Тёмный
No video :(

HATIMAE BARAZA LA WAISLAM LATAMBUA DHAMIRA NJEMA YA SHEIKH OTHMAN NA KUMPONGEZA 

OTHMAN MICHAEL ONLINE
Подписаться 109 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 590   
@jokhamsuya6088
@jokhamsuya6088 3 года назад
Shukran sana Sheikh Othman Michael Allah akupe subra tunajifunza sana kupitia vipind vyako tunakuelewa lengo ni kufikisha darasa kwetu. Allah akulipe ujira mwema tunakupenda sana kwa ajili ya Allah.
@aishamalunkwi8316
@aishamalunkwi8316 3 года назад
Allah Akuhifadhi Shekh Othumani, sema kwer japo kua chungu, Darasa lako linafundisha sana na Allah akuhifadhi wala usijal maneno ya wanadam ,mti wenye matunda ndo wapigwa mawe👌👌👌👌👌👌👌
@omanbarka2053
@omanbarka2053 3 года назад
Sheikh othomani maico tunakupenda kwa ajili ya Allah kwaupande wangu najifunza mengi sana kupitiya clip zako Allah akuhifadhi nawalimwengu wenye husda endeleya kutuelimisha kwaajili ya Allah
@alsam4881
@alsam4881 3 года назад
Shukran Sheikh, mie napenda video zako kwasababu zinaelimisha jamii, hata hiyo video ya huyo mama katembea na mkwe wake inaelimisha pia, kwasababu kama kuna watu wana tabia mbaya kama hizo basi kwa sasa natumai watakuwa na hofu na wakwe zao na kukaa nao mbali, Mie naomba mambo yote mabaya yanayofanyika kwenye jamii ni bora yawekwe wazi tu ili watu waelimike,Maana kama ukweli hautasemwa na kuelimisha jamii basi maovu yatazidi kufanyika kisirisiri na maadili na tabia itazidi kuporomoka.Allah akupe wepesi ktk kazi yako Ameen 🙏
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 3 года назад
Sura yake maskin ni ya unyonge imejaa nuru mashaa allah wallahi mie nampenda huyu shekhe kwa ajili ya Allah nimkweli
@afric01
@afric01 3 года назад
Aslm alkm wtw.... Allah amlinde smkinge na amuhifadhi Sheikh wetu kipenzi chetu. Tunampenda sana Sana Sana. Allah amzidishie nuru azidi kunawiri mbele ya Allah na viumbe vyake. Allah ampe umri wenye afya furaha na mafanikio duniani na Akhera. Huyu ni mcha Mungu hana neno wala hapatikani na jambo in sha Allah.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 года назад
Ameen yaraab alamiin.
@asiabeauty9851
@asiabeauty9851 3 года назад
Allah akufariji insha-allah shekhe wetu , pole na insha-allah biidhini lilah tuko nawe kwa ajili ya allah
@bintjasirbintjasir4175
@bintjasirbintjasir4175 3 года назад
Allah akuhifadhi shekhe wang walh nmeng unanyo kutana nayo allah akutilie weps kwa kila jambo tunanufaika sana walh tunajifunz meng kweny musamaha kariiim
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 года назад
Mungu akimpenda mja wake humuonja kwa mitihani .Mungu kampenda .
