Тёмный

HATIMAE BABA KIRUWASHA ATIMIZA AHADI YAKE 

Baba kiruwasha official
Подписаться 2,4 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 278   
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 3 месяца назад
As-salam alaykum warahmatullah wabarakatu vip hali zenu vipenz vya Allah. Aya tupo tunackiliza
@hamisisaidi9525
@hamisisaidi9525 3 месяца назад
Waleykum salam warahmatullah wabaraktul
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 3 месяца назад
SHEIKH HAWATAKUELEWA KWA SABABU ULIYOYASEMA NI YA KIELIMU NA SI YA KIFIKRA
@husseinbwandu
@husseinbwandu 3 месяца назад
Allah awazidishie kheri na baraka baba kiruwasha na sheikh bachu mnawakilisha hekima katika jamii yetu. Binafsi nimependa hili suala lilivyohitimishwa, kwamba ni vyema kupima madhara na faida ya kumtumia jinni kabla ya kuchukua hatua hiyo. Asanteni sana kwa i'lmu.😊
@officialbabakiruwasha
@officialbabakiruwasha 3 месяца назад
Afuan
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 месяца назад
Mm katika hili jambo nimemuelewa zaidi sheikh BACHU nasiamamia hapo. Kumtumia jini nirahisi zaidi kumtoa MTU ktk tawaqal kwa Allah na ndio njia rahisi yakuzama ktk shirki bila kujua au kwa kujua hasaaa Wallah aalam
@allythabiti8150
@allythabiti8150 3 месяца назад
Exactly.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 3 месяца назад
Upo sahihi kabisaa
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 3 месяца назад
Pamoja
@SelemanAmir-ze8zz
@SelemanAmir-ze8zz 3 месяца назад
Allah ukuhifadhi shekh huyo bachu anajua utafungua watu ukweli wataujua yeye kaja kujiweka ujuaji zaidi bila uchanganuz Kama hivo tukanufaika navyo rad hazijengi tunabomoa jaman tutumiane dhana mzur bila jazba kitu wanakijua hawataki kifahamike uzur
@AbuuKhafswa
@AbuuKhafswa 3 месяца назад
Wewe uliecoment kumtupia lawama bachu yakuwa amekuja kujifanya mjuaji sio kwei chukua kauliyake baba kuluwasha mimi natumia kitabu na yeye bachu sio manenoyake anatumia kitabu namwenyewe kasema amepata faida kubwa kwa bachu
@idrisaabkar3760
@idrisaabkar3760 3 месяца назад
Acha kujizima data
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 3 месяца назад
Sw Sheikh Nenda kwa mganga
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 3 месяца назад
Shekh Mohammed Bachu hajasema haifai kuwatumia lakini kuwatumia Kuna madhara mengi ... Na kitu hata kama kina maslah madhara yakiwa mengi kinaachwa maalim... Iwe tunatosheka na dalili... Na tumuelewe mtu kile anachokisema... Unarudia Yale aliyoyasema... Lakini je hujui hayo madhara Mzee wetu... والله المستعان
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 3 месяца назад
Tuwache kuyumia majini
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 3 месяца назад
@@ZariaAbdullah-r5t Hakika sio jambo zuri... Lina madhara mengi sana
@jumaa052
@jumaa052 3 месяца назад
Samahan naomba kuuliza nabii Suleiman Ali Fanya shiriki juu ya kutumia majin ?
@AbasiChigo
@AbasiChigo 3 месяца назад
Unajivunjia heshima yako unachotetea hakipo bora ukae kimya ujifunze kwa bachu anaeleweka
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 3 месяца назад
Hii madauiache inatuchafula dini yetu chaguenimoja mue waganga au masheikh toka zamani wapo masheikh nawaganga I'ma mkufuri I'ma muwe waalimu, mtachanganya wasiojua kutumia majini niushirikina, Kama sio shiriki wekekeni majini tuyaone nasisi hadharani
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 3 месяца назад
Hakuna aya wala hadithi inayoelezea kufanya hayo. Kwa nilivyoelewa kwamba kutunia majini wema kytafaa kwa dharura n sii iwe kawaida. Mtume swallahu alyhi wassllam ndio aliwasomesha na sio kuwatumia. Na ruhisa hiyo itabaki kwa maulamaa waliobobea elimu. Sio mashekhe wasasa wamitandaoni, Na hili jambo sio muhimu muhimu. Hebu watu wakasime yaliokiwa y muhimu yamejaa, tusikimbilie majini.
@MussaYusuf-fd8je
@MussaYusuf-fd8je 2 месяца назад
Kwani huyu BACHU hamumuelewi amaa mbona kashaafafanua yote lakin bado mnaleta mambo mengine,
@MuhammadMuhammad-gr2qv
@MuhammadMuhammad-gr2qv 3 месяца назад
WAPIGA RAMLI IMEWATACHI SANA KUAMBIWA NI HARAM.. WALIKUWA WAMEJIFICHA LAKINI SAHII WANAJITOKEZA MMOJA MMOJA KUTETEA SHIRK ZAO... SHUKRAN SHEIKH MUHAMMAD BACHU
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 месяца назад
Nyie ndio mnaitukanisha dini ya Mungu inasibishwe na majini
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 3 месяца назад
Saihihi. Cjui hawana la kufanya ktk uislamu. Mbona❤ kuna mambo mengi saana wailamu wanafaa kufundishwa
@NyanyaMbuli
@NyanyaMbuli 3 месяца назад
sasa yeye au IBUN TAIMIA?
