Тёмный
No video :(

HANA SWALA MWENYE KUKOSA SHARTI HIZI SABA ...SHEKH OTHMAN KHAMIS 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 228 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@papashakssydazzle1024
@papashakssydazzle1024 4 месяца назад
Mashallah Allah atujaalie nuru upande wa Maulidi pia
@AbdulAbdul-vp2np
@AbdulAbdul-vp2np 4 года назад
Mashallah sheikh kwa ukumbusho huo mzuri. Inshallah Allah atujalie tuwe wenye kutimiza sharti zote za salah. Allah jazakallah khaira.
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 3 года назад
Mashaallah iyo ya wazee hata mimi ndio tabia yangu haswa kwenye kuswali suna tena uwa natia nua hata kaba ya kukaa sawa Allah niswamehe, ila nitaacha kuanzia leo Allah akubariki shekh wetu.
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
Jazaqallah. Tatizo watu wengi tunaswali kwa mazoea
@salumuhussein9335
@salumuhussein9335 2 года назад
Kweli kabisa shekhe wangu
@abdusaalim1927
@abdusaalim1927 4 года назад
Maashaallaah alhabiib Allah akupe kullah khayri
@saudorsaugold6643
@saudorsaugold6643 4 года назад
ALLAH AKBAR hakika dini yetu imeshaga maliza alhamdulillah kwa neema hii
@ramlaleila374
@ramlaleila374 2 года назад
Allah akubariki sheikh wetu
@saidabae7101
@saidabae7101 4 года назад
Shukran kwa funzo Allah akujalie kila la kheri
@kudramzee4638
@kudramzee4638 4 года назад
Masha Allah shekh kwa kutukumbusha
@hassancharo1496
@hassancharo1496 4 года назад
Baraka allahu sheikh hamisi
@abuuchampion
@abuuchampion 3 года назад
Mashaallaah 🙏
@jasminali5921
@jasminali5921 4 года назад
Mashaa allah tabarakallah shukrani sana shekh
@saidhamad1946
@saidhamad1946 4 года назад
Jazakallahu khairah Sheikh
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 4 года назад
Maa shaa Allah jazaka Allah khayr sheikh
@mohamedimohamedi7881
@mohamedimohamedi7881 4 года назад
zina mtihani kwa uma mtume anasema hamna kitu alichokihofia kwa umma kama mataminio ya wanawake
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 4 года назад
Shukran njaziira
@moridohome4790
@moridohome4790 3 года назад
Shukran jazzakahAllah
@samanthaali873
@samanthaali873 4 года назад
Subhna Allah Shukran Sheikh Wetu
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Shukran shekhe
@odaamirsaab9185
@odaamirsaab9185 Год назад
Yarabi amin
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 года назад
Masha allah shukuran
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 4 года назад
ALLAH BARIQ
@aniphaally5017
@aniphaally5017 4 года назад
Jazaka allahu khairan
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 4 года назад
shukran shkh
@asiaissa976
@asiaissa976 4 года назад
Shukran yaa maalim
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 4 года назад
Shukran
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Год назад
S alk salama naomba no yako she kh
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 года назад
Shukran sana
@zuwenamussa3111
