Тёмный

Harmonize - Sherehe (Lyrics Video) 

Harmonize
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 512 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@Ommymidungo
@Ommymidungo 2 месяца назад
Ntangu nime hanza kujua kuwah kukoment sijawahi pata like 10 leo nipo tena ndani ya Sherehe 📌📌👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@DestineNakalala
@DestineNakalala 2 месяца назад
Wanao mkubali Harmonize 💯 💯 na ambao mtakuwa hapa 2025 nawaombeni likes 😂😂jameni❤❤❤❤🎉🎉
@LAWRENCEKMALOT
@LAWRENCEKMALOT 2 месяца назад
Kama wewe unatok Kenya na unampenda konde boy weka like tukisonga Kenyà kenya Kenyan commentors🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AthumanChimbuli
@AthumanChimbuli 2 месяца назад
Magufuli mwanao anaendeleza uku🎉🎉🎉🎉
@WinterfellEmpire
@WinterfellEmpire 2 месяца назад
Hii ngoma si kali! ni tamu
@Kondeboytz-s9z
@Kondeboytz-s9z 2 месяца назад
Harmonize sherehe na omba like zenu kwake🎉konde boy félicitations 🇹🇿🇨🇩🇨🇩💯
@emmanuelkijana4528
@emmanuelkijana4528 2 месяца назад
Mmakonde pokea maua yako💐💐💐hii ni kali,hiyo hukuuu hukuuu🔥🔥🔥🔥
@ShukuruRed
@ShukuruRed 2 месяца назад
Harmonize song kali sana mi wakwanza kutoka congo
@Super_keyBurundiano-z7h
@Super_keyBurundiano-z7h 2 месяца назад
Ngoma Kali kabisa blo
@ashinestar254
@ashinestar254 2 месяца назад
Na ni sherehe hakika 💯🔥🔥💯💯
@Shacool695
@Shacool695 2 месяца назад
Harmonize siku zote
@Henchboy-kw3mf
@Henchboy-kw3mf 2 месяца назад
kijana mnyama huyu
@BurundiNathan
@BurundiNathan 2 месяца назад
Hii nao n Kali #Shelehe 1:🇧🇮 🇰🇪♥️👊👊 uliwaza #Mapenzi si tukawaza #Pesa 🤣
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 2 месяца назад
We mxenge unajua kucheza na hisia za watu kwel hakuna mmakonde mxhamba big up konde🎉🎉🎉🎉
@Austindaxoyoutube
@Austindaxoyoutube 2 месяца назад
Konde jeshi🤞 UK 🇧🇮 ni sherehe tu💥💥
@uweconcoe795
@uweconcoe795 2 месяца назад
Kabxa msani wetu konde nakubari naji proud u bro 🎉🎉🎉from 💥💥🇧🇮👌
@luckyluchano1
@luckyluchano1 2 месяца назад
Oyah wanangu wa Tz🇹🇿 nawapenda sana kutoka Kenya🇰🇪. Let's forever live in peace,love and harmony au sio😇
@MatildeBjelland
@MatildeBjelland 2 месяца назад
Kwaya nzur
@richardrichope3528
@richardrichope3528 2 месяца назад
Mwenyewe 🎉🎉🎉
@felixosongo5584
@felixosongo5584 2 месяца назад
Huku jiji la Nairobi twa#AngukaNayo Sherehe kubwa tuki#RejectFinanceBill
@nicholaskaberia
@nicholaskaberia 2 месяца назад
Kenya is the headquarter of sherehe in Africa
@danatimusic
@danatimusic 2 месяца назад
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians 🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve HARMONIZE as our African sweetheart
@AliJoao-pe2ur
@AliJoao-pe2ur 2 месяца назад
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@samirhassan7764
@samirhassan7764 Месяц назад
🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺
@IsackKasanda-u9w
@IsackKasanda-u9w 2 месяца назад
Duuuh! Mpaka tuseme 🐘🐘🐘🔥🔥🙌🙌
@Eliaaroni
@Eliaaroni 2 месяца назад
Safiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@Niccniccurofficial
@Niccniccurofficial 2 месяца назад
Nice move konde mwanangu kinyamwezi 🎉🎉kaka from Kenya kama wapenda konde nipe likes
@jonesdangote501
@jonesdangote501 2 месяца назад
We zombie hujui, n jeshi la majeshi kondeboy🎉😂
@AntonyAlvin-p3m
@AntonyAlvin-p3m 3 дня назад
Irudiwe mr energy awepo 🎉🎉🎉
@StevohCaptain
@StevohCaptain 2 месяца назад
Bakhresa one love from 254 🇰🇪🇰🇪
@DarkLearners
@DarkLearners 2 месяца назад
Hii ngoma kila nikiisikiliza nacheka sanaaaa daaah! Ety "Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa, Ona yanavyokutesa"...😂😂😂😂😂😂
@sorryasante5342
@sorryasante5342 2 месяца назад
Konde nakubali kwahiy song 🎵 ♥️
@Djibril_Rwa
@Djibril_Rwa 2 месяца назад
Rwandan people where are you ❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@Fulaiton
@Fulaiton 2 месяца назад
.naomba like zangu
@hafidhhafidh1441
@hafidhhafidh1441 10 дней назад
Whozuuu itabdi awe shaggy mwenywe
@JosephatNdonde
@JosephatNdonde 2 месяца назад
Nakubali sana kaka Wakiwaza mapenzi sisi tunawaza pesa na hatuchekeshi tukizipata
@Henchboy-kw3mf
@Henchboy-kw3mf 2 месяца назад
namkubali Sana Harmonize.hii ngoma naukubali Sana