@SelemanAmir-ze8zz
@SelemanAmir-ze8zz 3 месяца назад
Naomba msaada wa ufaham ivi Kuna makatazo ya kupinga kauli ya mashekhe ambayo Ni rai au ufafanuz wao na sio Aya ya qur an
@user13375
@user13375 3 месяца назад
​@@SelemanAmir-ze8zzukipinga watakuroga😂😂😂
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 3 месяца назад
TUnapiga kelele tutamjuaje jini mwema hamulizi binadamu mwema mtamjuaje kwani wema unakulikana na ubaya unakulikana
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif 3 месяца назад
حفظك الله ورعاك يا ابو كروش
@officialbabakiruwasha
@officialbabakiruwasha 3 месяца назад
Amiin
@hamishassan6784
@hamishassan6784 3 месяца назад
The Reality of Jinn in the Qur'an and Sunnah - Dr. Yasir Qadhi
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 3 месяца назад
Njia ambazo hazina shaka hatuzifati kwa nini tulazimishe kwanjia zenye mashaka ??kwanini nauliza kwanini njia salama zipo hazina shaka hata kidogo lakini kwanini tutumie njia zenye mazonge kwann??
@NurdeenMuhina
@NurdeenMuhina 3 месяца назад
Ndg yetu Baba Kiliwasha kwanza muogope Allaah pili huna elimu ya kumjua huyu jini ni mwema au mbaya tatu ili jini akutumikie lazima pawepo badala ya kumpa jini na badala yenyewe haiwi ila ni jambo la haramu tuu nne maneno ya mwanachuoni yeyote sio qur an wala hadithi tunaweza tuukaachana nayo na hatupati dhambi
@makameally1962
@makameally1962 3 месяца назад
Nimegundua KITu bachu kwao wao Ibny Taymiya humfanya kama ni mtume na akitelezaa wao Shekh wao Huwa hawakubali kuwa kakosea Ibny Taymiya Kazungumzia kuhusu kasema ina faa lakini Wao kwao hawathibishi Wao wanapindisha maneno na kusema ya kwamba wao wanaangalia athar
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 месяца назад
Kitu ambacho hukijui huyu sheikh uthaymeen na bin taimiya wote ni wanachuoni wetu wa kisalafi kwaiyo hujui unachokizungumza ww
@makameally1962
@makameally1962 3 месяца назад
@@saidimkwinzu9106 Ww hao wamethibisha wenyewe
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 месяца назад
Sheikh hujafaham kauli za wanachuoni vizuri, hao wezako wanawatumia hao viumbe kwa ushirikina.
@خديجةكويكوي
@خديجةكويكوي 3 месяца назад
shehe jamiiyetu haizingatiidini wanaishi kama hawanadini je huu mlango mkiufungua watu watakua ktk haligani jambo likiwa lìnamashaka nibora kuachana nalo mtt wabacho ameeleza vizuri mimi ushauri wangu endelea namada zako zandoa huatunazielewa ila hiimada hatukuelewi
@elbattawy2864
@elbattawy2864 3 месяца назад
Baba Kiriwasha ameelewa somo kutoka bachu, lakini nadhan shida ipo kwamba sisi binaadam wa sasa hatuna ubavu wa kumjua jini mwema 100% ili tutimize hiyo mubaha, Mitume ndio walikuwa na upeo huo, nashkuru kwamba masuala ya mapete ya bahati ya Dr Sule umemuachia mwenyewe Dr Sule umejiweka mbali na ushirikina, wewe umekuja na kitu mubaha tu, tumekuelewa
@SumaB-rq1fg
@SumaB-rq1fg 3 месяца назад
Hilo jambo kwetu sisi zama hiz lazima kuingia kwenye shirki
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
baba kilwasha kumbe unaumga mkono anae tafuta pesa kwaku tumia majini
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 3 месяца назад
Mashallah nimepata faida
@HemedSerious
@HemedSerious 3 месяца назад
Kwa alicho zungumza sheikh ni haki bachu anapenda ushindani wa kijinga tu
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 3 месяца назад
Msijiingize kwenye vitu vyenye kutia shaka!?