@halimayusuf1616
@halimayusuf1616 3 года назад
Mimi nahis amefanya vizur sana kwa watu tunao sikuliza Tunajifunza mengi sanaa shekhe Othma mola ndio atae weza kukulipa kwa mafunzo yalio Bora unayo jitolea kutuelimisha.🌹🌹🌹
@firdaus7428
@firdaus7428 3 года назад
Halima Sheikh wetu Allah amuhifadhi, aendelee tu kipindi kizuri sana cha msamaha , nchi za waarabu wanavo vipindi hivo na vinewafunza watu wengi ,Tz wapo nyuma sana haweshi lawama hazina msingi
@kebbyfadhili2800
@kebbyfadhili2800 3 года назад
Shekhe tunakupongeza kea jitihada zako, Ila kwa ushauri tu. Ukiona swala ni siri Sana Kama hili. Mtumie mtu mwingine ajifanye yeye ni shekhe na anasuluhisha. Kea utaratibu huo UJUMBE utafika na watu watapata mafunzo Kama ulivyolenga.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 года назад
kabisa
@mamussi6872
@mamussi6872 3 года назад
@@kebbyfadhili2800 kwa hiyo unataka umchome mtu mwengine sio kifupi masuala ya siri ayasuluhishe kisiri yatosha mawaidha kuwa ukumbusho
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 3 года назад
Kijana mstaarabu sana MashaAllah tabarakaAllah, Allah akuhifadhi daima
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 3 года назад
Pole sana Shekh kwa mitihani unayopitia Allah akupe subra🙏🏽. wala usivunjike moyo unatufunza mengi sana sana ,Hichi kipindi kiukweli kimenipa faraja sana.Tuko pamoja Shekh Othman ,nikiangalia vipindi vyako nikiwa Austria kutoka Kenya.❤️❤️❤️❤️
@nazbibabdullatif7972
@nazbibabdullatif7972 3 года назад
Allah akupe subra sheikh Othman Michael hata Mtume muhammad (s.a.w ) alipitia magumu sana ila Allah alimnyanyua nakumpa daraja kubwa snaa sikufananishi n mtume muhammad s.a.w ila nasema kwayale magumu aliyopitia kwajili yadini yake leo hii uislam umesimama kwajili yake so usichoke kufanya ivyo fanyahata kwasirisiri jua unamalipo yako kwa Allah inshaa Allah kwakweli mimi binafsi kupitia ile video nilijifunza sana sana mashaa Aallah
@Gift-cx1uo
@Gift-cx1uo 3 года назад
Wallah ata mimi lilinistu japo nilishasikiaga lakn nililia nikawaza mara Tatu tatu daah Allah akulipe shekh wetu tunakuelewa sna na limetufunza zaid maana hii kitu imefika mbali na imegusa nyoyo za weng wamepata hofu nakujifunza Allah akulipen mashekh wetu 🙏🙏
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Masha Allah
@ukhtyhalimaismailbakari4931
@ukhtyhalimaismailbakari4931 3 года назад
Hakika Sheikh ujumbe umefika kwa asilimia 💯 💯 Allah akuhifadhin🙏🙏
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Alhamdulillah Rabbi l
@nadhirasalum1633
@nadhirasalum1633 3 года назад
MashaAllah sheikh you are good actors 👏 well done keep going Allah barik you ❤
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 года назад
Sheikhs Othuman Michael mungu akuzidishie kheri ishallah
@allyhajj630
@allyhajj630 2 года назад
Wallah shekh othmn allah akulipe janna , sina meng yakusema zaid ya hilo makupa vzr sana
@hamadmhchande5633
@hamadmhchande5633 3 года назад
Mie nimekuelewa sana sheikh wangu sema sisi wanadamu mara nyingi tunapenda kusikia tunavovipenda tuu ila ukweli ujumbe umetufikia. Nakukubali sana.
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 года назад
Hamad unamkubali kwa kuwa ni sheikh wa bwana yesu asifiwe.
@gatohussein3996
@gatohussein3996 3 года назад
Kweli Mufti Shaikh othmani mumuruhusu ae ndeleze Dawa yake mpaka mwishe sababu yakwanza ana tufundisha sisi ote ulimwengu mzima vipindi fyake tunavifatilia na tumejifunza mengi kufatia uo mtandao wake osthma mungu akulipe mpaka siku zamwisho inshaallah mzazi analani mtoto wake mpaka una wa unganisha mzazi namtoto mtoto na mzazi baba na mama woote wakekufikia mpaka wana enda nawameridhika mwenyezimungu akulipe iyo ni Dua yangu kwako inshaallah
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 года назад
Jzakallah kher kweli ndo mana nlishangaa yule mama alikuwa siriaz sana dah allah awahifadhi
@rashidmahuba3079
@rashidmahuba3079 3 года назад
sheikh uthman sina cha kukulipa Allah atakulipa.kazi hiyo ni muhim sana umma umma wakina dada umeharibika na kubaki uchi kwasababu ya kuiga uchafu. hayo maigizo tutajitahidi kwapamoja kumuomba M.mungu swt. Allah atayadumisha.na yataleta nusra zaidi inshaallah.
