Тёмный

GHOROFA LA KIFAHARI LAVUNJWA DAR, WAZIRI SILAA AKISHUHUDIA, MMILIKI Adaiwa Kuwa MVAMIZI SUGU! 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 490   
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm 7 месяцев назад
Huyu waziri nimemfuatilia sana anakitu tofauti,endelea na moyo huo huo wa kutetea wanyonge waziri utafika mbali,safi sana
@VeronicaPaul-cj1yu
@VeronicaPaul-cj1yu 7 месяцев назад
Kweli Jerry. Umeamua kuitafuta pepo yako ukiwa bado una nguvu inshaalah mungu akujalie na azidi kupa nguvu zaidi na uzidi kutenda mema. Amini
@petercostakisoka
@petercostakisoka 7 месяцев назад
Daah uyo tajiri mjinga sana kuliko ange tumia mawakili kupambana na uyo mwanamke angekaa nae amlipe angerizika ss akaona pesa zake zingeweza kupindisha sheria
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 7 месяцев назад
Kabisa apo alishajenga angmlipa ata marambili yake ili kuokoa asala kubwa
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 7 месяцев назад
Tajiri kakataaa kutoa rushwa wanamkomesha tu, miaka 20 mtu anaanza kujenga waziri wa aridhi alikuwa wapi adi mjengo umekwisha, ndio wanakuja kubomoa kwanini wasimkataze kujenga au huyo kashitaki huzi baada kuona mjengo tayari nn
@yapukahassan
@yapukahassan 6 месяцев назад
​@@MamuduAziz-h1zwew waongea 2 hajakukuta
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 7 месяцев назад
Tatizo tunapata huruma baada ya kuon uvunjaji hatumfirii mwenye kiwanja amepitia mateso kiasi gani, huenda kashatukanwa sana na kudhihakiwa wakati akidai haki yake, miaka 20 angekuwa ameshafanya uwekezaji wake lakini ameishia kuhangaika, ukisema wapatane alipwe hapo wenye nguvu ya pesa watawahamisha wanyonge wote kwa kuvamia maeneo yao wakitegemea watawalipa fidia wakishtaki. Acha maamuzi magumu na machungu yafanyike
@frankrobertkomba2318
@frankrobertkomba2318 7 месяцев назад
Hii ipo kitaalam sana,shda kupata muendelezo wa viongoz wahv ndo mziki
@chuchufplatnumz4888
@chuchufplatnumz4888 7 месяцев назад
​@@frankrobertkomba2318Mimi mpaka naogopa wakija kumuhamishaaaaa😢😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 7 месяцев назад
Ardhi mko hovyo sana, nyinyi ndo mlikuwa mkiwauzia watu wawili wawili viwanja Kwa nini msiwashauri waelewane? Kama ni haki hata aliyeuziwa mala ya pili nae ana haki. Watumishi wenu ndo wabovu, wabaneni waache hiyo michezo
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 месяцев назад
Kabisa vitu ivi huwa vinatakiwa maamuzi magumu sana bila hivi ndio maana mgogoro wa haya mambo huwa hayaishi, usipo tumia maamuzi magumu.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 7 месяцев назад
Umeandika kwa akili na ufafanuzi mzuri sana... Hakuna kuhamisha mtu... Inatakiwa ivunjwe na amlipe hasara ya muda na faida alioipoteza kwa kunyimwa fursa ya kuwekeza
@NoeliKaayaiLiomom
@NoeliKaayaiLiomom 7 месяцев назад
Safiii Sanaa waziriii ,hakii itendeke kwa usawaaa ,Bigg up waziri silaaaa .
@MsAggie5
@MsAggie5 7 месяцев назад
Hata huyo aliyejenga usikute alikuwa na hati. Ardhi kuna wakati walikuwa wanawapiga sana watu. Kiwanja kikikaa miaka 5 bila kujengwa wanamuuzia mtu mwingine. Ilitokea Sana Sinza
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 месяцев назад
Jamani mingu yupo anayenda mambo kwa wakati sasa alitumia nguvu ya pesa kuchukuwa kiwanja kwa pesa kiko wapi, mungu analipa hapa hapa duniani, mungu azidi kukulinda waziri maana hapa duniani tunapita, tenda haki kabisa mungu atakurinda.