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 3 месяца назад
Wanaosababisha wanazuoni wakubwa kutukanwa ni nyinyi mashee musio waelewa sasa angalieni sana ila nais kilowasha ajamuelewa bachu au unataka tivii Yako watu watazame Kwan mada za ndoa umeishiwa shee
@saadakhalfan945
@saadakhalfan945 3 месяца назад
majini kutafuta elimu ya dini kwa watu ni kawaida lakin watu kutafuta elimu kwa majini au kuamiliana nao si vizuri kabsa
@jumaahmadi
@jumaahmadi 3 месяца назад
😅 aslam alekum akh mm nilivyo muelewa shekh bach ni kwamba yafaa kutumia majini wema kwa mamb ya kher ila tu ayo majini kuyatumia ninjia moja wapo wa kukupelekea ktk ushilikina
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 3 месяца назад
Sahihi na kwakweli ndio ilivyo atakutumikia wee mpaka kushazoea baadae atataka umtii analolitaka
@SelemanAmir-ze8zz
@SelemanAmir-ze8zz 3 месяца назад
Kama kuwatumia Ni njia ya kuelekea ktk ushirikina vip ifae Tena kwanin isiwekwe Waz kuwa haifai kabisa kuepuka mashaka hayo Tung kwa hao mashekh wakubwa
@hassanjr5318
@hassanjr5318 3 месяца назад
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru Iblis ana njia nyingi sana za kumuingia mwanadamu ....
@MariamIddi-ui9wn
@MariamIddi-ui9wn 3 месяца назад
Haifai madhara mengi kwani jambo la msingi majin hatuwaoni hivyo itakua ngum kubaini nani mwema na nani anafanya khiana hivyo mambo yenye kutatiza ni vyema tukaachana nayo kama sheikh muhammad bacho asemavyo
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 месяца назад
Ss mbona sielewe Ss tu anatakakusia aya ya Mungu sio maneno ya shekh wako lakini sio kwaubaya natakufahamu tu
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 3 месяца назад
Baba kiwasha kauli ya ulamaa ikiwa haina mashiko tunaiwacha tunashika dalili... وقال ابن أبي حاتم : حدثنا أبي ، حدثنا فروة بن المغراء الكندي ، حدثنا القاسم بن مالك - يعني المزني - عن عبد الرحمن بن إسحاق عن أبيه ، عن كردم بن أبي السائب الأنصاري قال : خرجت مع أبي من المدينة في حاجة ، وذلك أول ما ذكر رسول الله صلى الله عليه وسلم بمكة ، فآوانا المبيت إلى راعي غنم ، فلما انتصف الليل جاء ذئب فأخذ حملا من الغنم ، فوثب الراعي فقال : يا عامر الوادي ، جارك ، فنادى مناد لا نراه ، يقول : يا سرحان ، أرسله ، فأتى الحمل يشتد حتى دخل في الغنم لم تصبه كدمة . وأنزل الله تعالى على رسوله بمكة ( وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا )
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
makafili wana sema uislam nidini yawa fuga majini jee sawa baba kilwa sha
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 3 месяца назад
Mie napita kidogo!
@habajuashesema
@habajuashesema 3 месяца назад
Wasiokua waislam tangu lini wakaridhika na uislam?Uache kuangalia uislam wako unasemaje we unakaz ya kuridhisha wasio waislam.Huu ndo mtihan wa kutumia akili kwenye dini pasina dalili.
@rashidyahya99
@rashidyahya99 3 месяца назад
Mi naona INGEKUWA VYEMA wayape MAJINI mic yajitete yenyewe!!!? au mnasemaje msio waelewa kama mimi!!!!
@selemanealmasse6276
@selemanealmasse6276 3 месяца назад
😂😂😂
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
mimi nime kuelewa bachu katika kuliongelea hili
@jumangozi2720
@jumangozi2720 3 месяца назад
Au sasa utuambie kwamba binaadam anaweza kumsikia jinni
@athumanimbarukulimbungaathuman
@athumanimbarukulimbungaathuman 3 месяца назад
Atuja sikia hadithi wala aya, tukisia tutaridhika
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 3 месяца назад
Baba kiruasha unatetea sana au ndio mambo yako? Pamoja na hivyo hujatoa aya ya quraan wala hadithi umesoma maneno ya wanashuoni je unajua hao wanachuoni tunatakiwa kushikamana na maneno yao pindi wakiyaegemeza kwenye dalili ndio imamu maalik alisema: kila mtu kauliyake inachukuliwa na kuachwa ila mwenye kabuli hili, akiashiria kabuli la mtume swalallahu alayhi wasallam, Baba kiruwasha hayo mambo unayotetea utapoteza watu mche Allah imani za watu ni ndogo sana zama zetu mafsada ni makubwa kuliko faida ukija tena kutetea utoe na aya au hadithi kama huna funga domo lako
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
mshili kina usimfanye kua lafiki
@WaziriShabani-ie3nh
@WaziriShabani-ie3nh 3 месяца назад
Mimi binafsi shekh bachu nimemuelewa bila kigugumiz
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 месяца назад
Mm nimekupenda shekh kwakukubali shekh bachu yale aliyoyasema simaneno yake bali nimaneno ya mashekh masha Allah nimekupenda bure mzee kwakukubali ukweli. ngoja tumsubiri bachu ajekumaliza kazi
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 3 месяца назад
Huyu Shekh Hana kibri MAA SHAA ALLAAH.. ikimjia haqi anaifuata tofauti na baadhi ya mashekh wengine
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 месяца назад
@@muhammadmbaraka4515 swadakta anajielewa wallah
@KitasaWaaction-gm9zr
@KitasaWaaction-gm9zr 3 месяца назад
Majini wanaulimwengu wao na wanaadam wanaulimwengu wao wewe usaidiwe na jinni kwani Allah hatoshi?