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 3 года назад
Jazakallah kheri 🤲Allah awahifadhi mashekhe wetu nawapenda kwa ajiri ya Allah
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Alhamdulillah Rabbi
@ummuyusra8316
@ummuyusra8316 3 года назад
Allah akupe umri mrefu shekhe wangu odhuman
@munamuna7488
@munamuna7488 3 года назад
Shukrn na ww shekh kufafanua kwa undani Allah awajaze khery wote wawili
@furahaali3428
@furahaali3428 3 года назад
Shekh Michael nakupenda kwa Anjil ya Allah. Pole kwa mitiani.. Mola atakupa faraja kwa bidii zako. Shukuran jazillah.
@matswelopelemphela9676
@matswelopelemphela9676 3 года назад
Mimi Ni mkristo ila nampongeza Sana shekhe wetu mungu akutunze insallah akujalie nguvu na imani utusaidie wajawake .amani na upendo was mungu baba viwe nawe Amina.
@remtymsangi6365
@remtymsangi6365 3 года назад
Nakupenda shehe Allah akulipe kwa uongozi Bora,pia kunashehe anaitwa shehe Iddi huwa anapinga vitu vingi nakujiona yy ndio mjuzi wa dini kuliko wengine,
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 года назад
Kheikhe wangu Othuman Michael nakupenda sana kwaajili ya Allah mungu akupe kheri duniani na akhera ujaaliwe mema ishalla
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Alhamdulillah Rabbi l
@ndabadugitsefuraha3342
@ndabadugitsefuraha3342 3 года назад
Shekhe otham endelea nahio kazi minapenda sana wallahi tunajifunza mengi hata naakili zetu zinafunguka mashaallah unatuondilewa ujinga tusipumbazike shekhe mie nakupenda kwajili ya allah
@hudiabdallah8265
@hudiabdallah8265 3 года назад
Maa shaa Allah kheir ilioje hapo sheikh wangu uthman wallah nasema kutoka moyoni nakupenda kwa ajili ya Allah Mollah akuhifadhi na akupe umri mrefu uzidi kuifa jamii na uelimisha ummah
@bintmhammad9557
@bintmhammad9557 3 года назад
Mimi naona ni Bakwata wanajaribu kufunikia hii story...bt naamini Shekhe imebidi tu atii kama hua unafatilia vipindi vyake utamuelewa vizuri...
@daliamtanganaki818
@daliamtanganaki818 3 года назад
Swadakta,
@zulekhasuleiman9197
@zulekhasuleiman9197 3 года назад
Uko sahihi kabisa
@Saizultv
@Saizultv 3 года назад
Alhamndullillah shekhe ujumbe umefika Tena kwa asilimia 💯 na tumeuelewa....shekhe mungu akujaalie katika kazi yako ya Daawa inshaAllah. Nimeipenda Sana ile video niliifatilia mpka nikalia kwa kisa kile
@zarnatmohd6635
@zarnatmohd6635 3 года назад
MashaAllah mashaAllah mashaAllah jazakallahu kheir SHEIKH OTHMAN MICHAEL ALLAH bariq
@zolfanaser8116
@zolfanaser8116 3 года назад
Masha Allah. Allah akujaalie subra shekh mimi nimekuelewa san Allah akupe nguv in shaa Allah
@aishahassan2443
@aishahassan2443 3 года назад
Masha Allah mungu amekujalia shehe wangu...
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
Shekhe othnani mimi nilikua na kupenda mpaka sasa hivi nakupenda ila kwahili umeniumiza sana kwa nini utudanganye umetukosea sana Allah karim
@aminaali2605
@aminaali2605 3 года назад
Kwa kweli inshaAllah shekh Allah akulipe kila la kheri.