@mbuganitv3021
@mbuganitv3021 7 месяцев назад
Huyo ni moja tu kavunjiwa wapo wengi sana wanadunda tu
@abdulfatahumarsaideazamo2654
@abdulfatahumarsaideazamo2654 7 месяцев назад
Pedimos a Allah para nos conceder dirigentes como esses aqui em Moçambique também
@joycestai8049
@joycestai8049 7 месяцев назад
Asante sana mungu ww ni mume wa wajane umempigania mjane
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 7 месяцев назад
Mama kitomari hongera kw kumjua mmiliki,hii ni fundisho hapo mbez ,Afrikana wezi sana matajiri wanatumianpesa na kwenda Ardhi kuhonga hii iwe Fundi should
@dismasdastan5493
@dismasdastan5493 7 месяцев назад
Mama kitomari nimemfahamu zaidi ya miaka 24 iliyopita na alikua mtumishi katika taasisi flani hivi mika ya 2001 hivyo A To z anamjua huyo dada naomi ndie mmiliki
@EmmanueliKimaro
@EmmanueliKimaro 7 месяцев назад
Waziri MUNGU akulinde sana na akuepushe na mabaya ya adui zako yaani wewe huna tofauti na magufuli umekuja kufukua visima vya dhuluma
@magembesitta5657
@magembesitta5657 7 месяцев назад
Safi slaaa Mungu akulinde brooo your best than lukuvi
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 2 месяца назад
Yani mungu amlimde.tu.wabongo mtunakitumia haki anauwawa
@Serenawilson11
@Serenawilson11 7 месяцев назад
Safi sana waziri
@johnsebastian4868
@johnsebastian4868 7 месяцев назад
Safi sana hii ndiyo inayotakiwa swali kwanini ununue utumie nguvu kudhulumu
@sophiadarabu8606
@sophiadarabu8606 7 месяцев назад
Mungu akulinde ktk kutekeleza wajibu wako wa kutetea haki za wananch
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 7 месяцев назад
Hii ndio dawa yake Hongera sana mh waziri Kwa msimamo wako ktk kutekeleza sheria ❤❤❤mungu akulinde
@bhmeela
@bhmeela 7 месяцев назад
Huyo anayebomoa na kijiko ukute anaishi kichochoroni ata bei ya msumari haijui, ila tafuteni suluhu za kibinadamu maana hapo itakua mmetengeneza uhasama mkubwa sana haswa familia yenye hiyo asset... Mtanguluzeni mungu
@RobertRange-uf3rf
@RobertRange-uf3rf 7 месяцев назад
Wewe unajielewa kweli, au hata sheria unajua yaan mwizi akuibie halafu useme kwamba suluhisho itafutwe na vielelezo vimenyooka fikiri kabla y kuweka koment sheikh hii nchi ina sheria
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 7 месяцев назад
Watu kama hawa sio wa kuwaonea huruma ukiona kadharum mpk kujenga ivo hashindwi kukufanyia lolote ili usidai haki yako , kua uyaone
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 7 месяцев назад
Anafanya KAZI yake
@tobosha3236
@tobosha3236 7 месяцев назад
Yeye alipokuwa anampora uyo mama haki yke alimtanguliza Mungu
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 7 месяцев назад
Akili yako haina akili aliyevamia hapaswi kumwogopa Mungu ila aliyeporwa ndio aogope Mungu
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 7 месяцев назад
Safi sana Mr slaa! Unafanyakazi sana!!! Safi kabisa! Mungu akupe maisha marefu sana.
@EmmanueliKimaro
@EmmanueliKimaro 7 месяцев назад
Naomba serikali imongezee ulinzi waziri wetu wa ardhi na wanachi wamuombee ulinzi wa MUNGU
@swedywamba5535
@swedywamba5535 7 месяцев назад
Very nice
@asmasaif5972
@asmasaif5972 6 месяцев назад
Mashalah huyu ndio wziri mchapa kazi hingera waziri wa ardhi 🙏
@abedysteven4930
@abedysteven4930 7 месяцев назад
Inauma sana kwann nyie kama viongoz bas msingeingilia kat hata huyo mwenye nyumba amlipe huyo mama au amtaftie eneo lingne amnunulie!! Kuliko kuvunja hyo nyumba Ina gharama sana jaman kuwen na huruma Bora huyo mama mngekubali amlipe!!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад
Wewe kwa nini uvamie ardhi ya mtu wewe? Bomoa tu.