@hassanjr5318
@hassanjr5318 3 месяца назад
Eti kuna mwanamke ana swahibu jinn Kitendo cha jinn kukaa ndani ya mwili wa mwanadamu tayari ameshakufuru Iblis ana njia nyingi sana za kumpoteza mwanadamu Allah atuongoze na kutupa mwisho Mwendo
@chinguilechinguile1501
@chinguilechinguile1501 3 месяца назад
Mimi pia najua hivyo.Kitendo cha jinn kukaa kwenye mwili wa mwanadamu anakuwa ameshakufuru. Lugha nyepesi ni kwamba hakuna jinn mwema anayefungamana na wanadamu,majini wema wote wanaishi ulimwengu wao wakimuabudu Allah S.A
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 3 месяца назад
Baba kiriwasha kumbe wale wanao tumia chuma ulete kumbe Ni jini. Subhana Allah ,,,, Yarrab tuhifadhi waja wako na utulinde na hasad na husda na vitimbi vya kiduniya. ,,, amiiiiiin
@jumafaki2891
@jumafaki2891 3 месяца назад
chuma ulete si jini Wacha kuwazulia watakuja kukushtaki mbele ya mungu
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 3 месяца назад
Huwa nakuskilizaga kweny mambo y familia endelea na zile mada ;am hiii mada kwkwel naomb tu uachane nayo mwalim wangu
@hamzaforogo
@hamzaforogo 3 месяца назад
Baba kiruwasha kazoea kuongea usiku akiongea mchana anapoteza confiance
@SaidShemkieti
@SaidShemkieti 3 месяца назад
Mada anayoizungumzq imemzidi umri ndomana anashindwa kuwa na cofidence
@omaryngole6450
@omaryngole6450 3 месяца назад
Ama
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 3 месяца назад
Yeyote anae amini kuwa kutumia jini inafaa basi huyo ni Mshirikina tu ikiwa binadamu tu yaliyojificha mioyoni mwao hatuyajui je itakuwaje kwa majini viumbe ambavyo hatuvioni? Huyo Baba Kiruwasha ni Mshirikina tu hana jipya.
@hawa6052
@hawa6052 3 месяца назад
Jamani mimi nazingatia qala llahu wa Rasul hayo mengine mmm sitaki kujua
@NyanyaMbuli
@NyanyaMbuli 3 месяца назад
Utazifahamu hizo aya au hadithi kama hujapewa tafsiri yake Mbona mkikwamas mnakua waongo?
@IbraFareed
@IbraFareed 3 месяца назад
@@NyanyaMbulisheikh umenifurahisha Umeongea maneno mazuri
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
Kwel kabisaa
@salummussa-ms6nb
@salummussa-ms6nb 3 месяца назад
Baba kiruwasha unafeli
@AbdullaahiCbdrxmn
@AbdullaahiCbdrxmn 3 месяца назад
Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini". Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
shekhe usilazi mishe kumpa nguvu mshili kina
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
shekhe unampa nguvu mtu ili aendee kupotea
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
naku tumia nyota
@yusuphsuphian8521
@yusuphsuphian8521 3 месяца назад
mshili kina kaanae mbali
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 3 месяца назад
Kiliwasha tufahamishe jinsi ya kumpata huyo jini mwema ili tumtumie kwa wema
@NyanyaMbuli
@NyanyaMbuli 3 месяца назад
HUENDA AKAWA HANA HIYO ELIMU ILA YEYE KAZUNGUMZIA SHERIA YA KUA INASWIHI KUMTUMIA JINI
@NassirMansour-zx2jd
@NassirMansour-zx2jd 3 месяца назад
Hapo sasa
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 3 месяца назад
Mi nataka kusikia kasema HABIBY MUHAMMAD S.A.W .... sio mashekh ambao hata hadith za mtume wa allah haziwajui wanakazi ya kupoteza umma tu hamna lengine....
@AbuuZalmay
@AbuuZalmay 3 месяца назад
Mm binafsi nmekuelewa jaman kama hamuna elimu na uwelewa wenu mdogo msijibu jamani
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 месяца назад
Arafu maneno ya shekhe matupu bila kuegemeza na dalili huwezi patia imamu shafi mwenyew alisema , ilipo aya ya quruani na hadithi ndo madhebu yangu yalipo mkiona maneno yanaenda patupu yatupeni mbali shikene dalili kwa mtume sasa ww mwenzio alisoma maneno akaegemeza na dalil ww wasoma matupu ya wanazuoni bila kuegemeza dalili
@athumanimbarukulimbungaathuman
@athumanimbarukulimbungaathuman 3 месяца назад
Sheikh unatupaka mafuta
@ibramussa1762
@ibramussa1762 3 месяца назад
BAADHI ya Watanga wamelelewa kwenye familia zinawaganga matambiko , hivyo zikija mada zenye utata kama hizi zamajini lazima waziunge mkono.( Zingatia neno BAADHI)
@IbraFareed
@IbraFareed 3 месяца назад
Sheikh sijui ulifikiria unachoongea Unanasibisha MIJI NA AKILI HII INAONEKANA HUNA UELEWA TENA MCHACHE SANAH SIKILIZA SHEIKH ANATUMIA MANENO YA WANAZUONI SASA TANGA NA MAJINI YANAHUSIANA NINI SHEIKH DO YOU LISTEN TO YOURSELF
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 3 месяца назад
Mashaallaa Allah bariq mwenyenzi mungu akujaze maarifa zaidi na afya njema ili uzidi kutupa elimu, mwenye akili timamu amekuelewa na yule mbugila mbugila hatokuelewa kwa ubishi wa asili yake.