@ashakombokombo1196
@ashakombokombo1196 3 года назад
Binadamu sisi tunachuki sana sheikh mungu akuongoze njema sana unatufunza mengi ila watu roho mbaya zimewazidi hata mimi nilichukia kwakukusema vibaya ikiwa dini inasema ukiona kwenzio ameteleza unavyoona wewe kakosea basi mfate au mpigia cm umwambie sio kuanza kusema ovyo ovyo
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 года назад
Shaikh msituchanganye hayo mambo yalitokea na watu ni hao hao kwaiyo sasa mumefikia kutundanganya kilicho bakia hapo kma sheikh wetu tumuombe mungu atusamee sote pamoja na sheikh wetu inshaallah
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 3 года назад
Kweli
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 года назад
Allah akupe Faraj inshallah sheikh wetu me sijaona ubaya wowote zaidi ya kujifunza kila siku na ile clp ya yule mama na binti yake imemfanya dada angu jana kasema anaenda kumuomba msamaha mtoto wa baba mkubwa yani kasema kama tukio kubwa kama lile wamesameheana yeye ni nani mpaka wasisamehean mashallah nilifurahi sana kuona sheikh wetu umekua sababu ya wao kusameheana Allah akulipe zaidi na zaidi kaka angu 🤲🤲🌹🌹🌹
@fatmakhalfan8313
@fatmakhalfan8313 3 года назад
Mtihani, watu wanapenda kukurupuka tu kulaumu kitu bila kutafuta ukakika.Allah akulinde sheikh wetu na atakulipa kwa fadhila zako
@tumualiomar9792
@tumualiomar9792 3 года назад
Shekh shkraan ujumbe mzito umetufikia bkz yapo
@saadaalharthi9295
@saadaalharthi9295 3 года назад
Umefanya vizur shekh kwa sab umetufundisha sanaa
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 года назад
Shekhe maiko tunampenda yupo zaidi ya allah si muongoo wala mchumia tumbo muacheni msizingue acheni watu wajifunze tunajua mengi kupitia yeye. Kijana nadhifu ana nuru ya kimungu mashaalah mpole mnyenyekevu
@nyembostumay7370
@nyembostumay7370 3 года назад
Allah ndie Mjuzi InshaAllah Hongera sana Shekhe Othman Michael
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 года назад
Mungu akuongoze shekhe wetu tunakupenda kwa ajili ya allah
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 года назад
Fb watu wamemhukumu wanavyofikir wao mpaka dhana wamezifanya
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 года назад
@@hadijamandanje6189 wamemuhukumu sio vizur kwasababu hawana uhakika jinsi ilivyokuwa' tusikurupuke tuchunguze kitu tuwe na uhakika mungu ampe subira shekhe wetu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 года назад
Unajua vitu vingine tujaribu kujadili Mara mbili mbili tusiishi na chuki ikatupeleka kwenye kupata dhambi,kuna hadithi moja nabii Mohammad s.a.w nimewahi kujifunza,kuna swahaba mmoja alikuwa kwenye sakarath limaut akawa anatamkwisha shahada ikawa hawezi akaitwa mama yake akamuuliza mahusiano ya yeye na mtoto wake akasema hana mahusiano mazuri,Mtume s.a.w akasema kwa hiyo kama hautomsamehe anaenda jahanamu sasa unaonaje Tumchome hapahapa moto mama aliamsamehe mwanae,sasa ina maana hili halikutakiwa kuwa sili kwanini limesimuliwa tena na mtukufu wa daraja,Allah anajua Nia ya mtenda jambo kama ni kuwafedhesha watu atahukumu hivyo na kama ni kuelimisha pia atahukumu hivyo,Allah aalaam
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 3 года назад
Pole sana shekh wetu mpendwa habibi othuman tuelimishe wengi tunakukubari usinvunjike moyo mie mwenyewe moyo wangu umeujenga insha allah
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Mimi niliona hiyo video na ilikuwa nzuri ya mafunzo kwakweli si vyema mama kutembea na mkwewe sheikh othman mwenyezi mungu akuzidishie mti mwenye matunda ndiyo hupingwa mawe wale wa kupiga simu na kunena mabaya ndiyo wanao tenda hayo maovu gizani allah awarehemu.
