Tunakumbushwa wakristo,kuandaa ukamilifu wa imani zetu hapa duniani.tusiwe wakristo wa majina,waimbaji mbarikiwe sana.william Cresent wa Vatican haydom-manyara 03-11-2020.
Rest in Peace, peaceful George, man of God. I always remember your beautiful if not nice song. Hakikisha Jina limeandikwa kwenye kitabu cha uzima mbinguni
Nakumbuka nilikuwa darasa la pili mwaka 2002 Kwa mara ya kwanza naisikia hii nyimbo,kweny sherehe za kipaimara meru Arusha huko,sahv ni zaidi ya miaka 20 bado naisikiliza