@fakihbakari
@fakihbakari 7 месяцев назад
Mie huwanawaza hivyo hivyo wasiwe wanabomoa wamlipe gharama zake wachukue iyo nyumba wasitymie nguvu ivo
@masoudmohammed2043
@masoudmohammed2043 7 месяцев назад
Miaka ishirini ni mingi sana msiwe na haraka majibu mtayapata tu ugali bado upo jikoni subirini wapakue ndio mtajua wa moto au wa baridii haki Ina maumivu😂
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 7 месяцев назад
Shida sio kuelewana, wenye pesa ni mara chache kuwa wanyenyekevu, ebu umesmbiwa utamtambua yeye nani, umekosakoswa kufa. Sasa farao hasiyejua mema ya daudi kapatikana. Au godfather ardhi na serikalini kastaafu au kafa. Acha haki isimame. Utamtambua mimi ni nani hûwa ina mwisho. Tz tujifunza kutendeana haki.
@fikirimachela4778
@fikirimachela4778 7 месяцев назад
Safi sana waziri piga kazi wapo wengi sana ao walio wazulumu wenzae
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 месяцев назад
MIONGON MWA MAWAZIR ANAE SIMAMIA HAKI AF INAONEKANA HANA NJAA YA PESA MAKE MWINGINE ANGEHONGWA MAMBO YAKAPOTELEA CHIN KWA CHIN GOD BLESS SANA WAZIR
@HappynessJapheth
@HappynessJapheth 5 месяцев назад
Kweri
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 7 месяцев назад
Inaonekana huyu jamaa alikuwa anatumia hela kumkandamiza huyo mama mjane. Ndio maana wanavunja na huyo alipewa taarifa aondoke
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 7 месяцев назад
Sasa nyumba inabomolewa kwa nn kama huyo nyumba mtu kajenga kwenye kiwanja cha mtu mwenye kiwanja angechukua na hio nyumba
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru 7 месяцев назад
Slaa mungu akuongezee ujasiri
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 7 месяцев назад
Safi sana
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 7 месяцев назад
Ubarikiwe sana kiongozi ❤🎉
@banosmaximillian7538
@banosmaximillian7538 7 месяцев назад
Sasa si mungemwachia hyo mama nyumb kama fidia
@kambamazig02024
@kambamazig02024 7 месяцев назад
Fidia kwa vipi kwa hali kama hiyo, mwenye pesa angeweza kuridi tena kwa sura tofauti.
@Tzn255
@Tzn255 5 месяцев назад
ogopa sana neno linalo itwa haki, haki ni zaid ya sheria aise tujifunze ivyo hapo na bado, jerry fanya kazi yako bila kugeuka nyuma. watasema sana laikini usiku watalala. asante.
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 7 месяцев назад
Some day na mm nitapata haki yangu, wapuuzi wako wengi sana wanaong'ang'ania maeneo yasiyo yao. 🙏
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 7 месяцев назад
Labda. Alikataa. Kumlipa ndiomana. Wanabomoa😢😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 7 месяцев назад
Itakuwa! Wangeelewana Tu, nyumba ya mamilioni kama hiyo alishindwa nini kumpa milions akanunue Boko au Bunju huko
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 7 месяцев назад
Ndo ivo alikataa na kiburi juu
@stanchi138
@stanchi138 7 месяцев назад
Wanakuwaga jeuri sa mingine anavimbia serikali sa wamekutana na wazir
@AMBINHED
@AMBINHED 7 месяцев назад
Hivi wameshindwa kuafikiana jamani hata compassion wangempa mwenye kiwanja? Very sad wezi wakubwa ndio hao hao viongozi wizarani 😢
@eliamtani2840
@eliamtani2840 7 месяцев назад
hakuna cha kufidia, walichokifanya ndio sahihi, nimesikia raha sanaaa
@maxgerad5083
@maxgerad5083 7 месяцев назад
Ukiona hivo, huyo aliyejenga alikuwa na mdomo na majibu ya nyodo
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 7 месяцев назад
Haaaaaaa jamani MUNGU tusamehe tunachezea hela wakati kuna wahitaji
@ericdaniels2608
@ericdaniels2608 7 месяцев назад
Safi sana Mhe. Waziri 👏🏼
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 месяцев назад
Mnaweza kutiana uchuzi kwa vitu ambavyo tunakufa tunaviwacha dunia simama nishuke😢😢
@stephanochaula4356
@stephanochaula4356 7 месяцев назад
Be blessed #slaa
@ZulfaRamadhani-d4z
@ZulfaRamadhani-d4z 2 месяца назад
Wanyonge huonewa sana ila haki yamtu aipotei bule mungu akuweke kiongozi
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 7 месяцев назад
Safi Jerry ..Upo Vizuri.
