Тёмный

Hamisa Mobetto - Madam Hero (Official Music Video) 

Hamisa Mobetto
Подписаться 244 тыс.
Просмотров 2,4 млн
50% 1

Follow Hamisa on Instagram
/ hamisamobetto
Kindly Subscribe to my channel

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6 тыс.   
@KhaletaniyaQueen
@KhaletaniyaQueen 6 лет назад
😭😭😭😭😭🙏🙏 hii nyimbo ni ya wanawake wote duniya ni maisha ya kweli wanawake wanapitiya mengi snaa duniya hii nyimbo inatiya moyo wanawake wezangu tusivunjike moyo kwani mungu Yuko Na sisi big up hamisamobetto
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 6 лет назад
nampenda xna mama ake hamisa yan hajawah muacha mwanae yupo bega kwa bega na mwanae yan mung akulinde mama mobeto uone mazur ya mwanao maana yajayo yanafurahisha ❤❤❤❤❤💕💕💕💕
@glorychuwa8413
@glorychuwa8413 6 лет назад
nzuri sana mamy
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
Wa kwanzaaaa saffiiiii mobeto _____ #KAZAA_MZEE_MAMAAAA 💪💪💪✔✔✔✔✔
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 4 месяца назад
Huyu dada ametoka mbali saana Mungu Bado anampigania kika mara sasa hivi ni super Star jamaniiii ❤❤❤❤
@storyzatowntz2695
@storyzatowntz2695 6 лет назад
All the way from 250 Rwanda sijui kiswahili hila hiii nyimbo kubabayeeeee 🔥 🔥
@queengeorge5158
@queengeorge5158 6 лет назад
Alieangalia hii ngoma mara 5 Kama mm agonge like twende sawa madam hero
@tinamethody2735
@tinamethody2735 6 лет назад
Misaaaa
@jemmimahotwoli9264
@jemmimahotwoli9264 6 лет назад
Nimeiangalia ×10 my frnd
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 6 лет назад
Nice
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
Mama yangu anakukubali saana madam hero !!!!! #Tabuikopalepale 🆑✔✔✔✔
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Nampenda sana mimi uyu misa😍😍
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
@@saumuhassan6365 tegemea meng mazur toka kwake 🙏
@annastaciamwaura4750
@annastaciamwaura4750 3 года назад
It's the recognition of Lupita Nyong'o for me.........you are going far girl. Just steer away from people who derail you
@yourgirltee3781
@yourgirltee3781 2 года назад
This song was hamisa manifesting to the universe look five years where she is now .. she received what she claimed
@Faith_joseph
@Faith_joseph 2 года назад
Sure 📌
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 6 лет назад
Madam Hero huu ni wimbo wa kuonyesha. Wanawake Tunaweza kufanya jambo llt tukita @hamisa upendo 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 6 лет назад
Supperb lady hamisa
@kescha3292
@kescha3292 6 лет назад
Dah natamani ungekuwa Dada yangu najivunia sana ww Mamy love u so much
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Yaaan
@ZainabAtuli
@ZainabAtuli 5 лет назад
Hii nyimbo klasku inanilaza saa 1 za usku, masha allaah lov u soo much, jaman naomben like hata 50
@joycealpha697
@joycealpha697 6 лет назад
Bonge moja la ngoma sauti tamuuu balahaaaaaaaa we nimkali mamaaa
@jojoshenhamoud2096
@jojoshenhamoud2096 6 лет назад
Yani we dada nakupenda wallah no matter whaat...watasema usiku watalala.,uuwii una sauti amaizing...naomba utoe na nyingine...love you misah 😙😙😚😗😍😘
@winnieeliud510
@winnieeliud510 6 лет назад
Hail to the Queen👑👑👑👑wanawake tupendane na tusaidiane inavo stahili🙏🙏(Tunaweza)
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 6 лет назад
Kila siku ni lazima nitazame kwa kweli imetufundisha mengi 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Team Madam Hero mpo like hii video
@faithfulhaule7937
@faithfulhaule7937 5 лет назад
magic voice Hamisa💖💖💖welldone
@feristerkilembo170
@feristerkilembo170 4 года назад
Me uwa adi nalia
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 года назад
Huu wimbo kila nikiusikiliza ndo nazidi kujituma kwa nduvu sasa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Tupooooo timu madam herooo wajina wa ndugu yangu wee jackline
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Hapo mwishoni kapendeza
@rosemaryauma2694
@rosemaryauma2694 6 лет назад
Mobeto you have a sweet voice,i just love it,mmmwaaah,keep it up mama fantacy
@lydiasalama7506
@lydiasalama7506 6 лет назад
The video is 🔥🔥🔥🔥!,love you Missa wangu❣❣😘..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VeroKimani-dl6rc
@VeroKimani-dl6rc 6 лет назад
Misa fans where are you guys first to watch.