@johaally669
@johaally669 3 года назад
Allah akuhifazi na fitina na akulipe kulingana na nia ulioiweka ni mawaidha tosha
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 года назад
Me nimemuelewa sana shekhe,tunajifunza,tunaelimika, Allah akuhifadhi,awahifadhi wote mashekhe wetu
@shakilashak3337
@shakilashak3337 3 года назад
Ndugu yangu pole san Allah akuhifadhi kwakila hali
@user-wv2uy6iz5h
@user-wv2uy6iz5h 3 года назад
Pongezi shekh othman kwa kazi njema unayotufanyia ALLAH atakulipa,waja kusema ni kaziyao,ALLAH akuepushe na hasad na ain, akupe subra ya nguvu.endelea usivunjike moyo
@ndabadugitsefuraha3342
@ndabadugitsefuraha3342 3 года назад
Shekhe othamna rudi kutupa maiwaidha ramadhani hi inakuja jnshaaalllah tunapenda mawaidha yako nia utulivu sanaa yarabiii .iyo clip misioni kosa kwani si dawaaaa mbo masoma ya dini tunasomaga tajwidi kila kitu kiko waziii mashekhe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 3 года назад
Ujumbe ulifika Sheikh ile video nililia sana, mashallah mashallah Mungu akuzidishie inshallah
@aidasanatu6425
@aidasanatu6425 3 года назад
Hakufanya vizuri dini Haina mzaha Ana Mambo ya ajabu mtume hakufanya comed
@hidayamakuka5819
@hidayamakuka5819 3 года назад
Shukrani mashekhe wetu.mungu awaongoze kwa njia iliyonyooka
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 года назад
Mimi siku ile nimeliya sana niliyona ni ndoto 😢😢😢😢😢 ila tulijifunza mengi Sheikh Mungu hakuzidishe
@attunelson8828
@attunelson8828 3 года назад
Shehe mkuu acha unafiki,mwacheni shehe Othimani tunamwelewa sana hata sisi wakristo.
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 3 года назад
Karibu kwenye uislam
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 года назад
Mimi muislam lkn huyu mufti sio mtu mzuri
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 года назад
Karibu ndugu
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 3 года назад
MashaAllah
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 3 года назад
Allah atakufanyia wepesi uijue njia ya haki
@aidaabdallah2874
@aidaabdallah2874 3 года назад
Kwahiyo usuluhisho woote siyo kweli ni mv mimi sijaipenda kwa kweli bora ingekuwa movu ya kiislamu hopo kadanganya jamii
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Alhamdulillah Rabbi
@saidiallii3449
@saidiallii3449 3 года назад
WAALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAH WABARAKATUH Allah akuhifadhi yaa shekhe Akuepushie na husda za binadamu Na shari za kila pembe
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 3 года назад
Pole sana watu daiman wangojea pale ulipoteleza ili wakuangamize lkn Allah ndo kinga yetu na maovu ya watu
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Shekh Othman Michelle endelea Na vipindi watu wapate ilimu tumepata faida nyingi Kwa kilipu zako mzuri masha Allah
@thamratsaid8526
@thamratsaid8526 3 года назад
Alhamdulillah sheikh ujumbe umefika Allah azidi kuwawafikisha Amiin
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 года назад
Kumbe haikuwa kweli kwaiyoyote yale inakuwa nikuedit tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Mm nampenda sna huyu sheikh na masheikh wote. Lkn km palitokea watu wakamrekebisha basi akubali kua alifanya makosa na sio aseme uongo. Wakt baadhi ya clip zake alikiri kua ni kweli na sio maigizo. Isitoshe alisema kua kuna baadhi ya watu wengine hawataki kuonekana mtandaoni na hawaonyeshi, na wengine aliwaonyesha na kuna clip moja nilishuhudia mpaka mtu kamkata kichwa asionekane. Sasa anaposema ni maigizo au anapolaumu waliomwambia inakua anakosea.
