3 дня назад
Ruto makende yangu
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 дня назад
Akawaite waisrael wamsaidie😅😅😅😅😅
@Omosh003
@Omosh003 3 дня назад
Already We are Israel generation
@salimbilali5174
@salimbilali5174 3 дня назад
Headline zenu kiboko....
@lameckmahona2058
@lameckmahona2058 3 дня назад
Bundaala uwa nafurahishwa sana na usomaji wako wa makala safu sana,saut,mpa gilio wa maneno kupanda na jushuka kwa sauti
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 дня назад
Asante sana Lameck
@simonmartin5358
@simonmartin5358 2 дня назад
Hakuna mtu alie mpinga putin akaachwa salama ktk hiidunia ruto ulifa ya vbaya sana kuchagua upande wa mashoga. Haimanishi kwamba maandamani ya kenya kuwa kuna mkono wa puttin rahasha bali puttin nitaa ya dunia!
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x 3 дня назад
Ruto amtafute Netanyahu ampe mbinu za kupambana na maandamano..
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 дня назад
😂😂😂😂
@Mwanasha-cf9vd
@Mwanasha-cf9vd 3 дня назад
Jipigie saluti kama wewe ni mkenya alidhulumu raila kajiona ataishi kwa amani machozi ya baba yatamtafuna paka aondoke hatumtaki
@AbdalaSaidi-jo4od
@AbdalaSaidi-jo4od 3 дня назад
Saivi wanataka nini
@mercymulwa8917
@mercymulwa8917 3 дня назад
Tunataka ruto ajiuzuru
@mememmeme7939
@mememmeme7939 3 дня назад
Ruto must go
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 дня назад
Tulia wewe
@mememmeme7939
@mememmeme7939 3 дня назад
@@everrineanyango7410 he must goooooo
@hassanshariff4802
@hassanshariff4802 3 дня назад
Tunataka ruto atoke kwa office
@ibba8082
@ibba8082 3 дня назад
RUTO Alifikiri kuhungana Na Wahasi(wanyarwanda) Wa D R(C)Kongo Kungempunguzia Gharama za Maisha Kenya Anakiona Chamtema Kuni Ahondoke😮
@johnrobert5097
@johnrobert5097 3 дня назад
Ruto amtafute SAMIA ampe mbinu za kupambana😅
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 дня назад
SNS ikiwezekan tunaomba Uchambuz juu ya kushindw kwa Macron na nn athari yke kwnye Matokeo ya kwnza ya Uchaguz nchin Ufaransa
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 дня назад
Mbona iyo imetoka jana
@PrincessAishay
@PrincessAishay 3 дня назад
𝚆𝚊𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚖𝚖𝚐𝚎𝚓𝚞𝚊 𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚐𝚑𝚊𝚕𝚒 𝚖𝚐𝚎𝚝𝚞𝚊𝚌𝚑𝚊 𝚝𝚞 𝚝𝚞𝚊𝚗𝚍𝚊𝚖𝚊𝚗𝚎😢,𝚖𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚗𝚒 𝚛𝚊𝚑𝚒𝚜𝚒
@Omosh003
@Omosh003 3 дня назад
Kuja 🇰🇪 ufurahie maisha mororo
@abubakarimsere
@abubakarimsere 3 дня назад
Pole Sana wazungu weusi kuleni kiingereza chenu na currency yenu😢😢​@@Omosh003
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 дня назад
Tuko pamoja SNS
Далее
Guess The Drawing! ✍️✨🧐 #shortsart
00:14
Просмотров 2,1 млн
Gen Z New Song for the Police
2:30
Просмотров 76 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 293 тыс.
Top U.S. & World Headlines - July 2, 2024
9:11
Просмотров 153 тыс.
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 219 тыс.