We are here 2024, things were really good this time, so things can really change like this, people separate and go their own ways!! Diamond was with zari, harmonize with wolper, right now T is grown up, we can never go back to the past but only learn from it
This was the point I started having this feeling that Harmonize is now a man enough to go explore his world and quit Wasafi. NOTE: Be Brave and Take Risks: You need to have faith in yourself!!
Watanzania hakuna mapenzi ya ukweli ndio maana hatufiki mbali ukabila ufala na ujinga umetujaa tuangalie inchi zilizo neendelea ndani ya africa kama nigeria kwabla hatujaenda marekani tusipo peana sapoti kila siku tutaishia kwenye msada mtegemea cha ndugu ufa masikini ishu kujitegemea kesho kuna mauti ulie kintegea akifa na wewe umekufa hamo fanya kazi show show
Kwann wanawake wahapa kwetu Tanzania wanakua hawapo makini kama jakilini whopa kumuacha homonaizi kwenda kuoa nje wakati yeye mzuli tu au nn sababu yakuku bali kilahisi tu badilikeni mademu wanchi yetu ona hii video hamo nawhopwalivopendezana hatali