@sanyolee1396
@sanyolee1396 3 года назад
@@alhamdulillah5796 Sio zote ni acting, ni Ile tu iliyosambaa
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 3 года назад
Mungu azidi kumuungoza ktk Elimu haliyo kuwanayo Maana dakhawa inawe ikafika kwa kila Aina Ila ujumbe umefika tunampendasana
@yusrambarouk313
@yusrambarouk313 2 года назад
Mungu akulinde
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 3 года назад
Asalam alykum warrahatullah wabarrakatuh shekh mkuu nimekuelewaa mnoo ni kwl kusitir Aibu ya mtu ina kher nying mnoo inshaallah...Allah amuongozee shekh wetu Othuman Michael maan kila jambo lina mitihani yakee alhamdulillah....tunaombaa uwe watutoleaa kama hadith tutakuelewaa biidhin llah
@yusranassor5084
@yusranassor5084 3 года назад
Yailaahy!!! Mambo ni mazto mno sheikh ikiwa lengo lk ni jema bac tafuta njia njema ya kutuelimisha isio na shubha ili usiingie ktk matatizo hayo mambo ya kuwaita watu na kutolewa mitandaoni ikiwa wanaecti au nikweli yote hayana haja ww tutolee tu maidha nasaha na vsa mbali mbali cc ttakuamini na ttakuckiliza kwa makini zaid; pole kwa yalio kukuta usikate tamaa wala ucvunjike moyo....Namuomba Allah mwema akupe wepec ktk kaz zk ztakazo kufaa hp duniani na hk twendako Mungu akulinde na mahasidi..Allahumma amiin
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 года назад
Sheikh shukran Sana kwa kutuelimisha tunajifunza mengi kupitia clip zako unachokifanya mi nimekipenda Sana, endelea kutuelimisha sheikh kwa kupitia hivyo hivyo unavyotufanyia kwa kutumia watu wengine kutuigizia visa vilivyotokea katika jamii
@asmintambwe9547
@asmintambwe9547 3 года назад
Wallah wabillah Allah atakulipe shekh mie nakuelewa sana Hata niliposkia nilihudhunika kuona wanajaribu kukukashifu na kukuchafua ...
@tumabhay8576
@tumabhay8576 3 года назад
Alhamdulilah nashkuru Allah. Sheikh mwenyezimungu akupe imani na juhudi ya kutuelimisha zaidi na zaidi kwa uwezo wa allah akupe umri twawiil na akupe mwisho mwema.
@husnakh5136
@husnakh5136 3 года назад
Ya Allah naomba unisamehe... Mi nilifikiri ni Ria 😢😢😢 Allah akujaze kheir sheikh 💕
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
pia mm nilijua kweli
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 года назад
ila wamejitaidi kufikisha ujumbe
@asma6148
@asma6148 3 года назад
Allah akuhifadhi na fitna na hasad .siku zote ukifanya zuri binaadamu watakusema na ukifanya baya pia watakusema hatuna jema kwa kweli .Allah akupe faraja inshallah
@tutahamudy2534
@tutahamudy2534 3 года назад
Isitingishike shekh wetu, ukasita kutupa sabuni ya roho nikamaida mti wenye matunda mazuri ulengwa mimi binafsi nilielewa kwani kisa hiki ushakielezea mwanzoni tena wala simara moja jazaka Allah jannat firdhausi shekhe wetu
@sarhasarhasalum4263
@sarhasarhasalum4263 3 года назад
Ndo maana yule mama mimi sijamuelewa yani alikuwa haoneshi Kama katenda kosa pia lakin mimi nimelia sana kuhusu ile video wallah😔Asante kwa ujumbe nakupenda kwa ajili ya ALLA shekh #othmani
@MalegesiMakunja
@MalegesiMakunja 3 года назад
Hongera Sana Shekhe, Allah akujalie buheri siku zote
@Official83640
@Official83640 3 года назад
Mie wa kwanza niliona kuwa hii ni movies kabisa inachezwa Mungu akuzidishie uendelee kutuletea mengi Inshaallah
@mamussi6872
@mamussi6872 3 года назад
Hizo movies maadam zinaleta mtafaruki basi ziachwe yatosha mwawaidha kua no ukumbusho atoe mwawaidha tu
@fatmaamaan3467
@fatmaamaan3467 3 года назад