@logicsportsandentertainmen105
@logicsportsandentertainmen105 7 месяцев назад
Safi sana tena kuna TAPELI wa mbezi mpk BOKO anaitwa MIKELA 💔
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 7 месяцев назад
Sasa si mngempa hiyo nyumba naomi ailipie pole pole, hata mkiibomoa huyo noami si atakuja kujenga tena. Kama serikali imeshampa naomi umiliki basi wangekaa chini na kujadili kuhusu jengo na kukubaliana hata nusu hasara ilipwe kuliko kubomoa. Na unaweza kukuta mwenye nyumba na yeye hana kosa ni tamaa za madalali tu, ndiyo wamemungiza katika matatito.
@MisanaMasatu-zz4xr
@MisanaMasatu-zz4xr 7 месяцев назад
Je kama hataki nyumba ya aina hyo lkn pia mali yake ni kiwanja na cyo nyumba
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 7 месяцев назад
Ndugu cha mtu mavi😂😂😂
@OubwaMohamed
@OubwaMohamed 7 месяцев назад
Nawe pole sana na mitihani
@stanchi138
@stanchi138 7 месяцев назад
Kwa kweli wanaumiza sana Hawa Akina jeuri ya pesa,,,wanasau Dunia ni ya MUNGU, na sisi ni wake,na mwisho tunatoweka
@imanmwashitete5243
@imanmwashitete5243 7 месяцев назад
Jamani kwahiyo wameshindwa kuyajenga mpaka kufikia kubomoa nyumba km hiyo si Bora wangea wabadilishane viwanja duuh
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 7 месяцев назад
Mkiona wamefikia hapo jamaa jeuri
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 7 месяцев назад
Hayajakukuta ndugu yangu,na usiombe kukukuta, kukutana na Watu wanao vamia maeneo ya watu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 7 месяцев назад
Jerry Mungu akusimamie.najua wenye mioyo migumu hawaelewi unachofanya.muda ukifika wataelewa.
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 7 месяцев назад
Uwiiii si alipe hela kuliko kubomoa Uwiiii Mungu wangu
@victorcharlesmwakikoti7764
@victorcharlesmwakikoti7764 6 месяцев назад
Hatutaki pesa tunataka ardhi yetu ,mnatuibia Kwa makusudi ili mtulipe fidia,Mungu ameingilia kati
@RobertPangaya
@RobertPangaya 7 месяцев назад
MH..kuna maeneo ya wazi mengi yameingiliwa na wenye pesa. Tunataka kuona kama kweli sheriya msumeno au ubanaishaji tu
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 7 месяцев назад
Kweli kabisa uku kwetu Toangoma Mtaa wa Masaki katika viwanja vya serikali, maeneo mengi ya wazi yameuzwa na serikali ya mtaa na maafisa ardhi Temeke, na bado wanaendelea kuuza . Mbona serikali hipo kimya .
@alexmatt9504
@alexmatt9504 7 месяцев назад
Hili zoezi ni zuri na lifanyike nchi nzima.Na kwa hiki kilichotokea hapo kwanza washikwe wote waliohusika kumuuzia kiwanja huyo mvamizi,na huu mfumo wa madalali uchwara inabidi upigwe marufuku kisheria.Kama mtu anataka kiwanja anunue direct kwa mmiliki halali au serikalini.Mambo ya udalali kwenye ardhi ni utapeli wa waziwazi.Mweshiwa Waziri Slaa hebu liangalie hili kwa kina.
