Тёмный

Gombo La Isaya litasomwa Katoro na Kurasini SDA Choir 

Kurasini SDA Choir
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Gusa link kutazama

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@erickwanjira142
@erickwanjira142 2 года назад
Keep going my best choir. May Our LORD GOD's GRACE Keep you all in His FAITH, LOVE and UNITY.
@kayandapaul2892
@kayandapaul2892 2 года назад
Yeah! Very high quality video, mko juu sana Mungu awalinde Mngetuachilia song mpya jamani
@singwithlenin
@singwithlenin 2 года назад
I can see Gibson Nguru....a very talented musician and composer
@breslineanyango
@breslineanyango 2 года назад
"Nyumbani mwa baba siondoki Kamwe" 👌💟
@nzaikiraga9668
@nzaikiraga9668 2 года назад
Aminaa...natamani video hii ingekua full apa, mubarikiwe wana kurasink
@ookooloo5187
@ookooloo5187 2 года назад
Mbarikiwe watoto wa baba
@jacklinethomas7920
@jacklinethomas7920 2 года назад
Kiukweli mnanibariki sana
@stephen-S7n
@stephen-S7n 2 года назад
Injili mbele Yesu arudi
@joshuanelson3446
@joshuanelson3446 2 года назад
Gumbo la isaya mmenipa matumaini makubwa sana kwa hii ngoma ni mziki mkubwa sana. Mungu aendelee kuwatumia kwaya yetu pendwa.
@jamesbwiremachumu4337
@jamesbwiremachumu4337 2 года назад
Kurasini Choir imekuwa kwaya ya mfano kwa kumtukiza Mungu kwa UIMBAJI na ku maintain status yenu tokea mmeanza hadi leo. Mungu awabariki sana kwa Huduma yenu ya Live Streaming tunabarikiwa sana na huduma yenu maana watu wengi wanafuatilia na kubarikiwa sana japokuwa mna muda hamjaachilia video ya wimbo mpya ila kupitia huduma hii tunabarikiwa na Nyimbo mbalimbali katika viwango vya juu sana, binafsi nawafuatilia. Ikiwapendeza mtuachilie video ya ule wimbo unaozungumzia habari za Yakobo akiwa Bethel watu wanaupenda sana nikiwemo mimi binafsi 😅. All in all Mungu awalinde awape nguvu za kutumika shambani mwake.
@florencemawere2338
@florencemawere2338 2 года назад
Mko juu mno🙏🏿🙏🏿 Mungu apate sifa na utukufu milele!
@beverlynnyantika8722
@beverlynnyantika8722 2 года назад
My favorite choir❤️❤️❤️❤️👌🙏
@ivanbusumbiro6429
@ivanbusumbiro6429 2 года назад
Amen
@peacemunisi5719
@peacemunisi5719 2 года назад
Tunawapenda sana, songeni mbele katika kazi ya Mungu, mnabariki wengi sana.
@rayohryker1607
@rayohryker1607 2 года назад
I can't have enough of it. Plz upload full song I like the song. It is soothing ma heart.
@DrTony-tk2rh
@DrTony-tk2rh 2 года назад
Eagerly anticipating the event.
@tomelisha629
@tomelisha629 2 года назад
Amina
@joshuanelson3446
@joshuanelson3446 2 года назад
Mambo ya kawaida endeleeni mbele na kazi ya Mungu, kurasini ni kwaya kongwe na itadumu kuwa hivo mpaka Yesu arudi.
@rais3156
@rais3156 2 года назад
Kuna Dada mmoja hapa unitia nguvu Sana ili nijikaze na safari ya mbinguni,nimeishi kumuona kwa DVD zenu tangu mwaka WA 2008 nlipojua kurasini.zidi kueneza injili ya bwana🙏🙏🙏
@otienogari1164
@otienogari1164 2 года назад
Wwngine munawaonezha kwa uadimu
@pendonzota9523
@pendonzota9523 2 года назад
Mm sijaelewa hivi king Babylon ndo wamejitenga au ? Siwaoni hapo ,mubarikiwe kwa uimbaji
@hi-story1392
@hi-story1392 2 года назад
Mungu awabariki
@gladysmoraa6069
@gladysmoraa6069 2 года назад
Amen 🙏🙏
@eunicepaul3157
@eunicepaul3157 2 года назад
Amen
Далее
Новый уровень твоей сосиски
00:33
ISHARA OFFICIAL VIDEO - MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY
4:50
MAKABURI-KING'ONGO SDA CHOIR
6:10
Просмотров 40 тыс.
Usiku ule wa huzuni
4:08
Просмотров 70
Jomireso voices Tz - Nenda
4:06
Просмотров 60 тыс.
Muziki wa Injili
6:20
Просмотров 3,4 тыс.