Mabrouk Alf mabrouk to my brother hamid harusi yako iwe ya kheri bro I didn't be lucky to attend your weeding bro so happy for you bloody may Allah bless your beautiful wedding 💒 bro inshaAllah watoto wema inshaAllah
Mashaallah Dr. Haswi Hamd Sultan. Hongera sana wewe, familia yako (wazazi wako), wazazi wa mwenza wako na Waislamu wote walojajiliwa kushiriki. Mashaallah Mashaallah, Mashaallah. Shuhhuli haina riha/sifa, imezingatia misingi ya Uislamu, watu wamefurahia eake kwa waume lakini wanawake hawakuonyeshwa mtandaoni,.mkeo hakuonyeshwa mtandaoni, hakuna kuliga Miziki nk ambayo hayaendani na ndoa ya Kiislam. Inshaallah no funzo/mazingatio (ukumnisho) kwa jamii/familia zingine za Kiislam. Kufurahi/Sherehe ktk ndoa Uislam haujakataza lakini tusivuke mipaka tukafanana na Makafiri. Utakuta baadhi ya watu (Waislam jina),husheherekea kwa kuimba na kucheza miziki wakichanganyika wake kwa waume, mapombe/ulevi, kumwagiana Oil, majivu, maj huui si Utamaduni wa Kiislam Baadhi ya wanandoa/waoaji huwanadi wake zao hadharani ktk ndoa na mitandaoni huu si utamaduni wa Kiislam. Inshaallah Allah abarki ndoa yenu iiwe ya furaha na amaan duniani na Akhera. ^^^^Aaamin***