Тёмный

HASHIM IBWE : DUBE BONGE LA STRAIKA "FEITOTO NI WAMOTO BALAA MNO 

S500 TV
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Месяц назад
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@OS-pf6op
@OS-pf6op Месяц назад
We mwongo, mlikamia Yanga mkaja leo wachovu. Yanga hawawi wachovu, wanafunga No 2 na No 3..👊🏾
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Месяц назад
Umegongwa 4 nadhani umeona ulipotoboka napanavuja mtt halali na ela 😊😮😮😮
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Месяц назад
KACHANGANYIKiWA HUYU, anajua mwenyewe anacho ongea,
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Месяц назад
Uko sawa sana bro
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Месяц назад
Hashimu kweli umekuwa umeongea Kimpira ila yanga ilikuwa bora acha uwongo
@ridhwansaid4949
@ridhwansaid4949 Месяц назад
Uakikaa broo
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Месяц назад
Hiyo imeishaaaa
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Месяц назад
Yanga ina WACHEZAJI professional wanaweza kuamua mechi muda wowote.... Udogo wa timu ya Azam dhidi ya magiant umeonekana.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Месяц назад
Fei ni mchezaji wa hapa hapa Tz. Awezi kuwa mchezaji bora nje ya Tanzania.
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 Месяц назад
Ndio shida ya wasemajiwa TANZANIA imefungwa nne unasema eti mme cheza vizuri
@ChawikoKayage
@ChawikoKayage Месяц назад
Pole kaka umefungwa
@eddyrich.3312
@eddyrich.3312 28 дней назад
Hashimu unapotea umekuwa wa hovyo kabisa, mwongo sana na sio msema ukweli, acha kusifia vitu ambavyo si vya uhalisia.
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 Месяц назад
Haya sema bila kulia
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Месяц назад
Domo Nyumba Yakelele Ndio Lilobakia...Huna Wewe Vunguwa Uso Huuu..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 Месяц назад
Ww unatumia domo lako vibayaaaa
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Месяц назад
Mtangazaji huoni kwamba anataka kulia huyo HASHIMU IBWE ! Anajibu Kwa jaziba!!!
@kachuismart8924
@kachuismart8924 Месяц назад
Sio kwa goli 4
@user-sb2oj6pl5f
@user-sb2oj6pl5f Месяц назад
Ahmed Ali nae avae miwani ajue la kusema
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Месяц назад
Feisal ana nini mtateseka sana
@yeslamahmad1986
@yeslamahmad1986 Месяц назад
Jamaa anaonekana Ana furaha. Hawa ni mashabiki wa Uto. 😊😊
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m Месяц назад
Hvi WE UOGOPI😢
@dicksonpaschal8247
@dicksonpaschal8247 Месяц назад
Kuma la mamako
@janethelly4986
@janethelly4986 Месяц назад
Mdomo komoooo😂😂😂mfyyuu
@HusnaIddi-i3q
@HusnaIddi-i3q Месяц назад
Hashimu punguza maneno unatafuta vita ambayo huiwezusijtengenezee maadui
@SelemaniMarko
@SelemaniMarko Месяц назад
Marehem ana mdomo mchafu
@LeninJonas
@LeninJonas Месяц назад
Sie wenzio mapema wa3
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana Месяц назад
Wemtoto
@AgripinaGerald
@AgripinaGerald Месяц назад
Yanga noma wewe
@salehdogo2782
@salehdogo2782 Месяц назад
huyu mwenyewe kafurahi kufungwa ni utopolo.mtupu
@AdabethMaivune-rq6sw
@AdabethMaivune-rq6sw Месяц назад
😮😮
@FredyBennymassawe
@FredyBennymassawe Месяц назад
Siku nyingine msiizoee yanga siyo wenzenu hao umeponea 5
@amirybeka9602
@amirybeka9602 Месяц назад
Punguz jeuri, utakula 5G na bango... Juu
@robertchazya2351
@robertchazya2351 Месяц назад
Huyu kiazi kumbe
@kessysenga8700
@kessysenga8700 Месяц назад
Ww nawe upo kama kisugu tu Maneno mengi lkn hakuna kitu mlicho mfanya coast kimewakuta na nyny mbwa nyny
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Месяц назад
pumbavu ww huwa unatusema sana simba ww
@Mariamu-fo9wd
@Mariamu-fo9wd Месяц назад
Ashim waonyeshe yanga panapovuja
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t Месяц назад
😂😂eti si ndio huyu alisema atatuonyesha panapovuja
@LatiffahAbdulmalik
@LatiffahAbdulmalik Месяц назад
𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐬𝐚 𝐚𝐭𝐮𝐨𝐧𝐞𝐬𝐡𝐞
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
MLIWAKAMIA WAPINZANI NI MSEMO WA.KIJINGA HUO KWANI MPINZANI NA YEYE PIYA ALIKAMIYA WANDISHI WAPUMBAVU UTAWAJUWA TU
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Месяц назад
Umeona ulipotobokaaa
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s Месяц назад
Kulinda nakuzuia tuelewe nini weee jua mmepigwa kiume😅😅
