Тёмный
No video :(

HASHIM IBWE APONDA MASHINE MTOA ROHO WA SIMBA SC|KISA FEITOTO ALIA NA YANGA|AWEKA WAZI ISHU YA CHAMA 

Ayoma Media
Подписаться 249 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Mashabiki wa Simba wanapenda sana kudanganywa, kila siku wanadanganywa kuwa viongozi wa Simba wanafanya mazungumzo na viongozi wa Azam. Halafu mashabiki wa Simba wanakomenti kuwa Fei ni mali ya Simba
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO
@KiboJoseph-cc5eu
@KiboJoseph-cc5eu Месяц назад
unajua kutangaza, utafika mbali tia bidii, maswali, hekima ya kuingia na kutoka, umalizaji wa mazungumzo, safi
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Месяц назад
Simba wamchukue fesal? Hamna kitu hicho, hizo ni za akina gb00000.
@user-jk4xr8tc7j
@user-jk4xr8tc7j Месяц назад
aah xx azam fc a2na shida xx xixi azam fc a2wapi nyeye ximba maxikini 2 yamuna levoo ya mchezaji wa2
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 Месяц назад
Mashindano ni uzoefu mujitahidi kusajili wachezaji wazoefu
@OmaryAllykumba
@OmaryAllykumba Месяц назад
Mbali wap raund ya kwnza tu outside 😅😅😅😂
@user-gx9jr5le2f
@user-gx9jr5le2f Месяц назад
Sifa ndio zimewajaa
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Azam fc mwaka huuu wanajambo lao kabisa na naamini watafanya jambo kubwa sana
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 Месяц назад
Jambo kubwa labda wazidishe kuhuza ukwaju Ndio jambo lao kubwa
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs Месяц назад
Fei nimchezaji mzuri lakini ww msemaji unampandisha sana
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Месяц назад
Huyu kijana wa mgagao mparee ni sawa na kinbuziii kimbalelooo
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Mwamba umewapasua nimekuelewa madundu midomo😂😂😂
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm Месяц назад
Azam naiona mbali kuliko makolo🎉🎉😂😂😂
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda Месяц назад
Weeeeeeee ngogwe hujui maana ya makolo ni wajomba wa manara kizaramo hivyo utopwax mnafikiri ni tusi😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mgendihdellicy6210
@mgendihdellicy6210 Месяц назад
hahahahahaaa kipofu leo kaona
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Месяц назад
Simba tu hapa hao wengine hawajulikani ,Fei atakuja Free 😂😂😂
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Fei aende simba ndo ataakua zaid moto ila ata akiwa azam fei ni yuleyule mtuwamana sna
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Feitoto anaipenda simba
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h Месяц назад
Zile 3 hazikukutosha sasa awamu hii wallah mnakula 7
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Месяц назад
Watu waje kufwata feisal mwenye nuksi 😂😂😂 poleni hawawezi kabisa nikimeo😂😂😂😂
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
😂😂😂usituombe sisi tunawachukulia tu poa hivo hivo acha ujinga
@zebedayoloilukumai.8813
@zebedayoloilukumai.8813 Месяц назад
Tatitizo ni utoto. Ukikua utaacha tu
@law93king
@law93king Месяц назад
kuna mchambuzi amesema ni aziz,then akasema amemaliza mkataba swali je kama kamaliza mkataba hiyo offer mnataka awajibu nani😂
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Месяц назад
Hunalolote. Kibwengo. Mkubwa
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Месяц назад
Wanataka kumpora wa geita na kmc kama walivyofanya kwa Lawi, aibuuu.
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix Месяц назад
Uko sawa jamaa huna mbamba azamu mko poa sana sio hao juma mwiko
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 Месяц назад
Sasa wewe unaongea au unabwabwaja utakaa hapo nafasi ya tatu mpaka ukome na shilikisho lako kumbe ruza
@ThomasAssey
@ThomasAssey Месяц назад
Hivi iliuwe msemaji watimu kigezo ni kuwa mpuuzi???? Hii inashusha Hadi ya soka letu Klabu zetu ziboreshe hizi idara iwaondoe wababaishaji na wapuuzi
@chinchon2126
@chinchon2126 Месяц назад
Tupo Yanga tunakungoja tukukande
@chinchon2126
@chinchon2126 Месяц назад
Kwani Feisal amelelewa na AZAM mbona unasema uongo
@PeterNimrod-ug5mg
@PeterNimrod-ug5mg Месяц назад
So what?
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 Месяц назад
wewe ongea pia mungu kakujalia ndomo subilia ligi inakuja utaitambua timu ya wananchi watakunyoosha we kasajili mpaka uraya ila utapingwa tu
@mgendihdellicy6210
@mgendihdellicy6210 Месяц назад
we yanga kaa kimyaa anapoongea azam,kimya kabisa
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 Месяц назад
Sasa we lamba lamba Una kitu gani Cha kumkalisha mwananchi kimya we wakalishe lamba lamba wenzako sio mwananchi tena ukome
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 Месяц назад
Mkipigwa figisu musiweke mpira kapuni
@chinchon2126
@chinchon2126 Месяц назад
SI muliramba kwa yule mshamba Feisal tuu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Месяц назад
Wewe na Feisal na mshamba? Mwenzako anakula maokoto wewe baki na chuki zako
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Месяц назад
MAKOLO wanapenda vitu vizuri lakini mikono yao mifupi🤣🤣🤣🤣
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Huyu bwege na Aliy kamwe
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Месяц назад
Nanyi eti mna mashabiki Simba na yanga waseme nini?