@prideofafrica_254
@prideofafrica_254 6 лет назад
Tuko hapa frm kenya
@missflavia3076
@missflavia3076 6 лет назад
Vero Kimani2018 Mama dee
@angelahmoraa5472
@angelahmoraa5472 6 лет назад
Yaani leo maadui wote midomo ni wazii.madam hero ur the best
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 6 лет назад
Congratulation mama dylan
@salimahnadiah7592
@salimahnadiah7592 2 года назад
I love this song. Coz Hamisa truly meant what she sang here. Now look at her, she's done great for herself.
@yuzotv458
@yuzotv458 6 лет назад
good madam hamisa. +sauti nzuri +ujumbe mzuri pia upo. like kama umeielewa hii ngoma.
@lutfiynamustafah9261
@lutfiynamustafah9261 6 лет назад
Saf san
@mancankwee5740
@mancankwee5740 6 лет назад
Namuona Fantasy wako ukiwa natural 😍😍😍😍 Unywelee kama wotee
@getrineandove2380
@getrineandove2380 6 лет назад
Good job😍😍😍
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 6 лет назад
Dah yaani hadi mchozi umenitoka Hamisa umetisha usimzarau mtu kwa kumtazama usoni toa nyingine mamaaaaa tupo nyuma yako tunakusapot Hamisa
@dorajuma5548
@dorajuma5548 6 лет назад
Nzuri hongera sana
@rahimalewe3518
@rahimalewe3518 6 лет назад
tuko nyuma yake tena sana
@masikasaid1373
@masikasaid1373 4 года назад
Nimelilia kweli tunzo ya mwanamke shujaa inakufaaa💖💖💖💯💯
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
Umezalilishwa sana Umeonewa sana Umepewa kila aina ya majina machafu lakini bado una msimamo na ndoto zako #NDO_MANA_NAKUBALI_HARAKATI_ZAKO 💪💪💪🆑✔✔✔✔
@piusandy
@piusandy 6 лет назад
kachawi ako
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
@@piusandy duh amna sio kachawi huyu dem mpambanaji tutegemee mazuri meng toka kwake 😡
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
@@piusandy mond ndio muongo kitombi yule ndio mana yote yanatokeaa
@ramso__babanenga9958
@ramso__babanenga9958 5 лет назад
ramso baba
@ramso__babanenga9958
@ramso__babanenga9958 5 лет назад
Very well hamisa
@fw4030
@fw4030 6 лет назад
Lol...bi Sandra na esma wakimfukuza sweety mandale....😁😁😁😁😁pambana baby gal...am here to support you....all the way...💕💖
@elizabedwan8207
@elizabedwan8207 6 лет назад
Huhuhu
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Rill
@treasuredaniel489
@treasuredaniel489 6 лет назад
nice
@jacklineelias1588
@jacklineelias1588 6 лет назад
Saf sana pambana mama
@imaninobertkaihula5957
@imaninobertkaihula5957 6 лет назад
Sijaona comment ya kupinga,ni wazi hii nyimbo ni funzo,inanifanya kumkumbuka sana mama angu(apumzike kwa amani) Like hapa show love na surpport kwa missa,she deserve it 😘😘. Ahsante sana Hamisa Mobeto!!
@uwimanauwimana5519
@uwimanauwimana5519 6 лет назад
poa
@fattyandruqyahbinthouthman8025
Manshaa Allah Nic song😭
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Anaepinga mchawiiiiii
@ummyyusuph1311
@ummyyusuph1311 4 года назад
Madam hero kama mama samia ...nice song misa inafundisha sana.
@stevenruhunga3677
@stevenruhunga3677 6 лет назад
Mwana harakati damn girl don't you give up.. timiza your dreams with all cause..