@saidmohd2931
@saidmohd2931 Месяц назад
Assalam alykum sheikh baba kiruwasha mimi nimechelewa kuangalia haya maf-hum yako na pia nimeyaelewa vizur tu - tunanukuu maneno ya dr sule alisema inafaa kumtumia jini kwenye mambo ya mali (akuletee mali) katika fat-waah yako hujalizungumzia swala hili na mimi nahis swala hili ndio limeleta mtafaruku mkubwa katika jamii ya kiislam hivyo tunaomba ufafanuz wako kwenye hili pale tu utakapoona hii comment yangu,,Jee inafaa kumtumia jini kwenye mali (iwe kukuletee kwa namna unayoijua ama usioijua) wabillah tawfiq
@sabihiathumani6612
@sabihiathumani6612 3 месяца назад
Madhara ni mengi HAIFAI KABISA na baadhi ya wanaofanya hayo mambo hawajasoma dini vya kutosha. Tafadhalini sana huu mlango msiufungue ni fitina kubwa watu watapotea.
@jumangozi2720
@jumangozi2720 3 месяца назад
Alafu umejikita zaidi kwenye hukmu mubahu mubahu maulamaa wanasema itafaa kumtumia kwaajili ya da'awa kwa wenzie kwa vile tunaitakidi kwenye vikao vyetu vya kielimu wanakuepo sio kumtuma kwenye haja atakuludishia vipi majibu na yeye mpaka akae kwenye mwili wa mtu ndio aongee na huo ni uasi aruhisiwi kuingia mwilini kwa mtu
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 3 месяца назад
Point ya msingi kabisa..haya watatudishiaje majibu kuwa dawa imefika..kifupi hao viumbe wapo kwenye himaya nyingine tuu..abgalia kipindi mtume swallahalywasam alipoenda pamoja na yule swahaba alimcholea duara asitoke hapo.kisha mtume akaanza kuwasomea ...kwa ile khofu ya yule swahaba ilibakia akidogo atoke.na mtume akameambia raiti angejaribu kutoka njee ya hiyo sehem angeungua..sasa unasemaje kuwatumia hao viumbe kimchezo mchezo...mie nahisi ni kukataa tamaa kukubali uwezo wa mwenyezi mungu....au kama kipindi cha nabii suleiman kipindi alipo taka kile kiti cha malikia. Kuonyesha mwanadam ni bora aliketa kile kiti...kwahiyo wasiwape shavu hayo majini hakika hiko tuendako inaweza kua hatari zaidi
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 3 месяца назад
Ni washirikina hao wanaosema inafaa kuwatumia majini.
@habajuashesema
@habajuashesema 3 месяца назад
Tatizo ufaham wa watu ni mdogo.Elim uliotoa ni kubwa imezidi ufaham wao.Anaesema anataka qaala ALLAAH NA QAALAL RASUUL, ASOME AYA 2.Ya kwanza surah Albaqara Aya ya 29 .Yeye ndie aliekuumbieni vyote vilivyoko ktk ardh.Ukisema kitu ni haram we ndo unapaswa kuleta ushahid.Ngurue ni haram imetajwa kwenye quran, we unakula fenesi,mapera maparachich vimetajwa wap kwny quran.Waachieni wasomi mambo ya kielim.Quran ingeandika ugali, mlenda nk. Kitab tungekibeba na semi.Lakin zatumika kanun za aya kujua halal na haram.
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 месяца назад
Tatizo huwezi jua jini yupi mwema yupi mbaya nikujiepusha nayo tu hatuna imani ya kumzibiti asitukufurishe
@AbdillahAlly-fl4vh
@AbdillahAlly-fl4vh 3 месяца назад
Wew ndio hujui wanajulikana km tunavyowajua binadamu muhimu elimu tu
@MkutiNandaja-rz3nk
@MkutiNandaja-rz3nk 3 месяца назад
Tafuta elimu ndugu Kila kitu kipo duniani ww na elimu yako soma sana
@jumafaki2891
@jumafaki2891 3 месяца назад
kwani ukimleta fundi kwako wajua kama ni mwizi au jambazi au n,k Kwa Nini umpe kazi yako
@HamisMagambo-gw6ti
@HamisMagambo-gw6ti 3 месяца назад
Elimu tu
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 3 месяца назад
Hakika watu sasahivi wengiwao wana penda shari kuliko kheri kwa nini jlazkmishe jini wakati njia zingine zipo zakufanya kila kiyu ilk kujiepusha nao
@azizihassan1613
@azizihassan1613 3 месяца назад
Kwani Allah na Mtume Muhammad s.a.w wanasemaje ktk quran na sunna? (HUO NDO MSIMAMO SAHIHI, NJE YA HAPO NI KUJITIA UJINGA)
@omaar5693
@omaar5693 3 месяца назад
15:16 kama amesema inafaa nae amekosea kuna.mambo mashekhe hawajui lakini sisi wengene tumeishi.katika familia.ambazo tunakuta wazee wanafanya mambo hatujui asli yake... mfano: kuna mda tunaogopa tusipo chinja kinaweza kutokea chochote... ndio hayo munayo ungia mkono... jini mwema yupo na mbaya yupo,,, lakini.hayo kwetu ni.Ghaib.... utasaidiana.na.jinii vile uthaimin alivyo elekeza lakini tujuwe jinn karne inaisha yeye bado ni kijana lakini wewe ushasahauliwa lakini kuna mitego alisha weka kuwakamata kizazi chako...