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 Месяц назад
Huyu mwehu
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Месяц назад
Huyu nae yanga nishagundua😂😂anajitoa tu ufahamu
@BilioneaIbrahim-jt1ou
@BilioneaIbrahim-jt1ou Месяц назад
Ibwe ulisema yanga utampiga, wasemaji wa timu mjielewe
@merickshadrack4509
@merickshadrack4509 Месяц назад
Si juzi tuu ulikuwaaa unatowaaa shomboooo umedodaaaaa
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Месяц назад
Una mdomo sana Hashim Ibwe alafu huwa simba inapocheza na yanga unakuwa shabiki wa yanga, Kuma wewe wamekunyoooosha
@YahayaBakari-hf5yk
@YahayaBakari-hf5yk Месяц назад
Ooo hatuja cheza na madere bajaji hvyo ndo timu mbovu sana
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest Месяц назад
kabla mechi maneno mengi coast unio ihufu timu za ligu chini sana
@SeifHatibu-mo4wt
@SeifHatibu-mo4wt Месяц назад
Huyu mtoto aache bangi
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE Месяц назад
Umecheza ndo umeshinda kupoteza ni kufeli
@YahayaBakari-hf5yk
@YahayaBakari-hf5yk Месяц назад
Goli nne nyieee wabovu sana tena sana
@JessieMsami
@JessieMsami Месяц назад
ibwe sukari imepanda😂😂😂
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Месяц назад
Mdomoo Wako Mchafu Sana Hiyo Ndio Adabu Yako Ovyoo Acha Kidomo Domo Kimyaaaa Huna....
@imranulotu8768
@imranulotu8768 Месяц назад
Tuonyeshe sasa yanga sehemu inapovuja
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE Месяц назад
hashimu punguza mdomo mjinga ww humuwezi
@kuyasayalel2605
@kuyasayalel2605 Месяц назад
Jana ulipokuwa ukitamba kuwa timu inakuwa bora kabla ya kukutana na Azam. Hukujua huu ni mpira na mmekutana na timu yenye level za kina Wydad? Kipigo kile kile mlichopata kwa Wydad ndicho mmekipata leo. Timu ya kawaida hiyo. Hao ndio wananchiiiiiiiii
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Месяц назад
Miguu yaStuli imetimia
@amosbenjamini3900
@amosbenjamini3900 Месяц назад
😂😂😂😂Huu mchezo hautaki hasira😂😂😂
@jacksonchidyaka748
@jacksonchidyaka748 Месяц назад
Huyu mshamba hajui kujieleza
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 alikua na mdomo huyu kwamba atafunga Yanga tano😂😂😂😂
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt Месяц назад
Yan hahaha
@josephattindi9333
@josephattindi9333 Месяц назад
Eti mlikuwa bora zaid yao 😂😂😂😂 we bure kabisa
@hyasintkisika8848
@hyasintkisika8848 29 дней назад
Huyu dogo ana bahat timu yake haina mashabiki, la sivyo angekondq sana
@user-dz8ex4fk2x
@user-dz8ex4fk2x Месяц назад
Haka kajamaa kapimwe sasa yawezekana akili imefyatuka!
@allymtapera5370
@allymtapera5370 29 дней назад
Naamini ashaona tobo lake linalovuja huyo mwache
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
hahahaaaa ibweeeeeeeeeeeeeeeeeee
@alisuleiman9627
@alisuleiman9627 Месяц назад
Mbele hamuna chochote nyie siku zote ni uchochoro hamuna jipya hata mukasajili vipi kwa mfumo huo mumefeli
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Месяц назад
Nanyi mnahoji mazombi
@ashamkesa979
@ashamkesa979 Месяц назад
Dogo ulijiamini sana punguza mdomo hujatuonyesha panapo vuja
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt Месяц назад
Mdomo wa marehem ulikuwa mref mnoo
@ExcitedBackgammon-gf2di
@ExcitedBackgammon-gf2di Месяц назад
Asila jamani
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Месяц назад
MPIRA NI MAGOLI USICHOKIJUA BW IBWE...KILICHOTOKEA NI KWAMBA AZAM ILIKUWA INAZUNGUKA TU BILA MALENGO YANGA WAO WANACHEZA KIMALENGO
@ExecutiveHouseKeeperElewana
@ExecutiveHouseKeeperElewana Месяц назад
Yaani ww Ibwe ni msemaji wa hovyo. Eti mlikuwa bora huku mmepondwa kichapo kitakatifu
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Месяц назад
Aka kajamaa kana mdomo sna😅kangeshinda mjini kusingekalika😅😅😅
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Месяц назад
Alisema pengine yanga ndo mshindani
@user-fw6si9yd6x
@user-fw6si9yd6x Месяц назад
Mbona hueleweki? Unakataa huku unakubali
@yothambenard7785
@yothambenard7785 Месяц назад
Umeinjoi nn goli4 hamna timu ubora gani ulikua nao domo tuuu
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Месяц назад
We c ulisema utatufunga 5🤣🤣🤣🤣🤣
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Месяц назад
Panapovuja pameonekana
@PaskalPius
@PaskalPius Месяц назад
Wap panavuja tuambie bwege ww
@anethrichard9221
@anethrichard9221 Месяц назад
Hivi ww si ndo ulisema Leo utatuonesha wapi yanga inavuja???