@jumaciza461
@jumaciza461 7 месяцев назад
Mtazamo wangu kabla ya kubomowa mgeliwaita ote mkawashauri. Namkawasikiliza
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад
Washauriwa nn wakati alitumia pesa kudhrum?
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 7 месяцев назад
Wangekaa wayamalize, wangeona uwekezaji, huyo kama alitumia pesa basi ilikuwa kufeli kwa mifumo yetu. Poleni wote
@MrKhatibu
@MrKhatibu 7 месяцев назад
Miaka 20 unategea wangeyamaliza mezani?
@Herson-yw6cn
@Herson-yw6cn 7 месяцев назад
Sijapenda kwa kweli. Ilitakiwa busara itumike kwa sababu huu uzembe hata serikali wamehusika. Kuliko kubomoa nyumba ni bora ingetumika busara ya kumlipa huyo naomi kiasi ambacho angekiridhia akanunue kiwanja kingine
@ernestkilaryo1015
@ernestkilaryo1015 7 месяцев назад
Aliyevamia yeye katumia busara gani kuchukua eneo la mtu kwa nguvu?? Yeye hakutumia busara ila unataja walioumia mwanzo Ndio watumie busara?
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 7 месяцев назад
Naomi anataka Billion 2 je zipo?😂
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 7 месяцев назад
Miaka 20..je ni mawazir wangapi wamepita?hata yule mama wamwanza alietumbuliwa alikuwa mwizi tuuu. Ona kazi inavyokwenda sasa...mungu akuweke waziri na moyo huo ulionao na akuripe kadir ya utendavyo haki❤
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 7 месяцев назад
Uyo mwenye njumba angee Kaa nae uyo mama wayaongee amununulie sehemu amkabizi ampe na pesa kidogo kikubwa izidi samani ya kiwanja kuliko kuvunjiwa njumba kubwa ivyo duuuu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад
Yy aliona amemaliza kibabe
@willydugilo3258
@willydugilo3258 7 месяцев назад
Uishi miaka mingi Jerry!! Haki ya mungu huinua taifa!!nayo amani furaha ya wengi!! Amani itakuwepo ikiwa haki itaheshimiwa!!
@Ushauri235
@Ushauri235 7 месяцев назад
Hapa inaonyesha huyu tajiri alakataa kumlipa mwenye kiwanja akatumia nguvu ya fedha sasa amejua kwamba majonzi ya mtu si mazuri serikali simamieni haki za watu binadamu wote ni sawa
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад
Sahihi kabisa mtu wa Mungu
@demicratia4071
@demicratia4071 7 месяцев назад
Thnx I saw it ysterday
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 7 месяцев назад
Sio haki kabisa mlichofanya
@bwisofredrick8047
@bwisofredrick8047 7 месяцев назад
Ww huyo aliyekosa haki yake kwa mda mrefu mwenyewe ndo alkua anafanyiwa haki? Ulishawah kudhurumiwa ww na ukahangaika kuitafuta hak yako?
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 7 месяцев назад
Ck zote mtenda akitendewa huhisi kaonewa na mkuki kwa ngurue kwa binadam mchungu miaka 20 we kuweza? Muda wote huo nani anafidia hasara hiyo? Lazima tukubali matokeo.
