Тёмный
No video :(

HANSTONE ; AMEMKANA HARMONIZE KUHUSU KONDEGANG | KUNA WATU WANATAKA NIPOTE | NANDY HAUSIKI KUTOKA 

EastAfricaRadio
Подписаться 507 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@ZaharaZuch
@ZaharaZuch 4 месяца назад
Ongera sana baraka da prince
@evansmumo3921
@evansmumo3921 4 месяца назад
Bangi za tanzania nikama nzuri sana
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 4 месяца назад
Huyu jamaa hajitambui kabisa 😂
@svt3
@svt3 4 месяца назад
Yuhu ni Rubby wa kiume na Chidi Benz mtarajiwa
@djonasmurhula6621
@djonasmurhula6621 4 месяца назад
Yaani huyu kijana wa hovyo sana.hafiki mbali na hii jeuri yake
@ellykiswaga
@ellykiswaga 4 месяца назад
Uyu jamaa anajua sanaaa ila shida nizamu mbovu ndo shiidaa ukimuangalia jns anavyo jb maswali unaona2 ni m2 fulan jeuri
@svt3
@svt3 4 месяца назад
@elllykiswaga2185: huyu ni Rubby wa kiume kiburi ambacho hakita mfikisha popote, atazeeka na kuzeeka kipaji nakio kitaishia kichochoroni kama tu Rubby hakuna show,mauzo music platforms zote hafifu
@MJB-Africa
@MJB-Africa 4 месяца назад
Sehemu yeyote ukiwa unajutambua unaambiwa unakiburi lkn broh f9cus, focus, focus, ili USITOKE kwenye reli👏👏👏👏👏🍾🍾🍾
@allyomary2271
@allyomary2271 4 месяца назад
Hanstone ni mwanamuziki mzuri ila anadharau hichi ndicho kitu kinachomrudisha nyuma hata tu hii interview hajaitendea haki hajui kujibu maswali ili kuweka vitu sawa
@svt3
@svt3 4 месяца назад
Huyu ni Rubby wa kiume
@hassanisilaji3672
@hassanisilaji3672 4 месяца назад
Anatakiwa apate.mtu wa kumuelekeza namna ya kujibu maswali
@ellykiswaga
@ellykiswaga 4 месяца назад
Fact kbs ad anaboa ajui kbs nn inatakiwa aongee na kp asiongelee an upuuz m2pu!! Kila ki2 awez kujibu asa ajbu nan? Cjui?.....
@jacomagubu4137
@jacomagubu4137 4 месяца назад
Huyo mtoto cho****k anajikuta star sana kaharibu interview yote sasa anataka aulizwe nini sasa
@noble_done_it
@noble_done_it 4 месяца назад
namuona cheed benz mdogo😀😀
@josephelias1263
@josephelias1263 4 месяца назад
Uyo jamaa Amna mtu apo naisi atakuwa anatumia madawa Yani ajitambui kabisa
@mbromeo7489
@mbromeo7489 4 месяца назад
jamaa haja move on
@MJB-Africa
@MJB-Africa 4 месяца назад
Focus, focus, focus broh stone boi
@bboyofficial6
@bboyofficial6 4 месяца назад
KUTUHARIBIA INTERVIEW NZIMA NYAMBAFU KABISAA HUTAKI KUJIBU MASWALI UNATAKA NANI AKUJIBIE SASA MIMI NINGEKUWA HAPO DOGO ANGEKULA MAKOFI MENGI SANA ....MSHENZI MMOJA weWE😢‼️🚫🚫❌❌
@user-gw6zg5yx9e
@user-gw6zg5yx9e 4 месяца назад
Dogo unaweza jitaidi wasafi makumatu
@svt3
@svt3 4 месяца назад
Wasio makuma wamemfikisha wapi? Wamempa shows wapi? Wamemsaidia kuuza muziki platforms za wapi?
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 4 месяца назад
Mwanan yuko sawa kanyooka na huo ndio ukweli mchungu msipende uwongo mtamu siku zote ukiwa really watu watakuona jeuri kama niki mbishi
@AgleyLimo-kj7sz
@AgleyLimo-kj7sz 4 месяца назад
Hili jamaa sengee kweliani🤣
@njolatvonline1039
@njolatvonline1039 4 месяца назад
Uyu mdogo wake baraka nini ? Kila kitu anajibu anavyojua yeye
@bboyofficial6
@bboyofficial6 4 месяца назад
HUYU DOGO VERY SOON ANAKUJA KUWA TEJA KAMA SIO TEJA KAMA (CHIDIBENZ) ATAKUJA KUWA MBISHI KAMA BARAKA THE PRINCE NA NDO ATAPOTEA KABISA KAMA MAVOKO RICHARD ######MARK MY WORD!!!???‼️‼️‼️
@Yohbad
@Yohbad 4 месяца назад
Huyu ni chedi benz
@emmanuelmaziku2018
@emmanuelmaziku2018 4 месяца назад
Nimearibu mbs zangu
@lennardmallya8280
@lennardmallya8280 4 месяца назад
Wanao comments vibaya wengi ni fans wa wcb na waliosikia tuu maneno tuu
@diasalicastro5353
@diasalicastro5353 4 месяца назад
Hana akili huyu jamaaaa anaongea kama teja
@PaulSakaita
@PaulSakaita 4 месяца назад
Kweli ajielewi alf anajikuta
@Official-bataboy
@Official-bataboy 4 месяца назад
Hapa tangu atoke dulla wanaoendesha hichi kipindi ugali kbsa
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 4 месяца назад
Mbn clouds kajibu vizuri tu huku anawachukulia pw nn😂
@alliancendabarushimana4570
@alliancendabarushimana4570 4 месяца назад
Bangi+stress=depression
@emmanuelmaziku2018
@emmanuelmaziku2018 4 месяца назад
Uyu fala anaongeaje
@BIGGIEMANN47
@BIGGIEMANN47 4 месяца назад
Fucking lyfe
Далее
🤪Школьники ОЦЕНЯТ🔥
00:30
Просмотров 109 тыс.
NPC Bloxfruits🤖🔥| Doge Gaming
00:13
Просмотров 1,2 млн
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44
CHEKA UONGEZE AFYA-VUNJA MBAVU, AFYA COMEDY
16:36
Просмотров 558 тыс.