@zuwenamussa3111 4 года назад
Jazaka lahu kheir
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 4 года назад
Kwenye kuacha uzinifu apo ndio shida
@Moblacful
@Moblacful 2 года назад
SHARTI SABA ZA SWALA 1. UISLAM - KUA MUISLAM 2. AL BULUGHU - KUBALEHE 3. AL AKLU - AKILI TIMAMU 4. ATWAARATU - KUTWAHARIKA NA NAJSI NA HADATH 5. AL ILMU BIDUHULI WAQTI - KUJUA MUDA UMEFIKA 6. SATRU AL AURAT - KUVAA NGUO 7. ISTIQBALU AL QIBLA - KUELEKEA KIBLA
@neemagambere9987
@neemagambere9987 4 года назад
mashaalllah
@halimayusufu6305
@halimayusufu6305 4 года назад
Mashallah
@hassancharo1496
@hassancharo1496 4 года назад
MASHA ALLAH
@nuruzegega3786
@nuruzegega3786 4 года назад
In sha Allah
@halimayusufu6305
@halimayusufu6305 4 года назад
Mungu akijaalia lazima nije msikitin kwako nisikilize mawaidha yako
@afdaa946
@afdaa946 4 года назад
Ma shaa Allah shukuran jazillah
@Mamake6
@Mamake6 4 года назад
MashaAllah. Jazak Allah khyr 🙏
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 года назад
Amina
@amirikhatibu1989
@amirikhatibu1989 3 года назад
Jekama in rakaannne
@thurayyaomar655
@thurayyaomar655 4 года назад
maaashallah 🤝
@ayububakari8513
@ayububakari8513 4 года назад
Aamin
@aishaomar4318
@aishaomar4318 4 года назад
Tumekuelewa sana shehe..mashallah
@idrisamsakuzi4033
@idrisamsakuzi4033 4 года назад
Kwenye hadath hapo bado sijaelewa vizuri
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 4 года назад
Hadath kwanilivoelewa mim ni janaba ama Kwa cc wanawake kuingia period kuzaa Ivo but anaejua anaeza ktasaidia zaidi shukran
@chandedondo8438
@chandedondo8438 4 года назад
Mwatokea darasa saba
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 года назад
Mashallah shukuran
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 года назад
Shukulan
@yasminasmiss6577
@yasminasmiss6577 4 года назад
Kunako iyo sunnah ya kuinuwa Mikono sehem inne Unayfanya kila raja ya sala? Ima nikeenye raja yakeanza tutu (Ex)ukitowa takbiratul hiram Na ukielekeya kunako rukuu Na unapo kwenda kusujudu Na unapo simamakutoka hatayyatu yakwanza Sasa izizingine raka itabidi uwinuwe tena mikono????
@asriyaaljabri9582
@asriyaaljabri9582 4 года назад
توجيه قبل تكبير
@aminamohd604
@aminamohd604 4 года назад
Wengine hapo bendera
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 года назад
Kuna jamaa anazuga kunywa maji 😂
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 4 года назад
Kuinua mikono sehemu nne....je kila rakaa au ni rakaa ya mwanzo tu ?
@mansixgooseman8915
@mansixgooseman8915 4 года назад
Kafiri fatuma
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 4 года назад
FATMA ZENA FZENA KUINUA MIKONO NI KATIKA TAKBIRA YA KWANZA WAKATI WA KWENDA KURUKUU KWENYE RAKAA YA KWANZA UNAPO ITIDALI (UNAPO RUDI JUU KUTOKA KWENYE RUKUU) UNAPO NYANYUKA KUTOKA KWENYE KIKAZI CHA TAHIYATU (TASHAHUDI YA KWANZA)
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 4 года назад