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 Месяц назад
Huyu jamaa achukuliwe sheria kafunga kiti mkanda ilo alam isimpigie kelele
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 29 дней назад
Shida yakuja na maneno yakitukana team isiyokuhusu sahizi ndio unajileta mpira ndivyo ulivyo ,fyuuuu
@samwelpatrick2489
@samwelpatrick2489 Месяц назад
Kwani Sio Wewe Uliyesema Unapajuwa Panapovuja,Mnaenda Kuwafunga YANGA,au Sio Wewe?
@abdullahmohamudmohamed4450
@abdullahmohamudmohamed4450 Месяц назад
Somo nililopata Simba inabahati mbaya kutokua na msemaji Mzuri ila Wana Mwana maigizo Hashim nikupongeze ukweli unasema na unajua mpira
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Месяц назад
Ulisema umetuma salaam,je salaam zimefika?
@lucympanda
@lucympanda Месяц назад
Ile miguu ya stool imekuludi
@peterjohn8301
@peterjohn8301 Месяц назад
Semaj kama kapanic hiv na ana hasira flan
@YahayaBakari-hf5yk
@YahayaBakari-hf5yk Месяц назад
Azam ni mbovu sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Месяц назад
Fei hanq adabu kaipoza azam
@athmanustadh9239
@athmanustadh9239 Месяц назад
Umekuwa mpole umekuwa mchambuzi
@catherineamiri9854
@catherineamiri9854 28 дней назад
Macho kama tunguli 😂😂 anaongea ujinga
@AthumanOmary-cb6dn
@AthumanOmary-cb6dn Месяц назад
Hashim kubali2 yanga ni Bora kuliko Azam nanikulize ukiaenda kimataifa mpira kule unachezwa kama yanga walivyocheza kule unaweza ukawa umiliki asilimia 70 mwenzako akuakufunga kiufundi inatakiwa mujiandae muwe Bora ili mushinde
@YassinDeva
@YassinDeva Месяц назад
Hashim ibwe,, uwe na kumbukumbu na maneno yako kabla ya mechi,, usijizime data huna Ubora
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Месяц назад
Unaongea sanaaaaa😂😂😂😂
@user-bl6rd4pq4k
@user-bl6rd4pq4k Месяц назад
Liongo hilo na limasiki lake kama chupi ya mzee😂😂😂
@peterstewart9935
@peterstewart9935 Месяц назад
Azam leo kazidiwa kila eneo hata takwimu zinaeleza hivyo,sasa Ibwe unasemaje Azam imekuwa bora mbele ya Yanga?
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Месяц назад
Ulisema utawaonyesha Yanga panapovuja hukujua mpira unamatokeo haya?
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 ulikuwa bora mbona unataka kulia
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t Месяц назад
Huyu kachanganyikiwa manake ye ndio kaonyeshwa panapovuja sasa😂😂
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Месяц назад
Si ulisema Tano.leo. 😂
@Aronathumamahembe
@Aronathumamahembe Месяц назад
huweznkufungwa goli nyingi una ubora gani?
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 Месяц назад
Ww ulisema leo utamfunga yanga 5 vp tena
@faharihakikazi
@faharihakikazi Месяц назад
umeonyesha panapovuja kwa yanga au? 😂😂😂😂
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
FEI WA MOTO KWENU😊,,KWA SISI WATU WA MPIRA INAKERA SANA UIACHE TIMU KWA MBWEMBWE AFU ISIKUMISI;;WANAENDELEA KUBOMOA KAMA HAUKUWEPO VILE;;;NENDA SIMBA AO WAOKA MIKATE PESA IPO ILA WANAKUFIFISHA..
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00