@kadito-kenya
@kadito-kenya 2 месяца назад
Kenya pia kunasherehe kila siku❤
@BigBakhresa
@BigBakhresa 2 месяца назад
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 sherehe naomba liké za wa Tanzanie
@VkleaderKawaya
@VkleaderKawaya 2 месяца назад
Naikubali iyi ngoma Ila tembo🐘❤❤❤
@TigerNijimbere-wb2cf
@TigerNijimbere-wb2cf 2 месяца назад
Ngoma Kali hio ❤❤❤
@markkayuni9775
@markkayuni9775 2 месяца назад
Gomq kali leo nimesikiza mwanzo mwisho👍👍
@AkonJacquesAkonkwa
@AkonJacquesAkonkwa 2 месяца назад
🎉🎉🎉❤ huku tuna sherekeya mno
@luckyluchano1
@luckyluchano1 2 месяца назад
Harmonize naomba next ufanye ngoma kama unaeleza story ama mtu kupitia changamoto hivi, kama vile 'matatizo'. Zinatupatia maadili sana. Much love Harmonize❤🐘
@Throwbacktz
@Throwbacktz 2 месяца назад
Wa kwanza kukoment from south africa
@Johnmayoka3
@Johnmayoka3 2 месяца назад
ume tisha my bro
@cleveruroki6249
@cleveruroki6249 2 месяца назад
Sherehe🎉
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 месяца назад
❤❤❤❤❤konde ujawai niangusha tangu nilipo kuamini wewe🔥🔥🔥🔥🔥
@mmamsiyums4365
@mmamsiyums4365 2 месяца назад
Uhu mwimbo unagusa wa single boy wa Droncongo kweli🇨🇩 big up kk unatufanya tufulaiye maisha tulio nayo sis wa single boy . Nakutokuwa natamaa yawanawake sis vijana wasasa . My congrutilations for you📲🎤
@StanleyKilawe
@StanleyKilawe 2 месяца назад
Yooo chuma hichooo...March love
@HafidhiMrope
@HafidhiMrope 11 дней назад
Jamaa ana merody kaliii penda sana❤❤❤❤❤
@TsongoMking
@TsongoMking 2 месяца назад
❤❤❤ super Star.. king konde 💪.. kazi njema Brother wangu 🙏🥀..ni kweliiii kazi tunayo kwajili yawatu wote duniani nzima 💪🌏
@mathiasbosire7927
@mathiasbosire7927 2 месяца назад
Wa kwanza from Kenya mimi hapa . show me some love❤❤
@GrandsonKe
@GrandsonKe 2 месяца назад
It's back❤❤😂😂😂 yanga imeenda wapi
@BarakaHarrison-l4t
@BarakaHarrison-l4t 2 месяца назад
Pia hio itarud
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 2 месяца назад
Ila harmonize we ni jeshi
@Vintonekaveli
@Vintonekaveli 2 месяца назад
❤❤ wa kwanza ku comment from Kenya 🇰🇪 wapi likes zake kondeboy
@Muidumbe450
@Muidumbe450 2 месяца назад
Auna baya Kaka konde hendelea kuwaburuza 🙏🙏🙏 salute for you konde ❤❤❤❤🇲🇿
@MeshackChuma
@MeshackChuma 2 месяца назад
Jeshiii😮 watakodoa sana chombo inapepea iyo
@BabeRymz
@BabeRymz 2 месяца назад
Hongera sana makonde
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 2 месяца назад
Xaw bana
@ZygafoxSpeed
@ZygafoxSpeed 2 месяца назад
ah uuuuuu ukiwa muvivu niraisi kuwa nawivu nikweli ao sio kweli 😋😋
@elishagoodluck101
@elishagoodluck101 2 месяца назад
Tumerudi lets go🙌🙌🙌
@goldmusicofficial003
@goldmusicofficial003 2 месяца назад
Hii nayoo ni kalii❤❤❤❤❤
@JerryMuhima
@JerryMuhima 2 месяца назад
Konde 🎉🎉🎉
@kalziidazamba2862
@kalziidazamba2862 2 месяца назад
Wapi like kutoka mozambique 🇲🇿🇲🇿 hakika hii ngoma imefika sehemu salama hapa mozambique
@SmartCity-z4e
@SmartCity-z4e Месяц назад
Anajua Mpaka anakera kaka konde
@universityexaminations
@universityexaminations 2 месяца назад
Nishapata goma la kupiga kwenye sherehe yang, konde boy for everybody.👂👂👏👏
@jayhamso9902
@jayhamso9902 2 месяца назад
Umeupiga kaka
@joshualubango2877
@joshualubango2877 2 месяца назад
Yaani Jamani Jeshi unaBongo moja linalochemka mistari Fire.. Alafu kwetu Sherehe. Big Fan #hukushereheharmonize
@JumaaSuleiman-n9l
@JumaaSuleiman-n9l 2 месяца назад
jeshi 🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🏅🏅🏅🏅
@Its_dennispearls
@Its_dennispearls 2 месяца назад
Sherehe na Gen Z!! Twaifagilia from +254. Leteni maupendo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MussageAiuba-k2b
@MussageAiuba-k2b 2 месяца назад
Uniyoha wako mikunda❤ home boy miku
@KeddyJay-d6s
@KeddyJay-d6s 2 месяца назад
Anguka nayo😂 like basi 😊😊
@AkonJacquesAkonkwa
@AkonJacquesAkonkwa 2 месяца назад
❤imerudi tena! Hamo kapiga tena
@AleniMlalami
@AleniMlalami 2 месяца назад
Nakubaly broo😊😊😊
@EmmanuelKHAN-cs5kz
@EmmanuelKHAN-cs5kz 2 месяца назад
Tuliweza mapenzi kweli na pesaaa
@Kenyannature
@Kenyannature 2 месяца назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, much love.