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs Месяц назад
Ww hunakili
@YahayaMkahepe
@YahayaMkahepe Месяц назад
Ww muongo. Mara hakuna ofa ya feisal mara imekuja moja. Sasa tuelewe nn?
@benjaminnelson4834
@benjaminnelson4834 Месяц назад
Wekeni bei muone
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c Месяц назад
Geita naiona mbali kuliko majini fc
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Месяц назад
Yanga bingwa
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 Месяц назад
Hayo yote ni makasiriko baada ya Chama kutua Yanga.
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
Yani kwa quality ya yanga na azam sioni kwa usajili. Huu wa kolobwabwa kama anataka kushindania ubingwa au kutoshuka daraja
@flova7022
@flova7022 Месяц назад
Hivi hizi akili hua mNAZITOA WAP..WATU HATA HHAWACHEZA MECHI MOJA COMENTS TYR
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 Месяц назад
Hao wachezaji ambao walianza kukata moto? Wazee FC
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
@@flova7022 wewe acha kua kolo bwabwa Debora uwezi kumfananisha ata na awesu awesu,sembuse Quality ya Feisal ukitaka kuelewa ilo ndomana mamelod wanamtaka,kwnn wasinge mtaka debora.hana quality mbona vtu vidogo tu sio adi uwe na degree ndo uelewe sema kwa sababu ukolo bwanji mwngi ndomana ligi ikija kuanza mnatupigia kelele Amna chemistry mara physics Mara biology kumbe quality ndogo.azam ana fei ,ana akaminko,Bajana kiungo Bora kabisa Simba mna Debora,Mkwami sjui babakr ngoma alafu mnadanganyana eti mnataka ubingwa njoo yanga kuna azizi k goal 21 assist 8,pacome BAO 7assist 5 Max BAO 11 assist 3, Chama bao 7 assist sita una Dube bareke hzo namba na quality ya hao watu Africa mashaliki na Kati akuna eti usichukue ubingwa kwa sababu Simba kamleta Debora nyoo uo si utaila .mashabiki wa Simba amnaaminishwa uzuzu wachezaji mlio sajili awana quality ya kushindana kweny ligi hii ngumu
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
@@flova7022 na kwa taarifa yko hzi akili zinakuja baada ya kuona usajili wa makele Simba kila msimu alafu kwapa ananyanyua YANGA tena kwa mamlaka unamzidi mpinzani point 8,7 ,11,13 kaaa Amna ushindani alafu cha ajabu wewe unazidi kuborsha kikosi kila kukicha washindani wako wanabomoa hii sio ishara nzur ata kidogo akuna ushindani na mkiendelea hv Yanga bingwa mara 10 mfululizo kama mmeshazoea kuleta wachezaji ambao wanavua watu mawigi alafu uwanjani sifuli sizani kma kutakuwa na ushindani .yani wenzenu wako makini nyie mnaleta comedy alafu mnataka ubingwa upi
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
Wazee ndo mabingwa ,alafu vijana kina kibu wakaishia nafasi ya tatu kwaiyo utajua kipi bora​@@bahatimshali2731
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Xavi mtupu
@HassanZiroy
@HassanZiroy Месяц назад
Kwani ashimu ibwe na ali kome nimashoga? Mbona wakiongea wanaongea sauti fulani iv alafu navile vimawani
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
@@HassanZiroy na msemaji wenu mmemkagua Amida ally yule si kungwi kidole juu kma anaimba taarabu mbana pua kama kakalia kipisi cha b ndundn
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Месяц назад
Kwanini mulimuuza kipre bei ndogo nsibora mngetupa simba
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
@@JohnJoseph-qq7ow Simba mna ela ya kulipa quality ya kipre nyie sasaiv Amna ela mnanunua wachezaji wa mitumba we katka usajili wa Simba ntajie mchezaji ambae katoka tmu yoyote iliocheza walau makundi caf champion league msimu uliousha akuna,kuna kina Debora tu ,wanasajili ma miss kuja kucheza ligi kuu .mapema na tabili Yanga bingwa ,Azam wa pili Simba atagombania namba tatu na singida
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
😂😂azam kipre alitaka kuja yanga wakanasuka ikabid wamuuze msimu haujaisha Ili asije akaja jangwani
@RaymusicOrgRashid-fq4gv
@RaymusicOrgRashid-fq4gv Месяц назад
@@VeronicaEmmanuel-t2v Unatabir ujinga tu Ngoja ligi ianze tutajua mchele na chuya na utabir wako.
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g Месяц назад
Hamuendi kokote
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Месяц назад
Tatizo AZAM mna ufala mnapo Kutana na simba mnacheza ujinga kwa yanga mnajikuta na man city mnahalibu taswira ya ligi TZ tukijumlisha na maneno ya dube kua viongozi wa AZAM weng wao mashabiki simba
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 Месяц назад
Sio mashabiki wa Utopwax?
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 Месяц назад
Wangekuwa mashabiki wa Simba si wangeiachia nafasi ya 2?
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Месяц назад
@@abedymtore2707 Kwa usajili huu wa Simba,wanaleta wakina Debora Azam pambana baba msimu ujao clabu bingwa tena
@MillanFAHMI
@MillanFAHMI Месяц назад
We panya kanye uko
@VenaEliki
@VenaEliki Месяц назад
Atakuwa hana soko
Далее
13 Карт - Мафия | 5 серия
08:51
Просмотров 274 тыс.