Тёмный

Habari MPYA | MBOWE AWALAUMU CHADEMA | TURIKUBALIANA MKANISALITI | KWENYE MAANDAMANO | SIJAPENDA 

GACHI TV Online
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 6 часов назад
Weweeeee,nani anataka heka heka na vyombo vya dolah??!!!🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu tunaomba upendo,amani,ktk nchi yetu,peke yetu hatuwezi bila msaada wako 🙏🙏🙏🙏😭
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 4 часа назад
Muandishi hongera kwa kuliona hilo mbowe angekuwa hata ndugu yangu ningemshauri aunge juhudi tu na hao watu wa kijani watanzania Bado tupo kama malofa kuongea kwingi vitendo sifuri kifupi inavunja moyo sana ila Mungu aendelee kuwalinda viongozi wetu hususani Mbowe
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 2 часа назад
Mimi nilimuonea huruma walimsusia
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 4 часа назад
Kimidiya Cha kisenge sana hiki
@ahmedsaidbachuba2398
@ahmedsaidbachuba2398 5 часов назад
Wewe sio msemaji wa mboe haja yasema haya watu walikuwepo
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Час назад
Kwa kwr umeonesh ushujaa
@EdwardMhamila
@EdwardMhamila Час назад
Mbowe hawakumsariti bali vitisho vya polisi kamatakamata
@MesiakiKayan-qm7tv
@MesiakiKayan-qm7tv 22 минуты назад
Hapana vitisho ndio nyingi sisi kama wannchi wa hali ya chini tukaogopa
@MakameMufadhil
@MakameMufadhil 6 часов назад
Humm nani atakaye kufa
@julianamasumbuko5956
@julianamasumbuko5956 4 часа назад
😢😢
@ANNAKILLO-o7d
@ANNAKILLO-o7d 6 часов назад
Hata kama Watu hawajajitokeza ila ulisimama imara wewe NI mwanae. Maana tulishaanza kusikia eti umekimbia nchi
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 6 часов назад
Aaah nani anataka kuchukuliwa na watu wàsiojulikana Yarab nafsi😂😂😂
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 4 часа назад
Watanzania hawapendi siasa za fujo ndio maana hawakwenda
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 2 часа назад
Ni aibu alisusiwa maandamano
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 2 часа назад
😂😂😂😂
Далее
Признавайтесь, кто его смыл?
00:54
Признавайтесь, кто его смыл?
00:54