@mohamedally1460
@mohamedally1460 6 лет назад
Nimekuja kuiona maana ametaja majina makubwa makubwa mashaaallah .nimekuelewa pambana dada
@asmartissa120
@asmartissa120 6 лет назад
I wanna be africa number 1 I love hamisa I love my Tanzania and all countries of African gonga like yako kushoto na comment Kulia Kama unaikubali hii ngoma
@siamoore1610
@siamoore1610 Год назад
This song really hits different……. Four years later see where Hamisa is, indeed life and death is in our tongues……. I’m proud of Hamisa
@jowie__
@jowie__ 4 месяца назад
God is forever the greatest
@ismailmsuya5129
@ismailmsuya5129 6 лет назад
Kawaida majungu huwa hayajengi kitu,nakupongeza kwa wimbo wako kwani unaleta ujasiri kwa wanawake na pia kuweza kuheshimika kwa kila wawezacho kukipata kama sisi wanaume,honger hamisa Kama unakubaliana na mimi comment tumsapoti dada yetu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@divadiva5783
@divadiva5783 6 лет назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌
@hildajulisus5448
@hildajulisus5448 6 лет назад
kazi nzuri mamii
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Love misaaaaa
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Mwaaaaa
@storyzatowntz2695
@storyzatowntz2695 6 лет назад
Zari amepost nyimbo yako anaimba kwa kweri kaipenda 👏 👏 👏
@neemaduduma9046
@neemaduduma9046 6 лет назад
Jamn stori nzuri sauti nzuri wimbo mzuri mpka rahaa hongera saana I'm so proud of you
@goldtv8435
@goldtv8435 6 лет назад
Niceee
@Kenchiyh
@Kenchiyh 6 лет назад
Kweli kabisa
@lilianswai6220
@lilianswai6220 6 лет назад
nimeipenda hii nyimbo!
@veromushi8120
@veromushi8120 6 лет назад
Ngoma kali hatari hongera hamisa
@jonathanguzzman5169
@jonathanguzzman5169 6 лет назад
Nice
@judithliona
@judithliona 5 лет назад
Madam hero ....Hamisa I love this song and am so proud of you sana all the way from 254.... Tulidharaulika sana wanawake hatuwezi lolote.......acha tu watucheke but yeah tutafanya bidii.Tunapambana because we are madam heroes. Wapi Likes za mobeto
@amisakumwene2751
@amisakumwene2751 6 лет назад
Hamisa mama Mungu amtupi mja wake . Kazana dada utafika mbali zaidi . Kama unakubiana na MADAM HERO gonga like yako twende sawa 😍😍😍😍😍🙏🙏🙏❤️❤️💙💙❤️
@charitymunyoki9236
@charitymunyoki9236 Год назад
See God ashampanguza machozi May his name be blessed he is a true God❤
@lululivingstone8298
@lululivingstone8298 6 лет назад
Najua kitakacho fata ni zaidi fanya kazi loga wapumbavu wote wawe kenge wa blue nakupenda sana
@puritygakii2911
@puritygakii2911 6 лет назад
Wanarogwa na hao wenyewe uenda kwa waganga nashangaa
@soniaabdull6115
@soniaabdull6115 6 лет назад
my dada hamisa ww ni madam hero...madam boss...East African sweetheart ...gonga like kama wakubaliana na mm
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 2 года назад
Hongera saaana wewe ni mwanamke wa shoka umepitia mambo mengi saana kwenye safari yako ya maisha na Bado unapambana hongera Mungu Yuko pamoja nawe
@kererose2742
@kererose2742 6 лет назад
This is an inspirational song,wasichana musipende njia za panya,pambaneni hata Kama kuuza nyanya mtafika mtakako Kwa kibali ya mwenyezi Mungu # dreams are valid.# God is not dead.
@juliegits7386
@juliegits7386 6 лет назад
Did she not know this when she was sleeping with Diamond? Pooh
@anna19805974
@anna19805974 6 лет назад
well said
@anna19805974
@anna19805974 6 лет назад
well said Kere rose
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 6 лет назад
Amen.people shud never determine our future...God is indeed faithful and Alive.