@AllyHussein-so1hr
@AllyHussein-so1hr 3 месяца назад
Allah S.W. ndiye kutegemewa, kuombwa na kuelekewa kwa kila hitajio kwa waja wema. Kumhitajia jinni ni kukata tamaa na rehma za Allah na kukosa subra.
@Aymanland
@Aymanland 3 месяца назад
Sheikh unayumba na unawayumbisha wanao kufuatilia achana na mada hii iko mbali na upeo Sheikh wangu na sio aibu kutojua yote katika dini huna haja ya kuminyana masheikh pia wanakosea usishikilie ibun taymiyah tu yule ni mwanachuon mkubwa mchamungu mwenye elim kubwa lakini anaeeza kosea pia katika kauli zake au akaeleweka vibaya kwa wanao soma fatuwa zake kikubwa tujue haifai kutumia jini kwani allah ametutofautisha kimaumbile na kila kundi tunatakiwa kumuabudu Allah na sio kwa kazi hiyo wanayo fanya Washirkina, sheikh unataka kuziporomosha mada zako watu wa TAWHIID waache kuzisikiliza hebu achana nayo hayo turudishe kwenye mambo ya familia Tufaidike. Uko unako enda unaenda kutufanya tukatae na mada zako je mada zako zikipotezewa kwa tatizo lako ndio umepata faida.
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 3 месяца назад
Mtu ana kesi anadaiwa kweli anatumia jini kuharibu kesi..mty anataka mtoto wa watu amzini anatumia jini.mtu anataka kumdhuru mtu kwa dhulma anatumia jini...ndo hivi alikusudia sule...
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 3 месяца назад
MANHAJ SALAF NDIO MAPITO SAHIHI YA KUENDEA UISLAM WETU HUTOKAA KUSIKIA VITU VYA KITOTO KAMA HIVI KWENYE SOCIAL NETWORK. HUWA MAREJEO NI QURAN NA SUNNAH KWA UFAHAMU WA SALAF KINYUMECHO MTABURUZWA NA MAKANJANJA WA MJINI MPAKA BAAS
@sharifuburuhani1969
@sharifuburuhani1969 3 месяца назад
Sheikh Ibn Taymiyyah siyo SHEIKH wa KISALAFI?
@gigiman5465
@gigiman5465 3 месяца назад
Msiba mkubwa na Africa umasikini tunao sana yaani watu kutukia majini na si technologia kisa dalali ktk mijitabu eti shekh ul Islam kasema ! na si Allah.
@yusufhamisi8191
@yusufhamisi8191 3 месяца назад
wanaokoment weng naon wanachochea ugomv tu kauli za maulamaa ndo zinachambuliwa nyie mngesikiliza msitumie nguvu ya hoja uyu sheh kuzungumzia ivo hainamaan ameunga mkon bali anazungumzia alichokiona
@idrisamnyamisikhalifa4348
@idrisamnyamisikhalifa4348 3 месяца назад
Dah umenitoa chozi ostadhi sio wote wenye kukubali
@radjabumwamedi8641
@radjabumwamedi8641 3 месяца назад
Mm naon uyu sheikh maskio yake ayaskie sisi tuna mfata mtu Muhammad sww ajiuliz kwanz km mtu Muhammad aliwatumie majini? Tujuw km ni suna ama ni faradh kutumia jini?
@twahamuhoro1656
@twahamuhoro1656 3 месяца назад
Hahaha dini ni dalili kwenye hili babu kiruwasha ana dalili zilizoshiba...
@MateusPaulino-cf8hf
@MateusPaulino-cf8hf 3 месяца назад
Nyie watanzania mko busy kwa kupotosha uma wakiskam kwa ajili ya maslah yenu
@abdullahijma2073
@abdullahijma2073 3 месяца назад
Na Sheikh uwe careful kwa maneno yako kwa sababu utajuzisha jambo na watu 'awaam watasema Shekh Kiruwasha amesema iko sawa..na watu wengi hawana hiyo elimu (na hata wewe Sheikh huna hiyo elimu) ya kujua jini gani ni Muislamu na yupi sio Muislamu.. sisi hapa duniani tunadanganywa na kuwa conned na watu tunaoishi nao hapa hapa duniani na tunawaona, je majini wenye hatuwaoni je? Sheikh Kiruwasha, tumche Mwenyezi mungu. Mtu asije akaingia kwa huo mtihani na siku ya Qiyama akakutaja kuwa alikusikia ukisema ni sawa kutumia majini.
