Thank you for listening to Hawaniwezi 💌 I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo" Here: ru-vid.com/group/PLCPw4Yltn5M4qba8MAtuJkpQkQftWA3sI
Leo Mimi wakwanza kutoka Tanzania kama unamkubali harmonize nakama huna hamini harmonize ni king wa music wa Tanzania basi gonga like hapa HAWANIWEZI ON TOP 🎩🎩❤❤❤
Hako kakiingereza kametoka vizuri sana indeed you are the only recording artists from from TZ who uses fluent english ile yenye tunapenda huku USA.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbona huu jama kaacha sisi hapa Swaziland tunashindwa hata ingia kazini, kila saa ngoma 990, namimi nitakuwa mtanzania mkinipa hata likes 5 hanajuwa kuimba sana
Hakika hakika umeaga vzuri chitoholi mwanzo walijua unabahatisha ona xaxa video znatoka hadi zinawakela kma ❤ kwamoyo wote naomba ok zangu nataman sku konde unpe like yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubunifu ni mdogo kinachoimbwa sio kinachoonyeshwa na hna mvuto sababu waliomo hao maofisa hawachezi na sijui wanachopinga nini na mafaili yao. Kujigamba tu namba moja ni tajiri zaidi hawaniwezi kama hujui lugha katika hii video hakuna mvuto kuitazama
@@hashimchaoga9566acha chuki za kishamba ma million ya watu tumekiri wewe nani ukatae hata kama unabeza ila umekaa unakula raha za nyimbo za kond boy moyo unapingana na sms yako ni kipaji sio kubahatisha!!
"Wow, just WOW! 🎶🌟 This song has completely captured my heart and soul in a way I never thought possible. From the very first note, I was drawn into a world of pure magic and emotion. The artist's incredible talent and dedication are evident in every single element of this masterpiece. The lyrics are like poetry, weaving a story that speaks to the very core of human experience. They touch on themes of love, longing, and the complexity of emotions that we all go through. It's as if the artist has taken the pages of a diary and transformed them into a symphony of sound that resonates with anyone who has ever felt deeply. And let's talk about the vocals - they are nothing short of breathtaking. The range, the power, the emotion conveyed through each and every note is simply awe-inspiring. It's evident that the artist poured their heart and soul into every lyric, infusing the song with an authenticity that's hard to come by. The production value is out of this world. The way the instruments blend seamlessly, the careful attention to detail in every layer of sound, and the dynamic shifts that keep me on the edge of my seat - it's a testament to the dedication and hard work that went into creating this musical masterpiece. But beyond the technical brilliance, what truly sets this song apart is the way it makes me feel. It's like a warm embrace, a comforting friend, and a cathartic release all wrapped into one. This song has been there for me in my happiest moments and my darkest hours, a constant companion that understands me when no one else does. So to the artist, thank you. Thank you for sharing your incredible gift with the world and touching the lives of countless individuals, myself included. This song will forever hold a special place in my heart, a reminder of the power of music to heal, inspire, and connect us all. 🎵💖🙌"
One thing i love about harmonize is that he can decide to release like 30 songs in 1 month....walai .....Kenya we love you 🤟 peace out bro✌️we respect you 💯
The musician that i love from Tanzania ❤ this guy knew there is life outside label he showed other musician fro wcb that they can survive without the label and he made it bravo wacha na lips dender chipude chipude dangote diamond mwenye alimwambia ampe mkono washindane but now Tembo anaweza jilipia bills zake na akae maisha yake ...thanks to the late president of Tz hon Magufuli for helping our musician to get the termination letter...harmonize keep moving you wll go far feel loved from Kenya
Mwanetu hajawahi tuangusha.yani anatupa mawe juu ya mawe,chuma juu ya chuma.hongera sana jeshi,endelea kuwapa somo hao wanaodhani ridhiki ya mtu iko mikononi mwao.💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥
Kweli hawamwezi juu ni wengi sana wanamuonea wivu....Congratulations my favourite and best artist in Africa... He is always on top🔝🔝and am sending all of my love❤❤to him
Hamna kitu. Ubunifu ni mdogo kinachoimbwa si kinachoonyeshwa na hao maofisa na mafaili yao wako kikaoni tu wala kucheza hawajui na hatuwaoni wakidance kuongeza mvuto
The lyrics.. the delivery.. the composition.. the instrumental.. it is all an master experience.. thank you Diamond Simba Thank u harmonize thank you Wasafi.. and again thank you SIMBA diamond for being for the mind behind this.. the musical storyline Dope
"Konde boy I'm a solder na Sina time ya kungoja. They call me Tanzania one namba moja na kama ukibisha bisha kwa hoja"...Hawaniweezi hawaniwee, hawaniweezi hawaniweee ,hawaniweezi imeshindikana hawaniweezi eeh..This is a banger🔥. Much love from kenya🇰🇪