Wallah mawaidha yataisha si Kwa hii njia aliotumia uongo
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Alhamdulillah Rabbi l
@kaafisocadeey7480
@kaafisocadeey7480 3 года назад
Ee maskni mm nayaewa yote ile niklipu Na mifano akimpiga mwana fundi wake audhubillahi minashetani rajim matungu yao Na uhasidi hawaumi wala hawarambi waonyeshe hii msg yakutoka kwaswidq basi wa taamini tafsiri yao mbovu siwaanguwaji ndoto Ni mashekhe bure tuu nawakileta ushindani wape no+252618586935watsap aukawaida niwafungulie hiyo kilipo mtuu alofananishwa sihao mama namwana nimfanotuu napongeza endea kutuilimisha Kwa kilipu zako mzuri masha Allah wabillahi tawifiq
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 3 года назад
kwa jina la yesu na kwa baraka za muhammad (s.a.w) Allah atakufanyia wepes katika kazi yako ya daawa. amin
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 3 года назад
😂😂😂😂😂😂 Abdallah mmmmmh.we ni shida
@anitacizaa413
@anitacizaa413 3 года назад
ManshaAllah Shekhe Othman Allah akuhifadhi naatuhifadhi wote Nana amini Allah yupamoja nawewe .🤲🤲🤲
@nailatanzania7376
@nailatanzania7376 3 года назад
Allah akuhifadhi sheikh othman Lakini ujumbe umefika na tumejifunza mengi sana jazakallahu kheri
@salimomarmkapa
@salimomarmkapa 3 года назад
Nimuunge mkono mkristo mmoja hapa aliesema Sheikh aache unafki maana kweli sheikh Othman tunamuelewa sana na kama kunamtu anastahili kuombewa baraka za Mwenyezi Mungu ni Sheikh Othman. Mambo mengine tuache kabisaaa maana naona bakwata huenda na masheikh wengine mtaanza kumwaga polojo zenu hapa, nisema tafadhali acha kabisa Sheikh Othman aelimishe jamii maana haya yote yanatokea ndani ya jamii zetu.
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 3 года назад
Shekhe ujumbe tunaupata kwa kweli na tunajifunza binafsi huwa nalia kutokakana na klip zako Allah akutangulie misukosuko ni sehemu ya mwanadamu.
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 года назад
Shekhe Othman Lazima utambuwe mti mzuri ndio upigwa mawe mimi binafsi najifunza mengi kupitia kipindi chako endelea na kzi yko na Allah yko pamoja nwe
@ShaffikAbdul
@ShaffikAbdul 3 года назад
Hongera cana Sheik @Othman Micheal
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 года назад
Maashaa Allah nimekuelewa sana shekh wetu, inapendeza sana mashekh wetu kupendana kama hivi jamani dah! Nadhani Allah amekuleta kwa makusudio yake kakupa akili ya ziada ktk kufanya haya mambo
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 года назад
Shukran tumekuelewa sheikh kwa kutufafanulia..... Anw mengi yamesemwa kwa kisa hicho
@mwanakitenge2667
@mwanakitenge2667 3 года назад
Mimi nimekuelewe sana shekh othuman kwa kujitetea kwako al muhimu sasa hivi wakija watu na matukio yao usiwaonyeshe sura zao ili lisije kutokea tena lingine ila mimi sina uhakika kama kweli ile movie
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
ASALAM ALAYKUM WARAHMATU LLAHI WABARAKATUH SH. OTHMAN MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HATA MM SIKUJUWA KAMA NI IGIZO NA WATU WENGI HAKUJUWA KAMA NI IGIZO KWA USHAURI WANGU NAONA SIO VIBAYA KUWASHIRIKISHA WASANII WENYE UMA ARUFU WAO WAKAFANYA HIYO TAMTHILIA HALAFU WEWE UKAWA NI MPATANISHI WAO WATU WOTE WANGEJUWA KAMA HIYO NI TAMTHILIA YENYE MAONYO NA MAFUNDISHO. NA YASINGETOKEA HAYA YOTE HAKUNA UBAYA KUWASHIRIKISHA WASANII WENYE KUJULIKANA NA WEWE SHEIKH UKACHUKUWA NAFASI YAKO YA USHEKH NA NGOJA JIBU KTK KWAKO SHEKH NA KAMA NIMEKOSEA TUSAMEHEYANE.
