Тёмный

GWAJIMA AMSANUA WAZIRI KITILA NA MWIGULU BUNGENI, "KILA RAIS ATUMIKIE MAONO YA NCHI, RELAX" 

Uhondo TV
Подписаться 599 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 2 месяца назад
Wewe unafaa kabisa kuwa kiongozi mkuu wetu kwan una maono mazuri sana , unao uwezo wa kutuvusha kutupeleka nchi ya ahadi
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 2 месяца назад
Hiki ni kichwa sahihi kwa nchi yetu Waliopo wanasikia na wanajua lakini madaraka ya wenye mamlaka nao yanawataka wawatii Lazima tulijuwe hilo waneapa kuwatii
@user-xc7rb9oe6t
@user-xc7rb9oe6t 2 месяца назад
Huyu ni zaidi ya President
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 месяца назад
Siku zote kauli ya mpango wa muda mrefu umeusema lakini naona kama unaongea kwa watu wenye masikio wasiosikia...wenye macho wasioona....nchi hii bhana...kwa kweli tukiweka mpango wa Taifa wa Muda mrefu kila Rais apimwe kwa kutekeleza maono ya Taifa
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 месяца назад
Kumbe nawe unamfuatilia😂
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 месяца назад
@@venantrugabela6798 ndiyo.....tuna watu wenye maono mema kwa nchi na watu ila Viongozi wengi wanawaza chumi na matumbo Yao tu
@badymedia9648
@badymedia9648 2 месяца назад
Gwajima nimtu mwenye akili sana ila anakuwa underated
@FilbertEmmanuel-gr5ox
@FilbertEmmanuel-gr5ox 2 месяца назад
Umenena vitu vya msingi sana
@isaacmutegwa5881
@isaacmutegwa5881 2 месяца назад
Tactical speech from Dr Gwajima. Yani nakuunga mkono
@yohanasiminzile2096
@yohanasiminzile2096 2 месяца назад
Ndugu Umenena vyema sana
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 2 месяца назад
Umenena vizuri sana. Yaani hawa watu wanaangalia miaka mitano mitano tu..matumbo!!!!
@drsaitothmamishe
@drsaitothmamishe 2 месяца назад
The future of Tanzania too much love to you gwajimah
@agneselia9000
@agneselia9000 2 месяца назад
Hii ni hekima ya kimbinguni Mungu akubariki sana askofu na mbunge wa kawe
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 месяца назад
Hakika hy ni hekima ya kiMungu
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 2 месяца назад
Akili kubwa sana huyu jamaa👏👏👏
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 месяца назад
Hiyo ni nzuri
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 2 месяца назад
Hoja Yako Mh Gwajima ni ya msingi Sana Tatizo NABII HAKUBALIKI. Kwao
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 2 месяца назад
Huyu ni Askofu Namkubali Sana na Yupo na UWEZO mkubwa Sana Kujenga Hoja za Msingi na Ana-maono Makubwa sana HAKIKA Askofu Gwajima Nampenda Sana Sana na Yuko Vizuri Sana na Mungu amlinde Sana.
@user-cf9oi4xr9n
@user-cf9oi4xr9n 2 месяца назад
Akili kubwa sana
@yusuphjohn9129
@yusuphjohn9129 2 месяца назад
Mungu akubariki Sana kiongozi mchango mzuri tatizo unaowaambia mhhhh
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 месяца назад
Nimemfuatilia sana Mchg. Gwajima, hujikita kwenye mijadala ya muda mrefu. Yupo smart sana mtumishi
@djurio
@djurio 2 месяца назад
Ukisha malizana na nja na mahitaji ya msingi lazima akili iwaze makubwa na ya muda mrefu.....hatuwazi wala kupanga ya mda mrefu kwa sababu ya njaa na kushindwa kumudu mahitaji ya msingi....
@papaamularfins599
@papaamularfins599 2 месяца назад
​Dawa ni kuachana na Wazungu na tusimame ka Waafrika ka vile Mali, Burkina Faso na Niger!. Sababu mifumo walotuekea hawa Manyang'au ndio chanzo cha umasikini wanaouvumisha kwenye vyombo vyao vya habari.Wakati sisi sio Masikini!
@agneselia9000
@agneselia9000 2 месяца назад
Big up askofu Gwajima
@janetgilbert3590
@janetgilbert3590 2 месяца назад
Big minds marvelous
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 2 месяца назад
Kaaazi,
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 2 месяца назад
Hapo ndipo nakuamini sana ndugu gwajima ❤❤
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 2 месяца назад
Jamaa kasema kitu cha maana sana,hii kitu ndio inatuangamiza kila Rais anakuja na mambo yako (ambitious projects)
@ileykajoshua2154
@ileykajoshua2154 2 месяца назад
Nice speech
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 месяца назад
Namshangaa sana PR kitila mkumbo na mwigulu are they thinking critically for the benefit of our people and national as whole but unfortunately hawaoni hili analosema gwajima
@peterdamiano6740
@peterdamiano6740 2 месяца назад
Hii akili ni kubwa kuliko tanzania
@beatricempinga8224
@beatricempinga8224 2 месяца назад
Usichoke Gwajima endelea kuwafundisha, mpaka wabadilike.
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 2 месяца назад
Maono kama Taifa ,,, Sema kama yapo ila wanasiasa wanatuyumbisha sana,, kwanza kuruhusu umaarufu ndio unampa mtu sifa za kuongoza siasa ni hatari sana ,, ipo siku tutapata mwehu 😅😅
@adow9musictz931
@adow9musictz931 2 месяца назад
Point inaeleweka vizuri Viongozi acheni jealousy fanyieni kazi jealous si nzuri
@mwitamahende4394
@mwitamahende4394 2 месяца назад
Unaowaleza hawakuelewi, japo wanakusikia.
