Mwakatobe yuko vzr tunamkubal sana ila ajirekebishe kitu kimoja mavazi nguo izo izo movie zote nguo izo izo Hana ubunifu kwenye swala la mavazi apo abadilike
Sijaelewa fundisho la hii mv an inakuwaje mme tumia suluhisho la tiba ya tatizo la bravo kwa daktari ambaye si professional na hatujaona madhara anayo weza kupata. Nafatilia movie zenu nyingi ila hii idea ya final mmezingua kwa kukuwa jamii imejifunza kuwa madaktar wa kienyej ni bora kuliko hospital.