@abdukhan4718
@abdukhan4718 3 месяца назад
@Abdullahhijma... Assalaam Alykum vip hali. Tatizo sio yy yeye kanukuu maneno ya wanachioni kama ni sehemu ya dalili ya hoja yake. Lamsingi Ni hili........... Mashehe wakae na kuangalia lile lisilokua na umuhimu, hata kama linadalili basi waliache na Wafanye kazi ya kulingania nasio kubisha.... أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 3 месяца назад
Baba kiruwasha nimekuelewa Sana tena mno ndugu yako ktk imani
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 3 месяца назад
Shee kilowasha je qur Ani inazungumziaje kuhusu matumizi ya majini baina ya Bina damu na majini
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 3 месяца назад
Mbona husomi kiarabu unatitafsria tu juu juu... Mambo gani hayo...
@neemafatu471
@neemafatu471 3 месяца назад
Kama ndivyo basi Sawa. Ila kufanya hivyo, ni kama kucheza pembezoni mwa moto. Ni hatari ni bora kuacha naona.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Kwahiyo naww unajini wako ambae unampa mawaidhs ilinae akawape mawaidha wwnzie?
@nasramusaro
@nasramusaro 3 месяца назад
Baba kiruwasha umenikera binafs ungetuambia. Faida ni kubwa au hasara ni kubwa?
@ramagwama
@ramagwama 3 месяца назад
Sheikh Bachu kaeleza kiufasaha kabla hujajishulisha kumtumia jini unatazama faida na hasara zke ambapo akasema kutumia jini atakuplka ktk shirk moja kwa moja ajil ya maagano yko kati yake vilevile ao majini utawatambuaje kua uyu mwema na uyu mbaya ilhal hatuna uwezo wa mitume kuwatambua vyma.
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 месяца назад
Hakika
@jumaa052
@jumaa052 3 месяца назад
Nabii Suleiman Ali Fanya shiriki juu ya majin ? Nauliza nataka tu kujua 🙏
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 месяца назад
@@jumaa052 huyo ni mtume wa Allah, Allah aliwaandaa mitume wake wawe vigezo na walimuabudu Allah kwa yaqini ya kweli wala hawakumshirikisha na chochote ktk viumbe wake.
@Bombwejr18
@Bombwejr18 3 месяца назад
​@@jumaa052Nabii suleiman alipewa uwezo wa kuishi majini kabisa na kuwatumikisha ndo uwezo alipewa na pia mitume na manabii wana uwezo binafsi vp mm na ww mtihani sheikh iman zetu ndogo lazima tuingie kwenye shirk
@hamzaforogo
@hamzaforogo 3 месяца назад
Hasbiyallaahu waniimalwakiil
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 3 месяца назад
Kama itatoka moyoni hiyo basi hakuhaja yajini wala mtu kila kitu kitakuja wenyewe kwajia anayo I juwa yeye mola
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 3 месяца назад
Bado hamjatushawish, watu wa tanga na zanzibar mnayaamin sana majin, baadh ya watu lkn nieleweke vzr
@mwechizumbabaraka3273
@mwechizumbabaraka3273 3 месяца назад
Sheikh SALUM MSABAHA Yuko wap jaman aje a2ambie ukwel 16:10
@jumankumilwa4139
@jumankumilwa4139 3 месяца назад
NAAM MWAMBA UPO SAWA
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 3 месяца назад
HAKUNA kutumia majini.MTUME MUHAMMAD hajafundisha.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 месяца назад
Shekh wangu sikiliza vizuri Umeambiwa kutumia Majini kuna faida chache kuliko madhara, kama madhara n mengi shekh İbn Tamiyyah anamaliza kusema sio vizuri Kuacha ni HAULA zaidi 1- majini wabaya 2- majini wazıri lkn aina zote hiz wanakupelekea kwenye Ushirikina ! Sikiliza vizurii shekh nahic utaelewe vizuri biidhin kariimu
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 3 месяца назад
Kwani hao vigogo walioruhusu hawajui hayo madhara wala faida hizo ispokuwa BACHU tu
@SaeedMohammad-sw7jq
@SaeedMohammad-sw7jq 3 месяца назад
​@@shawwalmsati3405ila baba Kirwasha katoa vitabu vi2 vya sheikh Uthaymin kimoja chakubali kutumia majini wema na kingine kinakataa kwa kuhofia mahsad yatakayotokea kwa kuwatumia majini. Tanbihi, ikiwa kichwa chako ni kizuri kufikiria basi yatosha kujiweka mbali katika kuwatumia viumbe hawa.