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 2 месяца назад
Big up Gwajima. Lakini nani anakuelewa? Miaka nenda, miaka rudi tunahangaika na vyumba vya madarasa havitoshi. Mara sukari haitoshi, zahanati hazitoshi. Madawa hayatoshi. Maji safi hakuna, nakadhalika na kadhalika. Kwa nini? Viongozi mjitafakari.
@mirajiramadhani2128
@mirajiramadhani2128 2 месяца назад
Brother gwajima utaongea sana wanakuelewa sana lakini ndo wa2 hawatak hayo maono kukiwana na maona kama hayo wapigaji nao wataenda wap kwahio lazima wa2 watetea maslahi yao kuliko maono ya nchi
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 2 месяца назад
Unashaurigi vitu vya msingi sema hawavifanyiagi kazi iyo ushaisemaga ila bado ijafanyiwaga kazi
@OS-pf6op
@OS-pf6op 2 месяца назад
Huyo mmoja ni opportunist tu!
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 2 месяца назад
Hiyo ndio mipango wanavyo Fanya wazungu
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 2 месяца назад
Unafaa kabisa kuwa mkuu wa nchi
@AlexMgimwa-pm2pi
@AlexMgimwa-pm2pi 2 месяца назад
upo vizuri
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
Gwajima ni kichwa
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 2 месяца назад
Tuendelee kuombea AKILI za Wabunge.
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 2 месяца назад
Wasukuma wanaanza kujitokeza, maana karibu na uchaguzi.
@bharwanimohsin
@bharwanimohsin 2 месяца назад
Mchango wake Mzuri Mh Gwajima, ila amesahau ile safari ya Birmingham
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 2 месяца назад
Ngwajima anafaa kuwa rais wa nchi hii baada ya miaka kumi tz itakuwa kama dubai
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 месяца назад
Hupo peke tako.maana hapo unaongelea ndan yake katiba.bila kubadirishwa hapo nungum kuqeka haya boss asukofu hoyeeeee.
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад
Hawa ambiliki hao KAZI Yao ni kugonga meza tuuu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 месяца назад
Hii issue bila katiba bado
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад
Hakuna profesa hapo
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 месяца назад
Akili ya Gwajima ni kubwa kuliko prof maana naona kama anataka kumvurugiza 😂
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 2 месяца назад
Awam hii ya 6,,nch ishaangukia pua tayr kusimam sio leo,den la taifa ni kubwa vi2 vimebinafsishwa tayr,,,,,kuku wa mganga anakula mwenyew mganga
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 2 месяца назад
Wasalimie sema singida hoyeee
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 месяца назад
Gwjima wewe ni kichwa Rudi ktk chama chako Cha zamadi tukupe cheo kikubwa. MSIO JUA HUYU NI MTU WA CDM KARIBU CHADEMA
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 2 месяца назад
Hivyo ndivyo wanavyo Fanya ulaya
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r 2 месяца назад
Bwana sukari anaweza kuandika mipango ya miaka 50? 😂😂😂😂😂
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 месяца назад
Watalamu wetu wanatuangusha
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 месяца назад
GWAJIMA USICHELEWE NJOO CHADEMA, 2025 HAO CHADEMA WATAONDOKA TU. NA WATAANGUKIA PUA KAMA ULIVYOSEMA
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 месяца назад
Kweli kabisa. Ujinga kabisa. Unawezaje kupanda baada ya kutekeleza
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 месяца назад
Teknelojia wapi?mna teknelojia yenu nyie?kila kitu mnawategemea wazungu leo mnapanua midomo yenu mnatajataja neno teknelojia,pumbavu mnayo teknelojia ipi?ya kuiba mali za umma???????
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 месяца назад
Sasa Gwajima kwa nini usiandike wewe? MATHAYO23: Ole wenu hakuna anayekuelewa , wewe ni mtu wa propaganda tu Dunia inataka watekelezaji sio maneno. Nampenda mama kwasababu alienda kwenye royal tour tukamwona anaendesha gari la watalii. Wewe ulisema unafufua misukule, unaleta boti za kuvua samaki mbweni, kuvuna Chuma na makaa ya mawe liganga na mchuma, kila siku maono maono, masikini hana maono hata nafasi yako inajua ndo maana unajiita askofu wa ufufuo na uzima , unaiba kura, unachukua pesa na sadaka za masikini, unawauzia vitabu vya uongo kwa kutumia bibilia mpaka umenunua helicopter ,nk. hiyo ni laana
@josephatmahango3869
@josephatmahango3869 2 месяца назад
Unahangaika ukiwa wapi??
@ustawiwetu
@ustawiwetu 2 месяца назад
Mawazo mazuri, ila kwa wenye mawazo ya umasikini na kujali matumbo yao, hawawezi kukuelewa wala kukukubali kabisa
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 2 месяца назад
Wew unafirwa kweli shiga mkubwa. Kaa ukijua Gwajima Hana cheo chochote serikalini zaidi ya ubunge. Kwa hyo wewe ulitakiwa apange nn wakati Hana wizara? Kwa hyo.kazi take yeye kama mbunge ni kuishauri serikani. Kilaza mkubwa
@elinamericho1491
@elinamericho1491 2 месяца назад
Hata humwelewi akili mdogo pole
@tarithalusola4458
@tarithalusola4458 2 месяца назад
Huyo NI wivu tu kwa mtumishi wa Mungu
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08