@@user-hb8vi9fx6g shukran ...hivyo nafanya ila swali langu ni kila rakaa au ni ya mwanzo tu?rakaa zinazofuata hunyanyui?daaa nasikitika huyo kuniita mie kafiri....ALLAH AMSAMEHE...ajue aulizae ataka kujua huwenda anaona anafanya sawa kumbe anakosea
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 4 года назад
@@fatmazenafzena917 UJUE KWANZA : KUA HUYU SHEIKH NI : SUNNAH WAL JAMAA, MADHEHEBU YAKE NI SHAAFII'IYYU. KWA HIVYO HUU NDO UFAHAMU WA IMAMU SHAAFII'IYYU MWENYEZI MUNGU AMRAHAM, NA WENGINE WENGI KATIKA MAIMAMU WA AHLUS-SUNNAH WAL JAMAA. NAMI PIA NIKO KAMA HIVYO KUA MIKONO : HUI NULIWA SEHEMU NNE : 1 WAKATI WA TAKBIRA YA KWANZA. 2 WAKATI WA KWENDA KURUKUU KWENYE RAKAA YA KWANZA. 3 WAKATI WA KURUDI JUU (KUITIDALI ) KUTOKA KWENYE RUKUU YA RAKAA YA KWANZA. 4 KISHA HUINULIWA TENA WAKATI WA KUINUKA KUTOKA KWENYE TASHAHUDI YA KWANZA, KWA MAANA WAKATI WA KUIENDEA RAKAA YA TATU. HAKUNA KUINUA TENA. IJAPOKUWA KUNA RIWA ZINAZOENDELEA ONESHA KUA (MTUME ALIKUWA AKINYANYUA MIKONO KINA ANAPO NYANYUKA NA ANAPO SHUKA CHINI). PIA ZIPO ZINAZO ONESHA MTUME (ALIKUWA AKINYANYUA MIKONO ANAPO FUNGUA SWALA TU KISHA HANYANYUI TENA). PIA IKO INAYO ONESHA (AKINYANYUA WAKATI WAKUINGIA KWENYE SWALA NA ANAPO RUKUU NA ANAPO ITIDALI). HIVYO NI WAZI KUWA KHITILAFU ZIPO. KWA HIVYO ALIYE ELEWA KUWA NI SEHEMU HIZO NNE PEKEE AKIZIDISHA AMEKOSEA . HIVYO NI KUSOMA AU KUULIZA WANAO JUA KISHA UANGALIE ULIVYO ELEWA AU ULIVYO TOSHELEZWA. WAL-LAAHU A'LAMU BIS-SWAWAABI.
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 4 года назад
@@user-hb8vi9fx6g shukran sana sana kwa kunielewesha vizuri.nami nipo humo humo ila tu nauliza ili nifahamu zaidi
@suleimanbakar6097
@suleimanbakar6097 4 года назад
Kumbe she he wa bakwata!PABA mufti nchi hii?mufti aombea dual kafiri?labda mafuta sio mufti
@munirahmed7753
@munirahmed7753 4 года назад
Shekhe salaa zinalipwa na mwenyewe ALLAH wala hakuna wa kumwakilisha tazama kauli zako usije ukajifukurisha kwa kuvuka mipaka
@jumannesalum8162
@jumannesalum8162 4 года назад
Kasome ww bado
@munirahmed7753
@munirahmed7753 4 года назад
@@jumannesalum8162 mtihani tunao kwa kweli unampangia mja alipwe hichi na kile kwani ww ni mshirika wa Allah? Ww ongelea sheria na kanuni zinavosema tu but usivuke mipaka mkajifanya nyie ndio mwajua malipo ya Allah ! Ukosefu wa elimu tu kutaka sifa
@yusufsaid2069
@yusufsaid2069 4 года назад
Mmmmmmh!!!! Imekuaje tena umuone shekh atakufurisha watu?!!!! Kwani shekh si anaelimisha KUHUSU KUSWALI na makosa ambayo WATU WEEENGI wanayafanya katika swala!!!! Tatizo hasa nini mpka umemfahamu shekh namna hiyo???!!!! Tunapoelimishwa kuhusu mambo ya DINI yetu basi ni vizuri KUWA NA UPOLE na NIA YA KUFAHAMU .... ((DINI ni ELIMU)) Pasi na ELIMU dini KUTEKELEZEKA NI MTIHANI!!!!!!!
@faizahamim9935
@faizahamim9935 4 года назад
Manshallah tabarakallah
Далее
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 34 тыс.
MJUE MKWE WA MTUME SAW ABUBAKAR SIDIQ SH OTHMAN KHAMIS
26:11
KUNA UCHAWI,MIUJIZA NA MAKARAMA  //SHEIKH OTHMAN MAALI
57:25