@JaimemuamedeAmirAmir
@JaimemuamedeAmirAmir 2 месяца назад
Naaa kwe2 pia jama anabamba Ilê kinhama 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 from Litingina best star 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
@FOURTEENSTAR-mv1qb
@FOURTEENSTAR-mv1qb 2 месяца назад
Nakubali sana sana sana I wish niwe kwahii kond gang
@jaydenndoro6834
@jaydenndoro6834 2 месяца назад
Najuta kuskiza hii nyimbo
@Barackjumah
@Barackjumah 2 месяца назад
Imeweza❤
@MagomaPato
@MagomaPato 2 месяца назад
Mzee Popo...laana ya uchawi..Aibu😂😂😂
@Projectendless854
@Projectendless854 2 месяца назад
From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 twakutambua mbaya🎉
@MarcBoniphace-lj8lz
@MarcBoniphace-lj8lz 2 месяца назад
🐘 🐘 never disappoint
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 2 месяца назад
Tuna sherehe 🎉🎉🎉
@Ramsey-cx9cj
@Ramsey-cx9cj 2 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya, Mr please unlock 🔓 this song so that we can download it
@NtontoNestor
@NtontoNestor 2 месяца назад
hiiiii kali kabisa konde nahuku kwetu congo Lubumbashi kuna shereh 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ShamsiSeif-uc4oh
@ShamsiSeif-uc4oh 2 месяца назад
Ila lihamonize 😅😅
@SamwelKhalwale-gi7pg
@SamwelKhalwale-gi7pg 2 месяца назад
I'm from Kenya 🇰🇪 but this man harmonize anakianga to mkali na mkubali strong 💪
@streetkids3
@streetkids3 2 месяца назад
Nice song 😊
@lynnmwangi1923
@lynnmwangi1923 2 месяца назад
Kenyans tusa land kusupport Harmonize ❤❤❤❤❤
@Aque-Boy
@Aque-Boy 2 месяца назад
Kali sana❤mkuu wanguu
@BARUANIKIBANGULA-jt3vs
@BARUANIKIBANGULA-jt3vs 2 месяца назад
Mzee baba uyoooooo jeshi salute
@AbrahamOtege
@AbrahamOtege 2 месяца назад
Konde boy Kali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EDENILYIMO
@EDENILYIMO 2 месяца назад
Ngoja Kali sana
@CHIKOODANNY3503
@CHIKOODANNY3503 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉yule 1 konde Boy 😊😊
@ShaibuBuga
@ShaibuBuga 2 месяца назад
Nakbal mzee wng❤❤
@viselevate
@viselevate 2 месяца назад
legendary masterpiece 🔥
@Madiwawa3
@Madiwawa3 2 месяца назад
KAZI SAFI KONDE 💥💥💯🇰🇪
@AgishaMushagalusa
@AgishaMushagalusa 2 месяца назад
Naku penda sana
@JammyQueez
@JammyQueez 2 месяца назад
Unaweza baba🔥🔥atari
@michaelkonga2975
@michaelkonga2975 2 месяца назад
I like the vibes of side passengers , the moment they react make the video become awsome
@Generalshalom
@Generalshalom 2 месяца назад
Mi wa 100 kukoment
Далее
Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)
3:22
Просмотров 2,9 млн
Harmonize - Ujana (Official Music Video)
3:38
Просмотров 1,8 млн
Harmonize ft Baraboy__Bless (official music video)
3:31
Mbosso - Ova (Official Lyric Video)
3:29
Просмотров 875 тыс.
Harmonize - Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)
3:33
HARMONIZE-SIDE N***A OFFICIAL LYRICS
3:02
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)
3:18
Просмотров 1,7 млн