@jabirinyoni823
@jabirinyoni823 3 месяца назад
Mashallah, ilmu ni bahari, usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nimekuelewa sana babu kiluwasha, nimemuelewa mohamedi bachu kila mmoja kwa anachojua yuko vizuri. Hizi ilmu zipo isipokuwa hatuzijui tuu. Allah atujalie elimu zenye manufaa fiduniya wal akhera
@ommymo
@ommymo 3 месяца назад
Ameen,hainahaja ya kubishana , kila mtu katika hawa ukiangalia kunakitu kimoja muhimu,wamekigusia, KAMA KUMTUMIA KWANJIA YA HALALI NA WASILA ITAKAYO TUMIKA KUMFIKIA YEYE BASI NI HALAL YAFAA, KAMA MAMBO NIYA HARAMU NA NJIA ITAKAYO TUMIKA NI YA HARAMU BASI NIHARAM,
@ommymo
@ommymo 3 месяца назад
Alafu wengi ktk watu wanaenda kulingana na fikra na akilizao, kwakuwa hajazowea hilo basi yye anaona hata sheria imekataza, Kwaivo mtu azingatie, kama madhara ni mengi kuliko faida kwake haifai kutumia, kama faida nyingi na njia atakayoitumia niya halal basi yajuzu, asiambiwe ni shirki
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 3 месяца назад
Sasa unapotumia jini mfano shekh sule alivyokua akisimulia mtu anakesi ya kufungwa bila kuonewa anatumwa jini kwenda mahakanani kuiba file vipi hapo sio dhulma hiyo.
@officialbabakiruwasha
@officialbabakiruwasha 3 месяца назад
Hilo ni kosa na limezungumziwa katika maudhui sikiliza vizuri
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 3 месяца назад
MAwahab shekh wenu pia hamumuamin hv ungekuw kumtumia jini haifai nabii sleman ataenda motion vitu vipo wazi ikiw haifai ht mskiti wa bautul makdis waliujenga Majin kw hio haifai kusaliw ni kusoma tu
@sadih5333
@sadih5333 2 месяца назад
Nimakosa makubwa sisi kuongelea na kujifananisha na Nabii wa Allah Suleiman yeye ni mfalme pia ni Mtume alikua pia anawasiliana na wanyama na viumbe wengine Malaika na Majini , sasa kwa hayo machache si sahihi kupigia mfano na kujilinga Nisha nae, Allah atupe ufahamu mwema.
@nasramusaro
@nasramusaro 3 месяца назад
Unatuchanganya ba ake ruwasha maana huyo jini anatakiwa azungumze na wewe ana kwa ana akikuingia mwilini tayari ni shiriki je wewe unakutana na hao wema ana kwa ana?
@jumaa052
@jumaa052 3 месяца назад
Samahan naomba kuuliza kumbe jini ana ingia mwilini mwamtu ?
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 3 месяца назад
Je Mtume ametufundisha kutumia majini?
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 3 месяца назад
Baba kirwasha sjui ni nni unaongea tena maaana tumekusklza bado tu hatukuelewi ;mbon maelezo ymetolewa;majin unawatuma kw mambo yadaw kuwalingnia wanadam au majini wenzao ?je mpk uwatume wakiwa wapi maaan sjui. Unasem swahib sas yale wakirst husem mnafug majin ndo mambo km hay
@HemedSerious
@HemedSerious 3 месяца назад
Kicchwa Cha jiwe, hujaelew nn
@KessyMwinchum
@KessyMwinchum 3 месяца назад
Kwa ufupi ww Shekh haueleweki
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 месяца назад
Achana na Majini ww Mzee, mtegemee Mola wako
@omarykissite6766
@omarykissite6766 3 месяца назад
unajiabisha
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif 3 месяца назад
Huyu ndo mshindani mzuri, wala hajiaibishi kwa lolote
@jumafaki2891
@jumafaki2891 3 месяца назад
bachu huhemkwa tu ajui lolote
@harounramadhan9771
@harounramadhan9771 3 месяца назад
Juma faki Waliingana katika elimu Ama wasematu
@SelemanAmir-ze8zz
@SelemanAmir-ze8zz 3 месяца назад
Elim anayo Ila kudhania ndio kunaleta shida Kama ikiwa Kuna majini wema sifa ya wema kutenda hak vp uwadhanie kuwa wataleta shirik mbeleni au njia za kuwasiliana nap kuwa na hitlaf ? Kinachotawala Ni dhana ya ubaya Kama yafaa akaja kwa wema ukibadilika nawe mwache kaasi Kama mwanadamu tu
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 3 месяца назад
Mtume aliusia kwamba Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini/Watauharibu Uislamu na ndo hayo/ahaya yanayotokea Sasa (Ishara/Daluli) Mwisho wa Dunia umekaribia.. Mtume aliposema anawakhofia Wana wa Zuoni watakuja iharibu Dini, Mtume hakuwataja Kwa Majina yao hao Wana wa Zuoni na Wala hakutaja Maeneo/MaTaifa watakayotokea/walipo(Wanapoishi) hao Wana wa Zuoni ni Tz, Kenya, ZNZ, Saudia nk.🙌
Далее
KUMTUMIA JINI INASWIHI?(BABA kiruwasha)
10:32
Просмотров 14 тыс.
ILI UDUMISHE NDOA YAKO FANYA HAYA
13:32
Просмотров 188
UJUE UCHAWI WA HALALI
7:24
Просмотров 2,4 тыс.