@mohammadsuleiman6708
@mohammadsuleiman6708 3 года назад
Acheni wivu mashehe waserekali kwanza hmna shehe wa serekali kuna shehe wa mungu tu wote wivi mlokua nao tu uwo semeni ukweli mambo ya mana hamsemi mashehe wapo jela mbona hamuendi kuwatoa km mna ukumia na dini ynu njaa tu izo mnaona sheikh kakuzidini allah kamuinua unafiki tu
@ghalibmuhameddada317
@ghalibmuhameddada317 3 года назад
Shekh osman tunamshukuru Sana Allah ampe baraka
@najmasaidi1412
@najmasaidi1412 3 года назад
Ila binaadam mnamambo mengi sana aya mi nampenda shekhe othumani na mungu ampe umli mlefu inshaallah☹️☹️☹️☹️☹️☹️
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 3 года назад
Masheikh hampendani nyieee Allah Akutanguliee Sheikh Othman
@venerandamasunga6789
@venerandamasunga6789 3 года назад
Allah anajua niya ya moyoqako nikuifundisha jamii,inshallah mungu akuongoze ktk kila atua
@kwkw5723
@kwkw5723 3 года назад
Jazzaqallahu kheri sheih Othoman Michael
@mzungumwinyiashs9244
@mzungumwinyiashs9244 3 года назад
Masha Allah
@lutfiahassan2341
@lutfiahassan2341 3 года назад
Maashaallah shekh! Allah akuongoze! Mi nilijua upo kibiashara tu maana nimefuatilia video zako na nikaona kesi tofauti lkn sauti zinafanana! Lkn leo nimekuelewa vzr sana shekh wangu! Maashaallah!
@Jasiminimansour6689
@Jasiminimansour6689 3 года назад
Tunamuomba Allah Amsimamishe ktk Ikhlas ili akapate ujira wake mwema mbele ya Allah, nasi tukaingie peponi kwa yale anayotuusia
@ashaali1324
@ashaali1324 3 года назад
Masha Allah Mie nimelia sana 😥 khehe Shukran
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
Hata sisi wakristo tunajifunza sanaa. Huwa namfuatilia Sana Sana Sana huyu Sheikh Othman. Kwakweli Mola aendelee kukupa hekima na busara. Mimi mfuasi wako mkubwa maana hii mitihani ipo kwa binadamu yeyote. Awe muislam au mkristo
@abeidkhatib7065
@abeidkhatib7065 3 года назад
M mungu akulinde mwalimu wetu othman
@hassanchishako348
@hassanchishako348 3 года назад
Jambo nzuri
@samilaayomba4203
@samilaayomba4203 3 года назад
Mashaallah allah amuongoze zaindi shehe wetu
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Amiin Amiin ujumbe umefika
@mozuusuleiman4702
@mozuusuleiman4702 3 года назад
Unaonekana kua na simanzi usihuzunike ndio changamoto za maisha na kulingania kma unavojua Mtume Muhammad (SAW) alipata changamoto zaidi ya zako. Wewe ni mti wenye matunda hautaacha kupigwa mawe
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 31 млн
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 6 млн
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,1 млн
Whoa
01:00
Просмотров 31 млн