@tumsifumunuo2602
@tumsifumunuo2602 7 месяцев назад
Wangempa compensation tu asee..sijui lkn
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад
Nan amfibia mwizi? Kwahiyo mwizi afidiwe? Huna akili nawewe
@kassimkhalfan7689
@kassimkhalfan7689 7 месяцев назад
Uongozi unahitaji busara. Hakuna kinachoweza ku justify hiki kilichofanyika. Best way ilikuwa dada afidiwe kulinhana na thamani halisi ya sasa
@bilimaso9392
@bilimaso9392 7 месяцев назад
Why uvamie eneo la mtu
@Fredoofx
@Fredoofx 7 месяцев назад
Hiyo ndo fidia mzee, aliyeua kwa upanga atauwa kwa upanga
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад
Jamani ninyi mbona mnaona hiyo nyumba? Hivi mnajua maumivu ya kuporwa mali yako? Yaani ardhi ya kwako alafu ichukuliwe na mtu mwingine. Kwa sababu ana fedha
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 7 месяцев назад
Inauma sana 😢
@NEEMANdembwe
@NEEMANdembwe 7 месяцев назад
Inauma sana
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 7 месяцев назад
waziri saf haki itendeke .maana wanaovamia hua wajehuri. ..wazir ww ndo kali yao leo nitakuombea dua kwa mungu
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 7 месяцев назад
Jamani wangeelewana tu jamani 😢😢😢!
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 7 месяцев назад
Waziri hapa umechemka. Ungetumia busara kumaliza tatizo.
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 месяцев назад
Sidhani hata haki.za.binadamu au Rais atafurahia hili jambo. Linaweza sababisha atumbuliwe. Kiongozi hutakiwi kuwa mvunjifu wa amani.bali.mpatanishi
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 7 месяцев назад
Nyinyi viongozi hajielewi hata Kidogo kweli mnashindwa kuwaweka Sawa hawa watu wawili2 tu. Sio poa Tanzania inawana siasa wakongwe wengi tu Mngekwenda hata kwa Mizengwe pinda mkawakutanisha tajir na Masikini hakika lingekua Sawa
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 7 месяцев назад
Sasa kama mwenye kiwanja hataki uta mlazimisha
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 7 месяцев назад
@@mosesnyelo1380 Kwa Nasaha za kibinadam hawezi kataa inakua ana Moyo wa kipekee. Me wazo langu viongozi wawajibike kwenye Sito faham kama hizi kwa Nasaha. Sio kufanya wanavyo fanya Mwisho wa siku kakutwa Mtaroni kafa, au raha Zao kuona Movie za Aina hizo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 7 месяцев назад
Huruma nayo ina garama, kubwa. Unawzakufanya huruma ikagharimu. Dar shida, kuna watu walifanya huruma hivyo tena wakashia kuendesha kesi kea miaka mingi, haki iko wazi. Iwe fundisho kwa tukuwaheshimu watu wasio na pesa.kama sisi. Ziara za makonda wale waliokatakata mtu vile ni akina nani. Siku akipatikana kiongozi wa kumpa haki. Tutaumia?
@MICHAELSYLIVANUS-ig5pk
@MICHAELSYLIVANUS-ig5pk 7 месяцев назад
Fikiri kabla hujapora haki ya mtu,acha wabomoe
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 7 месяцев назад
Ukionahatua ya uvunjaji huu muhusika mbishi. Hapo atakuwa alipewa notice ila atakuwa alikaidi
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 7 месяцев назад
Hii nimeipenda iwe fundisho kwa wengne
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 6 месяцев назад
Duh..hatari Sana,si Bora angempa hela tuu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 7 месяцев назад
Acheni ...tumieni hekma...wakutanisheni watu mezani....wangeelewana...kuliko kuharibu hivyo....sheria ...siyo haki ..sheria ni kutuonyesha makosa ..kisha busara itunike kutia makosa
@chuchufplatnumz4888
@chuchufplatnumz4888 7 месяцев назад
Mwanaume kilaza sana wewe 😂😂😂😂
@graceshayo5763
@graceshayo5763 7 месяцев назад
Mungu awabaliki viongoz wetun
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 7 месяцев назад
Waziri Waziri Waziri 😢😢nimekuita mara tatu. Uje na huku kilombero Mama yangu anadhurumiwa huku tena wazi
@allyadam7355
@allyadam7355 7 месяцев назад
daah mngefany mpango tufanye delivery ya iyo nyumb kweny kiwanj chang kipo vikind ingekua poa san
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 7 месяцев назад
😂😂😂
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 7 месяцев назад
🎉🎉
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 7 месяцев назад
Hatari sana sisimizi kamla tembo mzima 😭😭😭😭
@adamamir35
@adamamir35 7 месяцев назад
Yani me ushushe nyumba yangu hivyo aah 😢😢😢. Hio nyumba itashuka na mtu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад
Utashuka Wewe mwenyewe . Mungu ni Mungu wa haki.na haki ya mtu haipotei
@adamamir35
@adamamir35 7 месяцев назад
Uzuri ushasema mungu ni mungu wa haki na haki ya mtu haipotei. Hata mwenye hio nyumba anahaki yake pia kuna kesi nyengine za ardhi madudu yanakua ya baadhi ya watendaji wa ardhi wenyewe kwakutaka janja janja. Asa we kesi miaka 20 nyumba inavunywa leo huoni kuna sehemu kuna kosa hapo. Alijengaje kibali alipataje cha ujenzi? Nani alipitisha planning ya nyumba? Yani kuna vitu vingi hapo havikufatwa. Wanatakiwa watibu tatizo sio dalili za tatizo
@sharifshaban8817
@sharifshaban8817 7 месяцев назад
Tunaimarisha uchumi, tunauboamoa tena dahhh, hapo kuna viongozi wa mitaa,mipango miji wanaona toka ujenzi unaanza, kwa nini wasiuzuie kama hakuna vibali vya ujenzi, ama kesi mahakamani?