@kererose2742
@kererose2742 6 лет назад
@@anna19805974 thanks hun
@gee1993
@gee1993 6 лет назад
This song is dope !!! Mobetto hapa NATO ulifanya kazi!!!!big love from kenya
@tumainicharles4937
@tumainicharles4937 6 лет назад
Loooh hamisa umenifanya hadi nilie humu ndani kama kuna msiba maana nalia na mwanangu analia jamn we love you so much MUNGU AKUTUNZE
@saodashaban3449
@saodashaban3449 6 лет назад
yani ivi vitu vipo hasa sisi wanawake ndio utukuta mambo kama ayaa nimejikuta nalia tuu
@rahimalewe3518
@rahimalewe3518 6 лет назад
mm nimelia kama nimefiwa
@fathiyanasser3657
@fathiyanasser3657 6 лет назад
Nice song
@tumainicharles4937
@tumainicharles4937 6 лет назад
Yan jmn achen tu
@kimka4033
@kimka4033 6 лет назад
Hamisa samahani mdogo wangu,sintaongezaga kuskiliza iyi nyimbo,😪😪😪inanikumbushaga mteso nilipitiyaga na wanangu watatu.Heshima kwa single mother,s wooote duniani,nyinyi wooote niwa Madam Hero...
@estherwanjiku5612
@estherwanjiku5612 5 лет назад
Hiyo wimbo iko poa sana inapea MTU matumaini ata km tuko single mother congrats hamisa mobetto
@stephaniamichael1977
@stephaniamichael1977 6 лет назад
Nakupenda sana Hamisa ww n shupavu usiye kata tamaa hukuangalia umepakwa matope kias gan ila umezd kusonga mbele safi sana na Mung naiman kamwe hatakuacha i love u so much mfano mzuri uko kwako narudia nakupenda sana sana sana sana sana sana. Pia mama ako n mfano mzuri kwa mama wote dunia nzima mama yupo bega kwa bega na ww
@sharonzalwango7761
@sharonzalwango7761 6 лет назад
It made me cry. The sky is the limit Hamisa.
@winnieawino8128
@winnieawino8128 6 лет назад
From kenya... Hamisa can play a vulnerable role in music videos...i think she did it and am now officially a fan
@audaxmagezi8216
@audaxmagezi8216 6 лет назад
kwa kwel mm kama mm nimeupenda huu wimboo keep it up my xxtr.........
@kassimali1477
@kassimali1477 6 лет назад
Kama akina King Kiba hamtoi nyimbo....tutabaki kuskiliza akina #Hamisa
@mercynelima4241
@mercynelima4241 6 лет назад
Huu wimbo umefanya nikupende bureeee,,,,,ujube mzuri Sana
@adelinasteven5841
@adelinasteven5841 6 лет назад
cjawah lizwa na wmbo wowot ila wako umeliza!! mungu akusimamie tu dada angu, ipo cku atakuinua toka mavumbini na atakuketisha mahali pa wakuu wa nchi
@The_Cold.
@The_Cold. 6 лет назад
Si sauti, si urembo, si utaratibu wa wimbo, si uzuri na utamu wa muziki. I feel like I love everything to do with the song. Hamissa Mobetto nakupenda Sana mamaa!
