STILL NOT YOUNG We GLORIFY GOD for the way HE Lift up Our FAITH . Singer : GODFREY STEVEN Writer : GODFREY STEVEN Producer : ZAKAYO SINDWANI Director : EINXER
SHALOOM WABARIKIWA WATU WA MUNGU MOYO WANGU UMEJAA SHUKRANI KWA UPENDO WENU HUU AHSANTENI SANA KWA BARAKA MNAZO NIWISH ZINATIA MOYO NI OMBI LANGU MZIDI KUNIOMBEA NA KUSSUPORT HUDUMA YANGU MUNGU AWABARIKI SANA🙏🙏🙏
Hallelujah 🙏 Kuna Neema ambayo mtu anapewa ambayo huitwa kipawa Kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo ambacho ni sawa kabisa na Karama ambayo kazi yake ni Kuujenga mwili wa Kristo.
I can't get Enough of this song It's a blessing to my life 😪😓✨for sure it's a blessing to my life 😭😓May it heal someone somewhere who is reading this 🙌🙏🏼
Uhu wimbo umenibariki sana na umenijenga na umenifuza mengi mungu akubariki mtumishi 🙌🙌🙌akuzidishiye power 🙌😭🙏na sichoki kuhuhangaliya 🙏na urudiye kila Mara🙏😭
Kwakweli, Tuna enjoy sanq,na huduma ya huyu mtumishi wa mungu, lakini kisambaa kimenifanya nitoe machozi, kweli wasambaa mungu ametupa vipawa vya ajabu sana,Mungu atutunze Tufanye kazi yake kwa uaminifu, najua sisi ni waaminifu na ni kabila la watu wasio na TAMAA. AMEN. Si mdodo vituhu zumbe ni yesu uzanitifukiza mtozesho. Amen
Mdogo wangu Godfrey MUNGU akubariki sana kwa huduma ya kueneza neno la MUNGU kupitia uimbaji wa kipekee. MUNGU mfunike mwanao kwa damu ya YESU Kristo wa Nazareth aliye hai, muwekee mbali na kiburi pamoja na watu waharibifu(wanaotumiwa na muovu shetani kuangusha huduma)Bali muinulie watu sahihi kwa wakati sahihi ili atimize mapenzi yako sawasawa
Usishangae my brother kwanini hukui haraka kama wengine Kuna kitu naomba nikiweke sawa Hapa Leo Uandishi wako unafanya kazi Baada ya miaka 10 Nina maanisha Uandishi wako ni Badae sana na Mungu ameamua iwe hivo yaani utaeleweka Baadae Sana Na kama huamini fuatilia nyimbo zako huanza kupendwa Baada ya muda gani
Keep it up Godfrey, very touching song,, forever be humble, unyenyekevu wako ndo unaokupa kibali, this song reminds me in all things we do is by God's Grace,, im listening this for the 1st time and i am blessed sanaaa, may God take you higher., but as you go higher ongeza kumtafuta Mungu zaid ndo utaendelea kuwa salama.
Oooooh God... Asante sana kaka, mara ya kwanza niliona kwenye status za watu ile audio... Ila nimefarijika sana kuiona hii video leo... UMENIKUZA MWANAO... 🙏🏿
Kazi nzuri sana brooh 🙏 Mimi pia naimba nyimbo za injili naitwa PASCAL ERNEST nimetoa nyimbo yangu ya kwanza inayopatikana You tube kama Pascal ERNEST-Neema Yake naombeni support yenu 🙏 na mungu akubaliki sana 🙏