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 7 месяцев назад
Jerry Slaa sasa ninakuelewa sana sana. Hakika unabeba nguvu ya William Lukuvi, Endelea kutengeneza njia yako kuelekea juu zaidi
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 7 месяцев назад
Hapa Kuna somo,wakati huyu anavamia na kujenga viongozi waliotoa kibali cha ujenzi ni kwamba wamekura RUSHWA,this is the BIG SHAME.
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 7 месяцев назад
Kwa mara ya kwanza nimeanza kuwa na imani na wizara ya ardhi nilikuwa sioni kabisa umuhimu wake ila awamu hii nimeanza kushawishika na utendaji wa wizara hii
@leobalige7069
@leobalige7069 7 месяцев назад
Hili ni sehemu ndogo ktk kudhulumu haki za watu. Watanzania wasio na pesa wanadhulumiwa sana. Hii ni wizara zote za serikali. Mbali ya ardhi, tunataka mawazili wenye matendo, siyo kufanya maigizo. Wizaara zote mnaumiza watu.
@Abdumfaume
@Abdumfaume 7 месяцев назад
Hii nayo ni israfu..😢 tusichezee mali jamani..😢🙏
@Syikiwaryoba
@Syikiwaryoba 7 месяцев назад
Good job mh:waziri wa ardhi Ili iwe mfano Kwa wenye tabia kama hiyo nenda kahama pale mh:Kuna mtu anaitwa kwema kajenga kwenye uwanja wa mtu
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 7 месяцев назад
Ivo ndio mnasababisha Dora kupanda maana mnavunja Kisha mnanunua Vifaa njee kwa dora
@michaelrambo6207
@michaelrambo6207 7 месяцев назад
Una akili kwel wewe??
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 7 месяцев назад
Nadhani hii ndio Hy haki na tunaposema dhulma haidumu ila kinachodumu ni hasara tuzingatie haya hayaendi Bure BG up Waziri Slaah
@EliasAnajus
@EliasAnajus 7 месяцев назад
Jambo zuri sana
@maase2023
@maase2023 7 месяцев назад
Huyu waziri kivhefu chefu sana kwa kweli!
@RichardJavara
@RichardJavara 7 месяцев назад
Duh!! Watz wana tabia chafu sana kama sio waziri kusimamia haki wala tusingesikia parapanda la haki linalopigwa na waliosimama nyuma ya waziri.
@samoramartin
@samoramartin 7 месяцев назад
Jaman kwa nin, huyo mama wasikae chini alipwe hela atafte kiwanja kingne kuliko kuharibu nyumba ya mtu kumbkeni naye huyo ametumia ghalama,,🤔🤔
@epimarkjohn1056
@epimarkjohn1056 7 месяцев назад
Inawezakana muhusika aliyejenga alikuwaa anatakaa kuoneshaa jeuri ya pesa
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 7 месяцев назад
Alaf iyo miaka 20 yte alisumbka na gharama za kufatlia atalipwa na nani
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 7 месяцев назад
​@@MohamedAhmada-ie7keutashangaa cha mtu mavi miaka 20 we kuweza? Alhamsulillah haki imetendeka. 🎉🎉🎉
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 7 месяцев назад
😂Utafte kiwanja kingine wapi? Chanika, Vikindu au Chamazi?