@sifasifa7194
@sifasifa7194 6 лет назад
Big up to all African mamas who do anything to keep there family moving . Najivunia kuwa mmoja wao
@masondaselina4046
@masondaselina4046 6 лет назад
You made it asee bonge la video inaendana kabisa na uhalisia wa nyimbo umenihamasisha sana na nyimbo hiiii go mama mwenzangu go good job yaan cjui nikwambie nini
@hariethkijazi2984
@hariethkijazi2984 6 лет назад
Haki tena nimeangalia mara kama zooote hivi daaah Hamissa mama umeuawa na utawaanyoosha watakubali tu go go go go 🚦🏃🏃🏃🏃🏃🏃🚥🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🚦🏃🏃🏃🏃🏃🏃go baby girl we love you
@mauwam3627
@mauwam3627 6 лет назад
Misa u make me cry😭😭😭😭 team misa popote mlipo naomba likes zenu njoen tumsapot masik mwenzetu
@tatutatu1976
@tatutatu1976 6 лет назад
Tupooo pamoja sana jilanii
@maryammarym4437
@maryammarym4437 6 лет назад
Tupo mwaya Mola ampe riziki yakutosha
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Yni askitisha ainishi hamu
@hawababy4585
@hawababy4585 6 лет назад
Tupo wengi
@esterpromy3183
@esterpromy3183 6 лет назад
Mauwa M tupo m mungu amjalie misa bby
@jennytambwe9069
@jennytambwe9069 5 лет назад
Kuna kitu kilicho tuma nirudilie kuhona huu wimbo paka nimejifuza kitu😍😍💪😘😘💪 never give up kweli
@latifaomary605
@latifaomary605 6 лет назад
Duuuuh yaani hamisa kila nikiiangalia hii nyimbo nazidi kujifunza kitu....nimeshindwa kuzuhia hisia zangu walai 😍😘😘❤️❤️❤️
@miskiahmed9032
@miskiahmed9032 6 лет назад
My mum is a madam hero She passed all this struggles to educate us and now she has everything she ever wanted Love you Ma
@DbashTV
@DbashTV 6 лет назад
gOOD Song indeed....Especially for ladies ...Bilashaka wanawake huu ndo uwe wimbo wenu wa mwaka. IF YES Do LIKE
@samwelipallangyo8535
@samwelipallangyo8535 6 лет назад
Fantastic
@sharonnduku9703
@sharonnduku9703 5 лет назад
I wanna be one African fighter .....madam hero...penda misa Sana😘😘
@Baba-mawazo12
@Baba-mawazo12 6 лет назад
Mungu akubariki dada yangu amisa mobetto naona unajuwa kuimba dada jitahidi I like this song more than mmmmm Duze
@rachelkem1698
@rachelkem1698 6 лет назад
Daam!!!!!!!this gal is flying higher go go MADAM HERO it is your time no surrender
@gracenjeri2035
@gracenjeri2035 6 лет назад
Dopest Misa,am team zari but hii song nimeikubali tu sana...
@feristerkilembo170
@feristerkilembo170 4 года назад
Love this song na mwimbaji wke nikiiangalia napata nguvu ya kujituma
@eveschannel8
@eveschannel8 6 лет назад
This girl is naturally beautiful....I just love her. Mungu aendelee kumbariki🙏🙏🙏
@zoazoatv522
@zoazoatv522 6 лет назад
Hii NYIMBO nzuri kiasi kwamba Unaweza kuwawea hata Dhamana kina Soudybrown na Mau Sama kwa kutumia wimbo huu na Ukakubaliwa....hakika mobetto unajua
@sarahkarimi5390
@sarahkarimi5390 6 лет назад
Jamani wimbo huu unatutia moyo sisi wadada hongera sana hamisa mobeto MWENYEZI MUNGU akuzidishie
@zuuumfangavo2434
@zuuumfangavo2434 5 лет назад
Wimbo mzr sana jaman wala sitojal huku kujulikana acha nipambane wanangu wale vzr sana hamisa mobeto🙏👏👏👏👏
@jamilayusufahmed2529
@jamilayusufahmed2529 6 лет назад
Hamisa mrembo kweli na sauti nzuri...kazi nzuri keep going gal
@drkaswalala
@drkaswalala 6 лет назад
Hata walio na chuki watakuja kuicklza hii nyimbo kimya kimya na watajisemea mioyoni mwao ,ameweza😎. Mungu ni wetu sote ,wabaya na wazuri wote wake! Hongera kwa kazi nzuri✌✌
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Wako tele nishawaona nawajua kwa majina kutwa humtukana hamisa
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Tenaaaaa watasapot tuu
@antoninamusili4875
@antoninamusili4875 6 лет назад
Hamissa I like your attitude, our attitude towards everything makes the difference in life,your song is a true reality of true fighters, tuko nyuma yako tukipambana pia,I love your song
@maimunaibrahim141
@maimunaibrahim141 6 лет назад
Ameimba kilichomtokea alivyofukuzwa na MAMA dai hivyo hakubuni ameimba kilichopo alipigwa na kuacha wingi hivyo kaimba yaleyale hakuna kigeni hapo
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
@@maimunaibrahim141 mtapsta tsbu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukimchukia mungu anampendaaaaaaaa
@adrienmaxpayaofficialchann5659
Kama na wewe unaamini kwamba Mama zetu wanateseka kwa ajili yetu Watoto usipite bila kitu hapa.
