Hii ngoma icheze bila majina ndio ichezwe Kwa harusi zingine mingi hii ngoma ni Kali lakini watu wanajibamba nayo ju hawaezi cheza Kwa harusi zao ikiwa na majina ya watu specific lakini ukipiga ingine bila majina itakuwa ya Kila mtu na itakulipa vizuri💯🔥🔥asu no mawoni makwa ta mundu uno wiitha ovo bado
Big up sir wonderful song. Am not artist nor musician but naomba kama unaweza rudi studio urecord the same na upuguze majina za watu iweze kutrend zaidi na itumike kwa function mingi ujulikane zaidi.