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 7 месяцев назад
Sasa Inakuwaje Mpka Watu Wanamiliki Ardhi Ambazo Sio Haki Yao..? Na Kwann Ww Kama Waziri Usipitie Hao Waliofanya Makosa Ndani Ya Wizara Mpka Uende Kuumiza Wasio Na Hatia
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 7 месяцев назад
ILA INAUMA LAKINI HII NDO SURUHISHO KWA WANAOWAONEA WANYONGE. HIVI UTAVUNJA ZA WENGI BORA WAELEWANE MTU AMWUZIE KWA BEI ATAKAYOIPENDA.
@MohamedSalim-q9n
@MohamedSalim-q9n 7 месяцев назад
kabisa, ela kabla kujenga ama kununua weka wakili afwatilie hio kiwanja huko ardhi ama utakula hasara
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 7 месяцев назад
wajehuri .unakuta amemzungusha .polisi na mahakama Hadi unakua Kama wakili
@awadhjamal3430
@awadhjamal3430 6 месяцев назад
Wasiwasi wangu waziri anaeza akatangulizwa mapema sana
@steve-zf4tj
@steve-zf4tj 7 месяцев назад
Waziri slaa hakika unamsaidia mama Kwa haki. Endapo mawaziri wote wangenyanyuka nchi yote ingependeza zaidi Kwa haki
@karimabdul3928
@karimabdul3928 7 месяцев назад
Mwenye hio ploti hajapata haki kabisa. Hio miaka 20 atalipwa na nani
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 месяцев назад
Ndani ya dhuluma hakuna haki..!..huyo na wengine waliopora viwanja vya watu wenye nyaraka halali lazma washughulikiwe..!..kesi ya KUGHUSHI itamuhusu na wenzie walioko Ardhi
@justinomtili9226
@justinomtili9226 7 месяцев назад
Mheshimiwa Jerry silaha naomba uje Dodoma wilaya ya kongwa kata ya pandambili wananchi tuna kero nyingi sana, Kuna mtumishi anaitwa petronila shirima amekuwa na tabia ya kuvamia maeneo ya watu na serikali ya Kijiji ipo kimya tu, kiukweli tunaumia sana sisi masikini
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 7 месяцев назад
Sawa sawa nasie tumezulumiwa kiwanja chetu tegeta na mwenye mihela tutakuja waziri naamini itatusaidia nimekupenda bure waziri tuonewa na wenye hela
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 7 месяцев назад
Daaah kiukwel ni hatr ila mwenye aliyejenga nyumba angekubali kukaa na huyo mama amnunulie kiwanja kingine saw na hicho kuliko kula hasara ya ghoropha kuvunjwa jamn daaaah wangeelewana jamn yasingefik huko hata angemwongezea na hela kidg kuliko hvo hasara kubwa hvo kisa kudhulum
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 7 месяцев назад
Miaka 20 anasota si angepewa tu iyo gorofa kuliko kuaribu mali!!🤔🤔
@talilmluchagula417
@talilmluchagula417 7 месяцев назад
Angeuliwa huyo dada bora kuvunjwa
@wanguwangu34
@wanguwangu34 7 месяцев назад
Mlitakiwa muwashauri wa compromise walipane kuliko hasara hiyo ambayo Kwa akili nzuri ungeisha.
@NassirSaid-d7i
@NassirSaid-d7i 7 месяцев назад
Wangepatana japo wauxiane Naona kama matumizi mabaya ya rasilimali.
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 7 месяцев назад
Njoo Kilindi TANGA Mkuu wangu 🙏🙏🙏
@tobosha3236
@tobosha3236 7 месяцев назад
Safi sana waziri hakuna alie juu ya sheria
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 7 месяцев назад
Mmeshindwa hata kuwaweka pamoja ili wabagen??? Mbona huruma sana???
Далее
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Просмотров 20 тыс.
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
Просмотров 2,9 млн