Тёмный

HAPA NDIPO ULIPO LIKOROGA KAA KIMYA | SHEIKH MSELEM BIN ALY 

Adil TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

31 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
اسال الله ان يجعلك خيرا في الدني والأخر يا شيخ
@user-tl8bh7qz2h
@user-tl8bh7qz2h 21 день назад
Assalam alaykum kwangu ndo shekh wangu wakwangu allah akulinde❤
@BinomariMussa
@BinomariMussa 10 дней назад
Naam shekh allah akupe umri mrefu nasi tufaidike allah akujaalie mwisho mwema.
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti Месяц назад
Upo sahihi shekh mselemu asant sana shekh
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Месяц назад
ManshAllah cheikh wetu
@haroubmsellem9879
@haroubmsellem9879 Месяц назад
Mashaallah
@Edson-qi2si
@Edson-qi2si 25 дней назад
Mashallaa shekh unatuelimisha sana jazaka Allah
@saidhassan5669
@saidhassan5669 Месяц назад
Jazakumullah khairah
@masumaihashim9310
@masumaihashim9310 6 дней назад
YESU MWENYEWE ALIKUWA MUISLAMU, ALISALI MSIKITINI, ALITAWADHA, MUULIZE ASKOFU ANTHON LUSEKELO WA KANISA KUU LA UBUNGO ANAETHIBITISHA YESU HAKUWA MKRISTO.
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Месяц назад
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@S.SWarfa
@S.SWarfa Месяц назад
Ma Sha Allah
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Месяц назад
Mungu amevaa mabuti ya dhahabu Yuko juu ya mbingu ya Saba ameketi.Allah atusamehe Kwa kweli.😢😢😢
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Месяц назад
We chizy kweli M'mungu hafanani na chochote kile. Wewe ulimuona wapi kavaa viatu vya dhahabu???
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz Месяц назад
Ww sio muislam wacha ujinga kakate viuno kanisani
@kombowadi3035
@kombowadi3035 Месяц назад
Mugu atujaliye na moyo waimani kwasote
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@gyeong5972
@gyeong5972 Месяц назад
Wallykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
@user-qt9tp9ph6l
@user-qt9tp9ph6l Месяц назад
Samahani shehe mselem najuwa hujakosea hapa ilo neno kama ulo likosea kidogo.
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
Neno lipi kakosea shekh?
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
Mbona husemi hilo neno wewe hpa tulione nugu wewe
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Mjinga asiejua ujinga wake anazidi ujinga
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Khaswah
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Месяц назад
Hii mitandao kuna wajinga wengi kuliko wajuzi na wakisikia darsa kama hizi wao kazi yao kukosoa ilihali hawana ujuzi navyo hivyo wanavyokosoa na hawajaanza wao walianza makuraishi huko nyuma
@AishaSelemani-mp9zc
@AishaSelemani-mp9zc Месяц назад
🪴
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
Ila kunbukeni piaa kuwa lazima mtapelekwa jehanamu kabla ya kwenda peponi, Yani lazima mkafike jehanam😂😂 nikisomaga hiyo Aya mpaka nashangaa.....Yani mnapelekwa jehanamu kabla ya peponi. Hakika Yesu atosha
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr Месяц назад
Hiyo Aya inapatikana katika Bible gani yamwafrika au?😄😄
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
@@AbuuAnuwar-ip7dr 🤣🤣 nilijuaa tu ambao hamjuii utakuja kubisa, hiyo ni Aya ya Quran yenu mjombaaa, Yani lazima mpelekwe kwanza jehanamu kabla ya kuokolewa huko😂 sema dini yenu , halali ni dini ya majini piaa
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr Месяц назад
Labda kwenye bible ndo inapatikana hiyo Aya
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr Месяц назад
Maana Sisi kwetu Hakuna Aya zaajabu ajabu mara yesu nabii, mara mungu, mara Mwana wamungu, mara mbumbumbu, kitabu kinachanganya kama bangi mpaka wenyewe hamjuwi Yesu nimungu au Mwana wamungu🤣🤣
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
@@AbuuAnuwar-ip7dr sema wewe ndio hujuii Kama ipo kwenye Quran yenu, na tatizo ni kwamba nyiee mnakrem Quran na sio kuelewa...mtu unakaa unaimba kitabu afu huelewi unaimba nini, tukiwastuaa Kama mnaimba na Aya za ajabu ajabu ..ndio mnaanza kubishaaa, tukiwaonyeshaa ....mnaanza kutukanaa😅 mjomba jehanam lazima mkafike kabla ya kwenda peponi, na Sina uhakika Kama utakapofikshwa Kule jihanamu mtatoka kweli, nahisi shetani kawapiga chenga hapoo
Далее
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54