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Pamoja sana
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 3 года назад
Wimbo wangu pendwa kutoka Kwa misa😍
@mombasanews3024
@mombasanews3024 6 лет назад
Best song Hamisa Mobetto ukiendelea hivyo hivyo Diamond will respect you more than Zari !!!!
@divadiva5783
@divadiva5783 6 лет назад
Amen kbsa
@khadijahussen2763
@khadijahussen2763 6 лет назад
Kabisa
@josephkasyoka6713
@josephkasyoka6713 6 лет назад
From kenya Madam Hero is a good song Hamisa mobetto naipenda tu sana yaani ni chai yangu kila asubuhi ,respect to u mum ,karibu kenya ,I love your are voice madam,
@chamsa7211
@chamsa7211 6 лет назад
We were quick to judge her. We never remembered that she also had emotions. We didn't know what choices she had to make in order to do what we hated so much.she is strong but the insults hurled at her are too much. Hamissa keep going girl. The past is gone and you have better days. Woman power Dada yangu
@Clarity0591
@Clarity0591 6 лет назад
You did well Misa congrats
@manfredfamily2337
@manfredfamily2337 6 лет назад
msindikize jokate
@sureiamboo
@sureiamboo 6 лет назад
Chams Chams 🙌🙌
@Pamela_Anzoa
@Pamela_Anzoa 6 лет назад
Chams Chams 👊🏿👊🏿
@KigabiAzizi
@KigabiAzizi 6 лет назад
The song is call heartattack😂😂😂😂🙉
@lydiamutua6093
@lydiamutua6093 5 лет назад
this song was it. it talked Alot about us as women..... I never get tired listening to it. thank you Hamisa
@thomasmetta6479
@thomasmetta6479 6 лет назад
Mi wakiume ila hii ngoma naisikia kwa mishipa ya damu,,nzuri sana stor ya video sawa na wimbo,,na weng hukosea hapa ,,,safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@thomasmetta6479
@thomasmetta6479 6 лет назад
mje na kwangu ,,,ru-vid.com/show-UC2UqkJZu75TEXa0JErx7yPg
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Safiii
@johnsonmilakoi1727
@johnsonmilakoi1727 6 лет назад
nzuriiiiiiiiii wanaokubali like za kutosha
@abdulghanirashid680
@abdulghanirashid680 6 лет назад
Mtu wangu wa nguvu Madame Hero
@algmobai2183
@algmobai2183 6 лет назад
Millard Ayo hey mambo
@justinemico1871
@justinemico1871 6 лет назад
Sanaaaaa
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 лет назад
Mpeni saport jamani anajua fester mikoa yote please
@catherinekathure1062
@catherinekathure1062 6 лет назад
Thanks for support our siz.. Thanks once again!
@anisaanwar3426
@anisaanwar3426 6 лет назад
This young lady is an inspiration
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
Acha tu nipambane wallah umenipa nguvu na hii nyimbo yako
@awinoluxurybeauty100humanh6
@awinoluxurybeauty100humanh6 6 лет назад
WOW!!! Very Proud Of You Hamisa .....Very Nice Song......Well done ...
@wanjirawashosh1444
@wanjirawashosh1444 6 лет назад
Am so proud I knew in my heart hii ngoma by Leo itakua 200k..... This song gives me HOPE... Hamisa you are an Iron lady.. Mob love from 254
@parixangel9708
@parixangel9708 6 лет назад
ipo gud
@jeanbosconsabimana1076
@jeanbosconsabimana1076 6 лет назад
Paka ivi ningali naria ju ya wimbo mzuli wenye ujumbe mzuli sana . Kama wewe umeupenda kama mimi gonga like
@saadamsamba4806
@saadamsamba4806 6 лет назад
Nice
@bellaferrer3390
@bellaferrer3390 6 лет назад
Hamisa!!! am loving it from Russia Moscow!!!! napenda this song!!! madam hero!!!...... can't stop listening to it... *wacha nipambane*
@augustinewiraka2294
@augustinewiraka2294 6 лет назад
Hamisa mobeto you never disappoint good video good setting alot of support from 254
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Jamani wakenya twaongoza kwa kumpenda micha
@zingabrigitte4726
@zingabrigitte4726 6 лет назад
Nyimbo Kali sana
@nasraissa8716
@nasraissa8716 6 лет назад
like madam hero plz kama kwel unamkubali hamisa plz
@brendapowers6290
@brendapowers6290 6 лет назад
@Hamisa Mobetto. keep teaching our nation being proved as a leader. Waiting for a second video we love you
@aishaaabdallah3505
@aishaaabdallah3505 6 лет назад
Hongera my Lv Hamisa Allh Akufanyie wepes Uzidi Zaid ya hspo😘😍😘😘
@myahudi6951
@myahudi6951 5 лет назад
Dah huu wimbo mkali sana, madam hero inaweza keep it on!
@berinkoroso9357
@berinkoroso9357 6 лет назад
Woow.. Iko sawa kwanza hiyo part 'I wanna beee! African number one fighter' lovely
@mackrinakajungu5108
@mackrinakajungu5108 6 лет назад
Nyimbo nzur inatufanya tuwe naiman katika maisha
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
@@mackrinakajungu5108 Exactly my
@phinareshow5447
@phinareshow5447 6 лет назад
Sawa
@sarahsalmon7596
@sarahsalmon7596 6 лет назад
Wimbo una ujumbe ..haki umenigusa.😘
@amanshaban9986
@amanshaban9986 6 лет назад
Sarah salmon yes
@rhouzieosore5143
@rhouzieosore5143 6 лет назад
Who has watched this more than 100 times like me 👌👌👌👌👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #MadamHero 🔥🔥🔥🔥
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Hata usiseme haisinyi walai
@كيفي-ض2ج
@كيفي-ض2ج 6 лет назад
Wakenya tuko ndani kama kawaida
@EstherNeema
@EstherNeema 5 лет назад
Napenda tena sana. Nijisikia nimepata nguvu :) :) :) :)
@hamidmuktar5560
@hamidmuktar5560 6 лет назад
Madam hero nyimbo inatia huruma kweli love 😍 from Somalia 🇸🇴
@du6392
@du6392 6 лет назад
💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏾🙌🏾 You did it Hamisa. I am so proud of you 😘😘😘😘💃🏾💃🏾💃🏾👏🏽👏🏽👏🏽
@dianasamson9311
@dianasamson9311 6 лет назад
So true
@azizahasan1101
@azizahasan1101 6 лет назад
Mambo ni motooo
@stressfreezoneukandahuru1657
@stressfreezoneukandahuru1657 6 лет назад
Wooow Nice song Hamisa, Sauti Mororo kwa speaker, Binafsi nimeipenda sana hii nyimbo, Pambana Hamisa aka Madam Hero
@lavenderachieng1760
@lavenderachieng1760 4 года назад
nitapambana pia... i love it.. nimelia
@DEGESTAR
@DEGESTAR 6 лет назад
Mi nimeupenda huu wimbo adi video. Kama wakubaliana mimi please like hapa. To show love kwa hamisa
@magdalenagwau5478
@magdalenagwau5478 6 лет назад
Nice
@ayshajuma2034
@ayshajuma2034 6 лет назад
Nice
@mathajackson777
@mathajackson777 6 лет назад
Nice san
@bashirhasan255
@bashirhasan255 6 лет назад
Very Nice
@williamrobert2837
@williamrobert2837 6 лет назад
Mm ndo zaid
@daisyochieng4707
@daisyochieng4707 6 лет назад
my Queenie their always queening💯💯😍napenda huu wimbo
@khadijadjuma5411
@khadijadjuma5411 6 лет назад
Uyu wimbo nauskiya mara kwa mara nime upenda lov u hamissa from burundi
@rosegrminder5702
@rosegrminder5702 2 года назад
Hamisa you're a big artist focus you can be our African queen. We all know isn't easy money wise to produce. Music but all you need is to keep on going.
Далее
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 256 тыс.
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 405 тыс.
#慧慧很努力#家庭搞笑#生活#亲子#记录
00:11
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
YPRINCE -  UTARUDI Official Video
4:34
Просмотров 26 млн
Nandy & Oxlade - Napona (Official Music Video)
4:08
Просмотров 3,4 млн
Hamisa Mobetto - Madam Hero (Official Lyrics)
3:41
Просмотров 18 тыс.
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 256 тыс.